Nairobi (Acoustic Cover) - Marioo ft Bien | by Kammie
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Finally back at making Music.
Part 1| Nairobi by Bien and Marioo- Acoustic cover by Kammie.
Bein & Marioo tell individual stories about meeting a special lady.
This cover is the girl side of the story.
Enjoy.
Performance by: @Kammie.kazzy
Produced by: @ayoyi pro and @Kay_Paulsney
✌🏻Get in touch for Projects and audio production services:
📧 Email: kay.paulsney@gmail.com
📷 Instagram: @kay_paulsney
Lyrics:
Alinipata bongo mikocheni
Niko zangu beach nala upepo wa bahari
Nikampita Kama meli
Nayumbayumba na kudondosa kishenzi
Ooh mikocheni
Akanifuata nikadhani zombie
Habari gani mbona Uko lonely
Jina ni gani nikasema Kammie
Nikamwambia Aje ,aje
Nikamwambia kwangu ni kwake
Anishike wapi Ndio aje
Nataka moyo wangu uwe wake
Watangoja sana
Wakadhania tutaachana
Mi na yeye tumeshaivana
Anaichapa usiku na mchana
Ayaiiya
Yaani namaanisha kwamba
si tushaona
#Nairobicover #Marioo&Bien