Mimi S01Ep04 (TV Series)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
- Tamthilia inayofuatilia hadhithi ya bitnti Naomi katika kuanza na kupigania maisha yake kwa visa vya kila aina.
Imtayarishiwa na Elizabeth Michael / elizabethmichaelofficial
Director and DOP Staford kihore www.instagram....
Kwanza kabisa nimefulai kumuona mama tandi hum mdan
Tuwe tunaangalia wa kudate nao jaman design ya nikki ni htr sana
Kwakweli aisee😮
Sanaaaa
Kabisaa
Huyo Nikki jaman😂😂😂😂nacheka ujuwe kuna watu wanaingia kwenye mahusiano kama haya na kutoka kwake ni ngum hapo lazima kuhatarisha maisha ya watu wawil uwe wewe au huyo bwana mwingine
Kudate mhuni nikujitakia kifo maana haachiki kabisa
Mama Tandi nakumiss pamoja na mwanao Tandi❤
Next
Jaman ni Bamba to Bamba wooow
Hii inakimbiza sana mwanzoni tu ya motooooo is 🎉🎉🎉🎉
Asanteee lulu kwa story nzuri ❤ nnakupenda sas
😂😂😂😂😂😂Yan hapa ni makavu tu usinisumbue baba 😅
Huku isarito kaekt ovyo
Good job 😅😅😅
Kazi. 👌👌
Woooooow 🎉l
Oya stave huyo mama Tandy haelewagi king'ang'a vibaya mno😅
😂😂😂😂😂😂sasa hapo muwasho umeisha❤❤
Muendelezo plesse
duuuh
Nampenda dhahabu😂😂😂
Nicky ananikera..
Tupo na niccky hadi mwishoo😂😂😂😂❤❤
Mmmmh ila hii Scene na Nicky duuuh🚮🚮 mbn ni nomaa jmn
Lulu ni mimi kabisaa 😂😂😂😂😅
😂😂mbona nimekupenda
Hizo message zinavyosomwa🤣🤣🤣
Anamusomeya comment mwenzake😂😂😂😂
😂😂😂 eti mapenzi anakihelehele😂😂
Nina injoyi kinoma yani
Dada tunaomba na mwendelezo wa ONLINE PLEASE 😢
Mapenzi upofuu kijana wetu
🎉🎉🎉🎉🎉
Twende sawa alie muona ma tandi mikono juu yaani rinda mama wa tandi 😅😅 king'ang'anizi huyo
❤❤❤❤❤❤
❤
Wa pili
Kiukweli kitu pqmbe
Ila nick huu ni huonevu😅😅
Nzuri ila msitudanganye sana sasa mama brian na baba brian wanaongea kama ni usiku na nje kweupe au macho yangu yana shida🤣🤣🤣
Kama ni taa za nje je?😂
@@user-jg2fb9dg1h hahaha hzo taa zmewekwa sehemu moja?
Yan we toa yako Kam nirahisi acha kukosoa movie Kal jmn
@@SamooMongoo-gt9ll kwan nimesema sio kali?hebu elewa kiswahili tunajua movie lazma vngne vinoge kwahyo tukitoa maoni yetu wanaboresha zaidi ,,,acha makasiriko bro
@@LucieGolden oh sorry 🙊
❤❤❤❤❤❤
Wakwanza
duuuh
Dada tunaomba na mwendelezo wa ONLINE PLEASE 😢