Majibu yenye nguvu kwa Yussuf Diwani na mpambe wake|Muhammad Bachu.003

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Bonyeza neno SUBSCRIBE kisha bonyeza alama ya kengele ili uwe wamwanzo kupata video zetu mpya

ความคิดเห็น • 290

  • @binhussein4411
    @binhussein4411 3 ปีที่แล้ว +3

    Wallahi tunafaidika sana Sheikh Mohammad.. Allah akufungulie na amsamehe mzee wako dhambi zake na Allah ampe daraja ya hali ya juu.
    Tuko nyuma yako kwa sababu uko kwenye haqq.
    الله يحفظك ويزيد في علمك

  • @najashrk3738
    @najashrk3738 3 ปีที่แล้ว

    Hiki nikiwango cha elimu ya haliyajuu kabbbissa asoelewa kweli ni mbumbumbu. Sheh ABUU UBAIDA MUHAMMAD NASOUR BACHU hakika Allah apokee swadaka zako hakika unatuswadakiya mengi mazuri..Masha Allah

  • @abuusaad5791
    @abuusaad5791 3 ปีที่แล้ว +22

    Hayo ni matunda ya sheikh Nassor Bachu ,Allah sw amsamehe dhambi zake na pepo iwe makaazi yake.

    • @iddikiama3464
      @iddikiama3464 3 ปีที่แล้ว

      Amiin

    • @minahadi2190
      @minahadi2190 3 ปีที่แล้ว

      Allahumma Amiin

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 3 ปีที่แล้ว +1

      @@selemankishema5780 Zama za upotoshaji umeisha kaka. Ukweli utasemwa hata kama hampendi sababu inasaaidia wengi wa kutafuta haqi na ukweli na sio watu wa kufuata mila za babu zao hata kama ni kuingia kwenye shirki. Tutaanika hadi nyuso zao ndio waislamu wajihadhari nao

    • @fatmasaloum1821
      @fatmasaloum1821 3 ปีที่แล้ว

      Amiin ya Rabb

    • @momatv2019
      @momatv2019 3 ปีที่แล้ว

      Aamin

  • @abdul_azeez_almaamir
    @abdul_azeez_almaamir 3 ปีที่แล้ว +12

    Nilisubir Kwa hamu majibu yako
    Kwa hakika umebainisha haki na umetoa nuru kwenye giza lililo tapakaa
    Allah akuhifadhi na akupe thabaat hattal mamaat

  • @Alkaburu
    @Alkaburu 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah shekh Muhammad Bachu,Kwa kweli hoja zako ni za kisomi sana.hawana hoja mambumbu kitabu hicho ni Cha kikristo Kwa lugha ya kiarabu.

  • @al-akhsalimoo.9519
    @al-akhsalimoo.9519 3 ปีที่แล้ว +6

    Shk. Nassor bachu kaacha chuma, alhamdulillah sunna ina watetezi. أطال الله بقاءك في طلب مرضاته

  • @user-ro5wf3xx2h
    @user-ro5wf3xx2h ปีที่แล้ว

    Sheikh Muhammad Bachu Mungu akupe umri mrefu wenye manufaa juu ya dini yetu ya kiislamu

  • @saiditara7235
    @saiditara7235 3 ปีที่แล้ว +7

    الحمد لله على نعمة الإسلام والسنة، (فسوف يأتي الله بقوم يحبهم ويحبونه أذلة على المؤمنين أعزة على الكافرين يجاهدون في سبيل الله ولا يخافون لومة لآئم)

  • @amyassyassin7909
    @amyassyassin7909 2 ปีที่แล้ว

    Excellent research masha Allaah Waislam ifike wakati tuwe tunachambua kama hivi kutegemeza ushahidi na dalail kabla ya kukurupuka. Allaah Akuhifadhi na Akuzidishie Elmu na Ufahamu Muhammad. Tunajifunza mengi akhui Keep it up

  • @suleimanmussa3212
    @suleimanmussa3212 3 ปีที่แล้ว +13

    Mashallah Allah akuzidishie afya njema na akupe nguvu ya kuitetea haki na akuzidishie hekima ya kufikisha elimu ya dini juu ya misingi sahihi ya sunna

  • @saiditara7235
    @saiditara7235 3 ปีที่แล้ว +12

    Itabaki kuwa mtu wa Sunnah ni mwenye elimu kuliko mtu yoyote wa bidaa na matamanio.

