Mch Paul Kuria Kutoka Kenya Avunja Mbavu za Watu Kanisani Kwenye Marriage Revival Dinner Party 2018

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 มี.ค. 2018
  • Mch Paul Kuria Kutoka Kenya Avunja Mbavu za Watu Kanisani Kwenye Marriage Revival Dinner Party 2018 iliyofanyika siku ya Ijumaa 02.03.2018 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B"

ความคิดเห็น • 310

  • @mathayowilson1525
    @mathayowilson1525 3 ปีที่แล้ว +2

    Dr Getrud Rwakatare Mama yetu kipenzi..Tz ulipoteza shujaa wa ajabu, mwajiri wa waalimu, watangazaji, mama wa wachungaji, mfanya biashara mashuhuri....Asante Bwana kwa kumleta huyu Mama DUNIANI na kumtwaa TENA...I loved this strong woman

  • @cutenicely4766
    @cutenicely4766 ปีที่แล้ว +1

    Kuria is the perfect one ...nice teaching❤❤❤❤

  • @teresia.n.wanjikuofficial9134
    @teresia.n.wanjikuofficial9134 2 ปีที่แล้ว +2

    Good job our pastor I've really enjoyed 😉 the teaching

  • @timothygitonga3498
    @timothygitonga3498 5 ปีที่แล้ว +3

    This is the real pastor. Mafundisho ya ucheshi hasahauliki kamwe.Mungu akubariki Pst Kuria

  • @geofreymollel6973
    @geofreymollel6973 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumish kweli changamoto zipo ila kwakua yuko Mungu alieanzish ndoa basi wanandoa wanapasw kupeleka kero yao kwa Mungu aweze kutatua matatizo tusitangaze mambo ya ndani maan akun mtu anaewez kumsaidia mwenzake ni Mungu tu pekee asant pastor Mungu akuongezee hekim bb

  • @luciewajesus731
    @luciewajesus731 5 ปีที่แล้ว +6

    Sijaona mtu amelala kanisani hii ni fire 🔥️🔥️🔥🔥😥👏👏👏 sasa pokee wokovu

  • @wambe6268
    @wambe6268 5 ปีที่แล้ว +6

    Kanisa nzuri Sana starehe kibao, injili inapanda na soft drinks.. Fungua branch ingine huku Kenya..

  • @ShieveEbere
    @ShieveEbere 4 ปีที่แล้ว +2

    wapi likes za kenya

  • @governor9541
    @governor9541 ปีที่แล้ว +1

    Pastor mankush next ukienda TZ uniite twende pamoja

  • @TeacherDNgoma
    @TeacherDNgoma 6 ปีที่แล้ว +11

    Mafundisho mazuri for reviving our marriage !! Thanks, Pator Kuria !!

  • @sulleysonmishlaymishlay7233
    @sulleysonmishlaymishlay7233 6 ปีที่แล้ว +14

    Pastor Kuria ni nooomaaaa sana anafundisha huku anachekesha.mama Leo anakubali watoto wake wakija kumchukua mama yao na kumpeleka mahali naana mwacha baba

  • @EvangelicalPoet
    @EvangelicalPoet 3 ปีที่แล้ว +1

    This man is saying deep things of God, don't be so ignorant to see how God is using him to mend marriages and war against the enemy.

  • @janenjeri4058
    @janenjeri4058 5 ปีที่แล้ว +10

    Pastor kuria God bless you,you made my night .

  • @theonlyonebeautiful3726
    @theonlyonebeautiful3726 5 ปีที่แล้ว +7

    Ooh ok nilikuwa sijaona vizuri kumbe ni marriage revival oh good

  • @user-qh2db2uo4b
    @user-qh2db2uo4b 6 ปีที่แล้ว +7

    Pastor God bless you for telling people the truth I have learned alot ,keep it up "mwenye sikio askie"

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 5 ปีที่แล้ว +4

    Mlima wa moto kuna warembo jamani! mambo ni moto!!

