BABA MWENYE NYUMBA NA MWANAFUNZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 พ.ย. 2022
  • #clamvevo #mtotoasma #kicheche
  • ตลก

ความคิดเห็น • 380

  • @juliusjoseph4889
    @juliusjoseph4889 ปีที่แล้ว +32

    😂😂😂😂😂kicheche Leo umenichekeshaaaaaaa,afande gani unapiga salute ya mikono yote😂😂😂😂😂😂😂hiii ni kali

    • @kamunenetv
      @kamunenetv ปีที่แล้ว

      julius nipitie channel

  • @sonyboyofficial
    @sonyboyofficial ปีที่แล้ว +66

    Nimeskia vicheko vya kweli Kama naww umeckia like zangu

    • @rosellaabraham13
      @rosellaabraham13 ปีที่แล้ว +2

      😅😅😅🤣

    • @yohanashabani6942
      @yohanashabani6942 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂

    • @andrewmsafy8091
      @andrewmsafy8091 ปีที่แล้ว +1

      @@rosellaabraham13 pqpurrrypt

    • @mussalyakwasa6646
      @mussalyakwasa6646 ปีที่แล้ว

      Ugghukhfymyky
      Njjkopllllß se waaaaULHAhhvhgjjkkokoSdsssdF5y66t asa asat6y6yyyyt te ty55 dat gggmukllalalalaaakkkkk ook ook kjuipppkkk

  • @patrickmbaji2737
    @patrickmbaji2737 ปีที่แล้ว +2

    TZ mtatuua na vicheko uku Kenya dah😂😂😂😂😂

  • @arafatyahya1457
    @arafatyahya1457 ปีที่แล้ว +5

    Wallai hawa jama viboko Tanzania viva

  • @andrewkirigha5065
    @andrewkirigha5065 ปีที่แล้ว +40

    Pumbavu zangu nawapenda sana kutoka 🇰🇪. "😭😭🚶 Naenda nyumbani😭😭" mbwa Mimi 😂😂😂😂

  • @abuuhamda6213
    @abuuhamda6213 ปีที่แล้ว +27

    Wakwanza Leo gonga like za kutoshaa

  • @mrkambale7356
    @mrkambale7356 ปีที่แล้ว +11

    Sema KiCHECHE miyayusho mob mzee nani unachekesha mpaka unakera mzeiya!.

  • @isayamichael1496
    @isayamichael1496 ปีที่แล้ว +15

    Napenda sana one love mnaigiza fresh sna

  • @muwongejohn2372
    @muwongejohn2372 ปีที่แล้ว +55

    Wakwanza kutoka Uganda 🇺🇬🇺🇬 John komenti za watanzania 🇹🇿🇹🇿 mbwa nyie 😂😂😂😂😂😂

  • @wizzallyxxtentacion2877
    @wizzallyxxtentacion2877 ปีที่แล้ว +6

    Kicheche unatatizo gani broo mbwa wew😂😂😂😂😂

  • @barutithedoni9538
    @barutithedoni9538 ปีที่แล้ว +12

    Aise bro unajua sana daar pongez kwenu wote walio shiriki

  • @misifaforddj5589
    @misifaforddj5589 ปีที่แล้ว +1

    Uhusika Wa Kicheche Hufurahisha Sana hasa pale anapokuwa anajiamini hata kama akiwa katka moment gan haijalishi yaani yuko very good hata akutane na mbabe vp lakn atakaa kwa Kikofia Famchezo nin!? 😂😁😀

  • @zebedemirambi3067
    @zebedemirambi3067 ปีที่แล้ว +11

    Mr kofia 🤣 nakubali imbwanyinyi

  • @amanishiughaaa6345
    @amanishiughaaa6345 ปีที่แล้ว +3

    Kama umesikia Kiufupi mm ni mme mwenzako. Like kwa mmbwa ww
    Pumbav zetu kwa kura MB zetu

  • @Godwin-pf6rr
    @Godwin-pf6rr วันที่ผ่านมา

    Uko vizuri umbwa ww 2:28

  • @faustinematiku249
    @faustinematiku249 ปีที่แล้ว +3

    Wa kwanza naomben like

  • @CorneliuskahindiCharo
    @CorneliuskahindiCharo หลายเดือนก่อน

    So nice kicheche
    ❤❤❤🎉

  • @destinshamavu56
    @destinshamavu56 ปีที่แล้ว +1

    Bumbafu zao acha ni che mbavu zina funjika bregediaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 ปีที่แล้ว +13

