Ask. Bagonza: Je, ni dini au Ujasiriamali?
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- Ameelezea kinagaubaga kuhusu Usahihi au Upotofu wa mafundisho mengi ya siku hizi. Hapa anazungumzia dini zote.
#africa #education #elimu #kad #ikulumawasiliano #automobile #karagwe #kijitonyama #kkkt #mindset #live
Nampenda Sana baba askofu Bagonza,amenisaidia sana Kwa mafundisho yake makubwa yenye kujenga na kuelimisha
🙏
"Hahitaji msaada wa kitu chochote alichokiumba mwenyewe." Nimeipenda. BWANA akubariki Baba Askofu na ambariki huyo Mwandishi ambaye anayemudu kukuuliza maswali kwa mpangilio unaotoa ushirikiano.
@@michaelambangile3632 🙏
Hivi kwanini vipindi kama hivi visipewe nafasi katika TV zetu kubwa Nchini ili ujumbe huu na kama huu uwafikie watu wengi.Maana imeandikwa kuwa WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA.
@@KanutiKasian Muda ukifika vitapewa nafasi.
Nani anapotosha na nani anapotoshwa...👀 "Huenda hata wapotoshaji hawajui kama. Wanapotosha na wapotoshwaji hawajui kama wanapotosha😢😢"
🤷
Ukitaka kujua nani anapotosha soma habari Swameli na Heri. Au Musa na Yoshua.
Ni uchambuzi unaokidhi mahitaji ya jamii kwa sasa.
🙏