Bishop Kabisa- Manzi Wa aina gani (Explicit Lyric Video 2004)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • Song was written, arranged, and performed by Bishop Kabisa. Produced by Clemo and Bishop for Calif Records ©2004.
    Additional vocals by Meg-C
    The second single from the album Kazi Ni Mziki
    MANZI WA AINA GANI
    Intro
    Bishop...aha,.manzi,manzi..manzi wa aina gani,
    ma manzi ni wengi,swali ni unataka manzi waina gani.
    Verse 1
    sisi machali tunapenda mamanzi wa aina gani,
    wako wengi staki swali,nipe mwenye ana mali,
    na si gari au pesa,bora anipe hio asali,
    afanye niwike kila siku aai tafathali,
    kukiwa njeve ye hajali ananipa joto kali,
    awe na features mingi kama phone ya samsung E700,
    am down for whatteva so nampeleka hio full hundred,
    na kabla twende far her body geography ina matter,
    hizo ma valley ma gulley milima pia nta fuata,
    si machali wote mwaelewa ni nini that am after,
    yeah body chemistry poa ndio kile manzi anachotaka,
    hata ukiwa mbali naye lazima ye atakusaka,
    ahaa, ruff rugged and raw nickname yangu utadhani,
    kama Rat-a-tat nafanya utoe suruali tena ya ndani,
    hata Arton anajua mi ni m-naughty tangu zamani,
    nipe nafasi niwashow wale manzi machali hutamani,huh!
    Chorus*2
    Sisi,sisi,tunanapenda mamanzi waina gani,
    wako wengi wengi tafta mzuri na uwache maswali,
    Sisi,sisi,tunanapenda machali waina gani,
    wako wengi wengi we ni mzuri acha maswali,
    Verse 2
    ni wangapi wanaeza doubt machali wa kenya ni ma F.B.I,
    ma Female Body Inspectors kama Juacali and I,
    yeah,Si husoro shoree jo anashake nikama yuko hi,
    kuna wale wamenoki mamanzi wenye wako shy,
    that aint ma type and i dont know why napenda shoree m-sly,
    anaset ma body on fire nika nina overdose ya dawa,
    kwa machali kama sisi yani hizo ni vitu za power,
    zinafanya usteady ni ka umepiga sip ya kahawa,
    na mng'aro si lazma iwe dirty jeanz na ma spaghetti,
    bora iwe kila kitu sawa including ngotha za neti,
    kila manzi msawa siunajua kawaida ye ni mnoma,
    akibeba poa haikosi she gat it from her momma,
    mi nataka mi nataka manzi mwenye anachomanga,
    akishapigilia ki wadadah ananitibu kama mganga,
    anifanye nikimbizwe mitaani na mapanga,
    ju kila chali ndani ya estoo yao alijua mi ni***********.
    Chorus*2
    Sisi,sisi,tunanapenda mamanzi waina gani,
    wako wengi wengi tafta mzuri na uwache maswali,
    Sisi,sisi,tunanapenda machali waina gani,
    wako wengi wengi we ni mzuri acha maswali,
    Verse 3
    staki manzi hung'ara mini na kila time huivuta chini,
    si ulitaka tuone thighz,otherwize ulivaa ya nini,
    haijalishi ka una nywele kubwa au we ni kipara,
    sura nzuri ndio nataka na uwe na vitu za kudara,
    ka unapenda outings tutaenda parklands kucheki cricket,
    iki bore twende eastlands tuone six moviez for one ticket,
    mi napenda mschana mwenye anaskizanga ngoma chafu,
    hii ni genge ongeza sauti ka u****** kwa sakafu,
    ka unajua una hizo qualities si unajua kule utanipata,
    calif records ndizo studio kila siku huwezi nihata,
    utanipata na clemo tukiunda hizi traki za kikwetu,
    Uwe msawa jo lakini uskue umetoka area yetu.
    Chorus*2
    Sisi,sisi,tunanapenda mamanzi waina gani,
    wako wengi wengi tafta mzuri na uwache maswali,
    Sisi,sisi,tunanapenda machali waina gani,
    wako wengi wengi we ni mzuri acha maswali,

ความคิดเห็น • 8

  • @nelsonakach3089
    @nelsonakach3089 ปีที่แล้ว

    Bishop bado ako juu

  • @Kiki25Flow
    @Kiki25Flow 3 ปีที่แล้ว +1

    Kali 🔥🔥

  • @bensonnduiga6209
    @bensonnduiga6209 3 ปีที่แล้ว +1

    Bishop was a great artist

    • @BishopKabisa
      @BishopKabisa  3 ปีที่แล้ว

      Was??🤣🤣bro am still alive and Am still great😁😁

    • @BishopKabisa
      @BishopKabisa  3 ปีที่แล้ว

      @John Waweru nasasa wakaskia zile tumewapangia..na zile tulifanya before🔥🔥

  • @somaliabae
    @somaliabae 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice😊

  • @MykeUrbano
    @MykeUrbano 2 ปีที่แล้ว +1

    Excellent Work Blessings For Your Projects 🔔

    • @BishopKabisa
      @BishopKabisa  2 ปีที่แล้ว

      Thank you Myke.am deeply humbled 👊🏾👊🏾