  • @solomonmugure765
    @solomonmugure765 5 ปีที่แล้ว +4

    This was just awsome God bless you

  • @estheralbrechtsen8999
    @estheralbrechtsen8999 5 ปีที่แล้ว +5

    Tanzania kuzuri hivyo👌👌👏👏👏👏

  • @francismwaura5599
    @francismwaura5599 4 ปีที่แล้ว +3

    May the Soul of Bishop Dr Gertrude Rwakatare Rest in Eternal Peace.

  • @emanuellairumbe8236
    @emanuellairumbe8236 6 ปีที่แล้ว +19

    Makanisa mengi yanakosa mafundisho kama Haya.....ndio maana now days ndoa za kikristo zina talaka.....nimejifunza pia!! Mungu akubariki pastor kuria baba wa man kus

    • @annwaweru365
      @annwaweru365 6 ปีที่แล้ว

      Emanuel Lairumbe mabo Emmanuel

  • @Wycliffekusimba5
    @Wycliffekusimba5 2 ปีที่แล้ว

    whaooo ilike this my God bles you

  • @yasintasam4411
    @yasintasam4411 5 ปีที่แล้ว +2

    Amina nashukuru Mungu kwakua amemtumi mtumishi wake huyu duuuu nimejifunza kitu Mungu akubariki

  • @ndebilengelela6417
    @ndebilengelela6417 4 ปีที่แล้ว

    vitu hivi kanisa watavimic sana maana mama alianzisha jambo muhimu sana ni wachache wanaofanyia hvo wana ndoa.Mungu aikumbuke kazi hii.

  • @ngoroshowinfrid2220
    @ngoroshowinfrid2220 5 ปีที่แล้ว +2

    Waoo pastor kuria karibu Tanzania tunakupenda

  • @shekhaalndebyshekhaalndeby8739
    @shekhaalndebyshekhaalndeby8739 6 ปีที่แล้ว +3

    Pst kuria wewe top oman watunjenga sana

  • @loisiritoremollel1548
    @loisiritoremollel1548 6 ปีที่แล้ว +8

    Pastor Kuria youre,Great Teacher.

  • @ernestjoseph7593
    @ernestjoseph7593 5 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana pastor urudi tena TZ

  • @blessdmum.7380
    @blessdmum.7380 6 ปีที่แล้ว +21

    Bravo man kush ladies and men in that church are very beutiful

  • @agesag.m2476
    @agesag.m2476 4 ปีที่แล้ว +1

    Wonderful message Man Kush.

  • @tessynjoki9973
    @tessynjoki9973 5 ปีที่แล้ว +3

    Who to bless who be blessed man of God you're highly favored by Jehovah.

  • @sarahmomanyi3592
    @sarahmomanyi3592 6 ปีที่แล้ว +8

    Watz mumependeza hongera, pastor Kuria rudi nyumbani we miss you

  • @gauedwin1960
    @gauedwin1960 4 ปีที่แล้ว

    Sikuwai jua unakimanya kiswahili man kush..ulijitahidi dar kweli..barikiwa

  • @charlcoke
    @charlcoke 6 ปีที่แล้ว +25

    hao wanawake wanashika shika simu kanisani.. tabia mbaya sana. malezi ovyo.

    • @angelnyinge9323
      @angelnyinge9323 5 ปีที่แล้ว

      Sio wote wanachati wengine wanasoma vifungu vya biblia kwenye cm

    • @joynkungu7630
      @joynkungu7630 4 ปีที่แล้ว

      Ni hovyo sana kiukweli

  • @essymutesh2802
    @essymutesh2802 4 ปีที่แล้ว

    Good job pastor kuria you are always real.much love

  • @shemerick77
    @shemerick77 4 ปีที่แล้ว

    Well done Man Kush, you're my mentor.

  • @paulondiek1345
    @paulondiek1345 4 ปีที่แล้ว +2

    I do like this idea of inviting different pastor to share the words of God in different places, let pastor mgogo also visit Kenya.

    • @floreemichael2815
      @floreemichael2815 4 ปีที่แล้ว

      I second this,,, mgogo nampeda bure

    • @nziegamaleys3144
      @nziegamaleys3144 4 ปีที่แล้ว

      I 3rd you

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 4 ปีที่แล้ว

      Ashaenda kenya several times na hata hapa yupo nilisikia tangazo from the beginning akitajwa atakuwa kwa mkutano.

