Chama cha kutetea haki na wanyonge mungu awabariki sana amina wananchi tunawaombea sana kuwa na imani mtashinda kwa kishindo kikubwa sana msiongope wananchi wanawapenda na kuwaombea sana.
Muwe macho sana na ccm hawana ukweli na imani kwa wananchi wote wakiopo ccm tangu mdogo hadi mkubwa ni wahun na wezi sana hadi mungu amewashangaa nakuwakataa.
Chama cha kutetea haki na wanyonge mungu awabariki sana amina wananchi tunawaombea sana kuwa na imani mtashinda kwa kishindo kikubwa sana msiongope wananchi wanawapenda na kuwaombea sana.
Like kwa hao vijana wakiwemo hao 2 dadaaa
Muwe macho sana na ccm hawana ukweli na imani kwa wananchi wote wakiopo ccm tangu mdogo hadi mkubwa ni wahun na wezi sana hadi mungu amewashangaa nakuwakataa.
Chama cha Amani
Amani ni tunda la HAKI
Safi kbsaa hatutaki kusikia wamepita bila kipingwa
Kumbe chadema bado ipo. Mchape kazi Hakuna bwerere
🇹🇿🇹🇿✌️✌️🇹🇿🇹🇿✌️
Ccm hawana ishu tunawachapa Kona zote
Nyinyi mnafurahi ila uchaguzi umesha ibiwa tayari mnadanganywa tu hamupati chochote ccm washapika matokeo tayari
Unajuaje kama hawaja jiandikisha
👊👍✌️.
Chama la wanyonge 😢😢😢😢
Na lile lingine ni chama la wanyonyaji 😢😢😢
@starlily07 lile ni genge la wahuni tu ndugu yangu sema sisi sote hatuwezi kufanana mawazo
Chama cha mashoga😂😂
@@AliphonceMartina-q1u kabisa
Kume anza kuchangamuka
Kura zins wasubiri
Mbona wanachama wao hawakujiandikisha sasa wanategemea kushinda kwa miujiza?
Tumejiandikisha
Aliyekwambia hawajajiandikusha ni nani.
Mwe..wangalifu
Mwapime.kwa
Matendo
Muwe
Wajanja
Kama.sungula
Kuanzia.viongozi
Juu
Hadi
Chini
Changamkemkeni
Kumèkucha
Àsubuhi.karibu
maccm yakiona ivo yanaumia hataree
Mimi Sina chama ila ccm nimajizi sana na tunawatambua sana kwahiyo chadema kuwen makini
Chedema.angalieni.ccm