PART1:MTOTO ALIECHUKULIWA MSUKULE AELEZA MAISHA YA KUZIMU ALIKOISHI/NILIMCHINJA MTOTO/MOYO AKALA BIB

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 124

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 4 ปีที่แล้ว +3

    Yaani huyo kijana kunauwezo Mungu alomjaalia mana kama haupo vizury huwez kuona wachawi kirahis

  • @mussahassan9400
    @mussahassan9400 4 ปีที่แล้ว +2

    Safi davi wee noma sema unatuletea moja moja ndo ubaya wake

  • @halimahamis3907
    @halimahamis3907 4 ปีที่แล้ว +1

    Kiukwe warangi uchawi wakuachanisha watu Ni noma sana mungu anawaona

  • @kimmykay2421
    @kimmykay2421 4 ปีที่แล้ว +16

    Msimulizi mzuri kweli👍

    • @emmanuelyraphaely3343
      @emmanuelyraphaely3343 4 ปีที่แล้ว +1

      Sijawah kuona uyu dada akakosa kutoa comment kwenye Kila story mpya anayopost davistar

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwahiyo alitaka kuwatenganishaawazazi jamani bibi mwanga huyo hataki huyo mkazamwana

  • @carolinemacha4993
    @carolinemacha4993 4 ปีที่แล้ว +1

    Kinanda kinaumiza masikio

  • @mosesjohnswilla9926
    @mosesjohnswilla9926 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tumalizie story ya DOI

  • @judiehance1736
    @judiehance1736 4 ปีที่แล้ว +6

    😃😃😃😃😃anaogopa kusema chupi,, hivi hiki kitu kina heshimika sanaaaeee,,

  • @KariukiRoysambu
    @KariukiRoysambu 4 ปีที่แล้ว +2

    Davistar umezunguka sana maeneo....kazi nzuri lakini

  • @yotehapatv7705
    @yotehapatv7705 2 ปีที่แล้ว +1

    Mi naitaji msaada kak...Coz simulizi zako nafatalia coz yamemkuta mtu wangu wa karibu yan wandoto...Had sasa sipo nae ndg🙏

  • @lsha97utingo21
    @lsha97utingo21 4 ปีที่แล้ว +2

    Simulizi au kipindi chako nakipenda yaan kila ukileta mm na fatiliy kinanipa nguvu huku niliko

  • @matheothomas1891
    @matheothomas1891 4 ปีที่แล้ว +3

    Davistar sikuhizi unazingua mwana storry unaweka fupi alafu unajivuta sana kuweka patty inayo fuata tunachoka kufuatilia kihivyo angalia na mdaa piaa kuna mambo mengi ya kufanya na kuhangalia pia but all in all one love from Bundessland (Germany )

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 ปีที่แล้ว

      Nichukuwe nije germany

  • @katibatanzania3089
    @katibatanzania3089 4 ปีที่แล้ว +1

    Dooo uyo bibi kiboko na noma yani simulizi iko vizuri imetuliya tuma seemu ya pili

  • @LukasNdaji
    @LukasNdaji 4 หลายเดือนก่อน

    Kaka unatujenga kiroho respect sana

  • @seadogs4460
    @seadogs4460 4 ปีที่แล้ว +1

    Kijana ako na fasaha ya kuongea na story zake ni nzuri sanaa,keep it up bro DAVISTAR MATA

  • @shaninaftary1693
    @shaninaftary1693 4 ปีที่แล้ว +2

    Davistar bro vipindi vyako vzr na vinaelemisha sana...ushauri wangu ungerusha kwenye tv ili watu wengine wajifunze.

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 4 ปีที่แล้ว +4

    WA kwanzaaaaa🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🤔

  • @rosekingalu4403
    @rosekingalu4403 4 ปีที่แล้ว +22

    Natamani ningekuwa nashika bum light stick au camerawomen wa Davista Niwe nasikia stori zote bila kusubiri part 2 nakuwa najua stori kuliko wote 🤣🤣🤣isn’t it funny?🤪

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole Sana bro

  • @hamishamis6508
    @hamishamis6508 4 ปีที่แล้ว +4

    Davista vp......wee unatwambia
    ni mtoto wakati ni mtumzima huyu anatia mimba ...!!!!

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @shekhenamba689
    @shekhenamba689 4 ปีที่แล้ว +2

    Moja

  • @highnesseverest3619
    @highnesseverest3619 4 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante Davistar before nilikuwa siamin kuhusu ushirikina hila kila nikisikia hizi simuliz najikuta nawachukia sana wachawi na waganga wa kienyeji

    • @isaachassan43
      @isaachassan43 4 ปีที่แล้ว

      Kuna Waganga wa kienyeji wazuri kweli?