  • @JacobChelugo-go2jw
    @JacobChelugo-go2jw ปีที่แล้ว

    Very inspiring message, Jacob from baringo

  • @lizburton9833
    @lizburton9833 3 ปีที่แล้ว +1

    Beautiful teachings

  • @sonimurigi
    @sonimurigi 6 ปีที่แล้ว +7

    Pastor kuria you are the best

  • @ephraimomudaki1816
    @ephraimomudaki1816 5 ปีที่แล้ว +1

    good and the best pastor in Kenya

  • @davidwanjohi3700
    @davidwanjohi3700 6 ปีที่แล้ว +15

    Ndio maana sikuoni Churchill shw siku hisi, kumbe uko Tz??? WAaaah

  • @theonlyonebeautiful3726
    @theonlyonebeautiful3726 5 ปีที่แล้ว

    Wow kanisa la huyu mama kiboko kuna meza na viti vya kila size naona kuna za ambao wapo kwenye party wow that nice

  • @sophiamwakila3300
    @sophiamwakila3300 6 ปีที่แล้ว +21

    Huyu pastor mwisho wa shida. Duuuuuu

  • @mshiicarlpetercarl8734
    @mshiicarlpetercarl8734 5 ปีที่แล้ว

    I really appreciate you pastor kuria_👋👋👋

  • @shadrackbanyasa9953
    @shadrackbanyasa9953 6 ปีที่แล้ว

    Habari za mungu zinamajibu na vitu vyote vy a dhamani mungu ana majibu yake

  • @edsonmshana4202
    @edsonmshana4202 5 ปีที่แล้ว +2

    uko vizuri ase by michael mshana

  • @alegalenny9641
    @alegalenny9641 8 หลายเดือนก่อน

    Great conversations

  • @samwellema3702
    @samwellema3702 4 ปีที่แล้ว

    I really like this man of god Kuria

  • @KingsleyCreation.
    @KingsleyCreation. 5 ปีที่แล้ว

    The reception was on 👌👌👌👌 ...

  • @daudikoroso9214
    @daudikoroso9214 6 ปีที่แล้ว +25

    hatariiii huyu mchungaji.....moto hufa kwa sababu ya kukosa kuni.

    • @annmurimi3130
      @annmurimi3130 6 ปีที่แล้ว

      Daudi Koroso ndio hio sasa great

  • @livingstonennyari1678
    @livingstonennyari1678 4 ปีที่แล้ว

    Mafundi yapo vizri past mungu akubariki

  • @user-yk7zx7th8i
    @user-yk7zx7th8i 3 หลายเดือนก่อน

    Amen pst

  • @annmurimi3130
    @annmurimi3130 6 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed Pst Kush u r the best aki asant kwa mafundisho yako mema

  • @davidmisi7181
    @davidmisi7181 3 ปีที่แล้ว

    Safiri salama Daktari Bishop G.Rwakatare

  • @odhiambochristopher5349
    @odhiambochristopher5349 4 ปีที่แล้ว

    Man Gush aii beyondn border we are proud of you

  • @rachelfigure8351
    @rachelfigure8351 5 ปีที่แล้ว +4

    Some comments yawa he is great preacher you like him or hate him period !!

  • @ocscollins7992
    @ocscollins7992 3 ปีที่แล้ว

    wow thats amaizing

  • @victorsanga2229
    @victorsanga2229 5 ปีที่แล้ว +1

    These pastors and churches makes us to question if there is heaven!! Spiritually in limbo!

    • @johnmathenge8974
      @johnmathenge8974 5 ปีที่แล้ว +3

      Why victor? Paul did not only speak about heaven but also about our daily life and relationship with fellow man.marriege and family.Now we only concentrate on heaven issues and forget our family and life on earth which is also important.

  • @annmurimi3130
    @annmurimi3130 6 ปีที่แล้ว +1

    Kabisaa moto hufa kwa kukosa kuni ndiiooo

  • @davidodhiambo305
    @davidodhiambo305 6 ปีที่แล้ว

    Great.. like the teaching

  • @carowanjiku3126
    @carowanjiku3126 6 ปีที่แล้ว

    More of a motivational speaker than a preacher. Very good teachings for marriage couples. Kama hii ni marriage ceremony it was wonderful but if it was a church service......only God knows if it was from Him.

