Kimeu faced the trágic moment mpaka akatoa nguo live on camera😭Kdf officer is no joke man😭😭

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 760

  • @LilianWasike-jo7wr
    @LilianWasike-jo7wr 9 วันที่ผ่านมา +29

    Dante aky anaona siku refu kwa maisha yake lkn amecoperate poa sana

    • @ElvinaNzai-p7c
      @ElvinaNzai-p7c 9 วันที่ผ่านมา

      Saaanaa

    • @dorophinenelima1319
      @dorophinenelima1319 8 วันที่ผ่านมา

      Mimi nacheka tuh vile anaongea then anaangalia camera afu anajihurumia anahumble

    • @LilianWasike-jo7wr
      @LilianWasike-jo7wr 8 วันที่ผ่านมา

      @@dorophinenelima1319when I grow up I would like to be like Dante 🤣🤣

    • @dorophinenelima1319
      @dorophinenelima1319 8 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂 napenda iyo spirit ​@@LilianWasike-jo7wr

  • @shikusteve
    @shikusteve 9 วันที่ผ่านมา +56

    The laughter with Jerry is in another level nimependa😂😂

    • @ceciliamusavi-c8w
      @ceciliamusavi-c8w 9 วันที่ผ่านมา +3

      Yani huyu Jerry amehiga tabia ya kizungu kabisa. Mzungu akicheka usizani anafuraha.

    • @Henry-d5w6c
      @Henry-d5w6c 9 วันที่ผ่านมา

      Kweli

    • @AkibaCharo
      @AkibaCharo 8 วันที่ผ่านมา

      🙏🙏😭😭😭

    • @agneskiio3149
      @agneskiio3149 8 วันที่ผ่านมา +2

      Wacha laughter...I love everything abt him,sauti,height,colour yani kila kitu

    • @ISABELLAHMIRINA
      @ISABELLAHMIRINA 8 วันที่ผ่านมา

      Na style ya kukaa

  • @jacksino8866
    @jacksino8866 9 วันที่ผ่านมา +15

    Nikama na watch bongo movie, i luv this ❤❤❤

    • @RwerRwer-nk6zp
      @RwerRwer-nk6zp 8 วันที่ผ่านมา +2

      😂😂😂😂 nimecheka Kaa fala eti kufa ukimaliza utuambie vtu vko wapi

  • @Social-h8o
    @Social-h8o 8 วันที่ผ่านมา +2

    The best show ever katikati ya fahali wawili.. Kudos SD for free WWF

  • @TabbyMaithya
    @TabbyMaithya 9 วันที่ผ่านมา +32

    Aki huyu kimeu ako na mdomo walae 😢

    • @Risper-e2g
      @Risper-e2g 9 วันที่ผ่านมา

      Kimemramba

    • @marlineisiji414
      @marlineisiji414 9 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂

    • @loseeal3440
      @loseeal3440 9 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂 kama mwanake

    • @isabellaimbaya8418
      @isabellaimbaya8418 9 วันที่ผ่านมา

      Imagine alitoboa Siri za tande aki... Huyo ndio rafiki😂😂😂

    • @MagdaleneMaingi-p7c
      @MagdaleneMaingi-p7c 9 วันที่ผ่านมา

      Aliroroa without thinking hio kuojiwa ina maana gani 😂😂

  • @abigaelnamukhula2220
    @abigaelnamukhula2220 9 วันที่ผ่านมา +34

    Kimeu kidogo azae kabla mimba ifike miezi tisa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @GlorysaatinSereu
    @GlorysaatinSereu 9 วันที่ผ่านมา +22

    🎉Waaah hii n majabu gai leteni Sasa Freddy kila kitu mtapata coz yy Freddy Hana hiyo tym y kucheka

    • @MargaretWangui-v2i
      @MargaretWangui-v2i 9 วันที่ผ่านมา

      Inaonyesha dave hajui mission anasaidiwa na fred juu kama ni fred hangekua ametake hiyo tyme yote ata anaboo