  • @khadjahakamali1979
    @khadjahakamali1979 3 ปีที่แล้ว +5

    SubhanaAllah huyo sheikh wao mwenyewe hana elimu, ikiwa anasema atawasomea albadiri mawahabi,hana elimu kabisa, na wafuasi wake hawana hoja,hata wanavyo zungumza wanaonekana hawana busara ni wanashindana kitoto,Allah awaoneshe haki InshaaAllah

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf 3 ปีที่แล้ว

      Tujitahd kuifata haki ikitudhihirikia haijalishi tutabandikwa majina gani..na Allah ndo mjuzi wa kila kitu na mwenye kuzijua nia zetu na mwenye uweza wa kila kitu

    • @rqiyaabdallah840
      @rqiyaabdallah840 3 ปีที่แล้ว +1

      Uyu sheh wamkowa nimchawi
      Wadhahri albadri niuchawi

  • @akhyfarqanah4205
    @akhyfarqanah4205 3 ปีที่แล้ว +3

    shukran sheikh wa jazaakallahu khayran
    upo vizuri sana na allah akulipe kheri
    ILA HILI UNALO LIFANYA
    BASI LIFANYE KWAJILI YA ALLAH

  • @abdulraimoaliabduly6562
    @abdulraimoaliabduly6562 ปีที่แล้ว

    Wallah sheikhe, nakupenda sana, ninguekua caribu nikakuona, ukinisomesha.

  • @rashidmwinyi271
    @rashidmwinyi271 2 ปีที่แล้ว

    Sheik Mohamed bachu yupo sahihi niwakumbushe jambo diamond platnums alipo imba wimbo haleluhya alikashifiwa na masheikh kwa nini kuimba aleluhya na yeye ni muislamu leo hii ishageuka haleluya nikumsifu mungu,tuweni makini jamani na hawa mashekhe

  • @azizamohamed1767
    @azizamohamed1767 ปีที่แล้ว

    Wewe ni mtetezi wa waislam allah akupe afya njema akulinde na kila shari za mahasidi amin

  • @minahadi2190
    @minahadi2190 3 ปีที่แล้ว +3

    Kalma ya Laailaha Ailallah aiwez kubadilika Allah atunusuru YARABB

  • @bakarimohammed2796
    @bakarimohammed2796 3 ปีที่แล้ว +7

    Uko sawa sheikh wetu, Allah akuzidishie Kila la Kheri inshaallah 🙏

    • @hamzayusuf2999
      @hamzayusuf2999 3 ปีที่แล้ว

      wahabi yoyote hana kheri ni wa shenzi wakuba

  • @habibhassan7172
    @habibhassan7172 2 ปีที่แล้ว

    Sisi wengine hatuezi kusifu bila ya kutanguliza tusi kidogo kutokana na lugha za kimaskan za vijana, ila kijana MashaAllah Allah akupe nuru na elimu zaid nimechagua kuhudhuria darsa zako rasmin

  • @ibrahimbabu4305
    @ibrahimbabu4305 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah akubariki akuzidiahie ilmu

  • @chundesaalim6540
    @chundesaalim6540 2 ปีที่แล้ว

    ALLAH akuweke miaka 100000000000 shekh muhammad

  • @suwaibahaji8804
    @suwaibahaji8804 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mungu akuzidishie bachu uzid kutulingania
    Ww ucjal kuhus majungu yao ww zidish kuipelek mbele dini ya Allah na Allah atakufanyia wepes

  • @yusuphkassim8117
    @yusuphkassim8117 3 ปีที่แล้ว +2

    Shekhe uko sawa kabisa mwenyezi mungu akulipe kila LA kheri hapa duniani na akhera huyo shetani mkuu wa dar aje mwenyewe kujibu hoja hafai kabisa kuwa shekhe

  • @khadijasaid5065
    @khadijasaid5065 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akuhifadhi shekhe Muhammad bachu .mashaallah akuwepushe najicho lahasadi inshaallah..kutoka Kenya khadija said Nahdi mld

    • @arafazahor3760
      @arafazahor3760 3 ปีที่แล้ว

      Alla akuzidishie Imani na nguvu uzidi kutuelimisha na akulinde na hasadi na akupe umri mrefu ili uzidi kuutetea uisilamu

  • @sirajimzeru5710
    @sirajimzeru5710 3 ปีที่แล้ว

    mashallah ww ni mwamba mwalimu Allah akuzidishie umri mrefu ktk kutoa elimu kwa umma wapate faida....