    • @ticolatico7191
      @ticolatico7191 6 ปีที่แล้ว

      Read the title well,Marriage Revival dinner party

    • @Desires1930
      @Desires1930 6 ปีที่แล้ว

      @ Caro the preaching was about love and God is love...also having sex is very Heavenly... this message should be preached in main service

    • @antonymbuki8083
      @antonymbuki8083 6 ปีที่แล้ว

      read song of songs by king Solomon and you will see the romantic language used in it

  • @jacintamw4330
    @jacintamw4330 6 ปีที่แล้ว

    Woo nice seminar

  • @davidwalker2144
    @davidwalker2144 4 ปีที่แล้ว +5

    May the lord help us keep our socks panties,shave & inner garments clean..Amen.

  • @irenemumbiofficial2282
    @irenemumbiofficial2282 6 ปีที่แล้ว +1

    Wah pastor kuria comedian

  • @nakurukenya490
    @nakurukenya490 6 ปีที่แล้ว +9

    Video editor. ...u get 20%

  • @collin_ck7
    @collin_ck7 2 ปีที่แล้ว

    The feedback sound kinda hitchi
    Nice conference

  • @winfridageorge6374
    @winfridageorge6374 5 ปีที่แล้ว

    Aisee mungu anavifaa

  • @frankjohn8570
    @frankjohn8570 5 ปีที่แล้ว +1

    nimeupenda ushuhuda wa pastor kumuacha salama mkewake gari INA mafuta ya kutosha na simu imejaa salio hapo vile vya kwanza ndio usiulize yani jikoni kwenye friji nk ni fulu

  • @Giftonyinyelove
    @Giftonyinyelove 6 ปีที่แล้ว +1

    Pastor uko juu

  • @juliamungai208
    @juliamungai208 6 ปีที่แล้ว +2

    Hehehehe! Man Kush is a real comedian!!

  • @rosehondy9584
    @rosehondy9584 3 ปีที่แล้ว

    God bless u pastor

  • @collincarlos7433
    @collincarlos7433 6 ปีที่แล้ว +6

    mtumishi wa Mungu twakuomba huduma hii muilete na mwanza

    • @gracemwalu6344
      @gracemwalu6344 6 ปีที่แล้ว

      Collin Carlos mfuatilie mtandaoni

    • @collincarlos7433
      @collincarlos7433 6 ปีที่แล้ว

      Grace Mwalu Nimeshirik ibada zake nikiwa nrb Mara nying,,lkn pia hilo si lako kujibu ,,,,,mtandaon ni tifaut na live ,,,na hta hvyo IPO kamati pale mlima wa moto ndo iliratib na ndo nilyokusudia

  • @josephmushi819
    @josephmushi819 4 ปีที่แล้ว +1

    Wachaniwaambie ambo ajaelewa nikanisani ndio lakini kulikua nashelehe yawanandoa lakini namafundisho yalikuwepo uwa inafanyika kwamwaka malamoja mwezi wa 3 balikiwa sana kama umenielewa by mwana wabishop rwakatale

  • @rosewoiemitau8376
    @rosewoiemitau8376 4 ปีที่แล้ว

    Napenda sana mafundisho yako sana man kush

  • @lucykimani544
    @lucykimani544 6 ปีที่แล้ว +3

    Tanzania are so humble

  • @susanwairimu2622
    @susanwairimu2622 4 ปีที่แล้ว

    My favorite pasi

  • @meesipro6799
    @meesipro6799 6 ปีที่แล้ว +8

    Mtumishi rulea sikia kilio cha watazamaji sound haipo poa chukulia sound kwenye mixer ikikupendeza tafuta na sound card

    • @shishshishmaxine5418
      @shishshishmaxine5418 6 ปีที่แล้ว +1

      Herald John it's very pathetic,,,,, iko na sound fanny

  • @christopheromondi2382
    @christopheromondi2382 6 ปีที่แล้ว +3

    muhubiri Paul huduma safi ucheshi wako unafikisha ujumbe nyumbani.