    • @OsoroFelister
      @OsoroFelister 8 วันที่ผ่านมา

      Ukwel

  • @cecysang-j7w
    @cecysang-j7w 9 วันที่ผ่านมา +28

    I had fear dante atatoroka to disturb the whole scenerio

  • @alexsaidi3940
    @alexsaidi3940 8 วันที่ผ่านมา +9

    DAVE wachana na kupiga WATU,work Professionally kama wengine this is an office nt a club work Smart Dave hiuyvitu iwe nyuma ya camera like STANO u handle zake ata JB. Apa unafaa respect cz it's an office

    • @edithnjoroge185
      @edithnjoroge185 8 วันที่ผ่านมา +1

      I second this,,,akue professional

  • @254frida
    @254frida 9 วันที่ผ่านมา +27

    But mimi natetea kimeo juu huyu anafanya biashara ya second hand ameitwa hakujua kama ni za uizi

    • @Morgan-k8q
      @Morgan-k8q 9 วันที่ผ่านมา +1

      no wote ni magaidi coz walika chini wakapanga ndio waka make deal ikaiva ndio waindea mali kwa sandra bt wataleta tu😅😅😅

    • @lavinagade4282
      @lavinagade4282 8 วันที่ผ่านมา +1

      Yes ni magaidi wote

    • @Mercy-l3k
      @Mercy-l3k 8 วันที่ผ่านมา

      Makosa nikutoandikiana bt hana kosa

    • @Viniihs
      @Viniihs 8 วันที่ผ่านมา

      yeah Hana makosa juu mm nikuletee vtu na hiyo ndio biz yako nani mwenye makosa, between me and you?

    • @alexsaidi3940
      @alexsaidi3940 8 วันที่ผ่านมา

      Kisheria alikosea handling stolen properties.. HII ni KESI

  • @MeryKendi
    @MeryKendi 9 วันที่ผ่านมา +10

    I salute huyo kdf

  • @esthernjonjo6858
    @esthernjonjo6858 9 วันที่ผ่านมา +10

    Dave ukicheza na hio kisu na huna nguvu utanyanga nywa na ukatwe nayo,,God forbid,,toa hio kisu huko.

  • @Ma98987
    @Ma98987 9 วันที่ผ่านมา +58

    Dave achanga upuzi unampiga kwanini na anaitisha vitu ama pia wewe kuna kitu unajua..unajifanyanga askari na ukiwq peke yako unapigwa kama.burukenge..

    • @Risper-e2g
      @Risper-e2g 9 วันที่ผ่านมา

      Walai😅😅😅😅😅

    • @ruthmomanyi1085
      @ruthmomanyi1085 9 วันที่ผ่านมา +5

      😂😂😂😂na kuanguka kama gunia ya viazi😅😅😅

    • @ElizabethTata-gb8zo
      @ElizabethTata-gb8zo 9 วันที่ผ่านมา +2

      😂😂😂😂 Jeremy ndio dawa yake

    • @MagdaleneMaingi-p7c
      @MagdaleneMaingi-p7c 9 วันที่ผ่านมา +2

      Ujuaji na maringo especially kukiwa na karao karibu

    • @eunitakesio
      @eunitakesio 9 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂 senior Hawa vile wananyamba si watakunia

  • @Peterdota-h3w
    @Peterdota-h3w 8 วันที่ผ่านมา +5

    JERRY STOP TALKING AM FALLING IN LOVE SLOWLY BY SLOWLY 😂😂😂😂😂

  • @paulinewambui9766
    @paulinewambui9766 9 วันที่ผ่านมา +14

    Dave hii kisu toa kwa office itakuua wewe

  • @teresakarugu9932
    @teresakarugu9932 9 วันที่ผ่านมา +13

    Kdf ujinga gani achana na Meza na viti uliza mtoi na Documents waste of buddles

    • @ElizabethMuthoni-x8r
      @ElizabethMuthoni-x8r 9 วันที่ผ่านมา

      Mtoto wa nyoka ni nyoka kaa ni mmake ariusa haina shiva juu akikujia mtoto lazima mmake arudi

