Our Son's First Day At School //Why He Went So Early

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 89

  • @fitnessbycece
    @fitnessbycece 8 วันที่ผ่านมา +14

    Pls your baby is still too young, just see how sleepy he is, he still needs the comfort of his home to grow his brain , my girl is 3.3 and her speech is still not clear, pls usikue na pressure ya mtoi kuongea haraka, dont compare notes za milestone with other kids of his age, let him be the baby he is

    • @FridahMukami-b9y
      @FridahMukami-b9y 8 วันที่ผ่านมา +1

      Hawa content creators hawaambiliki, nakumbuka ata Maureen akiambiwa atulie kidonda ya cs ipone but akaona kama anaonewa. Mimi wangu nimempeleka playgroup na 3.4, alafu Sasa huyu ni 2.4

  • @HavillahTabitha
    @HavillahTabitha 8 วันที่ผ่านมา +1

    Just keep your son at home he is still young aki Watoto hukua tofauti don't force issues

  • @carlruts6721
    @carlruts6721 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unatesa mtoto in the name of kumsaidia surely

  • @missmusyoka3775
    @missmusyoka3775 9 วันที่ผ่านมา +1

    Maybe akuwe anapelekwa somewhere for two hours to play then nanny anamchukua

  • @cynthiajelimo2705
    @cynthiajelimo2705 8 วันที่ผ่านมา +3

    I'm a mom and a teacher by profession but haki he is too young for this Janeth. Let the baby be 3.5 angeanza hata hiyo play group 😮, why the hurry momma

    • @noelasigi2118
      @noelasigi2118 7 วันที่ผ่านมา +1

      Mm naona ako sawa wangu alianza 2.5

  • @josephinenasimiyu-mk2cl
    @josephinenasimiyu-mk2cl 9 วันที่ผ่านมา +1

    Weeee Wachana mtoi 😢😢😢😢 uko na nanny wa job ngani 😢😢😢

  • @silviakemunto5448
    @silviakemunto5448 6 วันที่ผ่านมา

    Huyu mama anabore 😢kwan auna huruma 💔💔💔

  • @felkamau4120
    @felkamau4120 9 วันที่ผ่านมา +1

    Wangu ako 3.5 na bado nko nayy kwa hao....haraka niya nn na uko na nanny ....waaaah😢

  • @FridahMukami-b9y
    @FridahMukami-b9y 9 วันที่ผ่านมา

    Akiii ni mdogo sana, hii ni kutesa mtoi, angeanza ata next year ingekua atleast

  • @judith-ed7kq
    @judith-ed7kq 9 วันที่ผ่านมา

    Khaii😢😢😢 Wacha kutesa mtoto ATI afunzwe kupupu uko na haraka ya nini

  • @rahabmwangi-hy1sb
    @rahabmwangi-hy1sb 9 วันที่ผ่านมา

    Woiye,sio mapema 😍

  • @TerryMutindi-f5m
    @TerryMutindi-f5m 8 วันที่ผ่านมา

    Khai mtoi ni mdogo akh my boy Ako na speech delay na sai amejoin playgroup na 3.4yrs but Ako sawa.

  • @JacklineChebet-s4w
    @JacklineChebet-s4w 7 วันที่ผ่านมา

    Waah? Wangu at this age ata hakuwa anatembea na sikumsumbua unateza mtoi

  • @gracemugure3849
    @gracemugure3849 4 วันที่ผ่านมา

    Wangu ako 2.2 pia speech si clear but juu y kucheza na watoto anaimprove.
    Potty nayo ndio tunatrain sasa,watoto ni tofauti.
    Dont force it woishe
    Shule tutaingia next year

  • @nellyanyangu4
    @nellyanyangu4 8 วันที่ผ่านมา

    Playground was just chilling🤣🤣🤣🤣🤣

    • @andycoman
      @andycoman 6 วันที่ผ่านมา

      Hauna chills 😅😅

  • @MoureenmohWabwire
    @MoureenmohWabwire 8 วันที่ผ่านมา +2

    Tupitiane ❤❤❤

  • @GraceNgugi-y7t
    @GraceNgugi-y7t 7 วันที่ผ่านมา

    Weuh.... Hii haraka nayo zii... anyway 🤗

  • @missmusyoka3775
    @missmusyoka3775 9 วันที่ผ่านมา +3

    Am teacher dantez family but kama ukona uwezo let the baby stay at home usimtese kwenda shule sai

  • @fayzamarcos7952
    @fayzamarcos7952 9 วันที่ผ่านมา

    Wacha kutesa mtoto,, ni mapema sana.