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 3 ปีที่แล้ว +6

    Kweli unakijuwa kitabu hicho. Masha Allah. Wenye ilmu kiwanja kiko wazi

  • @abuyusuf6205
    @abuyusuf6205 3 ปีที่แล้ว +7

    Kamusi ya Kiarabu ya Al Munjid iliundwa na mapadre wawili wa Katoliki (watawa) walioitwa Fr. Louis Ma'luf al-Yassu'i na Fr. Bernard Tottel al-Yassu’i, na imechapishwa, kuchapishwa, na kusambazwa na nyumba ya uchapishaji ya Katoliki tangu 1908.
    Historia ndefu ya utumiaji wa kamusi ya Al Munjid ambayo bado inatokea hadi leo imekuwa ikipokea upinzani mwingi. Wasomi wengine walichukulia kamusi hiyo kama sehemu ya kazi za mtaalam wa mashariki, ambayo ina ajenda iliyofichwa kuelekea ulimwengu wa Kiisilamu.
    Kuna angalau vitabu viwili vilivyoandikwa na wasomi wa Kiislam ambavyo vina kutokubaliana kwa kamusi ya Al Munjid, ambayo ni:
    1. ‘Atsrat al-Munjid fi al-adab wal ulum wa a’lam (Mwandishi: Prof. Ibrahim al-Qhatthan, kurasa 664, zilizochapishwa mnamo 1392 H), hiki ndicho kitabu mashuhuri zaidi kinachokosoa Kamusi ya Al Munjid.
    2. An-Naz’ah an-Nashraniyah fi Qamus al-Munjid (Mwandishi: DR. Ibrahim Awwad, kurasa 50, iliyochapishwa mnamo 1411 H)

    • @bellissimainstitution
      @bellissimainstitution 3 ปีที่แล้ว

      Jazaka Allah khayr

    • @momatv2019
      @momatv2019 3 ปีที่แล้ว

      Akhy hao Masheikh wa Bakwata wanatakiwa wasilimu upya

  • @moneymaker461
    @moneymaker461 3 ปีที่แล้ว

    shukran brother mohamad hoja zako ziko wazi kabisa Allah akulinde tunaomba pia uwape ilimu wenzetu wanaojiita masharifu wanapoteza watu wengi sana kenya kwa shirki za maulidi

  • @wamanja5572
    @wamanja5572 3 ปีที่แล้ว +1

    Wallah Tunasoma mengi sana Na sisi unaziamsha Akil, Nafsi Zetu Kua Tujiweke Sawa Kwa Changamoto Za kileo Mambo Yapo wazi Hoja Wanazoleta Kumtetea Sheikh Al wadd Hazikua Na nguvu
    Allah Akupe Afya Na Akuongezee Elimu Sheikh Muhhamad Bachu.

    • @mogul5825
      @mogul5825 3 ปีที่แล้ว

      Haya MASUFI kama huyu Al hadi Ni pesa tu na Dunia ndo inayowafanya wafanye, UPUMBAVU wao wote huo.

  • @khadjahakamali1979
    @khadjahakamali1979 3 ปีที่แล้ว +1

    Msikilizen Muhammad Nassor Bachu, anavyo zungumza kwa heshima, adabu, hikma na hoja kutoka kwenye vitabu,ALLAHU AKBAR. Ndio utajua kasoma,yote haya hataki ndugu zake waisilamu wenye elimu ndogo wapotoshwen na watu wasio na elmu

    • @sabihamakami3720
      @sabihamakami3720 3 ปีที่แล้ว +1

      Hakika wala yeye hamtukani mtu yy anafafanua kwenye vitabu mwenye akili anajua Kua anaongea haki ila sisi binaadamu tupo kichuki zaid naubifsi

    • @موسعلی-ه8ث
      @موسعلی-ه8ث 3 ปีที่แล้ว +1

      ماشاء الله ماشاء الله ماشاء الله mungu akupe maisha marefu yenye mafanikio maana hawa masufi wapo wengi sana ila dawa yao ni wewe muhammad bachu🙏🙏🙏

  • @zebusdaughter8158
    @zebusdaughter8158 3 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah ! Jamani guidance kweli si kitu cha mchezo mchezo. Yaani masheikh hawa wa kisufi jamani wanajua kunyanyasa watu kisa hatujui kiarabu lakini tutafika jannah bi idhnillah. Asante Ustadh Wallahi usichoke kutushika mkono na Allah akulinde, akulipe fii dun'ya wal'akhera. Yaa Allah tukubalie dua yaa Rabb.

