stop seeing online business as shortcuts na punguza expectations its possible to go from 0-100 in online bness iwapo utaweka bidii inayotakiwa online hakuna pesa ya bure! fanya research ya kutosha kuwa na side hustle mentality makes you put less effort hivyo itakupa side hustle results 🔥🔥this was insightful 🔥🔥
Online hakuna pesa ya bure Online hakuna pesa rahisi Online hakuna pesa ya haraka Hii ya scam ilisha nikuta japo sio ktk mlengo wa trading Online is not short cut way to get money Skills skills skills muhimu san Robot 🤖❌ Get more skills to be successfully Thank u so much
amrisally ana insist more kuwa na right informations kwa kuwekeza mda,akili na correct judgement kufanya research ukishazingatia hilo utaachana na short cuts na higher expectations kama alivosema passion dastan tukizingatia hilo profitability is 99.9% guaranteed kwa kila mtu
Nime enjoy the knowledge japo na mm nilisha wahi tapeliw online but si ktk mlemgo wa trading Ni ile ongeza kias fulan naongeza anasem ten ongeza leo umenifunza kitu kikubwa san nilipoteza 1.7 million was 17 January 2022 Was so painful brother Mungu akubrik san
Side hustle means half hearted, technically tunajua kua HALF HEARTED PLAN itakufanya uwe na HALF HEARTED EFFORTS na mwisho mwishoni lazima upate HALF HEARTED RESULTS …ni bora ukaweke full efforts zako mtaani tu Apples zinauzwa barabarani humu hazihitaji capital hata, uwepo wako tu
stop seeing online business as shortcuts na punguza expectations
its possible to go from 0-100 in online bness iwapo utaweka bidii inayotakiwa
online hakuna pesa ya bure!
fanya research ya kutosha
kuwa na side hustle mentality makes you put less effort hivyo itakupa side hustle results
🔥🔥this was insightful 🔥🔥
Ni kweli kabisa expectations zinapelekea disappointments, very creative content I learn alot from you🙏
Thanks for this 💪
Asante sana bro kwa maarifa ya muhimu unayotupatia vijana wenzako... unaongea vitu reality kabisa thank you brother
More congratulations classmate for educating us
Safi kaka kwa kazi nzuri ❤🎉🎉
on fire
I really helpful content full of knowledge
Knowledge is light 🕯️
Online hakuna pesa ya bure
Online hakuna pesa rahisi
Online hakuna pesa ya haraka
Hii ya scam ilisha nikuta japo sio ktk mlengo wa trading
Online is not short cut way to get money
Skills skills skills muhimu san
Robot 🤖❌
Get more skills to be successfully
Thank u so much
Absolutely perfect 🔥
Kazi nzuri sanaa
Very insightfull conversation
A point to note is you need to put in the work in any aspect
Very creative... Being my inspiration for long .. more power man..
Quality Contents about Online business
IFX always inspire me, Thank you 🙏🏽
Thanks
Big one 🤝🏾
You are doing a great job
Thanks much forex trading needs more seriousness
amrisally ana insist more kuwa na right informations kwa kuwekeza mda,akili na correct judgement kufanya research
ukishazingatia hilo utaachana na short cuts na higher expectations kama alivosema passion dastan tukizingatia hilo profitability is 99.9% guaranteed kwa kila mtu
Thanks alot 🎉
Maarifa brothers
Gig up 💪
🔥🔥🔥
👏👏
Our mission is to impact millions 🔥🔥
❤❤
🔥🔥🔥💯
Nime enjoy the knowledge japo na mm nilisha wahi tapeliw online but si ktk mlemgo wa trading
Ni ile ongeza kias fulan naongeza anasem ten ongeza leo umenifunza kitu kikubwa san nilipoteza 1.7 million was 17 January 2022
Was so painful brother
Mungu akubrik san
That is reality
I wish to be part of ifx community
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
💥💯
Side hustle means half hearted, technically tunajua kua HALF HEARTED PLAN itakufanya uwe na HALF HEARTED EFFORTS na mwisho mwishoni lazima upate HALF HEARTED RESULTS …ni bora ukaweke full efforts zako mtaani tu Apples zinauzwa barabarani humu hazihitaji capital hata, uwepo wako tu
Madini mengi sana
🎉🎉🎉🎉🎉
🙌
Kaka hbr
Naomba msaada nawezaje kuverify address na n kitu gn n nawezaje kupata address Ili niverify account y forex
Good insight
Truee kaka madini
Mm hii ya kupewa mtaji asee ilinikuta na account niliipeleka vizuri kweli ila nilikuja loss yote kwa wakati mmoja
Ni bora mmetuambia haya mapema ili tusirudie mistake zilizo fanywa na watu wengi before
Saa sita usiku
Sure bro🎉
🚀🫡