  • @Officialkeznash
    @Officialkeznash 9 วันที่ผ่านมา +1

    Good job mama best descion you have made

  • @Janeirungu_80
    @Janeirungu_80 7 วันที่ผ่านมา

    We grow 2gether as we take boy to skull

  • @margaretnjoki3836
    @margaretnjoki3836 7 วันที่ผ่านมา

    Ooh no 😢the kid is so young aki

  • @FridahMukami-b9y
    @FridahMukami-b9y 9 วันที่ผ่านมา +1

    Yaani ameingia playgroup akiwa 2. 4, na wangu ameingia na 3.4 enyewe watu ni different

  • @JoyEve-of8kr
    @JoyEve-of8kr 9 วันที่ผ่านมา

    Uyo nanny ni mbukusu wa bungoma kiswali iko sawa

  • @wanjidancy8325
    @wanjidancy8325 9 วันที่ผ่านมา

    Wah unatesa mtoi aki

  • @PollySilas
    @PollySilas 8 วันที่ผ่านมา

    Kwani hamna huruma😢huyu mtoi anafaa daycare si shule surely.anyways😢

    • @HavillahTabitha
      @HavillahTabitha 8 วันที่ผ่านมา

      For real ata io daycare ya kazi gani kama mama anakaa nyumbani,, sisi wazazi ndo walimu wa Watoto wetu at first

    • @PollySilas
      @PollySilas 7 วันที่ผ่านมา +1

      @HavillahTabitha but hata advise zetu hazimake sense qoz ashampeleka already na hawezi mtoa but this is very wrong

  • @fayiebella.7613
    @fayiebella.7613 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mko na mchezo

  • @Gabby-254
    @Gabby-254 9 วันที่ผ่านมา +1

    Upcoming TH-camrs tupitiane tug row pamoja 🙏🙏

    • @Suzie_tash
      @Suzie_tash 8 วันที่ผ่านมา

      Nipitie

    • @Edna001
      @Edna001 8 วันที่ผ่านมา +1

      Nipitieni pia

    • @Gabby-254
      @Gabby-254 8 วันที่ผ่านมา

      @Edna001 done

    • @Gabby-254
      @Gabby-254 8 วันที่ผ่านมา +1

      @Edna001 done

    • @Gabby-254
      @Gabby-254 8 วันที่ผ่านมา

      @@Suzie_tash done

  • @lumumbahome5934
    @lumumbahome5934 9 วันที่ผ่านมา

    What time does he go to school?

  • @FaithWanjiru-n6y
    @FaithWanjiru-n6y 9 วันที่ผ่านมา +1

    Not you saying playgroup alafu unasema playground 😅😅😅😅😅 anyways wangu ako 2.3 na pia speech Ikona shida

    • @AngieRaph-f1y
      @AngieRaph-f1y 8 วันที่ผ่านมา

      Kwani yeye haoni hata zoey wa pluto hajaingia shule na ndio dem hata kuongea hajui vizuri aache kusumbua mtoi

  • @JaneKamau-b5q
    @JaneKamau-b5q 6 วันที่ผ่านมา

    Wacha kuharakisha mtoto

  • @consolatamakau9519
    @consolatamakau9519 8 วันที่ผ่านมา

    Wacha kutesa mtoto wewe 😮

  • @Leen-t6c
    @Leen-t6c 8 วันที่ผ่านมา

    Vny nmeskia miaka ya mtoi nmeboeka haraka ni ya nn Wacha revenge

  • @SharonKataka-o1i
    @SharonKataka-o1i 9 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu mwenye anaongea n mluhya wa bungoma

  • @SilviaWaswa-v1y
    @SilviaWaswa-v1y 9 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu mtoi ni mdogo unaarakisha mtoi na Ako na nanny

  • @lornachepngetich5601
    @lornachepngetich5601 8 วันที่ผ่านมา

    Hey, your baby is too young for playgroup😢😢😢please let the baby be , atleast acha aende next year woiye, I feel for him 😢😢

  • @wangechimathenge9923
    @wangechimathenge9923 8 วันที่ผ่านมา

    Dont compare bora hana any sign of health atajua kila kitu na wakati wake.wangu ndio amejoin akiwa 3.5 na alikubali potty just a month before aingie shule speech yake haikuwa clear but sai anaongea

    • @HavillahTabitha
      @HavillahTabitha 8 วันที่ผ่านมา

      Aki kila mtoto kuna vile anagrow io ni kutesa mtoto asubuhi io yote anaenda wapi

  • @daphnemoraa9440
    @daphnemoraa9440 8 วันที่ผ่านมา

    Am an ecde tr..2.4 he is too young not unless ni montensori school penye anaenda 2 to 3hrs for 3 days a week

