#62 -

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @Zanzibar0001
    @Zanzibar0001 วันที่ผ่านมา +5

    Kikawaida ukimuona mume yupo hv ujue anamuonea muhali mkewe na inahitaj subra sana tunayapitia hy maan utasikia nishike hapa panauma mtoto anacheza ukishika dakika tuu kimya utasikia pashapoan😅😅😅

  • @MurtallahKhamis
    @MurtallahKhamis วันที่ผ่านมา +3

    😂😂😂 kwa ujinga huu mimi watanifunga mwanamke watampeleka spital maana nitamvuruga kwa kipigo 😂😂😂

  • @HajiHija-zv5ym
    @HajiHija-zv5ym วันที่ผ่านมา +1

    😅😅😅😅😅😅😅😅 Kwakweli kuitwa baba kuna kazi ngumu tunapitia

  • @UmyAbriya-wt4vb
    @UmyAbriya-wt4vb วันที่ผ่านมา +1

    Napenda nisikia hivo ukilia hihihi😂😂😂 🤣😂🤣😂

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 วันที่ผ่านมา +3

    Yaani mau unanitia huruma Ivo unavomuangalia 😂😂😂

  • @OmaryMbaruku-l6y
    @OmaryMbaruku-l6y 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😅😅😅 ahaa mtihan Ila hatar 😂😂😂 hayasemek

  • @mayaashassan3918
    @mayaashassan3918 2 วันที่ผ่านมา +4

    Mimba zitatukimbizia waume wetu sasa😂😂😂

  • @mirajidrissa9139
    @mirajidrissa9139 วันที่ผ่านมา +1

    Kuku anukaa kupuuu😂😂😂

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 2 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂😂 mau poleeeeee

  • @maumpemba1088
    @maumpemba1088 2 วันที่ผ่านมา +6

    Karibu kuangalia kazi nzuri ya MIMBA CHANGA

  • @محيالدينسليمان-ج9ح
    @محيالدينسليمان-ج9ح 2 วันที่ผ่านมา +2

    Huenda ana ya kiumbe takatfu hhhh kula jambo kwake ni baya......

  • @salimaloufi6470
    @salimaloufi6470 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    TUWE NA SUBRA 😂😂

  • @binssoud1995
    @binssoud1995 วันที่ผ่านมา +1

    Dogo hujawahi kuwa na kazi mbaya 😂

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 2 วันที่ผ่านมา +3

    Duuuh hatari na hiyo mimba labda anataka kuzaa mtoto daktari wa chakula NUTRITIONALSIT

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 วันที่ผ่านมา +2

    Hujui ww tabu ya mimba

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 วันที่ผ่านมา +2

    Mau wakat anaweka amejiskia raha sasa matokeo yke yanamkomoa

  • @Jamal-v1p5b
    @Jamal-v1p5b วันที่ผ่านมา +1

    🔥🔥🔥

  • @lukmanomar6784
    @lukmanomar6784 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jaman hay huw kweli yakifika stag hii mmbo ndo ynakuwa hivyo

  • @MoYussuph-m1w
    @MoYussuph-m1w 2 วันที่ผ่านมา +3

    Kuku Ana utitiri😅😅😅🙌

  • @NassraMohd-ll2wf
    @NassraMohd-ll2wf 2 วันที่ผ่านมา +2

    Sapna umepata uyo mume tuuu anayetaka upumbavu 🤣🤣🤣🤣

  • @salimaloufi6470
    @salimaloufi6470 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    MTOTO 😂 KIUME

  • @UmyAbriya-wt4vb
    @UmyAbriya-wt4vb วันที่ผ่านมา +1

    Tupo😂😂😂

  • @profesamakame5179
    @profesamakame5179 2 วันที่ผ่านมา +2

    Hapo ndio tunatakiwa uvumilivu wanaume kipindi kigumu ambacho mwanamkee anaujauzitoo

  • @shaibchat8054
    @shaibchat8054 วันที่ผ่านมา +1

    Me nilipandishwa juu ya muembe usiku sa7 anataka kogwa nilizichuma kama 20 akanambia ndio unanikomoa bas hakula hata Moja ety anataka mapera mabichi nikamwambia mapera sikuletei naye akasema hapa hapalaliki mpaka yaje mapera , nilivyo mletea hakula hata Moja.

    • @maumpemba1088
      @maumpemba1088 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Salute mkuu

  • @mohdsaad2736
    @mohdsaad2736 วันที่ผ่านมา +2

    ❤❤❤😊😊😊

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman วันที่ผ่านมา +2

    Tuone maamuz ya Mau ni yepi juu ya hiyo hali ya mke atakuwa ni mwenye hasira, mwenye busara au mtoa nasaha?
    Funzo bado halijapatikana.

  • @sameraakhf5605
    @sameraakhf5605 วันที่ผ่านมา +3

    Ila mume hafyonywi wala hang'ariwi

  • @gfvh7282
    @gfvh7282 วันที่ผ่านมา +2

    Da😂😂

  • @Waziyr
    @Waziyr 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hahahahahaaahahaha

  • @LilaAl-b3x
    @LilaAl-b3x วันที่ผ่านมา +2

    Muwache kuwazalilisha waume zenu KSA mimba nishaza Mara tele Wala simnyanyas kiyas hcho huwa muna chuki zenu t munashingiziya Ni mimba inakuamuru kumbe munalipa visas vwenu

  • @HajraOmar-g1c
    @HajraOmar-g1c วันที่ผ่านมา +2

    ❤🎉❤

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 วันที่ผ่านมา +2

    Mau kunshindwa huna subra

  • @lukmanomar6784
    @lukmanomar6784 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mgeni sio supna ten ni mgen kwa kax yko upo fit san saiv ww kwenye kaz ya umbea iv kusuta mtu xjui nn ?? Ww hufai kbisa kuigiz ukiwa mwema

  • @happystevemaganga1873
    @happystevemaganga1873 2 วันที่ผ่านมา +2

    ❤❤

  • @abdulkidau3178
    @abdulkidau3178 2 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂😂

  • @UmyAbriya-wt4vb
    @UmyAbriya-wt4vb วันที่ผ่านมา +1

    Napenda nisikia hivo ukilia hihihi😂😂😂 🤣😂🤣😂

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂😂😂

  • @UmyAbriya-wt4vb
    @UmyAbriya-wt4vb วันที่ผ่านมา +1

    Napenda nisikia hivo ukilia hihihi😂😂😂 🤣😂🤣😂