Jazaa yako kwa Allaah sis, nilijaribu kupika kwa kufata hiki kipimo na hizi steps maa shaa Allaah zilikua tamu mno japo zako nzuri zaidi ila zangu pia zilitoka vizuri. Asante sana. Lots of love from 🇹🇿
Mashallah mungu akupe Kila la Kheir kipimo chako ukweli zimetoka nice soft n crunch mpk siku tatu ziko nje still soft kila zuri mungu akupe umetupa bure na wewe mungu atakufungulia habibty wangu
Assalamualaikum I have just tried ur chapati recipe but I added milk powder bcoz I forgot it's supposed to be fresh milk girl imetokelezea may Allah swt bless ur hands
mrembo, thank you for this recipe. jamani twalipishwa so much money just to learn this. God bless you and may hE EXPAND your talent. swell: zihifadhiwe kwenye jokovu ndo zitokee hivi?
@@Villagelife2024-g3r hv hii samli ya aseel hainaga harufu?na kama inayo n samli IPI ambayo haina harufu maana kuna SKU nliwah kula chapat zikanishinda kutokana na harufu ya samli
@@Villagelife2024-g3r asante, my mother was very good, I learnt but can never make the same, here in uk zanzibari women sell them, nzuri lakini bei 😂. Shukran will try
MashaAllah 🎉🎉🎉❤❤❤❤
chapati mashaallah nimependa sana adi nikatamani zingekuwa karibu
Asante
MashaAllah hizo ni chapati asante
Mashallah
New subscriber!! Alhamdulilaah got to see this recipe bila hata kulipia. Allaah azidi kukunyooshea mambo yako. Ameen
Aamiin ya rabby
Thank you for sharing this recipe. I pray your channel prospers in big way!
Thank u
Masha Allah tabaraka ALLAH
Jazaa yako kwa Allaah sis, nilijaribu kupika kwa kufata hiki kipimo na hizi steps maa shaa Allaah zilikua tamu mno japo zako nzuri zaidi ila zangu pia zilitoka vizuri. Asante sana. Lots of love from 🇹🇿
Thanx love
Thank you ❤
Shukran jazakallah kher
Ma shaa Allah
💖💖
Asante kuwa roho Ya upendo Ya kufundisha mapishi Mungu akubarik sana mama
Aamiin kwa sote
Mashallah mungu akupe
Kila la
Kheir kipimo chako ukweli zimetoka nice soft n crunch mpk siku tatu ziko nje still soft kila zuri mungu akupe umetupa bure na wewe mungu atakufungulia habibty wangu
Aamiin ya rabby... kwa sote
Mweeeeeh 👌 umenikosha moyo jmn. Thank you so much
Wallah hii chapati imentoa mate daah😋 mashaallah
Asante
Jazakallah khayran
Masha'Allah Chapati zavutia sana 😋👌
❤🥰😍
MashaAllah very nice
❤❤
Finding ur channel is a gift to me n my daughters shukhran for ur quick reply
Afwan dear
Mashallah nice chapatis. Thanks for sharing
Welcome
Nice
Ma sha Allah hilwuu mimi kila nikipika haitoki rangi hiyo
Moto uwe sio mkali na pia uiwache iwive huo upande kabla ya kuweka Samli na mafuta
Mashallah ukhty chapati nzuriiii😋😋🤗
😍🥰❤
Mashaa Allah nzur sanaa
😘😘
Thank you very much ❤love it ❤️ you’re AMAZING ❤️💯
Thank you
Mashaallah tabarak akrahman, iko very clear, ila naulizia ili nisikose, je hapo, umeeka sehemu ya barafu au ya kawaida na shukran
Ya kawaida tu
Assalamualaikum I have just tried ur chapati recipe but I added milk powder bcoz I forgot it's supposed to be fresh milk girl imetokelezea may Allah swt bless ur hands
Aamiin kwa sote
mrembo, thank you for this recipe. jamani twalipishwa so much money just to learn this. God bless you and may hE EXPAND your talent.
swell: zihifadhiwe kwenye jokovu ndo zitokee hivi?