  • @beatricemugambi4659
    @beatricemugambi4659 8 วันที่ผ่านมา

    How old is he?anakaa mdogo sana

  • @sallylilah6367
    @sallylilah6367 8 วันที่ผ่านมา +1

    Lakini huyu dem hukua mslow😂😂😂

  • @annmuthemba8875
    @annmuthemba8875 8 วันที่ผ่านมา

    Huyu mama ni slow sana😂😂Alafu anatesa mtoi mdogo

  • @ck2783
    @ck2783 7 วันที่ผ่านมา

    unachokesha huyu mtoto bure...kwani hiyo masomo ni nini jameni,wangu alianza na 3.5 once he was ready

  • @ck2783
    @ck2783 7 วันที่ผ่านมา

    wangu ako pp2 lakini akiamka akiwa ivi hiyo siku atalala arest

  • @jematish8937
    @jematish8937 8 วันที่ผ่านมา +1

    Heeee hapana i feel you are torturing the baby haki if it's speech watoto hawafanani he will just talk, my neighbour had a four year but hungeskia kile anasema but now she is very what and bright. You have a housegirl let the baby grow fast pliz pliz

  • @jematish8937
    @jematish8937 8 วันที่ผ่านมา

    Janet you better read all comments, nobody is supporting you. Pliz acha kutesa mtoto siyo poa, masomo haiishi ngoja wakati wake. Wewe uliingia shule at that age?

  • @euniceobiny3871
    @euniceobiny3871 8 วันที่ผ่านมา

    Why take him to school and you have a nanny

  • @miriamkamau9692
    @miriamkamau9692 7 วันที่ผ่านมา

    Wacha kutesa mtoto wewe what wrong wth u kwanza kumuamsha I cnt watch again hii kitu unatesa mtoto

  • @SharonKataka-o1i
    @SharonKataka-o1i 9 วันที่ผ่านมา

    Alafu haraka n ya nini mtoi n mdogo aki .wewe mama ukienda shule ulikuwa unafungwa permpers

  • @kambaempressshow.2214
    @kambaempressshow.2214 7 วันที่ผ่านมา

    Huyu mama 😢😢😢lost a sub
    Stop torturing mtoi
    Peleka montessori schools kama uko na haraka

  • @Samanthandune
    @Samanthandune 9 วันที่ผ่านมา

    He is too young 😭woisheee

  • @buba6048
    @buba6048 9 วันที่ผ่านมา +1

    💪🏿💪🏿🔥

  • @ndindajackline9798
    @ndindajackline9798 9 วันที่ผ่านมา +3

    Mtoi afike 3 yrs ndio aende shule.Acha kutesa mtoi.

  • @mercykinjabe5572
    @mercykinjabe5572 8 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤

  • @cindymuru9431
    @cindymuru9431 9 วันที่ผ่านมา +2

    Khaii aki he's just a baby let him enjoy being a baby.. or rather take him to a Montessori school 😢

    • @daphnemoraa9440
      @daphnemoraa9440 8 วันที่ผ่านมา

      Exactly, montensori school ndio wanaweza hii age

  • @lucynn
    @lucynn 6 วันที่ผ่านมา

    Aki vike mm wangu anafika feb 3 na bado siskii kumpeleka..but ataenda after midterm..atakuwa 3.1 hapo

  • @AdrianKiarie-ii7se
    @AdrianKiarie-ii7se 9 วันที่ผ่านมา

    Wooii too young for school 🙆

  • @jennanduta7772
    @jennanduta7772 9 วันที่ผ่านมา

    ❤❤

  • @paulinenjuguna3254
    @paulinenjuguna3254 9 วันที่ผ่านมา

    He is too young Aki atleast 3yrs is ok

  • @beatricekeruboe6997
    @beatricekeruboe6997 7 วันที่ผ่านมา

    Aki he is too young
    Limit screen time and allow him to play outside with other kids aki

  • @thejopematotheworld
    @thejopematotheworld 9 วันที่ผ่านมา

    aki he is too young for school aki wait ata afike 3enda na time ya Mungu spend time wiyh your child show him love hamjui kama hiyo shule wanatretiwa poa

  • @BrianOmoto
    @BrianOmoto 9 วันที่ผ่านมา

    Hi

    • @JanetDann
      @JanetDann  9 วันที่ผ่านมา

      @@BrianOmoto hey

  • @joanchelangat.
    @joanchelangat. 8 วันที่ผ่านมา

    Too young

  • @JemimaMuriuki
    @JemimaMuriuki 9 วันที่ผ่านมา

    He is too young plz at least mngengoja afikishe 3yrs

  • @nyambuwatene3600
    @nyambuwatene3600 9 วันที่ผ่านมา

    I don't comment but playground imenimaliza walai🤣🤣🤣 it's playgroup

    • @JanetDann
      @JanetDann  9 วันที่ผ่านมา

      @@nyambuwatene3600 😅😅

  • @SyliviaSumba
    @SyliviaSumba 8 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