Lesson 22: AINA ZA VIRAI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • Kipindi hiki kimefafanua na kueleza aina zote tano za virai zikiwemo: Kirai Nomino (KN/RN), Kirai Kitenzi (KT/RT), Kirai Kivumishi (KV/RV), Kirai Kielezi (KE/RE) na Kirai Kihusishi (KH/RH). Maelezo haya yametolewa kwa kuambatanishwa na mifano maridhawa itakayo rahisisha uelewa wa dhana hii. Tamatini kipindi hiki kimewanoa bongo wanafunzi kwa kuwapa mifano ya maswali yanayotarajiwa kutahiniwa na yaliyokwishatahiniwa katika mtihani wa kitaifa wa KCSE. Maswali haya yatawasaidia kupiga darubini, kujiandaa na kuondoa uoga katika mtihani.

ความคิดเห็น • 12