JINSI YA KUTWIST NYWELE♡♡

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 52

  • @barikikaroli6088
    @barikikaroli6088 6 ปีที่แล้ว +7

    Nywele zako ni Nzuri sana dear video Nzuri 💕

  • @asebidyabidya3419
    @asebidyabidya3419 6 ปีที่แล้ว +2

    Video nzuri dia..unywele huo mashaallah

  • @josephangoty2897
    @josephangoty2897 3 ปีที่แล้ว

    Dada wew ni miss😍

  • @lizybrian6097
    @lizybrian6097 4 ปีที่แล้ว +3

    Naomba kuulza, kwa mfano ukmtwist ukatumia mafuta ya maji na mafuta ya dread je inafaa,? Au kuna vifaa maalum vya kutumia wakati wa kutwist?? ASANTE

  • @SpeciozaMatulanya-nw8xr
    @SpeciozaMatulanya-nw8xr ปีที่แล้ว +2

    Hyo shea butter naipata wap

  • @neemapetertungu677
    @neemapetertungu677 3 ปีที่แล้ว +1

    good idea

  • @neemamunuo9002
    @neemamunuo9002 ปีที่แล้ว

    Wowo nice

  • @husnakihambwe262
    @husnakihambwe262 ปีที่แล้ว

    Waoooooo like

  • @annamushi1746
    @annamushi1746 3 ปีที่แล้ว

    Nzur

  • @cynlym1847
    @cynlym1847 5 ปีที่แล้ว

    It's nice dear I gonna try😍

  • @fadhilamalindi7855
    @fadhilamalindi7855 4 ปีที่แล้ว +1

    Dada kumbe ww ni mtaalam wakila idala hongera my dada

  • @hildakaholwe101
    @hildakaholwe101 6 ปีที่แล้ว +2

    Shea butter ninini mafuta au

  • @mwanaharusibakari2691
    @mwanaharusibakari2691 2 ปีที่แล้ว

    Na mm naomba nielekeze hay mafuta nikanunue mya dear nimependa nywele zako

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 4 ปีที่แล้ว +1

    Jaman bi dada mi namafuta za zaitun au olive oil peke ake inafaa au msaada

  • @mbaulidibugingo2425
    @mbaulidibugingo2425 4 ปีที่แล้ว

    Nimeona product zako je! mtu akitaka hayo mafuta atayapataje?

    • @ikamalle
      @ikamalle  4 ปีที่แล้ว

      Kwenye maduka ya Vipodozi

  • @MirajiBhutto-dt4yk
    @MirajiBhutto-dt4yk ปีที่แล้ว

    Huwezi kutwist kwa kutumia jerry

  • @aminaibrahim7175
    @aminaibrahim7175 3 ปีที่แล้ว

    Nisaidie kama uko mwenyew jinsi ya kuzitake care nywele natural maana nywele zangu ni ngumu

  • @mwanaharusibakari2691
    @mwanaharusibakari2691 2 ปีที่แล้ว

    Mm ninazo zima miaka 3 lkn yan hazikui hivyo niandikie tu majina ya hayo mafuta yote ya aina tatu nikanunie au ww kama unauza nielekeze unapatikana wap nije nifuate

  • @asebidyabidya3419
    @asebidyabidya3419 6 ปีที่แล้ว

    Jamani siwezi kutwist nywele huwa najifunza hazitoki vizuri..unaweza kutumia gel pekee?

    • @ikamalle
      @ikamalle  6 ปีที่แล้ว

      Ndio unaweza!

    • @babylelo2641
      @babylelo2641 5 ปีที่แล้ว

      naomba no yako my dear

  • @emmanuellahwizera915
    @emmanuellahwizera915 5 ปีที่แล้ว

    Mimi Niko namwele ngumu naweza gutiya nini ili zirayinike nawonba munisayidiye

    • @kelicemtaki1349
      @kelicemtaki1349 4 ปีที่แล้ว +1

      Chemsha bamia kisha chukuwa maji yke zipake nywele zako utanipa mrejesho

    • @veemoney5692
      @veemoney5692 3 ปีที่แล้ว

      @@kelicemtaki1349 nikishapaka naziacha mda gan? na nikimaliza naziosha?

  • @happynassnyerere1791
    @happynassnyerere1791 3 ปีที่แล้ว

    Unatumia nini kukuza nywere zako

  • @shakiraabbas7538
    @shakiraabbas7538 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi mdada kitu unacho kifanya ndio huwa nafanya mimi ni miaka 7 sasa na nimekupita hizo zako kwangu ni fupi ni mala tatu yake ndio utapata urefu wa nywele zangu nikiingia siku salon kuosha basi watu wote nikushanga nywele zangu kila mtu kuzishika shika na hua hawaamini kama ni nywele zangu kweli hivyo hupenda kuzishika shika tu au mtu anazipiga picha.

    • @ikamalle
      @ikamalle  5 ปีที่แล้ว

      😍😍

    • @fannysuha114
      @fannysuha114 5 ปีที่แล้ว

      Nywele ya dawa Haifai?

    • @glorymwanga2084
      @glorymwanga2084 4 ปีที่แล้ว

      Unatumia mafta gan

    • @elizabethmtae406
      @elizabethmtae406 4 ปีที่แล้ว

      Mi nataka kujua unapotwist unakata mabutu mawili tu au unaposuka unafanyaje

    • @elizabethmtae406
      @elizabethmtae406 4 ปีที่แล้ว

      Naomb namba yako shakira unisaidie nywele zangu

  • @hasnaabduly4945
    @hasnaabduly4945 6 ปีที่แล้ว +2

    eeeee yani me nilishashindwa jamani nikistwis zinaachia au lazima niwe na hayo mafuta ulioweka kwenye nyele

    • @ikamalle
      @ikamalle  6 ปีที่แล้ว

      Hapana sio lazima!

    • @jenifakivavala312
      @jenifakivavala312 4 ปีที่แล้ว

      Unaweza tumia ECO nimafuta mazur sana ya kutwist trust me hata hya mazur pia

    • @rayanaabdallah9834
      @rayanaabdallah9834 4 ปีที่แล้ว

      Same here

    • @neemachitema8930
      @neemachitema8930 4 ปีที่แล้ว +1

      Hivi naweza kutumia afro jely ??

    • @ikamalle
      @ikamalle  4 ปีที่แล้ว +1

      Hiyo sijawai kuijaribu

  • @anithageorge164
    @anithageorge164 5 ปีที่แล้ว

    Unaweza kuitwist nywele ya dawa?

  • @irenesamwel4364
    @irenesamwel4364 5 ปีที่แล้ว +1

    Ni unapotwist nyele iwembichi

  • @MercyKyando
    @MercyKyando 6 ปีที่แล้ว

    Sijui kwanini i dont give cantu a chance

    • @ikamalle
      @ikamalle  6 ปีที่แล้ว

      Just give it a kachance 😊😊

  • @mauasaid39
    @mauasaid39 5 ปีที่แล้ว

    haika unamda gani toka uanze kukuza nywele zako