@@AnimalsKevin tupo kila sehemu labda tu wengine ni wavivu kucomment 😆.... kiswahili chake naelewa ila kuna maneno hua ananiacha najua kuna kiswahili cha Bongo na Kenya
You are the best,I recently met a guy in Nairobi from America and had to ask if he knew your channel, sadly he didn't but he accepted to subscribe immediately to your channel.
Nice piece of history, after discovering the new word, Europeans walikuja America kwa wingi, for natives most died as result of small pox enye ililetwa na wazungu (natives) hawakuwa na immunity then slave trade ikafanyika kuleta waafrika kusaidia ujenzi America. Just chipping in
Nikwambie kitu Onami... America ni yawazungu wenyewe, ila walipisha kwa project maalumu... Wakaenda chukua Europe ( Ambapo ndio nyumbani kwa wahindi wekundu ) Waka wacolonizi na kuwapeleka marekani kutengeneza kwa ajili ya project maalumu... But history reversed wahindi wekundu kuwa ndio wamarekani. But Asia was for asian, america was for European, Africa and Madagascar was for African... There is super power idea which is hidden on us, believe it or not... One day all will come to realize
Native American .. real natives hapa wazungu colonized their land and used them , you are showing and educating keep up the good work Ibrahim. 👏🏾
Thanks a lot
@@HukuYues172 what is your email address? I have something to share
Ati used and colonized that's an under statement of what they did
@@janendegwa5462 I agree . It was a entire genocide of the natives .
HUKU YUES FROM TANZANIA 🇹🇿. great Onami
Mkenya lazima aongelee bei bana😆iko kwa damu,
hio dola 8 uriludisha yote papa . auendagi nazo hii ni humbling
Kweli mawe ya bahati ya utajiri.ume shinda game 🎮
Wapi sheriff na Gabuu, banaa waletee tuwaone ,,tunawamis Sanaa......bigs up Ibrah kitu kalii hii!
Sijaelewa mbona wamekufukuza 😂. "You can leave now."
"I want to be rich when young" What a hell of a punch line that was bro...u got me there😂
🤣🤣🤣🤣
ibra uko na kismatt bro you just won Kakokamefunguka nice bro cheers
Mtu roho safi sana
This is the content we want it's so educative.Undisputed Ibra ❤
Good video .... Ati kukunywa soda ya Bure na ukojoe 🤔😂😆😆
Huku Yues one of the most watched channel in the world probably NO 1!
Mkenya na ku bargain. 😂😂😂 Napenda venye you don't overspend.
Nakucheck from Nairobi West South c
Onami wacha ushirikina,Yesu yuaja,usipotee.
Huku Yues , kwani maboringo hijjafreeze ? ✌️🇺🇬🤣 Asanti Sana bro
Haha hio magic imekupea 8dollars🤗🤗
Uyu msee ni mwongo sanaaa
niko hapa kibe nai nurushie hio mawe hahaha....alafu am your biggest fun man keep up
Nice content, nimecheka huyo Mzungu ameliwa pesa zake halafu unamuongelesha nahisi alitamani akumeze.... fan from 🇹🇿
😅😅😅😅nikweli
Hehe! Nafurahia mtanzania ana watch hii, lakini, una elewa kiswahili ya onami?
@@AnimalsKevin tupo kila sehemu labda tu wengine ni wavivu kucomment 😆.... kiswahili chake naelewa ila kuna maneno hua ananiacha najua kuna kiswahili cha Bongo na Kenya
@@queenmariposa799 safii saana kama unai elewa, basi wacha twende na rieng' yake
@Huku yues kazi poa
Kifee is tryna fight the most legit content ...tunangoja ile picha yake na shosh
Kifee is not fighting this guy... He was trying to advice him but huyu mse akajidai ....then kidogo kidogo ile kitu kifee alikuwa akimwarn ikafanyika
i like how you put it
ukunywe soda ya free then ukojoe
ati,soda za bure, eeeeh,naweza drink mingi sana 😂😂😂😂😂
You are the best,I recently met a guy in Nairobi from America and had to ask if he knew your channel, sadly he didn't but he accepted to subscribe immediately to your channel.
Thanks for being kind😊
leo umenifunza history sana mkuu
great content always...can't wait for part 2
haudonate kitu yoyote..... onamei this is great content
My number one, channel
Yues ni noma....yani after umenunua wanakufukuza
Always following your channel to get well informed, educated and inspired
19:56 😂😂😂🇹🇿🇰🇪 roasti ya huyo Mlami.
Sisi tunataka utupeleke iyo shop ya BANGI buana😂😂😂iyo part ndio inabamba zaidi 🌿🍁🌿🍁🌿🍁🌿🍁
Hongera kwa kutumia Kiswahili kwenye video zako…pongezi toka Tanzania
Nafuatilia kutoka County 003 Kenya.Kazi nzuri Ibrahim.
I really need that good luck stone Ibra,pia nataka kuget rich while young,💯🇰🇪
Beautiful.... need the green stone....