  • @mtitagirloriginal6890
    @mtitagirloriginal6890 4 ปีที่แล้ว +1

    Davistar tuketee Yule msukule wa mti mkavu vp kapona

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 4 ปีที่แล้ว +2

    Wachawi wanarudisha Sana maendeleo ya mtu/watu KWA ujumla wake hawafai HATA bure

  • @karrolleschon3986
    @karrolleschon3986 4 ปีที่แล้ว +2

    🇰🇪
    Ndani

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 4 ปีที่แล้ว +2

    Wachawi sio watu kabisa hakiyamungu

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja sana bro

  • @kulthumsaif2856
    @kulthumsaif2856 4 ปีที่แล้ว +3

    No6👍

  • @nundabe
    @nundabe 4 ปีที่แล้ว +5

    Wakwanza 1🤣🤣😍

    • @tamaraseff.9707
      @tamaraseff.9707 4 ปีที่แล้ว +1

      Hahaaa ile ya mochwari do iliniweza niliota usku kucha na io usubui nikaedelea kusikiza zgn tu😃😃😃

    • @Grace-mwasite
      @Grace-mwasite 4 ปีที่แล้ว +1

      @@tamaraseff.9707 kama Mimi kweli 😂😃😃😂😃😃

    • @tamaraseff.9707
      @tamaraseff.9707 4 ปีที่แล้ว +1

      @@Grace-mwasite hahaaa kaz tunayo ss

    • @Grace-mwasite
      @Grace-mwasite 4 ปีที่แล้ว

      @@tamaraseff.9707 yani we acha tu

  • @nurusalim846
    @nurusalim846 4 ปีที่แล้ว +2

    Sijachelewa jamani naomba like

  • @fearlessdinah6611
    @fearlessdinah6611 4 ปีที่แล้ว +11

    Kila nikisikiliza lazima niote lakin sikomi😅

    • @agnesj.h9789
      @agnesj.h9789 4 ปีที่แล้ว +2

      Kama mm siku nimeangalia nyoka ya mti mkavu sijalala siku iyo

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 4 ปีที่แล้ว +3

      😂😂😂

    • @ummusulaish5586
      @ummusulaish5586 4 ปีที่แล้ว +2

      Sasa huwa waota nn haswa

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 4 ปีที่แล้ว +4

      @@ummusulaish5586 Pengine aota na yy ashakua msukule 😂😂😂

    • @rosecruiz4348
      @rosecruiz4348 4 ปีที่แล้ว +2

      Una matatizo

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว +2

    Heri wewe ulichukuliwa ukiwa naakili zako yule iyasa jna lakuokolewa jina lakuximu aliitwa MAXWELL alikuwa amechukuliwa akiwa miaka mbili hadi kumi naine huko kuzimu..watu wanapenda kutesa wezao tena unakuta tuu ni family tuu wamtesa mtoto bure tuu nakuongea lughu yakuzimuni

  • @fahamnitwahir9249
    @fahamnitwahir9249 4 ปีที่แล้ว +2

    Malizia stor ya yule muhun mvuta bangi

  • @Grace-mwasite
    @Grace-mwasite 4 ปีที่แล้ว +3

    Nita subiria upost episode zote ndo naangalia sasa😃😄😂😄

  • @juliusphabian6336
    @juliusphabian6336 4 ปีที่แล้ว +2

    Yaa....leo umetuletea chuga

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 4 ปีที่แล้ว +11

    Yaani kwa kweli jamani hawa baadhi ya wabibi wanakuwaga wachawi sana, yaani wao wanakuwaga ndio chanzo cha matatizo kwenye familia.

  • @أبوحاتمطلحةخميسعلي
    @أبوحاتمطلحةخميسعلي 4 ปีที่แล้ว +1

    Kondoa sehemu gani

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamani eehh tujifunze ulimwengu wa kiroho ulivyo...izi story ni ushahidi tosha kuzimu IPO wachawi wapo wanamaliza vijana wadogo kbs...kama yule msukule alie muonesha mti mkavu...huruma sana aiseee ile video inazunguka akilini mda wote

  • @jonassilvester4325
    @jonassilvester4325 4 ปีที่แล้ว +2

    Pamoja Mr fact

  • @rosekingalu4403
    @rosekingalu4403 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwahiyo kaka davista hapa naeza anza kusikiliza?🤪

  • @butondodavid2105
    @butondodavid2105 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwanin wachaw weng wanawake