  • @msafiridiary
    @msafiridiary 3 ปีที่แล้ว

    Nikiwa kwenye madarasa yako always nahisi inani reflect kwenye madarasa ya marehem baba yako, mashallah.. mola amhifadhi kazi kubwa kafanya, ewe mwanafunzi unaejifunza kwa haki, acha ushabiki muogope mola.. tusimame kwenye haki na si maslahi ya watu fulani.

  • @mbarakmohamed6132
    @mbarakmohamed6132 2 ปีที่แล้ว

    Allah akuifadhi kwakuelimisha watu wazima awajielewi

  • @hajirubinhajira381
    @hajirubinhajira381 3 ปีที่แล้ว

    Ila nikunasihi brother Mohammed usijihusishe sana na maneno makali na yenye kashfa Kama wanavyo fanya wao ww fanya tu kwa ajili ya Allah na Allah hakki ataibainisha kupitia kwako inshaa Allah

  • @neymarsalah2240
    @neymarsalah2240 3 ปีที่แล้ว +1

    Series hii iandikwe namba 1... 2.. 3.. 4 kwa maboresho ya kumbukumbu .. Elimu saf kabisa al
    Akhiii!!!

  • @allymuhamed7295
    @allymuhamed7295 3 ปีที่แล้ว +2

    الحمد لله شيخ محمد Allah akulinde

  • @neemafatu7885
    @neemafatu7885 3 ปีที่แล้ว

    Subhanalah! Nilianza kumuamini na kukuhuzunikia kwa maelezo yake !EE WE KIJANA ALLAH! AKUHIFADHI.maana umerudisha furaha yangu

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 3 ปีที่แล้ว +1

      Neema hata siku moja usimsikilize sufi ndio maana tunawaambia si kila shekhe wakumsikiliza hawa masufi ni wapotevu jmn chonde chonde waacheni kwa ajili ya Allah

    • @neemafatu7885
      @neemafatu7885 3 ปีที่แล้ว

      @@mahengomwenyewe4204 kweli

  • @saeedabunajash6235
    @saeedabunajash6235 3 ปีที่แล้ว +2

    Shukran jaziyla Al akhy Muhammad, Allah akuhifadhi

  • @abdul_azeez_almaamir
    @abdul_azeez_almaamir 3 ปีที่แล้ว +11

    و قل جاء الحق و زهق الباطل إن الباطل كان زهوقا

  • @rahmasalum7107
    @rahmasalum7107 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah mwenyez mungu akupe kheri nyingi za dunian na akhera na akukinge na hasad za viumbe
    Ameen yarabiy pamoja na jamiul muslimin

  • @hansimassirhassan8154
    @hansimassirhassan8154 3 ปีที่แล้ว

    Maasha Allah sheikh Muhammad wallahi Allah akuhifadhi mana umejaliwa ufahamu wa dini napenda sana kukufatilia mana huna chembe za unafki kweli mzee nassor bachu Allah amlipe kheri nyingi zaidi kwakutuachia copy yake

  • @nailamohd7693
    @nailamohd7693 3 ปีที่แล้ว +5

    Mtihani mkubwa huu tuombe kheri tuu kwa Allah. 🙏

  • @takdirmahmoud
    @takdirmahmoud 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Hakika Umenda na points za uhakika Sheikh Muhammad Bachu Hafidhwahu Allah

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde na akupe umri mrefu na akondolee maradhi , na akuzidishie Elimu ya ki sheria ili kuitetea Dini na kutufikishia elimu ht sisi

  • @khamisali5942
    @khamisali5942 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Allah akuzidishie elimu na akulinde na makhurafi wasioipenda sunna

  • @yunnusmiraj529
    @yunnusmiraj529 3 ปีที่แล้ว +2

    sheikh wangu nakuombea upate ulinzi kutok kwa allah allah akuhifadhi

  • @mootelahamongus633
    @mootelahamongus633 3 ปีที่แล้ว

    Jazaaka Allaahu Khyra. Allaah 'Azza wa Jalla akujaalie Umri Mrefu wenye Faida. Assalaam 'Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh.