    • @ppatop
      @ppatop 8 วันที่ผ่านมา

      I agree with your opinion

  • @fayzkambagalentertaiment
    @fayzkambagalentertaiment 9 วันที่ผ่านมา +8

    Wah kumbe ukonde ni nguvu kitambi haina nguvu ni slash mpaka down

  • @GloriaKawira-w5u
    @GloriaKawira-w5u 9 วันที่ผ่านมา +8

    Jerry hio kicheko zako cha niumiza jameni 😂😂😂😂😂

  • @charlesongoro4811
    @charlesongoro4811 9 วันที่ผ่านมา +14

    Dave wacha kupiga kimeu ameumia.. Anaweza kufa mikononi mwako chunga😂😂😂😂

    • @sarahngige1589
      @sarahngige1589 9 วันที่ผ่านมา +1

      Dave hupiganga wasiojiweza😅

    • @eunicewambui-v7k
      @eunicewambui-v7k 9 วันที่ผ่านมา

      Siku moja atajua mtu akifa hapo

  • @zainabmakokha
    @zainabmakokha 9 วันที่ผ่านมา +5

    Kmeu amepokea kichapo cha umbwa msikitini😅😅😅kumbe Dante anaeza fanya kazi mzuri 😂😂😂😂😂😂

  • @chepkemoijoyline3042
    @chepkemoijoyline3042 8 วันที่ผ่านมา +4

    Hata nyinyi mnaboo hamna akili juu how can you deal with the buyer na kazi yake ni kununua hakujua imeibiwa why dont you reason mnafaa kudeal na the seller nkt 😢😢😢

    • @oscarradido4632
      @oscarradido4632 8 วันที่ผ่านมา

      Hk xx wote wamvamia mnunuaji na Dante ndo mwizi sugu wanafakudeal naye

  • @adelaidemary5514
    @adelaidemary5514 9 วันที่ผ่านมา +9

    Hamjafanya poa😢😢😢sasa kimeu ana kosa gani😢

    • @waridi7932
      @waridi7932 9 วันที่ผ่านมา +2

      Makosa yake ni kununua bidhaa bila stakabadhi husika na idhini ya aliyeandikwa kwenye stakabadhi hizo

    • @HafswaBakar
      @HafswaBakar 8 วันที่ผ่านมา

      ​@@waridi7932hawajafanya poa wallah

    • @HafswaBakar
      @HafswaBakar 8 วันที่ผ่านมา

      ​@@waridi7932Hata kama lkn hawajafanya poa😢😢😢😢

    • @alexsaidi3940
      @alexsaidi3940 8 วันที่ผ่านมา

      Handling stolen properties HIYO ni KESI, lazima ununue with receipt original

    • @ellyakumu8381
      @ellyakumu8381 8 วันที่ผ่านมา

      Mwambie​@@waridi7932

  • @SusanWanjohi-n7h
    @SusanWanjohi-n7h 9 วันที่ผ่านมา +6

    Dante is strong naturally anagonga huyo kimeu😂😂😂

    • @ellyakumu8381
      @ellyakumu8381 8 วันที่ผ่านมา

      Ndio maana mabibi za watu wanampenda ,ata ile kitu anajua kugonga proper

  • @jaelynmiriam
    @jaelynmiriam 8 วันที่ผ่านมา +2

    Please stop them from fighting. Kimeu was given those things. He did not steal them. Please don't let Dan hurt him more, please😭😭😭😭😭😭

  • @marymutemi9863
    @marymutemi9863 9 วันที่ผ่านมา +4

    Please Jerry be professional kwacha uchochezi

  • @MariyaOnzico
    @MariyaOnzico 9 วันที่ผ่านมา +5

    Eeeheee huu ni wizi ,my friend hii unaweza fugwa ,coz if your doing business make sure unafuta taratibu

