MWANA DAR ES SALAAM EP 29

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 71

  • @AUGENSYLIVAND-rq7hz
    @AUGENSYLIVAND-rq7hz 4 หลายเดือนก่อน +2

    Inazidi kusonga mdogo mdogo 😅😅😅😅😅kaza moyo mambo yanaenda taratibu taratibu

  • @JoshuaKoneibrahimu
    @JoshuaKoneibrahimu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupa like nikiwa DRC Congo jm jicho.

  • @SindarubazaCherejiyo
    @SindarubazaCherejiyo 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa juma namba teti namba silasini ulikuwa unaitafuta umeanza kuzingua sasa

  • @JoshuaKoneibrahimu
    @JoshuaKoneibrahimu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee nae ktisha 😂😂

  • @ayoubjr9163
    @ayoubjr9163 4 หลายเดือนก่อน +2

    Tazizo mnaachia kipande kimoja moja alafu kwakuchelewa mngeachia hata vipande 3

  • @MahirIsmail991
    @MahirIsmail991 4 หลายเดือนก่อน +1

    Juma nibora mkue mnatoa hâta EP mbili mbili moja moja watu atu injoy alafu ukiwa WA kuja south Africa utu julishe tujiandae kukupokea❤❤

  • @SindarubazaCherejiyo
    @SindarubazaCherejiyo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Handeni quitiboma jungu ah mbona mbali zinapafahamu sana nimepigia kazi kule kweli kweli au mmenikumbusha mbali

  • @ThomasMathias-n1u
    @ThomasMathias-n1u 4 หลายเดือนก่อน +1

    Leo mme zingua mna ludia vipande

  • @johnbaut-v6r
    @johnbaut-v6r 4 หลายเดือนก่อน +3

    Juma respect kwakazi unayofanya🎉

  • @othmanmuhdin7526
    @othmanmuhdin7526 4 หลายเดือนก่อน +5

    Like nyingi toka salasala dar es salaam

  • @SindarubazaCherejiyo
    @SindarubazaCherejiyo 4 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba twenty nine nimeiona hapa ila namba 30 iko wapi

  • @DjojoDeskila-yr2su
    @DjojoDeskila-yr2su 4 หลายเดือนก่อน +3

    Juma Jicho nangogea ep 30❤❤

  • @barutilazizi1223
    @barutilazizi1223 4 หลายเดือนก่อน +1

    Eeeeeee !! Juma leo mumezinguwa kwa kweli
    Jaribuni kutengeneza vizuri.

  • @JustinSociale-k7k
    @JustinSociale-k7k 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mwendelezo wa 30

  • @NesthKey
    @NesthKey 4 หลายเดือนก่อน +1

    Daah mmezingua sana😂

  • @Smile.fox69
    @Smile.fox69 4 หลายเดือนก่อน +4

    Nakubali jicho😅

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 4 หลายเดือนก่อน +7

    ❤❤❤

  • @JUMAJICHO
    @JUMAJICHO  4 หลายเดือนก่อน +1

    ANGALIENI MPAKA MWISHO MTAELEWA WADAUU PLEASE

  • @elishamatozi9782
    @elishamatozi9782 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jicho umezingua kinoma

  • @Madangaclassicwear
    @Madangaclassicwear 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nyie mmelogwa😊

  • @JustinBirori-e7q
    @JustinBirori-e7q 4 หลายเดือนก่อน +3

    Wakwanza mimi leo

  • @pt.olivier
    @pt.olivier 4 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤ congrat bro

  • @pt.olivier
    @pt.olivier 4 หลายเดือนก่อน +3

    This time I'm the first to watch I don't want much I just want support for our big brother jumajicho. From Congo we love you very much

    • @JUMAJICHO
      @JUMAJICHO  4 หลายเดือนก่อน

      🎉🎉🎉😢😢😢😢

  • @AsheryMagawa
    @AsheryMagawa 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo mnazingua

  • @TuyizereIssah
    @TuyizereIssah 4 หลายเดือนก่อน +3

    🎉🎉duuh jamani mbona imeridiwa hii hapa, braza🎉🎉🎉😢

    • @abdulimuwanya6107
      @abdulimuwanya6107 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hata mi NIMESHANGAA episode hii imerudiwa

    • @FestoKambona
      @FestoKambona 4 หลายเดือนก่อน +1

      Inaendelea mbele iyo wakuuu

  • @JaphethHraisi-j6m
    @JaphethHraisi-j6m 3 หลายเดือนก่อน

    Kaka juma Mungu na azidi kukupa maisha marefu na ubora wa utunzi aisee safi sana kaka

  • @SolutionsSammy
    @SolutionsSammy 4 หลายเดือนก่อน +2

    Tunakukubali 😊

  • @Reekardo88tv
    @Reekardo88tv 4 หลายเดือนก่อน +4

    Asa Kuna utofauti Gani na episode ya 28 daah hata kama haipo sisi tunasubilia kaka juma jicho