  • @daniellavine9614
    @daniellavine9614 3 ปีที่แล้ว +4

    الله يعطيك العافيه و يرفع علمك

  • @delefantasticali8377
    @delefantasticali8377 3 ปีที่แล้ว +10

    Wako kimasilai Yao tu ipo cku watajibu mbele y mngu wao...

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 3 ปีที่แล้ว +3

    Subhanalllah. Nashangaa watajibu vp maswali haya. Naingoja

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 3 ปีที่แล้ว +1

      @@hilalkhalfan1452 Nimekuzoea kwamba hunanga heshima. Kisha unajuta baadaye.
      يٰۤاَيُّهَا الَّذِيۡنَ اٰمَنُوۡۤا اِنۡ جَآءَكُمۡ فَاسِقٌ ۢ بِنَبَاٍ فَتَبَيَّنُوۡۤا اَنۡ تُصِيۡبُوۡا قَوۡمًا ۢ بِجَهَالَةٍ فَتُصۡبِحُوۡا عَلٰى مَا فَعَلۡتُمۡ نٰدِمِيۡنَ‏
      Mungu akuongoze kama kakuandikia hidaya na kama hajakuandikia basi mungu akuondolee mbele ya haqi

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 3 ปีที่แล้ว

      @@hilalkhalfan1452 Unamuita sheikh MLEVI pasipo na dalili vile tu umeniita MJINGA lakini alhamdulillah huyu sheikh ako na elmiu masha Allah, adabu, heshima na ufasaha wa lugha ya kiarabu pamoja na ujuzi wa research unlike your SUFI sheikhs wenye hawana ilmu na adabu na kazi yao ni bid'a na kupoteza ummah

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 3 ปีที่แล้ว

      @Abeid Ngomba wallahi masufi na madariqa ndio hawana akili hata kidogo. Utafanya vp ibada ambayo haimo katika dini kisha wapiga kifua eti utaendela kufanya kama mna akiki kweli

  • @alwatanalgilgilan-y3078
    @alwatanalgilgilan-y3078 3 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah. Allah akuzidishie sheikh kheir ya daima.wale c masheikh ni mashehena ,wapara ndevu wale

  • @salehpandu2250
    @salehpandu2250 3 ปีที่แล้ว +2

    Diwani na wenzio hichi kitabu kweli mnakitumia if so poleni sana na msubiri moto wa Mungu kwa kuwapoteza watu pamoja na kupotea wenyewe

  • @saidsaid226
    @saidsaid226 ปีที่แล้ว

    Jazaka allah wa baraka allah fik

  • @delefantasticali8377
    @delefantasticali8377 3 ปีที่แล้ว +3

    Mngu akuzidishie elimu n bro bachu....

  • @hafidhyakoub6146
    @hafidhyakoub6146 3 ปีที่แล้ว

    Dah nime furihi yani zanzibar noma damu ya elimu ya dini ya mwenyezi mungu masha Allah mungu ampe miaka mingi

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 3 ปีที่แล้ว +1

      Ndio vitabu vya masufi ivyo tutapata shida kweli Dunia hii wanapingwa mawahabi wanakubaliwa masufi na vutabu vyao vya kikristo

  • @faisalmazrooei8720
    @faisalmazrooei8720 3 ปีที่แล้ว +2

    Keep it up boy. You ate doing great debate and very understanding. Allahu Batik Sheikh Mohammed Bachu

  • @saiditara7235
    @saiditara7235 3 ปีที่แล้ว +8

    Hahhahah Kuna mmoja huku Arusha alisema: "ewe mungu wajaalie mawahabi wapatwe na ukimwi wote" Allah akampa yeye ugonjwa mbaya mpaka leo hayuko vizuri tena.

    • @sabihamakami3720
      @sabihamakami3720 3 ปีที่แล้ว +1

      Subhannallah

    • @shabandamas1759
      @shabandamas1759 3 ปีที่แล้ว +2

      Ase!