  • @floramolel4283
    @floramolel4283 4 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema

  • @kimmtorobo3870
    @kimmtorobo3870 6 ปีที่แล้ว +3

    Mafundisho ni mazuri lakini sound system mbovu sana

    • @meesipro6799
      @meesipro6799 6 ปีที่แล้ว

      Kim Mtorobo nitake radhi mchukua picha anatumia mic ya kamera unategemea kupata kilicho bora kweli

    • @kokujuko4706
      @kokujuko4706 6 ปีที่แล้ว

      waoo thanks God

  • @annmurimi3130
    @annmurimi3130 6 ปีที่แล้ว +3

    Ata kama mwarabu hapa Dubai amenikasilisha wen i watch u furaha huwa nayo teletele u win mtumishi

    • @user-nc4fi2xr2t
      @user-nc4fi2xr2t 5 ปีที่แล้ว

      Pole sana pia mm niko oman najuwa hawa waarabu

  • @mwametallic7668
    @mwametallic7668 4 ปีที่แล้ว

    I follow you everywhere

  • @msafirijames5180
    @msafirijames5180 5 ปีที่แล้ว

    nice kuria

  • @Sanyah-le1od
    @Sanyah-le1od 6 ปีที่แล้ว +23

    Kikiki "naughty Pastor"
    I could see some very uncomfortable faces in the audience ......
    This topic is almost never discussed ...

  • @veronm6
    @veronm6 6 ปีที่แล้ว +3

    Ngwedety muno mch kush

  • @danielmunyaka5848
    @danielmunyaka5848 4 ปีที่แล้ว +1

    RIP Dr.Bishop Gertrude Rwakatare

  • @nikitambuthia6108
    @nikitambuthia6108 4 ปีที่แล้ว +1

    Somthing very wrong with the ambient n colour...Wonen dressed like Jazabeel..enticing..with red nails...am not judging..looks more like a party than humbled souls...Mungu awaongoze muregee kwa njia za kuabudu na unyenyekevu..nyooni..its not late for change

  • @hillaryavugwi1704
    @hillaryavugwi1704 6 ปีที่แล้ว +3

    Lol ,hitting the nail on the head 😂😂

  • @moseschege7321
    @moseschege7321 4 ปีที่แล้ว

    Ni furaha kwetu sote kupata dhahabu ya habari ....ninachokisema kuweka Mambo bayana bayana ni vingumu mtu akwambie ukweli hata rafiki hushindwa kupa mashauri ya maswala ya doa. Heko Man Kush Ndani Africa mashariki nakutambua kuweka Mambo wazi .

  • @faithwambui6243
    @faithwambui6243 6 ปีที่แล้ว

    Great message

  • @johnsonprosper4073
    @johnsonprosper4073 5 ปีที่แล้ว

    Hatari sana

  • @maombiruth2740
    @maombiruth2740 4 ปีที่แล้ว

    Mambohayo merci

  • @africamakikia7459
    @africamakikia7459 6 ปีที่แล้ว +15

    Hahahaha wacha ni cheke paster kuria Heheee umewezaa

  • @ciirulastborn9527
    @ciirulastborn9527 6 ปีที่แล้ว

    Crazy but true

  • @wazirinicholasmutisya441
    @wazirinicholasmutisya441 5 ปีที่แล้ว

    nimebarikiwa baba

  • @betterhomesxperience8911
    @betterhomesxperience8911 6 ปีที่แล้ว +1

    wingi wa hekima

  • @geoffreyogwankwa84
    @geoffreyogwankwa84 6 ปีที่แล้ว +1

    Was. Funny fine

  • @chegekabati5819
    @chegekabati5819 6 ปีที่แล้ว

    ati njahirira

  • @enockabuga59
    @enockabuga59 6 ปีที่แล้ว

    It's just not a laughing matter.. It should be troubling us deeply.... This is how Jesus was mocked in the past

  • @georgemugeta34
    @georgemugeta34 4 ปีที่แล้ว

    Mch.kuria