  • @MadakizDarky
    @MadakizDarky 4 หลายเดือนก่อน +2

    Bigup bro

  • @RehemaNgumbao-f1s
    @RehemaNgumbao-f1s 4 หลายเดือนก่อน +1

    Juma hongera kwa kaz nzur❤❤❤❤

  • @RANYTV2004
    @RANYTV2004 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi zurii

  • @NadulaMgusi-h3z
    @NadulaMgusi-h3z 4 หลายเดือนก่อน +2

    Juma hii umetupiga bhana ni ya 28 hii😊

  • @Heiskmb
    @Heiskmb 4 หลายเดือนก่อน +2

    NC

  • @DFIGHTERBA
    @DFIGHTERBA 4 หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JamesJ-b2h
    @JamesJ-b2h 4 หลายเดือนก่อน +1

    WE JUMA SASA HIVI UMEANZA KUZINGUA SASA HUU NI UJINGA GANI

  • @SindarubazaCherejiyo
    @SindarubazaCherejiyo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Juma jicho nataka kuona nimeishia wapi

    • @JUMAJICHO
      @JUMAJICHO  4 หลายเดือนก่อน

      Utaonaaa

  • @noahchepe8036
    @noahchepe8036 4 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉

  • @josephnzega8492
    @josephnzega8492 4 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂 humu mbn washikaj hawaeleweki
    Uyo dada anaongea anacheka cheka mdaa wote.
    Uyo alieenda kuomba msaada kwa uyo fundi hamna uhalisia.
    Kiufupi hii movie inachekesha japokua siyo ya kuchekesha

    • @JUMAJICHO
      @JUMAJICHO  4 หลายเดือนก่อน

      Nomaaaaa

  • @DavidLiberath
    @DavidLiberath 3 หลายเดือนก่อน

    Juma upo vizur

  • @AndrewEmmanuel-z3v
    @AndrewEmmanuel-z3v 28 วันที่ผ่านมา

    Mmezingua Saut inakatakata sana

  • @Minokawa-i6q
    @Minokawa-i6q 4 หลายเดือนก่อน +1

    Oya mnafeli sas mbn ileile

  • @OmmyKomora
    @OmmyKomora 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mbna hi ep Imefanana na Ile ilio pita

    • @ahmedmohammed9394
      @ahmedmohammed9394 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

    • @JUMAJICHO
      @JUMAJICHO  4 หลายเดือนก่อน

      Nomaaaaa

  • @elikindomondo3569
    @elikindomondo3569 4 หลายเดือนก่อน +3

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @GrealdMakwawa
    @GrealdMakwawa 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wekeni nyingine inayofuata hii tumeshaiona tayari

    • @JUMAJICHO
      @JUMAJICHO  4 หลายเดือนก่อน

      Okkkk

  • @azontoboy6943
    @azontoboy6943 4 หลายเดือนก่อน

    Usenge mbn episode zinafanana

    • @JUMAJICHO
      @JUMAJICHO  4 หลายเดือนก่อน

      Angalia mpaka mwisho

  • @ErnestKaZi
    @ErnestKaZi 4 หลายเดือนก่อน +1

    😊

  • @ahmedcornel270
    @ahmedcornel270 4 หลายเดือนก่อน

    Hii imepita inakuaje mnapost tena

    • @JUMAJICHO
      @JUMAJICHO  4 หลายเดือนก่อน

      Angalia mpaka mwisho

  • @MohamedNungu
    @MohamedNungu 4 หลายเดือนก่อน

    Sio nyingine ni ile ile tu

    • @JUMAJICHO
      @JUMAJICHO  4 หลายเดือนก่อน

      Angalia mpaka mwisho

    • @MohamedNungu
      @MohamedNungu 4 หลายเดือนก่อน

      @@JUMAJICHO mzee baba tunaenda wote ep 30 kimyakimya

    • @JoshuaKoneibrahimu
      @JoshuaKoneibrahimu 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@JUMAJICHObrother juma tupe nyingine mwana

  • @MfalmeWazanzibar
    @MfalmeWazanzibar 4 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥

  • @JoshuaMashimbi-q8c
    @JoshuaMashimbi-q8c 4 หลายเดือนก่อน

    resecpt

  • @MbwigaHaruna-lq1fu
    @MbwigaHaruna-lq1fu 4 หลายเดือนก่อน

    Movies ipo vizur Sana Lkn Jaribu kupunguza music Ndani Ya mazungumzo husika

    • @Dickisoni-x8m
      @Dickisoni-x8m 4 หลายเดือนก่อน

      bygjigdgji degijger7 utshio0

    • @JUMAJICHO
      @JUMAJICHO  4 หลายเดือนก่อน

      Okkkko😊

    • @JUMAJICHO
      @JUMAJICHO  4 หลายเดือนก่อน

      Angalia mpaka mwisho

  • @MariaMagele
    @MariaMagele 4 หลายเดือนก่อน

    Ndo nini

    • @JUMAJICHO
      @JUMAJICHO  4 หลายเดือนก่อน

      😢🎉🎉😂🎉😢

  • @ErnestKaZi
    @ErnestKaZi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona ni ileile

  • @AndrewEmmanuel-z3v
    @AndrewEmmanuel-z3v 28 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