  • @adelaidemary5514
    @adelaidemary5514 9 วันที่ผ่านมา +19

    Dave utakuja dungwa na hio kisu😢😢😢😢usiwe ukiitoa

    • @nzanzex7831
      @nzanzex7831 9 วันที่ผ่านมา

      SD aone hii coment❤

    • @kibiilangat
      @kibiilangat 7 วันที่ผ่านมา

      Tutajuaje Ako na kizu anataka kutuonyesha

  • @Fouziaabdi-bq1rz
    @Fouziaabdi-bq1rz 9 วันที่ผ่านมา +6

    Haaya wamekutana waswahili wa mombasa

  • @Peterdota-h3w
    @Peterdota-h3w 8 วันที่ผ่านมา +4

    KIMEU HAPPY MOTHERS DAY

    • @gracemaina1406
      @gracemaina1406 8 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

    • @Peterdota-h3w
      @Peterdota-h3w 8 วันที่ผ่านมา

      @@gracemaina1406 kina mdomo wanaume wa mombasa waaaah ni km wanawake🤣🤣🤣🤣

  • @MariaM-q4l6p
    @MariaM-q4l6p 9 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe dave siamesema atatowa Dave Mungu anamuona

  • @DelvinGladys
    @DelvinGladys 2 วันที่ผ่านมา

    Wew deve ni mjinga waja kupiga watu solve mambo professionally

  • @Roz-m2z
    @Roz-m2z 9 วันที่ผ่านมา +3

    Kimeu atashanga amerushwa na rafiki hawa ni wakora sana kdf weee cheza kidogo wakati waizi wanapigana

  • @GladysUchi
    @GladysUchi 9 วันที่ผ่านมา +6

    😂😂😂😂😂😂😂kwan n movie ama mm ndio naona vbaya

  • @Saud-o9i
    @Saud-o9i 9 วันที่ผ่านมา +2

    Mwaniumiza mbajamani jerry nayeye anatiachunvi kweli😂😂😂😂😂😂😂

  • @ElizabethNafunamakhanu
    @ElizabethNafunamakhanu 9 วันที่ผ่านมา +6

    Kupigana Kani hiyo kweli ata ngumi hifiki Kwa mwili😂😂😂

  • @RuthKerubo-n3q
    @RuthKerubo-n3q 4 วันที่ผ่านมา

    Am so happy kumsikia Jerry akicheka baada ya kulia saana. At least amepata relief kiasi. May god intevine apate mali na mtoto wake. 😂😂😂😂 Na na huyo anatoa mijambo .

  • @SophiaMbogo-in7yt
    @SophiaMbogo-in7yt 8 วันที่ผ่านมา +1

    Yamechemka mambo oo uiii

  • @margrethrhobi3973
    @margrethrhobi3973 8 วันที่ผ่านมา +1

    Senior Dave' Chukua Donta awe bodyguard wako, maana Ana nguvu Kama kisiki Cha mpingu😅 wale Watu wanaokuja hapo kwa office na jeuri apambane nao.

  • @SharonIsangalo
    @SharonIsangalo 9 วันที่ผ่านมา +1

    U have make my day

  • @Bethkemunto
    @Bethkemunto 9 วันที่ผ่านมา +2

    Kdf mzuri sana walai ana alaka ya kupiga mtu ka wengine

  • @susankariuki3845
    @susankariuki3845 9 วันที่ผ่านมา +3

    😊😊😊😊😊😊 go ahead tujionee free movie

  • @kimbubblez5597
    @kimbubblez5597 9 วันที่ผ่านมา +3

    😅😅😅😅😅jerry leo anacheka hakika weee leo nikuzuri huku

  • @ZUHURASEIF-v1j
    @ZUHURASEIF-v1j 9 วันที่ผ่านมา

    Waaaaas iiiiimeeenda mbwana mwizi anahoji
    Mwizi mwenzake anaongea
    Kama kameme😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤iiya kdf

  • @morrisngigi
    @morrisngigi 7 วันที่ผ่านมา

    Waaaah hii nayo imebaba❤❤

  • @JessicahNyumeCosmas
    @JessicahNyumeCosmas 8 วันที่ผ่านมา

    Watanzania mko wapi?
    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @josephfrazier5001
    @josephfrazier5001 9 วันที่ผ่านมา +2

