Zama, honestly I love this show n nimempenda Vera cz she ain't faking at all, she z honest with her past n she puts everything on table which most people won't do.
God will judge us accordingly, if anything we all wear artificial things, things that God didn't create us with, artificial hair make ups and all, so don't judge. I still admire her pure heart hana hypocrisy like most Africans...go go go Verah
ni mengi mabaya amefanya ndio lkn there are many good things about vera,ni mkweli,muelewa na mwenye akili nyingi..,haijalish pesa umeipataje just save...
sasha ata kam anajiuza vera anajiuza Kwa kujielewa and it her life iyo million 60 wew unaiyona kubwa mwenzio kawaida wapo watu wanajiuza million Nenda dubai uone warabu wakule wanapesa na wanawake wakiarabu mwanaume mpaka amuowe sio kam kizazi chetu watoto wadogo wanajua wanaume so malaya wa nje ni very expensive na high class inawezekana iyo million 60 ikawa ndogo kwake na akarudi mara mbili, anyway nampenda uyu dada nimkweli she live her life at a kam anajiuza nimtafutaji kwakweli @sasha
Nimekupenda vera upo honest sana kila kitu umefanya kwa raha zako, ila usiendelee kujibadilisha he he, one more thing jamani tupe siri ya kupunguza tumbo
those dislikes like are u for real????😯😯😯😯😯vera congrats sister keep it up sister invest in your money boo like for real i know the strugle of life you are my role model swee😚😚😚😚dont ever let haters get into ur life i love u yare such an inspiration vera sidika am 20yrs and i make my own money also and it feels so good keep it up😉😉
you prolly dont care but if you are bored like me during the covid times then you can stream all of the new series on InstaFlixxer. I've been binge watching with my brother during the lockdown =)
zamaradi mketema mtetemeshe Vera maanake wewe ni mrembo zaidi ya Vera mara mia.. Heritage mtu angalimjuza kwamba umbo lake na ubandia haupendwi hapa marekani
God created us in his own image na akituumba alkuwa yuwajuwa anafanya nini sioni mbona watu wapenda kujigeuza hyo ni kama kutoa mungu makosa,its so bad
not true Zama not all women like bleaching to attract men,i was dark skinned and now im light i bleach cos i have my job i can afford all my needs for my beauty,its just that people want a change for like Veera said shes doing it for her own good not to attract men. infact ladies who depend on men end up getting hurt and disappointed.Grow up ladies fins jobs and be independent
Ashura atanas anaekutukana wache akutukane umesema kweli na kweli inauma na inamgusa sana kwa ilomuhusu na wewe unoongea kuwa hana pesa ndio maana akaongea . UMEWAHI KUONA MZUNGU ALONAPESA NA ASOKUWA NA PESA AKATIA NYWELE ZA MUAFRIKA . KWANI HIZO NYWELE ZAKO TATIZO LAKE NINI KAMA SI UTUMWA WA KIAKILI mchewwwwwwwwwwwwwwwww ! pumbavu weee......
Lakini ameongea ukweli kidogo katika showbiz industry lazima kuna vitu lazima ufanye 😂😂 kama kuongeza makalio, maziwa , waist kutolewa mafuta, meno kuosha, rangi kubleach ndio upate maclients global 😂...sema ulikua mtu wa wababa ukajipanga na investments nobody will do anything...Huddah alifunguka bila pressure ya watu.
I think the bible does not condemn changes on our physical body so we can do anything to look good and attractive but if you can't afford then just keep talking and rem we love yuo all
I have never seen this lady only to hear about her. gal.. you are so intelligent so down to earth keep up. happy for you.
Nimekupenda una confidence ya atari vera me Nakupenda kwa kweli
😩😩😩ovyo
Zama, honestly I love this show n nimempenda Vera cz she ain't faking at all, she z honest with her past n she puts everything on table which most people won't do.
really....
Lissa Mugondo say what!....
Really..what's your definition of fake?