    • @shabanihamisi1146
      @shabanihamisi1146 3 ปีที่แล้ว +1

      @@hilalkhalfan1452 acha ushabiki maaandazi wewe na istizai zisizo na maaaana

    • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
      @nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 ปีที่แล้ว +1

      @@hilalkhalfan1452 hhhhhhh yani ww umenichekesha yan umemuweza elimu ni bahar

    • @salhacker7728
      @salhacker7728 3 ปีที่แล้ว +1

      @@hilalkhalfan1452 mzèe unasiasa wew🤣🤣🤣🤣😂😂😂

  • @khalfanisuleimani5076
    @khalfanisuleimani5076 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante al'akhy!! Allah akulipe kwakuitetea haqqi itokayo kwake!

  • @saiditara7235
    @saiditara7235 3 ปีที่แล้ว +8

    Alete kitabu cha mwanachuoni (muislamu ) anayesema haleluya ni maana ya kalima hiyo tukufu, aache hoja za makafiri kuzileta kwenye Uislamu.

    • @minahadi2190
      @minahadi2190 3 ปีที่แล้ว +1

      Ni mswiba kwakwel sijawah

  • @abubakarmuhammadsaid3244
    @abubakarmuhammadsaid3244 3 ปีที่แล้ว

    Shkh Muhammad Bachu upo sahihi, nakuunga mkono.

  • @ruu6592
    @ruu6592 2 ปีที่แล้ว

    Mnatuchanganya iwe heri inshallah

  • @isaaqhussein1858
    @isaaqhussein1858 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyo sheikh ni kama kachanganyikiwa kikwel au amekura pesa juu awapoteze wa Islam apoteze ummah cz Mimi nilikua mukristo iyo neno baba haimanishe ivo kama amekura kitu akule tu lakini Allah anamuona na atamshugurikia

  • @al-akhsalimoo.9519
    @al-akhsalimoo.9519 3 ปีที่แล้ว +3

    أهل البدع قوم ابتلاهم الله بفهم المعكوس، فهم بحاجة إلى أن يُصوَّبَ فهمهم

  • @kassimswedi9165
    @kassimswedi9165 3 ปีที่แล้ว

    Asante kwa uchambuzi wa elimu ya juu mungu akuhifadhi na wabaya

    • @jumu1964
      @jumu1964 ปีที่แล้ว

      🙏🙏🙏

  • @saiditara7235
    @saiditara7235 3 ปีที่แล้ว +3

    Anasema mola wetu mtukufu:
    (وكذلك نفصل الآيات ولتستبين سبيل المجرمين)
    Na hivi ndivyo tunavyo zipambanua aya ili ibainike njia ya wakosefu.

    • @saiditara7235
      @saiditara7235 3 ปีที่แล้ว

      Ni Suratul an'aam Aya (55)
      Baarakallah fiyka

  • @muddybreezy4595
    @muddybreezy4595 3 ปีที่แล้ว +5

    Nakupend sna sheikh Muhammad bachu

  • @amarislam1589
    @amarislam1589 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashalah Allah akuhifadhi sheikh.

  • @abdallahsaid5454
    @abdallahsaid5454 3 ปีที่แล้ว +4

    Shukraan kwa kubainisha haki na Allah akulipe kheri na Amuhifadhi na Akulinde na kila ovu

  • @sulesumry9766
    @sulesumry9766 3 ปีที่แล้ว

    Ma shaa Allah shekh bachu,diwani alisema hatorudi tena kuhusu swala hili lakini ingependeza akaja kwa mara ya mwisho kuwaomba radhi waislam kwa upotoshaji kuanzia video ya kwanza mpaka hapa tulipofikia

    • @shikivokochabunu8011
      @shikivokochabunu8011 3 ปีที่แล้ว +1

      Haa haaa Diwani ashaongopa maana watu washamjua ni mrongo pia wateja hawaendi tena kununua miti dawa kwake mnafiq ss anaona akirudi atazidi kuharibu biashara

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 3 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh Diwani na hao vibaraka wako nendeni mkasome tena , wachaneni na hicho kitabu

  • @abdul_azeez_almaamir
    @abdul_azeez_almaamir 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akupe mwisho mwema shaykh

  • @hashimiddi4789
    @hashimiddi4789 3 ปีที่แล้ว

    Hayo nimatunda yashekhe nassoro bachu naimani hata sisi tutafaidika Allah akujalie mwisho mwema

  • @salehjuma3926
    @salehjuma3926 3 ปีที่แล้ว

    Allahu aqbaru mashaa allah allah nuru wa quran ni nuru na muhamad ni nuru

  • @hashirsalim9570
    @hashirsalim9570 3 ปีที่แล้ว +10

    Sheikh diwani, kasome Tena.