  • @munnawwary757
    @munnawwary757 4 ปีที่แล้ว +2

    Dah....wachaw sio watu wazur

  • @deofred1517
    @deofred1517 4 ปีที่แล้ว +2

    Pamoja sana

  • @ayoubsanga7405
    @ayoubsanga7405 4 ปีที่แล้ว +3

    watatu leooo

  • @theobardmabugo4788
    @theobardmabugo4788 4 ปีที่แล้ว +5

    HV nyie wa kwanza kila Siku hamfanyi kazi

  • @mayaalmahrooqi1345
    @mayaalmahrooqi1345 4 ปีที่แล้ว +3

    Wanakwambia adui yako ni mtu wa karibu yako

  • @ramadyzo5587
    @ramadyzo5587 4 ปีที่แล้ว +2

    Wakwanza namp like zakunishinda ila nimechukua nafass 3

  • @ummusulaish5586
    @ummusulaish5586 4 ปีที่แล้ว +1

    Tuko pamoja sana bro

  • @sekelamwambomanabiiwakwwli8559
    @sekelamwambomanabiiwakwwli8559 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimejitaid kidogo

  • @ramadyzo5587
    @ramadyzo5587 4 ปีที่แล้ว +3

    Wakwanza

  • @jangombeboys4536
    @jangombeboys4536 4 ปีที่แล้ว +3

    jangombeboys1999

  • @rukundoibrahim807
    @rukundoibrahim807 4 ปีที่แล้ว +3

    kijana anaongea kwa ufasaha na umakini mwenye kuhojiwa.

  • @kawtharsaleh9229
    @kawtharsaleh9229 4 ปีที่แล้ว

    Dooh hatar imeishia patam pole kaka

  • @salmasalma8203
    @salmasalma8203 4 ปีที่แล้ว +2

    Pmj davistr

  • @annelisejohns5664
    @annelisejohns5664 4 ปีที่แล้ว +2

    sasa mbona Hana raster

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 ปีที่แล้ว

    Uchawi uchawi jamani kina bibi tutawaogopa sasa

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 ปีที่แล้ว

      Mabibi balaaa. Wabaya mno

  • @violinenyakara5028
    @violinenyakara5028 4 ปีที่แล้ว

    Davista leta part 2 bana

  • @agnesj.h9789
    @agnesj.h9789 4 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣 niaze sasa

  • @mwesigwaannte6751
    @mwesigwaannte6751 4 ปีที่แล้ว +1

    Thanks Davistar but siku izi story zinaisha bila mimi kujua ama me ndio sielewe sasa kama ya jana imeisha ama bado ungekua unatujulisha kwamba mwisho

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 4 ปีที่แล้ว

    Twede kaz kaka

  • @eliaichraymond1215
    @eliaichraymond1215 4 ปีที่แล้ว +1

    Big up bro,nazikubali kazi zako

  • @hawahawa6915
    @hawahawa6915 4 ปีที่แล้ว

    Wachawi siyo watu wazuli

  • @yussufmoha
    @yussufmoha 4 ปีที่แล้ว

    Jameni huku kenya hatuelewi Bibi n wife ama grandma????

  • @kingubeatz9535
    @kingubeatz9535 4 ปีที่แล้ว

    Tuko naye tunazungumza naye

  • @saidhamad533
    @saidhamad533 3 ปีที่แล้ว

    Inabamba

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 4 ปีที่แล้ว

    SORY MR FACT,,,,,,,NAONA UMEKUJA ARUSHA SS WADAU WAKO TUNAHITAJI KUKUONA WALAU TUKUSALMIE TUNAKUPATAJE,,,,YOTE KWA YOTE TUPO PAMOJA SANA NA TUNAENJOY KAZI ZAKO,,,,,GOD BLESS YOU

  • @rahmachihoma9808
    @rahmachihoma9808 4 ปีที่แล้ว +1

    Wa tatu

  • @munnawwary757
    @munnawwary757 4 ปีที่แล้ว

    Sixteen to day ngoj niendelee kusikiliz

  • @mariethaswedy7148
    @mariethaswedy7148 4 ปีที่แล้ว

    Duni yani kuna mambo

  • @lolguy-x9n
    @lolguy-x9n 4 ปีที่แล้ว

    bibi ni grandmother? hapa 254 bibi ni wife.

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

  • @tututz100
    @tututz100 4 ปีที่แล้ว

    J.BOYS.F.C 1999

  • @nundabe
    @nundabe 4 ปีที่แล้ว

    🇧🇮

  • @lsha97utingo21
    @lsha97utingo21 4 ปีที่แล้ว

    Poa

  • @fadmediatz
    @fadmediatz 4 ปีที่แล้ว

    Kaka nimekuelewa sana,naomba tu share jambo +255782025911

  • @asingakani9138
    @asingakani9138 4 ปีที่แล้ว

    Tuko hewani tunawafata