Jamani nmekuelewa vizur sana Vera na nmekupenda ghafla unajua kuongea unajibu maswali vizur...God bless you mamy
I love her ,truth is good, do things that you love and you prefer to do ❣️❣️
Vera my sister naku penda sana kwa akili una yo ata mimi na chukuwa esperiance ku toka kwako 😘😘🇨🇩🇻🇳
I soo much admire you Verah, you are soo real, your heart is pure and you are smart!!! Wachana na haters they are just jealous
God will judge us accordingly, if anything we all wear artificial things, things that God didn't create us with, artificial hair make ups and all, so don't judge. I still admire her pure heart hana hypocrisy like most Africans...go go go Verah
I love her for no reason, she is speaking honeste
Wewe uko mwanamuke WAHAKILISAANA nakupenda bure❤️❤️❤️
I love her coz she didn't lie she said deep inside her heart
Sylvia Kanguhi hizo pesa zote what is the benefit but anaogea ukweli is it done in kenya?
I love her honesty, do what pleases yo heart n a gain fuck society for judging while we are both sinners
Breznevt Tyson ongea tu usiogope
Like it
vera u a great.ua new look is better than ua natural one.keep the fire burning vee.
vera uko juu iyo pesa ni nzuri...although umetueka ju mombasa
Big up vera 💪🥂 si wengi wanaeza open up ka wewe
hongera dada mm nakupenda
Watanzania wanapenda vera. Hapa Kenya heri akothee mara mia.
Thumbs up vera, much love
Wau nice story... Thanks Vera
vera nmependa sana story yako kasoro hyo ya matiti2 2019 like zenu please
I love vera sidika so much
She is beautiful...she is passionate about what she does
I love her sana
ni mengi mabaya amefanya ndio lkn there are many good things about vera,ni mkweli,muelewa na mwenye akili nyingi..,haijalish pesa umeipataje just save...
That zamaradi is beautiful too
vera uko juu iyo pesa ni nzuri
vera hongera kwa kusema kwakweli lkn umekuwa mdoli😅😅😅yaan umejiumba upyaaa
mamaaaaa hiyo 60 mungu wangu kwa ajili ya matiti looooo i cant never
Nimekupenda bure Vera Sidika
sasha ata kam anajiuza vera anajiuza Kwa kujielewa and it her life iyo million 60 wew unaiyona kubwa mwenzio kawaida wapo watu wanajiuza million Nenda dubai uone warabu wakule wanapesa na wanawake wakiarabu mwanaume mpaka amuowe sio kam kizazi chetu watoto wadogo wanajua wanaume so malaya wa nje ni very expensive na high class inawezekana iyo million 60 ikawa ndogo kwake na akarudi mara mbili, anyway nampenda uyu dada nimkweli she live her life at a kam anajiuza nimtafutaji kwakweli @sasha
Diana Antony nipeleken na mm uko
Jamani jamani mm nataka kuongez makalio na hipps
Wooouww.. Dis woman is so confident
Ati 60,000 000 million kwani ni maziwa ya ndovu.. tengeneza akili pia basi uwache kutu enjoy☝🏾☝🏾😄
symphy maddy 😂😂😂😂😂😂😂
Hahaha
Nimekupenda vera upo honest sana kila kitu umefanya kwa raha zako, ila usiendelee kujibadilisha he he, one more thing jamani tupe siri ya kupunguza tumbo
Vera ni vizuri kufanya kinacho kufurahisha
mh
Rubby Musa haswa
Posche shikamoo una pesa dada. Noko Ujerumani najua bei ya Posche sio gari ya kawaida.
Mungu akurehemu
those dislikes like are u for real????😯😯😯😯😯vera congrats sister keep it up sister invest in your money boo like for real i know the strugle of life you are my role model swee😚😚😚😚dont ever let haters get into ur life i love u yare such an inspiration vera sidika am 20yrs and i make my own money also and it feels so good keep it up😉😉
wabongo wana wivu mwacheni si kaamua kufunguka kivyake big up girl
Wewe mjinga ..hiki ni kipindi na maswali ni ya kawaida
Hii n kutoa mungu makosa hivi mungu ajionea jinsi watu wamemdhalau kwanini ujichange
Wenye mwashangaa na millioni 60,thats in Tanzanian currency. Huku kenya ni 3million and its not that much. Hela mtoto :-)
Hat a bongo ni ndogo sana
Techu Tenal unayo hiyo mil 3 ya kshs? utakuta unakula madodo na chapo kila siku uko hapa kujishaua.
vipi umelipa deni ya mama shiko ya githeri?