    Pumbavu zetu😆...Naenda Nyumbani😆😆😆😆

  • @muwongejohn2372
    @muwongejohn2372 ปีที่แล้ว +14

    Mbwa mjesh🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇺🇬🇹🇿

  • @samwelipaul1462
    @samwelipaul1462 ปีที่แล้ว +11

    Mbwa Mimi 🤣🤣🤣🤣

  • @yakoboesenga5754
    @yakoboesenga5754 ปีที่แล้ว +7

    Mtu mzima ovyo mbwa mm🤣🤣

  • @mwanamgenimohammed7904
    @mwanamgenimohammed7904 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda sana pumbavu zangu mikiangalia movie zenu sitaki Ata kazi🇰🇪🥰🥰😀😀😀😀

  • @leamwalimu312
    @leamwalimu312 ปีที่แล้ว +2

    Umpige nani mbwa wewe😂😂😂😂naenda nyumbani😂😂🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Gerardirankunda2885
    @Gerardirankunda2885 ปีที่แล้ว +5

    Kichch lofa san kwr🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤

  • @abdhurahmanswaleh1468
    @abdhurahmanswaleh1468 11 หลายเดือนก่อน +1

    Waenda shule kufanya nn...na haina akili timamu...😂😂😂😂😂😂😂

  • @odilofaraja924
    @odilofaraja924 ปีที่แล้ว +7

    🤣🤣🤣🤣 mjeshi aliye changanyikiwa
    🤣🤣🤣🤣🤣😂😂

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 ปีที่แล้ว +14

    😂😂jamaa anachekesha sana na sauti yake ya kishujaa😂😂

  • @mahabaclassictwentyseven27mjeu
    @mahabaclassictwentyseven27mjeu ปีที่แล้ว +5

    Pumbavu zangu mbwaa mie 😄 🤣 😂 😆 😄 🤣

  • @melkizedekiwiliam5533
    @melkizedekiwiliam5533 ปีที่แล้ว +9

    Heeeee! Huyu jamaa ni mchekeshaji mzuri!

  • @nashmirihamisi2417
    @nashmirihamisi2417 ปีที่แล้ว +4

    😄😀😀😀😀😀😀😀clam umechapiwa na baba mwenyewe nyumba mbwa yeye 😀😄😄😄😄😄

  • @yusuphswai6851
    @yusuphswai6851 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ndio comedy nilimfahamu kicheche

  • @samwelipaul1462
    @samwelipaul1462 ปีที่แล้ว +5

    Wa kwanza jaman

  • @samsonndomba6884
    @samsonndomba6884 ปีที่แล้ว +10

    one love from zambia 🇿🇲 ubwa mimi

  • @arafatyahya1457
    @arafatyahya1457 ปีที่แล้ว +5

    From kenya safi sana

  • @BIGSTAROGTZ
    @BIGSTAROGTZ 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nice🎉🎉🎉❤

  • @GeorgesMasudiFranck
    @GeorgesMasudiFranck 2 หลายเดือนก่อน

    Congratulations à vous kicheche

  • @sammyfundiofficial5295
    @sammyfundiofficial5295 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂kicheche noma

  • @pasifiqueivuzimana4424
    @pasifiqueivuzimana4424 ปีที่แล้ว +5

    Nyiye ninawakubari umbwa Mimi ironeno rinaniaca hoi

  • @nichorausrichard2347
    @nichorausrichard2347 ปีที่แล้ว

    😂😂🤪 kichechee mbwaaa kweli

  • @issaskighanga3199
    @issaskighanga3199 ปีที่แล้ว +4

    Kicheche mwanyinyi pumbavu zenu😄😄😄😄

  • @erickabel6201
    @erickabel6201 ปีที่แล้ว +2

    Pumbavu zangu. 😂😂. Kabla huja nipiga nipe Kodi yangu🇹🇿🇹🇿

  • @Aisha-zz4xy
    @Aisha-zz4xy 10 หลายเดือนก่อน

    Aaa mlegedia pumbavu zangu mmbwai mimi😂😂

  • @vicentmlumba591
    @vicentmlumba591 ปีที่แล้ว +2

    Ila kicheche mbwa wewee🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @silvernyangurane
    @silvernyangurane ปีที่แล้ว +1

    Nakubali

  • @fadhilfussi3637
    @fadhilfussi3637 ปีที่แล้ว +6

    Kicheche we fire sanaaaaa😁😁😁😁

  • @Dannywonderz
    @Dannywonderz 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂last session nmecheka kama malaya weuh mbwa mimii

  • @cacynjuguna4070
    @cacynjuguna4070 ปีที่แล้ว +10

    Nawapenda Sana Aki❤️❤️

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 หลายเดือนก่อน

    Kicheche zaman ulikua mchafumchafu😂😂

  • @omaryabdallah1224
    @omaryabdallah1224 ปีที่แล้ว

    Msitumie maneno mabaya jamani, mfano mchanganyo n hatar kwenye jamii inaongeza tabia mbovu.

