Ni mbunifu kweli lkn kwa ss kafika mbali watu tunasahau alikotoka bs malawama yana mjalia kijana wawatu kila uchawi anao yy jamani huyu kijana mungu kamuina kajituma sn muelewe hilooo
Mm si mfwatiliaji wa mziki ya bongo hasa kizazi kipya but nawahakikishia endapo leo Michael Jackson akifufuka akiwaona atawanunua fasta awapeleke kule alikofanikiwa mziki wake. Maana imitation hip hop ni babu kubwa. Big up sana sana team Dimond
safi sana though mimi ni team kiba lkn mko juu sana hope kiba anawexa change dancers wake awe anawavalisha kma diamond ukitaka kukosana na mwanangu mwambie humpendi diamond anawexa shida kulia siku nzima god bless you
By that tym mozee iyobo alikuwa amejiunga na dancer wa wasafi kweli
Tujuane Kam Bado tupo kwa simbaa2019
Huyu MTU alikuwa mbunifu ktambo tu duh respect
Ni mbunifu kweli lkn kwa ss kafika mbali watu tunasahau alikotoka bs malawama yana mjalia kijana wawatu kila uchawi anao yy jamani huyu kijana mungu kamuina kajituma sn muelewe hilooo
Mm si mfwatiliaji wa mziki ya bongo hasa kizazi kipya but nawahakikishia endapo leo Michael Jackson akifufuka akiwaona atawanunua fasta awapeleke kule alikofanikiwa mziki wake. Maana imitation hip hop ni babu kubwa. Big up sana sana team Dimond
Da safisana
Simbaaaa hapunguzi jotoooo nyokooo diamond sana🔥🔥🔥🔥🔥
Creativity level 100
Asa hawabwanajesh au Diamond
Ni vile diamond amemgusa dancer wake kwa bega ili arudi kwenye steps😀😀🤣🤣🤣🤣
kusema kweli thawabu, there is a dancer ananimalizzzzzaaaaah!!! duh! the boy is damn guuuuuud!!!!
Daa😂
Ulitoka mbali platnumz so enjoy ua moments..!!
Yaani watu hawamshangilii😒... Lakini sahizi hata akijamba kila mtu anataka abuse😂😂😂
Kama unaangalia 2021gong like
Impressed..wait no AMAZEED!!!!
🔥🔥🔥 jamaa ninmbunifu mpaka sasa
Ya zaman xan
21.12.2020 chibu 🔥🔥🔥🔥🇹🇿
WCB 4life baby
Kitambo xna,mondi wa kawaida but now moto
2019
Hardworker
2019 tujuane
Maisha
wow amazing guys ............
Mimi namuangalia moze iyobo
Sana tu salute kwako!!!
maigizo
Mond babalao
wow uko juu Diamond.
Enzi hzo mond anavaa mtumbaaaaa
dogo anajitaidi
Like za 2021 weka hapa
ni kweli blother unaweza tena si kidog
Enzi hizo anapiga show na jeans hatari
salute
safi sana though mimi ni team kiba lkn mko juu sana hope kiba anawexa change dancers wake awe anawavalisha kma diamond ukitaka kukosana na mwanangu mwambie humpendi diamond anawexa shida kulia siku nzima god bless you
Jane Wamaa sasa ww team kiba simba wetu hakuhusu
Ayyad China
plz read my comment very well then reply hakuna mahali ni mesema ananihusu
Jane Wamaa basi nimekutania tuu
Jane Wamaa hee naona umehamaki kama umehamaki sorry
Ayyad China
hata sio hivyo nimeona kma umenijibu kwa ukali nasijaogea vibaya lthink neno langu la mwisho Nimesema mungu awabariki
yan rahaaaaaa
Moto
mohamed rajabuAzizy saf mond utaendelea kua juu
Diamond Uko Juu Tu Sana Mtu Wangu.....
dumy yupo juu
Jan 2020
Great but slow
good routing but more power guys
Desember 2019
2018?
Menue boniface
datz prety
2019 gang mko wapy
Tupo apa
@@francislucas7653 inn
enyewe watu utoka mbali
Kwa raha zenu
safi sana
m boso
Happyness Raphael charii yaal
sasa apo wapo kwenyemazoezi
yap!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
2020
Fresh san