Veronica Sweets 😀😀😀😀😀😀😀😀niokotwe mathare.... river
I thought 6m ksh
Europe ni 300 za kenya . Ameweka Thailand na ni 200 thao Kwani Yake ni ya gorofa
vera mimi ni matako pia though sijaongeza na sipangi let God's will be done na huu mwili wangu...anyway you rock
she's soo honest
Me nimeipend san #vera umeongea ukwl umefanya hiv kwaraha zako naam kbs raha jipe mwenyew 😍
Sifa Cycy_Bby kwel kbsa kwa raha zake km mwnyew anavyosema😂😂😂😂😂
Vera uko mkweli
I LOVE THIS AUNTIE VERY MUCH INSPIRES ALOT
you prolly dont care but if you are bored like me during the covid times then you can stream all of the new series on InstaFlixxer. I've been binge watching with my brother during the lockdown =)
@Jamie Titus Yup, I've been watching on InstaFlixxer for since december myself :)
@Jamie Titus yea, have been using InstaFlixxer for since december myself =)
I don't think think you owe anybody an explaination as to why you did this and that to make you feel beautiful.Am your big fun vee
nampenda sana huyu dada,she is real
Kristine matola @ malaya mwezio
If you are born black stay that way.Dont be low self esteem.In fact beauty is skin deep.be youself and be proud of who you are and love yourself.
We are Africans and we have to accept that. .. ukibadirisha rangi ukizaa utazaa asilia yako black skin colour. ..
I feel like loving her...
Vera nakupendaa nataka kuka Nairobi kukusalimiaa plzzzzzz
zamaradi mketema mtetemeshe Vera maanake wewe ni mrembo zaidi ya Vera mara mia.. Heritage mtu angalimjuza kwamba umbo lake na ubandia haupendwi hapa marekani
I love you sister Vera.You're my role model😃
Rose Mpofu are you even seriously,is that how role models behave,act..anyway it's upon you
Wise investment advice she a role model
truly, dont judge me coz we sin differently..
Let me stay with my earphones 🎧🎧🎧🎧🎧🎧 breast
Zamaradi you talk alot before starting the interview keep the intro short😬 and clear
i agree she should keep it short, halafu the fact that she didn't know vera's social media page let her down
z.
@mildred sure....she wasn't prepared for the interview...
be patient
😂😂😂😂😂😂
daaaaah!!!!!! 60 milions hili nalo neno.
yaeza...depend which currency...
zamadari I like your interview you are well qualified.
Mashallah Mashallah Mzuri
vera uko powa sana umetupa elimu, ur very social
inalillah wainaillh rajeuun
God created us in his own image na akituumba alkuwa yuwajuwa anafanya nini sioni mbona watu wapenda kujigeuza hyo ni kama kutoa mungu makosa,its so bad
On Point you should get a billion likes
Esha Ahmed point of correction hakuna mtu anafana na mungu no one can resemble Him. ..
Pointless
I'm really appreciating vee.
Vera tumia pesa ikuzowee...achana nao hao hawajielewi...
God have mercy.
hii mwili maua.
Dont judge shez hard working.........🐜🐜🐜
Ata ujaribu kumuaribia jina aje...bado tunampenda 254 In Da Building Betta Realize
presenter aongea sana, especially b4 interview.
zamaradi you so unique in this TV online show.
Huyu dem ako na udaku.. Unaeza uliza mtu ako na pesa ngapi kwa account surely
vera anatok poau sana love u vera
Wema Sepetu ajifunze toka kwa Vera....Sio kila siku na wanaume tofauti lakini hakumbuki kuwekeza
not true Zama not all women like bleaching to attract men,i was dark skinned and now im light i bleach cos i have my job i can afford all my needs for my beauty,its just that people want a change for like Veera said shes doing it for her own good not to attract men.
infact ladies who depend on men end up getting hurt and disappointed.Grow up ladies fins jobs and be independent
the advantage of being dark skinned is that u have the luxury of ageing slower. don't get why anyone would want to bleach their skin.
true my dear 😅😆😆@mama j
I talk God ooooooo for my skin.....