  • @anethkihombo1432
    @anethkihombo1432 ปีที่แล้ว +4

    mbwa mwanajeshi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @conteboy8507
    @conteboy8507 ปีที่แล้ว +2

    Hii imenimaliza mbwa mm

  • @aswalukasoma514
    @aswalukasoma514 ปีที่แล้ว +1

    Kicheche umetisha mbwa wew

  • @silviambula7662
    @silviambula7662 ปีที่แล้ว +1

    Mzeee kicheche 😂 uko poa Sana,,,mbwa wewe

  • @JacksonMulume
    @JacksonMulume 10 หลายเดือนก่อน

    Na mupenda ,pumbavu zake

  • @nzabonimanadonacien3630
    @nzabonimanadonacien3630 ปีที่แล้ว +6

    Umbwa Mimi pumbavu zangu 🤣🤣🤣

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu ปีที่แล้ว

    Mbea gani anavaa kofia🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Gerardirankunda2885
    @Gerardirankunda2885 ปีที่แล้ว +2

    Clam pol san kwr clam umeumizwa kwr 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏🙏🙏

  • @winfredmtetemtete9877
    @winfredmtetemtete9877 ปีที่แล้ว

    Kicheche we ni mbwaa wew

  • @beatusmtui507
    @beatusmtui507 ปีที่แล้ว +4

    Huyu baba mwenye nyumba duuu anakuja kwa kasi Sana MBWA WEWE🤦🤦🤦

  • @martinwagner4418
    @martinwagner4418 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahahahahhah ety mwanajeshi anapiga Salute ya Mikono miwili

  • @abeidmsimange7840
    @abeidmsimange7840 ปีที่แล้ว

    Jamaa wanaweza sana wanastahili pongezi SEMA hawavumi kwakuwa hawana promo hasa huyu kicheche nahuyu vaileti hakika wanaweza