Hapana hii kuhifadhi inasaidia kutaka kupikwa kwa siku nyengine bila kuponda Unga Tena
Aamiin kwa sote
Ma Shaa Allah well fried & soft
❤❤
Mashaallah najaribu hii Leo inshaallah ntakuonesha dia
In'Shaa'ALLAH habibty
Fafanua habibty sijaelewa
Hujaelewa wapi dear
Nilifikiri hujazipika zingine kama uliweka zote firijini shukhran
Yeah huwa siku nyengine hupika kiasi then nyengine naziweka
Jazakallah kheir ❤
Thanx love
Mashallah pambe👌 habbty, shukran Allah akujalie kheri ❤️
Aamiin ya RABB..
Kwa sote
Salaam dear , how many days should it be in the fridge? Or can I make it the same day
Yes u can cook same day
Mmy usivae gloves sio nzuri izo nifull of chemicals
Ok
Asante
Si kweli. Gloves hazina madhara. Ni imani tu.
Mashaa Allah habibty
😘😘😘
@@Villagelife2024-g3r hv hii samli ya aseel hainaga harufu?na kama inayo n samli IPI ambayo haina harufu maana kuna SKU nliwah kula chapat zikanishinda kutokana na harufu ya samli
Aseel kopo kijani ni ya ng'ombe ina harufu mie pie siiwez hii kopo gold ni ya mbogamboga haina harufu ndo matumia
Jitahidi ununue samli ya mbogamboga
Oh My God I really appreciate,Hii ndo channel yangu pendwa sana,Wish you all the best,keep it up
Thanx
Yummy❤
Good work if I may ask do u cook some n refigrate some for future use
Yeah
Yeah unaweza kutumia hapo hapo au ukaweka hata baada ya week moja ukapika tena ila zitoe zipoe kidg ili iwe rahisi kuzisukuma
Assalam Alaykum kipenz, kipimo hicho cha unga naweza kutumia unga nusu?
Enhe unaweza ukapunguza nusu yake
Okay, yani nataka kujua kipimo chako na mm nitumie hicho hicho habibty ni robo au nusu kilo?
Yaan huo unga ulotumia mwa kukisia unakua robo au nusu?
Hii ni sawa na gram 360 unga haijfika nusu kilo .. ukitaka nusu kilo ongeza kikombe 1 na 1/4
Utapata kipimo cha nusu kilo
Hatimae nimeweza kupika chapati niliangaika sana na video tofauti tofauti ila hii ya kwako 🫡👌🙏 ubarikiwe sana. Sasa kilasiku natamani nipike chapati 😁
Asante sana
Je nikiweka maziwa ya unga inafaa?
Yanafaa unaweza kuyaweka kwenye maji
Mpishi ni bubu au sim yangu
Yote sio...
Why 3 days
Coz my family wanted chapati but u can keep up to a week
Kunamtu ashawahi kunambia eti chapati ukizikandia maziwa zawa ngumu je nikweli?
Mie mie hazikuwa Ngumu sasa sijui Alitumia maziwa gani
Thanks, but why put unga after kuweka mafuta when wrapping?
To be honestly nilikuwa nikimuona Marhem Bibi yangu akifanya hivo.. akanambia inasaidia kuyavuta mafuta ...
@@Villagelife2024-g3r asante, my mother was very good, I learnt but can never make the same, here in uk zanzibari women sell them, nzuri lakini bei 😂. Shukran will try
Try my Dear
In'Shaa'ALLAH u will be succeed...
Don't be disappointed,
Try till u will be perfect
Hello. Nimependa saana. Naomba kuuliza ni lazima niziweke kwenye fridge week nzima?
Hapana
Sio lazima , hio ikiwa unataka kutumia kidg kidg
@@Villagelife2024-g3r Asante saaana. Nasubir ya maandazi lain au mahamri
Zipo video zake
Wewe uafanya video ya kibubu bubu kwani huna mdomo?????
Naomba tuheshimiane…
Mafuta hutii samli tupu
Ukipenda unaweka mafuta ila mie nimetumia samli
Mashaalla nzuri sana
Mashallah