Mamu J ally
right its for money not for men
I like the girl interviewing very ....u look more beautiful and natural Julio Vera mwenye
mahojiano mazuri ila cjaskia ukitaja mungu katika mafanikio yako ama ni mimi cjaskia.....hongera dada
+Habiba Habiba kwa iyo ni copy n paste....lol
+Habiba Habiba bt hadnt c ur comment sayin dat.....lol
+Habiba Habiba ooh really kwa iyo nimeiba kutoka kinywani mwako...lol
+Habiba Habiba kilichoko moyoni ulimi unaaiba....lol
+Omar Said hahaha niliskia ati alitoa Nigeria
kuvaa mawingi kisha mkajifanya kurusha nywele kwa nyuma kama mzungu huo in utumwa wa kiakili wanawaka wa kiafrica poleni
Ashura Atanas Aki umewagusa 😅😅😅
Ashura Atanas like av just said earlier ..we are Africans and we have to accept that. ..
Akuna lolote Malaya tu huyoo
Ashura Atanas so wote wanafanya hivo koma kufikilia ivo acha uswahili wewe huna pesa nini
Ashura atanas anaekutukana wache akutukane umesema kweli na kweli inauma na inamgusa sana kwa ilomuhusu na wewe unoongea kuwa hana pesa ndio maana akaongea . UMEWAHI KUONA MZUNGU ALONAPESA NA ASOKUWA NA PESA AKATIA NYWELE ZA MUAFRIKA . KWANI HIZO NYWELE ZAKO TATIZO LAKE NINI KAMA SI UTUMWA WA KIAKILI mchewwwwwwwwwwwwwwwww ! pumbavu weee......
nakupenda coz ni mkwel
Vera ukidaka mimba unakufa maziwa yatavimba yatapasukaaa
Vera wacha kundanganya, ati 60 million hapana
katika hayo yote umkumbuke na Munguwako
mbuziii ww yaani unajitengenezea njia ya motini mwenyewe maana kila ulichofanya unajua madhara yake😝😝
una dharau umbile la mwenyizi mungu..ila mungu atusamehe sana ssi wanawake
Mbona mnasingizia wanaume? Sio kweli, unawezaje kumkosoa mungu kiasi hicho? Mmh vera I pole .
na nliona dem alifanyiwa implant akapanda ndege matiti zkapasuka😂😂wewe sidika rudia mungu kabla zipasuliwe jehanam
Polee subir kensa dada
Lakini ameongea ukweli kidogo katika showbiz industry lazima kuna vitu lazima ufanye 😂😂 kama kuongeza makalio, maziwa , waist kutolewa mafuta, meno kuosha, rangi kubleach ndio upate maclients global 😂...sema ulikua mtu wa wababa ukajipanga na investments nobody will do anything...Huddah alifunguka bila pressure ya watu.
Nimempenda bure and I have motivated with her business
dada umeongea mambo nime ya elewa sana mana wanaume kazi yetu kuwa faidisha wanawake bila kujua hela inaisha
Mtuu akipata amepata ongera vera kbs
Aseme matiti... Maziwa inaleta ambiguity 😀
Nimekupenda bure
I think the bible does not condemn changes on our physical body so we can do anything to look good and attractive but if you can't afford then just keep talking and rem we love yuo all
Acha kupotosha uma kaka ni biblia gan inaruhusu kubadili umbo alilokupa mungu?
@ adams read the whole Chapter s of the Bible .
satan stop making children of God to be dragen to hell
Which bible do you read🙃🙃
Nice interview
She a queen though😊😊
ushauri usiendelee kubadilisha viungo tena maana unaweza kuharibu umbo .
Nmependa how. You reason
Nan mwingne kaja kuchungulia huku mwaka huu 2022😅
w anaume.naadhabu.ya.motoni.kesho.poleni.sana.adhabu.iko.pole.dada
The presenter talks a lot
Ruzz swizz ikr...I keep on forwarding
Rely am from mombasa but ata sjawai kukuona wala kukusikia dada msa mji gani hebu nipashe nkufuatilie npate step za kusucsed
hahahaha wewe sindika balaa
oyooooooo
Xxx
toto la Dinda mmb pande zipi hizo. My wng
Binti Rashid Antybaby uko poa
ts true, watu wanainvest kn plot properties..