Kutamka maneno sahihi na Lingala || Pronounciation | Somo la 4 | Jifunze Lingala na Pauline
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025
- Karibu kwa Jifunze Lingala na Pauline! Yekola Lingala | Learn Lingala.
Kuna maneno mengine ambazo zimeandikwa kwa Lingala, na ziko tofauti na jinsi zinavyotamkwa. Kwa mfano, "Ntongo", inatamkwa "Tongo", na kadhalika.
Katika somo letu la leo tutajifunza jinsi ya kutamka maneno ambayo yanaanza na maneno ya "silent". Kujifunza Lingala na molakisi Pauline ni rahisi tena unafurahi kwa maana unapata mifano bora ya kunufaisha.
Je, ungependa masomo mengine mengi? SUBSCRIBE kwa channel hii.
Unaweza ku Like, Share na pia acha comment kama umefurahia somo hili.
Asante kwa kutazama video hii...
Bizu bizu
Ubarikiwe
Asante sana, endelea kutazama. Nawe pia ubarikiwe
❤❤❤
Ubarikiwe sana, nakupata toka tanzania
Karibu sana David. Ubarikiwe pia wewe.
Asante sana mwalimu, nipo Tanzania
Karibu sana ndugu yangu wa Tanzania!
Im really enjoying lingala sasa Pauline u are the best keep up the good work, kende malamu.
Nasepeli mingi!! (I'm so glad) Thanks Karis... Tokende liboso na Lingala 👍
@@jifunzelingalanapauline2570 eza ya solo lingala nonstop u have made it soo easy and lovely to learn it, asante Pauline Nzambe bless.
@@karisgaitho1972 Lingala is not as hard as people think. Just practice and practice. Am so glad I've made it easy for you
@@jifunzelingalanapauline2570 exactly, it's more to swahili some words and as u said ni Bantu so for a willing heart it's easy to learn and above all a great teacher like Pauline makes it even more easier.
@@karisgaitho1972 Kweli kabisa, ni Bantu and it's thru interest and commitment that a person can know. Nafunza step by step, kwa urahisi. Asante sana Karisss
Asante Sana unafunfisha vzur sana
@@Annamartin-of4tl Nashukuru sana kwa comment yako. Inanihimiza sana. Asante sana
Molakisi ya ngai monene Pauline 💪.Ngai na asepeli mingi
Merci mingi Gilbert. Boyei bolamu
Lesson 4 awa
Awa - Hapa... Umeielewa?
Kitoko makasi molakisi nabiso wumela makasi 🙏
Merci mingi!! Eyokani makasi
Ahsante sana Mwalimu Pauline
Unafundisha vizuri sana.
Asante sana kwa comment yako Habby. Nashukuru
Thank you madam...you arecteaching very well.
I have discovered something nice
Whaaa
Wow!! Wonderful, am happy to hear that. Most welcome Grace... Enjoy learning
Wonderful
Thank you and most welcome
Wow👏
Welcome!
Wow ..thank you very much
What does suki pembe min
You are most welcome
Suki pembe is White (grey) hair. Suki is hair and pembe is white. You know in English we call it Grey hair
Asanti Molakisi Polline, nashukuru kwa masomo ya Lugha ya Lingala.
Karibu sana, nasema asante kwa kutazama
Jezu na ngai, namupenda nzambe mukuku, papoyo motema na ngai nalingi yo!
Sorry did I construct my sentence well? Help
Yesu na ngai - Yesu wangu; Nzambe munene - Mungu Mkuu; Papa ya motema na ngai nalingi yo - Baba wa moyo wangu nakupenda!! Asante sana Boaz karibu kwa Jifunze Lingala
Somo la 4, Good job mwl. Lakini nauliza, hivi lugha ya Lingala haina neno "mchana " ie "afternoon" ? Pili, naomba maneno unayoyaandika kwenye screen uyaache yaendelee kuwapo kwenye screen hadi unapomaliza kuelezea maneno hayo. Usiyaondoe haraka haraka maana mwanafunzi atapoteza reference kati ya maelezo yako na maneno anayoyaona kwenye screen.
Asante Gaspar. Mchana kwa lugha ya Lingala ni "Moi", unaweza kutumia pia "Midi" ambayo ni lugha ya French lakini utasikia wakati mwingine ikitamkwa. Maneno yanayotokea kwa screen inaambatana na yale ninayozungumza. Nimejaribu kumodify kwa somo zingine za mbele lakinin pia inategemea application. Ndio sababu ni vizuri unasimamisha, unaandika kile unataka halafu unaendelea. Nimejaribu niwezavyo kukusaidia tu kujua lugha hii ya Lingala. Asante kwa kutazama 🙏
@@jifunzelingalanapauline2570 Asante mwl kwa majibu mazuri. Nazingatia mafundisho . Ni lini utatoa mtihani ( test ) ?
@@gasparbunga5010 Haha bado sijapanga hiyo lakini umenipa wazo nzuri sana. Nashukuru sana
Ninafurahishwa na darasa hili, naomba kuuliza 'Tango mosusu' ina maana gani?
Karibu sana Hussein. Tango mosusu inamaanisha "Saa zingine/ Wakati mwingine/ Pengine/ Labda/ Huenda ikawa"
Pauline ofandaka wapi?
Nafandaka na Nairobi
Naposa kokutana nayo
Sema: Nazali na posa ya kokutana na yo - Nina hamu ya kukutana nawe... Tutakutana siku moja Mungu akipenda
NATAMANI KUWA NAWE KIMAWASILIANO KAMA UTAPENDA HEBU TUKUTANE KWENYE FACE BOOK NAITWA Eriki Ngabo kuna jambo nataka tuongee
Sawa Amani, nitakutafuta
Mbote molakisi Pauline, u good? Long time hope mzima.
Karissss!!! Mbote! Mbote! Bonane!! (Happy New Year) Really long time! Niko poa, na wewe? Aah naleta somo nyingine sasa...