    This is the point that we need DCI Fred so that also the buyers can face the music and there then korokoroni😅😅😅😅

  • @teresakarugu9932
    @teresakarugu9932 9 วันที่ผ่านมา +4

    Huezi funga mlango Dante murife

  • @gladysnatecho7476
    @gladysnatecho7476 8 วันที่ผ่านมา +1

    Nimeangalia hii vita siyo via kweli kutufumba macho

  • @hadijasalim7769
    @hadijasalim7769 8 วันที่ผ่านมา

    Wallah uyu kaka alio nunuwa munamuonea kwakumupiga mungeshika uyo aliye uza

  • @JacklineBuronya
    @JacklineBuronya 8 วันที่ผ่านมา +4

    Nimeskia mshuto ama maskio yangu yamejaa sauti ya waiguru😂😂😂😂😂😂😂

    • @WanguMurimi
      @WanguMurimi 8 วันที่ผ่านมา

      Pia nami

    • @JacklineBuronya
      @JacklineBuronya 8 วันที่ผ่านมา

      @@WanguMurimi 😄 🤣 😂 😆 😄 lkn hii ndio inabamba

    • @kibiilangat
      @kibiilangat 7 วันที่ผ่านมา

      Pia mm

    • @LydiaAsigo
      @LydiaAsigo 3 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

  • @NeemaMusyoka
    @NeemaMusyoka 8 วันที่ผ่านมา

    Jamani hii movie kweli nasikia kama Kuna dudhi Ina guruma Dani ya stodio

  • @AnnettewilliamsKenya
    @AnnettewilliamsKenya 9 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu dave huwa miaka gapi?? utoto nayo😮

  • @RosemaryNakityo
    @RosemaryNakityo 9 วันที่ผ่านมา +1

    Hahahahaha it's so funny for sure 😂😂but that is good Bambi 🙏 to get them

  • @janeotiso552
    @janeotiso552 9 วันที่ผ่านมา +7

    Dental anataka kupotea.
    Hahaha 😂😂😂 free movie....
    Best actor Denta...😅😅😅😅😅😅😅😅 what a movie..
    Jerry you are 👌 inserter God forbid...

    • @AliceOlahi
      @AliceOlahi 9 วันที่ผ่านมา

      DANTE !!!!!!

  • @Kaliil995
    @Kaliil995 9 วันที่ผ่านมา

    Movie name?

  • @SophiaMutua-d4l
    @SophiaMutua-d4l 8 วันที่ผ่านมา +1

    SD toa Vitus zinaeza umiza watu Kwa studio ju uliona wakati wa Jeremy alichukua kamba,si ufangio na Leo kisu

  • @linetobuba
    @linetobuba 9 วันที่ผ่านมา +4

    Kdf anasema mmalize waongonjea nn

  • @Marry-u8m
    @Marry-u8m 8 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe Dev huwo mkono wako koma kupingapinga wamtu heshima sio utumwa juu una faa upe leke kesi mtaramtara ebu

  • @NambuyaJoyce-l3z
    @NambuyaJoyce-l3z 8 วันที่ผ่านมา

    Kamau is just a business man his innocent ❤

  • @Felisters-gx5bo
    @Felisters-gx5bo 9 วันที่ผ่านมา

    SI mnichikulie hio pesa

  • @EuniceBukokhe
    @EuniceBukokhe 8 วันที่ผ่านมา

    Hiyo movie iko sawa bwana

  • @MonicaWairimu-c8q
    @MonicaWairimu-c8q 8 วันที่ผ่านมา +1

    Hahaha napenda hivyo show imenibaba sana

  • @ZUHURASEIF-v1j
    @ZUHURASEIF-v1j 9 วันที่ผ่านมา

    Movies zote lkn hii ya kdg ni
    Kali 😂😂😂😂❤❤ mm ata
    Sina mbavuuuu jmn uku Dubai.

