RC KIGOMA AZINDUA RASMI DUKA LA VUNJA BEI, KAAJIRI VIJANA ZAIDI YA 10 KUTOKA KIGOMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 80

  • @habibajohn8967
    @habibajohn8967 ปีที่แล้ว +4

    Hongera sana mkinga wetu mungu azidi kukubariki zaidi ya hivyo2 uwe Kama mfalme Suleiman alivyo barikiwa na hekima zikufutatee

  • @kagenzikanala109
    @kagenzikanala109 ปีที่แล้ว +2

    Ahongereke sanaa kwa bidii yenye manufaa JAH bless ❤

  • @mohamediidd1964
    @mohamediidd1964 ปีที่แล้ว +1

    Nguo za Fred sio nzur

  • @jamaryrweyemamu
    @jamaryrweyemamu ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda sana kaka yangu vunja bei

  • @kuluthummmetisha4630
    @kuluthummmetisha4630 ปีที่แล้ว

    Hongera sana vunja bei

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka ปีที่แล้ว +4

    Ata mimi nimevutiwa nao nitazama kwenye shola zao nikag,arie

  • @stellakagemlo8095
    @stellakagemlo8095 ปีที่แล้ว +5

    Kahama tunakisubiri vunja bei

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 ปีที่แล้ว

    Mimi binafsi nimefurahi kupata Jezi ya Simba M-bet kwa bei nafuu. Asante Fed

  • @philipomoshi9769
    @philipomoshi9769 ปีที่แล้ว

    Dah Fred unani inspire sanna

  • @salamanauthar5261
    @salamanauthar5261 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 ปีที่แล้ว

    Wahaa wananuka.sana majasho.na.midomo

  • @omarymwazema5332
    @omarymwazema5332 ปีที่แล้ว +3

    tunataka kuja kukusupport ndugu lakini tatizo nguo zako si nzuri kulinganisha na watu wengine ambao hata hawana jina kubwa kuliko wewe, matarajio yetu ni kwamba tukija kwa vunja bei tutapata vitu quality lakin sasa mtu anaweza kuingia dukan kwako kulingana na ukubwa wa duka akazunguka mpaka akapata kizunguzungu na akatoka bila ya nguo aliyoipenda lakn mtu anawezakwenda mtaani kwenye kifremu kidogo tu cha nguo na akapendezewa na nguo alizozikuta
    USHAURI WANGU JINA LAKO LITENDEE HAKI KWA KUTUWEKEA VITU VIZURI KULINGANA NA JINA LAKO.
    usituambie t-shirt n 15000 alaf tukakuta maronya
    wewe tuwekee n
    quality hata 25000 tutanunua

    • @sakayonsakihunga3496
      @sakayonsakihunga3496 ปีที่แล้ว

      Chagua pa kwenda sio lazima uende vunja bei acha maneno ya shobo

    • @tycoon9540
      @tycoon9540 ปีที่แล้ว +2

      Hii ni kweli kabisa, Fred jitahidi uweke na nguo zenye quality kali ili uwavute na wanaopenda nguo zenye ubora na fashionable
      Jina lako ni kubwa sn ktk tasnia ya mavazi ila quality ya nguo ndio kitu umekosa, jitahd uweke vitu kama vya mwenzio Sandaland Shop

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 ปีที่แล้ว

      Nguo zipo fresh inatakiwa uvae nguo miezi 3 tu ununue nyingine. Sema hauna fweza wewe.

    • @omarymwazema5332
      @omarymwazema5332 ปีที่แล้ว

      @@gibsonjosephat6352 nashkr mungu pesa ya mavazi hainisumbui tena hua sinunuwagi kwa bajet yan muda wowote nikijiskia naingia shop natungua vitu vikali tena kwa bei ya juu😂😂😂😂

    • @omarymwazema5332
      @omarymwazema5332 ปีที่แล้ว

      @@sakayonsakihunga3496 sikia wewe wala hukulazimishw kunireply naomba tusiharibiane siku.

  • @jameschipande1090
    @jameschipande1090 ปีที่แล้ว +2

    Hata Zambia tunasubiri

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 ปีที่แล้ว +2

    HONGERA VUNJA BEI KWA KUWA NA MAWAZO MAPANA YA KUFUNGUA BIASHARA, MIMI NI MOJA YA MTEJA WAKO WA VIATU KUTOKA DAR.. HONGERA KUWA KIGOMA, UFANIKIWE KTK TAIFA LETU...

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 ปีที่แล้ว

    Upigwe na wimbo la Taifa la waha ule kigoma aeheeee kigomaaaa lekatutigite wishava ameneke

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 ปีที่แล้ว +1

    Kigoma kumenoga

  • @hassanfadhili3706
    @hassanfadhili3706 ปีที่แล้ว +1

    Karibu sana Vunja Bei mkoa wetu wa Kigoma.

  • @mussamc641
    @mussamc641 ปีที่แล้ว

    Tunaomba zanzibar pia .

  • @verenikapallanjyo41
    @verenikapallanjyo41 ปีที่แล้ว

    Mliyopata ajira
    Naomba MUNGU awaongoze msimamie vizuri hiyo biashara ya VUNJA BEI ili ipate kusonga mbele.Lakini pia ili muendelee kupata ajira.
    Wewe utakayewekwa kusimamia hiyo biashara Naomba MUNGU akuongoze ukawee mwaminifu.

