MITIMINGI # 141 JE NDOA ILIYO NA AFYA BORA INAJENGWA AU KUBOMOLEWA NA VITU GANI?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
  • Somo hili linawahusu watu wote, kwa wanandoa watagundua ni vitu gani ambavyo vimeharibu au vimebomoa ndoa zao na jinsi gani unaweza kuboresha ndoa yako. Na kwa vijana litawasaidia kujua ni jinsi gani wanaweza kabiliana na changamoto za kwenye ndoa ili kuboresha na kuimarisha ndoa zao.
    Mchungaji na Mwalimu MITIMINGI p. VHM 0713183939

ความคิดเห็น • 10

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 6 ปีที่แล้ว

    Mimi tangu nimsikilize mitimingi nimebadilika sana sana. Yaani namshukuru SAANA mitimingi mchumba wangu atastarehe sana

  • @suzanambaigwaakuinuemungua7069
    @suzanambaigwaakuinuemungua7069 6 ปีที่แล้ว +1

    kweli

  • @busimebalebanga3261
    @busimebalebanga3261 7 ปีที่แล้ว +3

    Mchunga kunawakorofi hata hata ubembeleze, kwanza ndo unaendelea kuharibu

  • @josesmarcelo956
    @josesmarcelo956 7 ปีที่แล้ว +1

    tuwekee nyengine

  • @kenethluhwago773
    @kenethluhwago773 6 ปีที่แล้ว

    Mchungaji wanawake wengine niwakorofi vyakutosha kabisa hata ufanyeje

  • @makeredavid9351
    @makeredavid9351 6 ปีที่แล้ว

    mchungaj napenda mahubir yako

  • @josesmarcelo956
    @josesmarcelo956 7 ปีที่แล้ว +1

    mbn haijaisha

  • @Salimalnabhani
    @Salimalnabhani 6 ปีที่แล้ว

    Sio kweli

  • @josesmarcelo956
    @josesmarcelo956 7 ปีที่แล้ว

    Dodoma

  • @josesmarcelo956
    @josesmarcelo956 7 ปีที่แล้ว

    pastor mm Niko mbali unaweza nishaur kupitia mtandaoni