Slm aleykum,kwanza nakupongeza kwa ubunifu wako video zetu naona zinavutia na kueleweka Sanakutokana na mazingira yetu tamaduni zetu na mambo mengi yanayotuzunguka.
Kwa Upande Wa Uandishi Wa Lugha Ya Kiarabu Hizi Haraka Hazitakiwi Kuwekwa Kabisa Nadhani Kama Unasoma Vitabu Vya Kiarabu Utaelewa Ninachoongea Isipokuwa Hapo Tunaweka Kwa Sababu Ya Kujifunza Tu Hivyo Huenda Tunavyoendelea Nisiziweke Kabisa.! Kwani Kanuni Zenyewe Zitaashiria Neno Linasomwaje..! Hivyo Inalazimika Kwa Mtu Anayejifunza Ajifunze Kusoma Kiarabu Bila Ya Haraka Yoyote Ile..! Kwa Sababu Waandishi Wengi Hawaweki Haraka Isipokuwa Qur'an Na Vitabu Vya Hadithi Za Dini Ndo Zinawekwa Fuatilia Humu Kuna Video Nimeituma Ya Kisa Nimefanya Tarjam Sijaweka Haraka Yoyote..!
Mm nawesa kusema tuendelee na kiarabu Kwa sabuba waswahili wengi hawajui kiarabu lkn tunaweza kuendelea na zakiswahili kwasa Babu ndiomaneno tunayotumia.
Mashaallah ❤️ ❤️ ❤️ tuendelee namkojani Inshallah
Uko vizur shkh sana shkh.
Mashalla
baarakallahu fiika
Mashaallh kaka Asate
tuenderee
Muko vzr
Nzuri sana
والله انت ماشاءالله تتكلم العربية الفصحى
Asantee
safj
asalam aleykum mimi nashauri bora tunaomba tuenderee za kibongo tu
اَلسَلامُ عَلَيْكُم وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ
وعليكم السلام ورحمة الله بركاته
Tuendelee na wote waarabu na wakojani...
Shukran Tutaendelea Nazo Zote Inshallah
Nipongeze juhudi nzuri Allah akuhifadhi kaka, akupe kilalkher na akuepushie Shari iliuwezekutusaidia sisi na vizazivijavyo.
Ahsante Nawe Pia Kwa Kunipa Hamasa Na Moyo
VSheikh namba yako
0656180214 WhatsApp Tu
Me mgeni humu ...nimevutiwa na hizi za kiswahili yaani ya mkojani .....maana ina maneno halisi ambayo sisi tunayatumia kila siku ..iendeleee hii
Niu ngeni
Tuma Ujumbe Kwenye Namba Hii
+255656180214 Whatsapp
Asalam alaykum vp hal mwalim nilikua natoa shkuran kwa hii elim jee ukitaka kuliza maswal unafanyaje
naweza kukupatia namba pia kama utahitaji
Twendelee na zakiarabu ndo nzuri
Inakuja Ya Kiarabu Muda Si Mrefu
Tuendelee nawote shekhe
Slm aleykum,kwanza nakupongeza kwa ubunifu wako video zetu naona zinavutia na kueleweka Sanakutokana na mazingira yetu tamaduni zetu na mambo mengi yanayotuzunguka.
Walykum Salaam
Ahsante Kwa Kunipa Moyo Inshallah Tutajitahidi Kuleta Zaidi Ya Hizo
ndugu jitahini kuweka hayo maandishi ya kiarabu Kila haraka mwanzon au mwishon mwa neno ili kuepusha makosa kwenye uandishi na kuyatamka sis watazamaj
Kwa Upande Wa Uandishi Wa Lugha Ya Kiarabu Hizi Haraka Hazitakiwi Kuwekwa Kabisa Nadhani Kama Unasoma Vitabu Vya Kiarabu Utaelewa Ninachoongea Isipokuwa Hapo Tunaweka Kwa Sababu Ya Kujifunza Tu Hivyo Huenda Tunavyoendelea Nisiziweke Kabisa.! Kwani Kanuni Zenyewe Zitaashiria Neno Linasomwaje..! Hivyo Inalazimika Kwa Mtu Anayejifunza Ajifunze Kusoma Kiarabu Bila Ya Haraka Yoyote Ile..! Kwa Sababu Waandishi Wengi Hawaweki Haraka Isipokuwa Qur'an Na Vitabu Vya Hadithi Za Dini Ndo Zinawekwa Fuatilia Humu Kuna Video Nimeituma Ya Kisa Nimefanya Tarjam Sijaweka Haraka Yoyote..!
Ahsante Sana Tupo Pamoja
@@saidbanga Ni kweli unavosema
Mm nawesa kusema tuendelee na kiarabu Kwa sabuba waswahili wengi hawajui kiarabu lkn tunaweza kuendelea na zakiswahili kwasa Babu ndiomaneno tunayotumia.
Ahsante Kwa Ushauri Wako Tutaufanyia Kazi
Ok inshallah
nomba namba yako kaka!
KARIBU +255656180214