  • @marcongeleja9450
    @marcongeleja9450 8 วันที่ผ่านมา

    Muwe mnafunga mlango Dante au mwenzake wanaweza kimbia

  • @kevinkimoi3221
    @kevinkimoi3221 9 วันที่ผ่านมา +1

    Nashindwa kwa n mnapiga huyu jamaa wa rehani coz yy aliletewa hakuiba sawa,,,,,Dave aachane hio tabia mnafanya nyinyi kutesa mtu mwenye ako innocent

  • @floranaiyoma6451
    @floranaiyoma6451 8 วันที่ผ่านมา

    Jamani Kimeu ila shida ni vile ananunua vitu bila kujua zilizo toka

  • @aplokimo405
    @aplokimo405 9 วันที่ผ่านมา +16

    Kdf umekuwa referreee 😅😅😅😅

    • @viviankarakacha6651
      @viviankarakacha6651 9 วันที่ผ่านมา +1

      Alaf sis ni vipenzi vitazamaji

    • @Risper-e2g
      @Risper-e2g 9 วันที่ผ่านมา

      Enyewe😅😅😅😅​@@viviankarakacha6651

    • @eunitakesio
      @eunitakesio 9 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

    • @NancyKimani-f6t
      @NancyKimani-f6t 9 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ocakacongeoffrey1416
    @ocakacongeoffrey1416 5 วันที่ผ่านมา

    Live From UG senior Dave

  • @aishakambenga6191
    @aishakambenga6191 9 วันที่ผ่านมา +2

    Leo kazini kuna kazi mnanikausha kizazi wallah 😂😂

  • @emmaculatemasaa4782
    @emmaculatemasaa4782 8 วันที่ผ่านมา

    Dave wachana vita..unasaidia but vita wachana kabisa especially wakati you are dealing with wakubwa

  • @LucyKipkemei-g7x
    @LucyKipkemei-g7x 8 วันที่ผ่านมา

    Senior dave sometimes anaboo sana sasa mbona anamchapa na mwenyewe akuansa vita

  • @JacquelineAkoth
    @JacquelineAkoth 9 วันที่ผ่านมา

    Freddy yuko wapi?

  • @LydiahMoraa-c9j
    @LydiahMoraa-c9j 9 วันที่ผ่านมา

    Pia dave hiyo kisu utoe kwa office please

  • @DorothyNgata
    @DorothyNgata 9 วันที่ผ่านมา +1

    Movieee?!🤔🙊dramaaaa?!🙄🙈Videooo?!🥺🙉

  • @PhabianWitale
    @PhabianWitale 8 วันที่ผ่านมา

    Huyu soldier ni kama fala

  • @FadzYassh
    @FadzYassh 8 วันที่ผ่านมา

    Dave why are u beating this guy behave one day kitakuramba 😢😢😢

  • @ceciliamutua
    @ceciliamutua 9 วันที่ผ่านมา +1

    Dante kumbe akona nguvu huyu Jerry ni mkali pia ye anawatch movie

  • @GeoffreyShikami
    @GeoffreyShikami 8 วันที่ผ่านมา

    Leo movie ya DJ kingfisher iko sawa Dave akiwa mmoja wao

  • @suzanatieno5949
    @suzanatieno5949 9 วันที่ผ่านมา +1

    Hapa ata Documents hazitatoka😢😢Dante ashasoma hawa watu hawako sirius ata kidogo

  • @habelirungu8182
    @habelirungu8182 8 วันที่ผ่านมา

    Wewe katambe sasa katumbo ameamua kutoa zote ili aweze kupiga dante lakini wapi dante mwili doga lakini nguvu waaa

  • @HappinesKwamboka
    @HappinesKwamboka 9 วันที่ผ่านมา +1

    Dave uko na tabia mbaya why kutoa mingne nguo ivo kwa camera 📷 ata kama amekosa c ungemjukua kado umwambie atoe after conversation 😢😢