  • @blackstone4488
    @blackstone4488 ปีที่แล้ว +5

    Daah wee jamaa 🧐 umbwa wewe 😂😂🙌

  • @petermugendi7499
    @petermugendi7499 ปีที่แล้ว +11

    One love from Kenya 🇰🇪

  • @user-xf6cm3in8t
    @user-xf6cm3in8t 10 หลายเดือนก่อน

    Kicheche hahaha kumbavu zako

  • @KENYANTZRECAP
    @KENYANTZRECAP ปีที่แล้ว +4

    Asanteni sana kwa kutazama 💌💌

  • @nakedwarrior9530
    @nakedwarrior9530 ปีที่แล้ว +2

    Style Moja inayoitwa ndoige

  • @genarahaswile2990
    @genarahaswile2990 ปีที่แล้ว

    nzuri sijapata kuona

  • @maryamconstantine2232
    @maryamconstantine2232 ปีที่แล้ว +3

    Yaan huyu kicheche akili hana jamani

  • @lenoxkeroche4138
    @lenoxkeroche4138 ปีที่แล้ว

    Kali sana

  • @uwezomrpose8594
    @uwezomrpose8594 ปีที่แล้ว +1

    Uyu Kama yy ndo hasma unabadilisha wanaume eti nakupendaga sana basi tu

  • @anethkihombo1432
    @anethkihombo1432 ปีที่แล้ว +4

    🤣🤣🤣🤣kicheche jamani

  • @bizokundashadade4711
    @bizokundashadade4711 ปีที่แล้ว +3

    Afu kana fanana na lulu

  • @loveCatholic254
    @loveCatholic254 ปีที่แล้ว

    Love you guys from Rwanda you're best. Umbwa Mimi nimeenda🚶😅😅

  • @ismailyusuf3543
    @ismailyusuf3543 ปีที่แล้ว +3

    Shule kufanya nn na huna akili timamu unao onekana 🤣

  • @hhandopaulo1249
    @hhandopaulo1249 ปีที่แล้ว +3

    Nawakubali sana sana majembe💥💥💥

  • @Jrhythms.
    @Jrhythms. ปีที่แล้ว +4

    Pumbavu zangu! Bregedia mpo Mia 🤣

    • @shehakudura3243
      @shehakudura3243 ปีที่แล้ว +1

      Dah kaniacha hoi aises

    • @Jrhythms.
      @Jrhythms. ปีที่แล้ว

      @@shehakudura3243 Wehu sana hawa jamaa

    • @shehakudura3243
      @shehakudura3243 ปีที่แล้ว +1

      Jamaa wanapiga kazi kinyama Kila mmoja anakaza Atari,,,
      Burdani inakua taamu,,,
      Ila mim kichechee mboona Balaa,,,
      Mbwa mjeshi,,,mbwa manywele,,,,🤣🤣🤣

  • @astkasunga8995
    @astkasunga8995 ปีที่แล้ว +3

    I love these guys, esp. Mbwa mimi and Naenda nyumbani

  • @corneliusmuendo5826
    @corneliusmuendo5826 ปีที่แล้ว +1

    nawapeda sana nyie wapuuzi nyinyi ubwa zenu

  • @rehmahamishamismkande4348
    @rehmahamishamismkande4348 ปีที่แล้ว +2

    Baba mwenyenyumba umetisha unajua Sana

  • @cosmwanri4532
    @cosmwanri4532 ปีที่แล้ว

    haka kadada kanafanana na Lulu Michael

  • @gntelevision_
    @gntelevision_ ปีที่แล้ว +5

    🤣🤣🤣 eti ndio tabia zetu

  • @kambalegloirekalonze2615
    @kambalegloirekalonze2615 ปีที่แล้ว

    kiukweli unatchekesha sana

  • @NasraMichael-cm9sl
    @NasraMichael-cm9sl ปีที่แล้ว

    Mbwa mjexh😅😅😅😅😅😅😅

  • @Baudouin-Tv
    @Baudouin-Tv 5 หลายเดือนก่อน

    Amechekesha na cameraman 😂😂😂😂😂😂😂

  • @michaelshiraku7217
    @michaelshiraku7217 11 หลายเดือนก่อน

    Badilidha style 😂😂😂mbwa sd😂😂from kenya

  • @raphaelrwakimwaga7995
    @raphaelrwakimwaga7995 ปีที่แล้ว +1

    Mbwa mjeshi alie changanyikiwa 🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😂😂

  • @jeffmodi
    @jeffmodi ปีที่แล้ว +11

    Good work guyz love your comedy from kenya much love🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MaryamMakame-to2jp
    @MaryamMakame-to2jp 3 หลายเดือนก่อน

    Mbwa manywele 😂🤣😂

  • @OmarAli-vj9kg
    @OmarAli-vj9kg ปีที่แล้ว +5

    naombeni likes ingieni kuni akaunti yangu tujuane

  • @arafatyahya1457
    @arafatyahya1457 ปีที่แล้ว +1

    Pumbavu zako banaeee hahaha kenya hpa

  • @SHIJA_
    @SHIJA_ ปีที่แล้ว +2

    hahahaha 🤣🤣🤣 Mbwa tu 🤣🤣

  • @imaxshine2210
    @imaxshine2210 ปีที่แล้ว

    Uvi mimi ni wa kucheka hivi mbwa mimi

  • @abdulihalili7227
    @abdulihalili7227 ปีที่แล้ว

    Rehema bibi ndo wew uyu

  • @japhetkarisa2897
    @japhetkarisa2897 ปีที่แล้ว +1

    umeweza Mzee wa kofia nyekundu

  • @faabymusic
    @faabymusic ปีที่แล้ว +3

    Naenda nyumbani 😂😂

  • @v_v_brownliltwo5799
    @v_v_brownliltwo5799 ปีที่แล้ว +3

    Uyu kicheche niatari 🔥🔥🔥

  • @arafatyahya1457
    @arafatyahya1457 ปีที่แล้ว +2

    From kenya hii noma kishenzi imeweza sana

  • @zuwenaalamin8985
    @zuwenaalamin8985 ปีที่แล้ว +2

    Naenda. Nyumbaniiii

  • @eminenceboy8386
    @eminenceboy8386 ปีที่แล้ว +2

    Kicheche, nimecheka hadi machozi