Asante baba kwa hili somo, Naomba unisamehe mimi, ninaomba unihurumie mimi, unirehemu Mungu wangu 🥹🥹🥹 .... Iam sorry daddy . Ninaliendea kusudi langu 🙌
Hili somo ni NZURI MNO, Natamani kila anayetamani kumpendeza Bwana alisikilize na Alienende. Nje na HAPO BE SURE UKIREST IN PEACE UTADAIWA HESABU ! Mbinguni kuna Time sheet pia Ndugu zangu! Yatupasa kuanza kuzijaza timesheet zetu hapa angali tunaishi
Bwana Yesu Asifiwe winner Joyce, Tunaomba ututumie ujumbe kwa njia ya WhatsApp kwa namba hii 0754 440 139, andika jina lako na mkoa unapotoka na uandike PM1. Kisha kuwa mvumilivu wakati unapo subiri majibu, jumbe ni nyingi sana tunazopokea. Shalom
Nilisikiliza hilisoma siku y kwanza kbs huku huku nilifwata kusudi nililo itiwa lkn baada nikaacha sasa ilaa sina amanii kbs najua kunasehem hapako sawaa sasa leoo nimerudi tena kusikiliza upyaa kuhusu kusudii nianzeee upyaa ten n baba nitembee tena kwenye kusudi alilo niitia jmn naona kbs kuna ndoa lbd iko ICU na mm niko tu nadili n mahusiano Narudi tena naanza upya n Baba
Why, inamaana Mimi sipotayari, why hili neno nimekutana nalo jpili kanisani ajabu hapa sijawahi kuingia Kwa hii channel naingia nakutana na hili neno Tena kusudi, Yesu nipo tayr sema na Mimi nipotayari kutumika nisamehe Kwa kuwa mkaidi Mimi nimekuwa nje ya kusudi sifanikiwi kwasababu nipo nje ya kusudi, nimepatwa na matatizo mengi kwasababu ya kutokaa ndani ya kusudi.
Asante baba kwa hili somo, Naomba unisamehe mimi, ninaomba unihurumie mimi, unirehemu Mungu wangu 🥹🥹🥹 .... Iam sorry daddy . Ninaliendea kusudi langu 🙌
Somo zuri saana,ubarikiwe sana mpendwa,natamani kila mtu angesikiliza huu ujumbe.
Ujumbe uliojaa mafundisho, ubarikiwe mtumishi, kazi yako ni njema
daah neno tamu hili jaman I wish everyone could listen and be blessed.
Ubarikiwe nmejifunza kitu kikubwa sana
Asante Mungu kwa somo hili hakika nimebarikiwa sana
Amen, neno zuri Sana limenibariki, mzidi kubarikiwa watumishi.
Somo zuri sana,Mungu atusamehe kwa kupoteza muda na atujalie kuanza vyema na yeye katika kusudi aliloweka ndani yetu
It's my time and a blessing starting following you🙏🙏🙏
Asante Yesu kwa hili neno🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Watumishi Mungu awabariki sana
Am bless 🙏
Unanibariki sana Mungu azidi kukubariki,nizidi kujifunza mengi kutoka kwako
god bless you adundantly...your such of blessing to me...you have really touched my heart
BABA NISAIDIE NITEMBEE KWENYE KUSUDI NA MAPENZI YAKO🙏🙏🙏
Asanteni sana colle na Beatrice kwa kufika kwetu songea wangoni wenzangu tulijue kila mtu kusudi lake mbarikiwe sana
Najiunganisha ukombozi amen
Hili somo ni NZURI MNO, Natamani kila anayetamani kumpendeza Bwana alisikilize na Alienende. Nje na HAPO BE SURE UKIREST IN PEACE UTADAIWA HESABU ! Mbinguni kuna Time sheet pia Ndugu zangu! Yatupasa kuanza kuzijaza timesheet zetu hapa angali tunaishi
Barikiwe sana mtu wa MUNGU.
Mungu alibariki neno lake, ujumbe mzuri sana, ubalikiwe Da Colle na Mungu akutumie zaidi.
God bless you da Colle na Beatrice
❤️
Mungu awabariki watumishi wa Mungu..
Ubarikiwe sana, somo limeniingia
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe kwa hili somo!
Mungu Nisaidie nijuwe kusudi rako namapenzi yako kwangu
namie nahitaji kuanza malason
Bwana Yesu Asifiwe winner Joyce, Tunaomba ututumie ujumbe kwa njia ya WhatsApp kwa namba hii 0754 440 139, andika jina lako na mkoa unapotoka na uandike PM1. Kisha kuwa mvumilivu wakati unapo subiri majibu, jumbe ni nyingi sana tunazopokea. Shalom
asante mtumishi wa Mungu kwa mafundisho ubarikiwe
Asante kwa somo la kusudi mtumishi,ubarikiwe
God bless u da cole
Mungu atusaidie kujua kusudi letu
Am so blessed. Thanks Jesus
Am blessed
Amen be blessed da Colle
Nilisikiliza hilisoma siku y kwanza kbs huku huku nilifwata kusudi nililo itiwa lkn baada nikaacha sasa ilaa sina amanii kbs najua kunasehem hapako sawaa sasa leoo nimerudi tena kusikiliza upyaa kuhusu kusudii nianzeee upyaa ten n baba nitembee tena kwenye kusudi alilo niitia jmn naona kbs kuna ndoa lbd iko ICU na mm niko tu nadili n mahusiano
Narudi tena naanza upya n Baba
usengwile Yesu, usengwile Mulungu
Mtumishi sema neno kwajili ya mavazi kwa Dada zetu jamani
Hallelujah🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Ameeen
Ameen
Amen
Uvumilivu na Utulivu + Kulisoma kwa kulitafakari Neno, huivisha kusudi ili litumike kwa wakati sahihi.
Amen 🙏
God bless you
Amen amen
amen
Da colle namie basi
Amina
Nimesikiliza hili Somo Kwa uchungu sana sijui Kwa nini Yesu nisaidie
Ubarikiwe sana mtumishi
🙏🙏🙏🙏🙏
Sijui kwann sichoki kuisikiliza hii video
Hongera
Karama yangu au kusudi langu Ni, upatanishi na utoaji yaani kusaidia watu, Asante Yesu kwa kunipa hayo, namie nayafanyia kazi, Mimi mama Daniel
Why, inamaana Mimi sipotayari, why hili neno nimekutana nalo jpili kanisani ajabu hapa sijawahi kuingia Kwa hii channel naingia nakutana na hili neno Tena kusudi, Yesu nipo tayr sema na Mimi nipotayari kutumika nisamehe Kwa kuwa mkaidi Mimi nimekuwa nje ya kusudi sifanikiwi kwasababu nipo nje ya kusudi, nimepatwa na matatizo mengi kwasababu ya kutokaa ndani ya kusudi.
Marathon ndo nn
Inaitwa prayer marathon yaani mbio za maombi kuna muongozo unaomba unatumiwa unaanza PM1 mpk 3
Naitaji msahada, nini mahana ya marasoni au ni nini?
Inaitwa Marathon.prayer marathon ni mbio za maombi unaomba mwezi mzima unapew muongozo wa kukuongoza
mbarkiwe na bwana
Natamani kulijua kusudi langu, nifanyeje watumishi wa Mungu?
Ingia magotini muulize mungu
Mimi marathon 3 imenifungua macho, nilianza 1,2 na sasa 3
Huy
Najiunganisha ukombozi amen
Mungu akubariki somo zuri Sana