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana

  • @johnsonobadiah9008
    @johnsonobadiah9008 ปีที่แล้ว +1

    Mbn aji na kilimanjaro 2napata shda snaa kweny mavazi asa ya simba

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 ปีที่แล้ว +3

    Ila uchawi awache kwenda kuzimu

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 ปีที่แล้ว +1

      Hee kumbe mchawii

    • @lucyjeremia1381
      @lucyjeremia1381 ปีที่แล้ว +2

      Watu ban mtu akiwa masikin shida akiwa Tajiri mchawi🤣🤣🤣🤣🤣 Tutafika mbinguni tumechoka Sana

    • @snechannel9116
      @snechannel9116 ปีที่แล้ว +1

      Nawe kuwa mchawi utajirike

  • @johnbidya119
    @johnbidya119 ปีที่แล้ว +1

    RC biashara binafsi#maslah yake mwenyew#kiki#mitumbakwenyeduka la spesho

  • @aminimushi6945
    @aminimushi6945 ปีที่แล้ว +2

    Congratulation RC Ande,huo ni ubunifu.

    • @majaliwabwitonde6900
      @majaliwabwitonde6900 ปีที่แล้ว

      Ubunifu wa kuzuia watu kwenda kazini kukusanyika kusangilia duka la nguo za China

  • @kwoma_tz3334
    @kwoma_tz3334 ปีที่แล้ว +1

    Sasa hapo huyo wa muungano wa tanzania anaingiaje kwamfano.

  • @muhammedsuleyman6501
    @muhammedsuleyman6501 ปีที่แล้ว

    Njoo na oman ufungue

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana kijana ndomaana chimekeke Ana Sema vijana token magetoni nenda Ata porini urudi na ndege tu 🤣🤣🤣🤣🤣 🤣🤣🤣ona Sasa masiriko ya nin

  • @suleimankhamis8298
    @suleimankhamis8298 ปีที่แล้ว

    zito kabwe hana shea hapo ? good luck

  • @meddymushmaz551
    @meddymushmaz551 ปีที่แล้ว

    Kigomabana.....etinaehuyu nimsanii anajiita

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 ปีที่แล้ว

    Yaani mkuu wa mkoa anazindua duka? Nchi hii ina watu kweliii

  • @victoreliufoo4115
    @victoreliufoo4115 ปีที่แล้ว

    Aje na uku moshiiii tunamkubaliiiii

  • @saidybhokey5744
    @saidybhokey5744 ปีที่แล้ว +2

    hana nguo hapo ni uzushi tu

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 ปีที่แล้ว +6

    Mambo ya hovyo kabisa, duka tu watu hawaendi kwenye shughuli zao

    • @leonardkahimba9815
      @leonardkahimba9815 ปีที่แล้ว

      Acha roho mbaya

    • @majaliwabwitonde6900
      @majaliwabwitonde6900 ปีที่แล้ว

      @@leonardkahimba9815 watu waache kazi kwa sababu ya duka tu, Acha ujinga

    • @joycekalago532
      @joycekalago532 ปีที่แล้ว

      Acha wivu aisee tafuta pesa njaa itakufanya uone wivu mpaka kifo chako

    • @majaliwabwitonde6900
      @majaliwabwitonde6900 ปีที่แล้ว

      @@joycekalago532 mpumbavu hawezi kuelewa

    • @majaliwabwitonde6900
      @majaliwabwitonde6900 ปีที่แล้ว

      @@joycekalago532 mi na hela na huo ujinga sitaki

  • @stellakagemlo8095
    @stellakagemlo8095 ปีที่แล้ว

    Karibu na kahama

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 ปีที่แล้ว

    Aende na Zanzibar kuwekeza vunja bei

  • @salha8799
    @salha8799 ปีที่แล้ว +2

    Waha wa kigoma washambaaa spati picha vunja watamuita Rais

    • @immajuzo2440
      @immajuzo2440 ปีที่แล้ว

      Acha umama

    • @mwitamalwa2773
      @mwitamalwa2773 ปีที่แล้ว

      Alaf waha wa kigoma hawana hela maneno tu

    • @hancybeny
      @hancybeny ปีที่แล้ว

      We ni kabila gani ambalo siyo washamba

    • @geofreysadok4823
      @geofreysadok4823 ปีที่แล้ว

      Kuma tu wewe

    • @domicianalphonce8104
      @domicianalphonce8104 ปีที่แล้ว

      mikoa yote anayofungua watu wanajaa kama hivi, kwa hiyo siyo washamba.

  • @joejoshua7791
    @joejoshua7791 ปีที่แล้ว +3

    Africa wajinga hawaishi

    • @omarybakari8677
      @omarybakari8677 ปีที่แล้ว

      acha tu yani...ukiongea hivi utaonekana umewatukana watu ila kiukweli huu ni upuuzi, kwa style hii maendeleo tutayasikia kwenye bomba

    • @hancybeny
      @hancybeny ปีที่แล้ว

      Hayo ni mawazo mgando

    • @fredichaki3497
      @fredichaki3497 ปีที่แล้ว

      @@hancybeny mawazonmgando nawakati mna ambiwa ukweli mijitu imelubdikana hapa imejaa kibao inashindwa kufanya kazi imejaa kama min'gombe yani ni vitu vya hovyo sana kupoteza muda kwa ujinga wakushangaa uzinduzi kama huo

    • @krizofrancisco5310
      @krizofrancisco5310 ปีที่แล้ว

      @@fredichaki3497 kabla ya kuwabeza hao watu waliolundikana hapo lazima ujue hapo hawashangai duka hapo wanawashangaa wasanii na ndio maana vunjabei anatumia nguvu ya wasanii kutangaza biashara zake na ukumbuke kumshangaa msanii au mtu maarufu c ushamba coz hayo mambo yapo mpaka ulaya