Kazi safiiii💯💯💯🔥
Usalimie sana wakisii na wakale wenye huishi hiyo mtaa 🤣
Onami you promised us you gona buy new car this year am waiting umetuweka sana
Huko Yues!! Good job ombogo
EXKUSE ME imeweza😂😅😂😂😂😂
Mr Yues, vida kali. Nawatch nikiwa hapa London, UK
IBRA Unaeza kuwa mwalimu wa history mzuri sana 😂😂😂Alaf umeacha kissmat walae😂😂
First to watch...wow..nipeeni likes jameni🙏
The first one to comment today. Huku Yues Ibrahim the GOAT
😅😅thanks Philip
Ibra nitumie jiwe moja. I want to be rich
And that's how gambling becomes addictive
Red Indians are the ORIGINAL AMERICANS!!!Thanks for great vlogging and info and winning 320 dollars...hio pesa nzuri sana Onami
Tukiwatch kwa movies zile za kitambo za mtaa tulikuwa tuna waita waredi" red Indians"
Unique content 👍🏿
Heeeeee budaaaaa yaan umepiga free soda na dola nane juu yake 😀😀😀
Kama umewatch Yellowstone you can relate with reservation story and casino.nothing is hidden under the sun
Great Mr huku yues A.K.A Mr maburingos
Nliacha unasema unarebrand? Maintain hapo kwa Huku Yues bado algorithm iko in your favour.
Mawee imefanya kazi🤣
Unahitaji pongezi sana mkuuu very very quality video unafanya kazi nzuri sana hata device unayotumia safi sana 👏👏👏👏👏👏🙌🙌🙌
Count me in .....Kwa stone moja bro
bro i just love your content... nmetamani kuenda US since utotoni bana.
Vitu kwa ground ni nzuri aje🤔😍
Hapo sasa👏👏👏
nipee iyo mawe ya green moja
Cool ..
Lazima tupate dooh
Nime penda video zako 😘🤩
Onami I like vile unafanya mambo,nitumie Mawe bro
Hebu nikujie hiyo green stone
huku yues, ibrah unani bamba to sana,walai one day ntafika uko america
“I want to be rich when I’m young “…….😂😂😂😂
RAMBO..... MICHAEL DUDUKOF ...
Big up Mr Yues
Omwamiii always on top 💯💯💯💯🔥🔥🔥
Ati ako kamzugu kamekulwaa😂🤣🤣
At least you have taught and displayed history. Kijana wa Kitale keep it up boss🎉
Bazuu riba yako huni nice sana mpaka nimekusakia ma subscribers kuruka na nitazidi
😅😊👍🏽🙏Shukrani sana
Soda ya free na huku bei ya soda inapanda kila siku.. sai kasoda kadogo ni 45 bob huku Bungoma
I like how he got distracted with the gambling , truly unscripted but thats the jist of the channel. Twende kazi. Tunangoja part 2 😂
😅😅😅😅gambling is addictive
ni shippie moja
@@HukuYues172 so addictive bro
Nitumie mawe moja ibra niomokee pia!!!!!
They hv a very painful history . wherever th European master's went they committed serious crimes
Good stuff Ibra
Nangojea kutmbezwa👊
Nice piece of history, after discovering the new word, Europeans walikuja America kwa wingi, for natives most died as result of small pox enye ililetwa na wazungu (natives) hawakuwa na immunity then slave trade ikafanyika kuleta waafrika kusaidia ujenzi America. Just chipping in
My family and i ni fan wakubwa Ibraah..May we kindly have one luck stone?
😅😅😅you want one for real?
@@HukuYues172 uku usa gamble 🎰 wanacheza na miaka mingapi 🇺🇸
Good stuff bruvv👊🏾
You took a lucky stone and won a lottery right after. For sure the stone is doing its work.
Hahaha 😂😂😂
Kulipa ndio itakua story
Good work Mr Onami
Gang 🔥 🔥 🔥
Good job
hi ibra it's so interesting Sasa I need that kismatt stone hiyo dimanga ya kismatt I come mara that that bro
😅😅😅ok I will give you one
Good content 👌
Looks like your green rocks worked
So educational 💯💯💯🔥
Thanks a lot😊
Umeamua tukuwe masonko mapema 13:05 😂
Mmh! Kamefilwa kufilwa 😂
Onami the teacher. Who else would do this?
#HukuYues
Onami Leo umeenda kununua uchawi.ahahaa
Nataka nikunywe soda ya free alafu niende nikojoe😅
Mawe ya bahati na ukawin casino how come I need mawe😂😂😂
Asante umetuonyesha
Nikwambie kitu Onami...
America ni yawazungu wenyewe, ila walipisha kwa project maalumu... Wakaenda chukua Europe ( Ambapo ndio nyumbani kwa wahindi wekundu ) Waka wacolonizi na kuwapeleka marekani kutengeneza kwa ajili ya project maalumu...
But history reversed wahindi wekundu kuwa ndio wamarekani.
But Asia was for asian, america was for European, Africa and Madagascar was for African...
There is super power idea which is hidden on us, believe it or not...
One day all will come to realize
The name Africa was named by Europeans the real name of Africa is Alkebulah were not African we are Alkebulah
Sasa we ndyo unatupea story ama ni Onami ?!
Elaborate
Nipe hako jiwe kamoja 😀😀
Gabu na john ndio walikua wajanja kwa casino
mkhwaasi snow inamwagika na unaongeza ice kwa soda
😂😂😂 onami wacha kutuenjoy, mungu ndo huwa anatubariki na utajiri si mawe, mawe is part of his creation hakuna utajiri mtu atapata.