Nakukubali sana unapenda maendeleo ya msanii mwenzako ingawa wewe ni msanii mkubwa na ulianza kazi kabla ya diamnd lkn unamkubali unampa heshima yake.kuliko wengine.
safi Barnaba boy, coz kwenye ukweli simamia ukweli kama m2 amefanya jambo zuri nivizuri kumsapoti kwa nguvu tumeona wasanii waliopita waliimba vizuri na nyimbo zao kupokelewa viziri kwenye jamii ila mwishowe wamekuja kua maskini wa kutupwa so alicho kianzisha diamond nijambo ni ili wasanii wote wafurahie matunda ya kazi zao, kila la heri Barnaba, kila la mond
Kiba ckiliza wana-muziki wanaojielewa sasa wewe kaa na bifu zako za kimamama,,,acha roho mbaya jinga sana wewe,,,jana (FNL)unaulizwa vitu vya maana unatubania pua,,,cjui punga wewe!!!!
Mungu akuzidishie mie naku kubali saaaana 😍😍😍🔥
Nimekupenda bure barnaba yani unajielewa sana...ubarikiwe
safi sana hadi raha jamaa yuko very postive ukimsikiliza hadi raha
Unajierewa sn Brnb God bless u"
pamoja sana mzee baba nimekusoma big up
nakukubali sana uko smart kila sector mzee baba
Mungu akuongezee zaid kwakuwa unapenda wenzio mnaopigana pamoja endelea hivyo huo ndo ubinadamu
uko juu mr lover boy ngoma ipo juu
bigap san broo
you are a correct rolling model!
Barnaba nakupenda uko na busara
big up mzee baba
nmekuelewa
Wapee mzee huna roho mbaya
Studio yako walipisha ngapi kazi moja ya mziki (single track)
Nakukubali sana unapenda maendeleo ya msanii mwenzako ingawa wewe ni msanii mkubwa na ulianza kazi kabla ya diamnd lkn unamkubali unampa heshima yake.kuliko wengine.
YAP nakubali
you are classic
great speach bro
nice
wenye wivu wajinyonge
gud
hlo nalo nenoooooo pamoj sna
uko vizuri
safi Barnaba boy, coz kwenye ukweli simamia ukweli kama m2 amefanya jambo zuri nivizuri kumsapoti kwa nguvu tumeona wasanii waliopita waliimba vizuri na nyimbo zao kupokelewa viziri kwenye jamii ila mwishowe wamekuja kua maskini wa kutupwa so alicho kianzisha diamond nijambo ni ili wasanii wote wafurahie matunda ya kazi zao, kila la heri Barnaba, kila la mond
Napenda ufanye colabo na diamonf
Sasa Kiba na team yake ndo wataku diss.Maaana na yule mdada"..."Naye kaanza kuongea ovyo kuhusu Diamond
katarina william hawatoweza
banarba sio mtu wa kiki hanajielewa sana toka hameanza mziki
conscious boy
Kiba ckiliza wana-muziki wanaojielewa sasa wewe kaa na bifu zako za kimamama,,,acha roho mbaya jinga sana wewe,,,jana (FNL)unaulizwa vitu vya maana unatubania pua,,,cjui punga wewe!!!!
una mpiy