  • @Beckyvillahjoshua
    @Beckyvillahjoshua 9 วันที่ผ่านมา

    Ety unajua nlifanya. Taikondo

  • @blackwaver1994
    @blackwaver1994 9 วันที่ผ่านมา +3

    Hii vita inachekesha sana😆🤣😆😆😆🤣🤣🤣

    • @ElvisOtieno-q7k
      @ElvisOtieno-q7k 9 วันที่ผ่านมา +1

      Pia mm naona kwanza vile venye Dante anasema najua taekwondo 😂😂😂

  • @iremwa776
    @iremwa776 8 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu Jerry is not serious, what's funny, ata anabore sasa🥱🥱

  • @charitywangeci4846
    @charitywangeci4846 9 วันที่ผ่านมา

    Kimeu Leo mambo ni lifeeeeee life

  • @carenchepkorir8768
    @carenchepkorir8768 8 วันที่ผ่านมา +1

    Jerry anacheka huwezi jua ako na nyege😂😂😂

    • @RaelMoa
      @RaelMoa 7 วันที่ผ่านมา

      Eeee koma

  • @OsoroFelister
    @OsoroFelister 8 วันที่ผ่านมา

    Jerry anacheka vizuri juu ya kupigana

  • @SophiaMutua-d4l
    @SophiaMutua-d4l 8 วันที่ผ่านมา

    SD hio sworn kumbuka hilikuwa na spirit ya kutaka damu so hio muikatekate ama utupe please please 😢😢😢😢

  • @sheilammbone5713
    @sheilammbone5713 9 วันที่ผ่านมา

    Dave tunaiba wyf plz hatutaki kupatikana pllz, wachaneni ña mastori

  • @damarisnjerunjeru399
    @damarisnjerunjeru399 9 วันที่ผ่านมา

    Fred yuko wapi

  • @Fouziaabdi-bq1rz
    @Fouziaabdi-bq1rz 9 วันที่ผ่านมา +1

    Davi jamani yuko wapi mark ndiyo anabambisha

  • @MwanaidiHamis-c2j
    @MwanaidiHamis-c2j 9 วันที่ผ่านมา +3

    Aki nyinyi 😂😂😂😂

  • @254frida
    @254frida 9 วันที่ผ่านมา +2

    Kemeu hana makosa juu hiyo ni biashara unaeza kosa kushindwa kulipa rent ama uko na shida ya school fee ubebe vitu zako upeleke kwa hawa second hand

    • @Jacky-u5h
      @Jacky-u5h 9 วันที่ผ่านมา

      bt yeye na Dante wanajuana Siri zao

  • @PricyDhahabu
    @PricyDhahabu 9 วันที่ผ่านมา +1

    Nyinyi ata mngedil na huyu dante kwanza atoe izo vyete ju Ivo vyote mnavyofanya mjue dante anawasoma tu na akifaulu kuhepa hapo mjue mtaisoma

  • @PerisMwangi-k9e
    @PerisMwangi-k9e 9 วันที่ผ่านมา

    Kwani hii office imekua terrorising place? On me I don't think no vizuri..

  • @ayubkamau5130
    @ayubkamau5130 8 วันที่ผ่านมา

    Muachane na kimeu,yye ako kwa biz,David Acha ujinga,mmtafute sadra

  • @SusanWanjohi-n7h
    @SusanWanjohi-n7h 9 วันที่ผ่านมา +2

    Jerry amecheka yake akitanja kunguni ni ku imangine kasuku ataluliwa na kunguni huku😂😂😂😂

  • @ChristineNtinyari-x3k
    @ChristineNtinyari-x3k 8 วันที่ผ่านมา

    Saai tu nikikula

  • @WanguMurimi
    @WanguMurimi 8 วันที่ผ่านมา

    Dante amerahishisha kazi ya kdf,ameuza zote

  • @cecilianyirenda3377
    @cecilianyirenda3377 8 วันที่ผ่านมา

    Jamani munamuacha mwizi kumpeleka police mnamrukia mnunuzi asie jua waliomletea hajui walivitoa wapi! Munamuonea tu Dave acha uonevu, unaogopa Nini kumpeleka mwizi kule police