Sheria by Sarabi Band Feat Juliani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • #SarabiBand #SHERIA Fuata Sheria is about the state of Kenya's politics and of the failure of Kenya's citizens to take responsibility for their contribution to the corrupt status quo.
    famouspen.com/...
    Also watch SHERIA LIVE AT ROSKILDE FESTIVAL • SARABI Band 'Sheria'...
    The song is a call on Kenyans to retrospect and judge, not just the political leaders, but to judge themselves as well, and to 'fuata sheria, to respect the rule of law.
    The song was written after Boniface Mwangi shared a list of the scandals in Kenya's politics from the last 50 years with George Nderitu, the Sarabi Band Manager. They discovered that one consistent thing on that list of scandals was a Government-appointed commission of inquiry.
    Together they invited Juliani to collaborate on a song.
    The song looks back at the maize scandal, the missing free primary education money, the Kazi kwa Vijana scandal and many others.
    But the song also blames the mwananchi for accepting bribes and bribing when it is convenient to do so.
    In his signature voice, towards the end of the song, Juliani says that the tears of the perpetrators has drowned the blood of the victims, in reference to the post election violence. He also mocks the commission of enquiries formed over the years by saying that they take the commission but do not tell the truth.
    Finally, in regard to Westgate and in a unity call, Juliani says, ' You are not my tribe, but you are my blood type. But it doesn't have to take a tragedy to know that'.
    @JulianiKenya
    Follow SARABI:
    Facebook :www.facebook.c...
    Twitter : / sarabiafrica
    Instagram: / sarabiafrica
    #######
    THE LYRICS:
    ---
    Verse 1:
    Nalipa tax na hata siwezi afford kupanda taxi
    Kwa banki sina kakitu siwezi afford hata shati
    Maji naywa ya kanjo, yako ya chupa za mapambo
    Nalipia mtoto wako elimu ya bure ya juu
    Unanipa ya bure lakini ya uduu
    Pre- Chorus:
    So nitapata wapi majibu ya maswali, Mahindi ilienda wapi
    Pia shilingi ya shule za msingi, Paulo mtume mbona jela usimtume
    Lazima abuniwe tume
    Lazima abuniwe tume
    Verse 2:
    Mabenz ndizo hali, Ma-Passat tulificha kwa kabati
    Kazi kwa vijana, Pesa kwa wazee
    Tulimangamanga hadi za ma-dead, I say
    Lazima abuniwe tume
    Lazima abuniwe tume
    Chorus:
    Sheria oaa,
    Sheria, Sheria
    Fuata Sheria
    Sheria wo wo,
    Sheria ye ye
    Fuata Sheria
    Sheria ee ee,
    Sheria wo wo
    Fuata Sheria
    Sheria
    Verse 3:
    Pia wewe mwananchi, tabia zako ziko chini
    Unapenda kulipa hongo na kutumia njia za uongo
    Una mipango na hata watoto wa kando, haujui hata majina yao
    Kura yako, uliuza, maini figo ukakulia hadi dini
    Kisha wasema tukudhamini
    Na wewe hapo, hauaminiki
    Na wewe hapo, haupangiki
    Juliani Rap:
    Wapi Kidero when you need to slap somebody
    Complain ufisadi kwani ulidhani
    Tshirt 50 bob leso siku ya campaign ilikuwa free
    Ni five year loan investment utalipa akiingia parliament
    We are one, ama ni we are wanaaa. Utumishi kwa wote
    Utu missing, CCTV, we were watching
    Ratio ya insecurity na job opportunities
    Ni kama mti ya kibiriti. Side moja heavy
    Usiniambie Kenya kuna umaskini
    Kwani hizi fat fingers zinaibia nani?
    Ma scandal ina threaten our survival
    Media define leadership na sura ukieka frontpage ina improve readership
    Ambia wasee wa twitter wa-hashtag hii
    Ama harsh reality doesnt make a good TT
    Commission of inquiry, wanakula commission bila kutupa ukweli
    Ni kubaya mpaka kukiwa kuzuri unashindwa nini mbaya?
    Machozi ya perpetrator inaweza dilute damu ya victim ilimwagika
    After all is said and done, all will be said nothing will be done.
    You are not my tribe, but you are my blood type
    Lakini it doesn't have to take tragedy to know that
    Chorus:
    Sheria oaa,
    Sheria, Sheria
    Fuata Sheria
    Sheria wo wo,
    Sheria ye ye
    Fuata Sheria
    Sheria ee ee,
    Sheria wo wo
    Fuata Sheria
    Sheria

ความคิดเห็น • 352