  • @jumasaid6170
    @jumasaid6170 2 ปีที่แล้ว

    Shk hizo ni hoja zengine lkn umeelewa laillaha illaha.

  • @rokiroki1825
    @rokiroki1825 3 ปีที่แล้ว

    ALLAH akulipe kher sheh mohamedi bachu

  • @hajirubinhajira381
    @hajirubinhajira381 3 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah
    Allah akujaze khair brother

  • @cideboy4676
    @cideboy4676 3 ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadhi sheikh Muhammad nasoro bachu

  • @mbanomrage4176
    @mbanomrage4176 3 ปีที่แล้ว

    Maashaallah sijui watakuja na majibu ganii hawa masufii ukweli tumeshaujua hawatusumbuh tena

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mtoto anatumiwa na maadui wa uislamu kuvuruga uislamu

  • @al-akhsalimoo.9519
    @al-akhsalimoo.9519 3 ปีที่แล้ว +3

    الرد على أهل الباطل واجب، بل هو من باب إنكار المنكر

  • @haarunsaidabdillahi4082
    @haarunsaidabdillahi4082 3 ปีที่แล้ว

    Alhad dua zake Mungu hazipokei, aliwahi kumlaani Mange Kimambi, hakuna lolote lilokuwa. Mange mpaka leo yuko fresh. Huyu amepachikwa tu kwa faida ya watawala.

    • @saidkilapo7860
      @saidkilapo7860 3 ปีที่แล้ว

      Naanza kujiuliza hawa walimu wetu diwan na mwenzie wamesom kwel au ndo ujanja ujanja wa mjini cjategemea kam kitabu kilicholetwa ni cha kipuuzi ivi na wao wakakileta bachu umeelewek San na unafurahisha Zaid maneno yako yanatok kweny vitabu c yako

  • @khadijatamimi2495
    @khadijatamimi2495 3 ปีที่แล้ว

    Shukran sheikhe wetu ALLAH AKULIPE KHEIRY

  • @sembuamshana65
    @sembuamshana65 3 ปีที่แล้ว

    Bacho Allah akuhifadhi na atulipe wema sote kesho kiama

  • @nusalim3389
    @nusalim3389 3 ปีที่แล้ว +6

    Hawakuweza masharifu wakuu kabla yenu kuwapigia albadiri utakuja weza wewe? Si wangewapigia wale,ambao walidhurika zaidi na mawahabi Zama zile, hv madhehebu yaondoshwa na albadiri?,😄ndio Mana hio albadiri huwapigii mashia, kwako wako poa, Allah laa yablaana

    • @0656840872
      @0656840872 3 ปีที่แล้ว +1

      @@hilalkhalfan1452 we ni kichekesho mtume alitabiri makhawarij kutoka Iraq soma kijana sio unaropoka tu

    • @saidimadzumba593
      @saidimadzumba593 3 ปีที่แล้ว

      @@hilalkhalfan1452 kipofu? Madhambi humfanya mtu asione haki!

  • @bongomix7566
    @bongomix7566 3 ปีที่แล้ว +3

    💡

  • @abashajji9568
    @abashajji9568 3 ปีที่แล้ว +2

    Shekh Diwani kazi ni kwako! Jipange kaka,na sisi tumetulia tunakusubiri tukuone unavyo pambana tena!!!!

    • @akhyfarqanah4205
      @akhyfarqanah4205 3 ปีที่แล้ว

      kumbe tuko wengi tunao subiriya waje watujibu

    • @muhammadmjara6776
      @muhammadmjara6776 3 ปีที่แล้ว

      hata waje hawawezi kujibu ila tunawasubiriyatu tuone uongo wake tena

  • @hashirsalim9570
    @hashirsalim9570 3 ปีที่แล้ว

    Mashalla me nitakufata nije kuchukua elimu kutoka kwako sheikh.

  • @allymazola6850
    @allymazola6850 3 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh mi nimekuelewa sana ila naomba unipe maana na asili ya neno "haleluya"

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf 3 ปีที่แล้ว

      Mbona keshasema mara nyingi tu

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf 3 ปีที่แล้ว

      Asili ni neno la kibrania maama yake ni kushukuru Mungu/ kumtakasa Mungu

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf 3 ปีที่แล้ว

      @@wangnjamealawy3387 ndio ushahid alieutoa ni kwamba katika lugha ya kiebrania haleluya haina maana ya hakuna mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokua Allah na maana ni nyingne kabisa

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf 3 ปีที่แล้ว

      @@wangnjamealawy3387 na istoshe mwandshi wa kitabu hicho ameonyesha udhaifu mkubwa mno katika kitabu chake hicho na makosa ni mengi,,, so hawez kua ni hoja kuthibitisha hilo

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf 3 ปีที่แล้ว

      @@wangnjamealawy3387 mbona jambo jepes sana hilo ndugu yangu si lazma kitumike kitabu ikiwa lugha yao inakataa maana inayotafsiriwa na huyo muandishi!! Ina maana ndugu yangu leo ni kasema neno school ni choo kisa mtu kakaa akatunga kakitabu ndo utakubali kwamba school ni choo kisa kuna kijitabu kimeandika?? Vitu vingne haviitaji nguvu kubwa wala kuvielewa!

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 3 ปีที่แล้ว

    Subhanalah mashaallah sheikh wetu

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว +1

    Maashallah tabalakallah

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallah.
    Innalillahi Wainna Illahi rajiyuna.
    Yaani Sheikh anakosowa kuwa kuna watu Wanajiita/wanaitwa Waislamu ilhal si Waislamu.
    Sasa Sheikh Alhad na watetezi wake atusthibitishie kuhusu Albadiri sio Shirki?!
    Uislamu unaruhusu Albadiri?!
    Albadiri ni Sunna ya mtume?!
    Inashangaza na kusikitisha kuona/kusikia Sheikh/Kiongozi akijinadi kusifia Ushirikina/Uchawi (Albadiri)tena hadharani mmmh...!

  • @ronjakimaraonlentv8662
    @ronjakimaraonlentv8662 3 ปีที่แล้ว

    Shehe allah akufungulie sana neema na elimu zaidi amii

    • @muspaunpauni1678
      @muspaunpauni1678 3 ปีที่แล้ว

      Najivunia kuwepo muislam kijana Kama wewe, kwakweli sheikh nassoro amekuandaa vizuri mashaalah

  • @khairatmohammed7242
    @khairatmohammed7242 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahsanteeeeeeee shukran shukran

    • @alanami2846
      @alanami2846 3 ปีที่แล้ว

      Khairat kwann unafurahi sn je kuna sababu yyte

  • @AKASHA.P
    @AKASHA.P 3 ปีที่แล้ว +2

    NASUBIRI MJADALA UISHE PANDE ZOTE NITENGEZE DVD YA EPISODES
    HAPA MPAKA KIELEWEKA

    • @khamisali5942
      @khamisali5942 3 ปีที่แล้ว +1

      ukitoa tu dvd bass tupeane taarifa me wakwanza kukusapot

    • @AKASHA.P
      @AKASHA.P 3 ปีที่แล้ว

      @@khamisali5942 In shaa Allah tutawasiliana wacha wamalize
      Watu wengi hawapo mitandaoni, nina imani ujumbe utawafikia vizuri kupitia kwa mfumo wa dvd

  • @bakariomari24omar21
    @bakariomari24omar21 3 ปีที่แล้ว

    Jazakallah miliyaar hasanaat

  • @ramadhanimsita5356
    @ramadhanimsita5356 3 ปีที่แล้ว

    Allah akupe nguvu na akuondolee hasada za walimwengu

  • @wacm92salim37
    @wacm92salim37 3 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh umewapa elimu ya maana Sana Leo..

  • @sabihamakami3720
    @sabihamakami3720 3 ปีที่แล้ว

    Tupo pamoja shekhe wetu tuelishee juuyahao wanafiki

  • @islander3191
    @islander3191 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu alieandika kitabu hicho anajulikana kua ni mkiristo, sasa imekua kina shekh diwani wanachukua uchafu kutoka kila sehemu, na wanajaribu kuwapotosha waislamu, ndio maana tunawambia waislamu kua msisikilize baadhi ya mashekhe na baadhi ya radio kwa maana hiyo msije mkapotezwa kwa uongo wa masufi na nakshibandi hao huvamia tu midhehebu kwa sababu ya tamaa ya mlo au kipato, wallahi thumma wallahi watavitapika yaumul kiyama kwa huzuni na majuto makubwa.