Zuchu alivyo mkatia mauno Diamond bila aibu kwenye Maulid ya Esma na mume wake Madale

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 388

  • @huxleykidiavai6947
    @huxleykidiavai6947 4 ปีที่แล้ว +72

    Suzanaaa... Sauti Sol entertaining all that love good music. Proud Kenyan

    • @Stevo_254
      @Stevo_254 4 ปีที่แล้ว +3

      My all time song...was so privilleged when this song perfomed!!!

    • @nakish254
      @nakish254 4 ปีที่แล้ว +1

      And a luhya aaaah nilihisi nikaa ni mimi naimba... kidogo nikajiambia mzuki kaa nzuri, nzuri; utachezwa kila mahala

    • @tpdancersvevo9203
      @tpdancersvevo9203 4 ปีที่แล้ว

      🇹🇿✔✔

    • @sharonnemartins2798
      @sharonnemartins2798 4 ปีที่แล้ว +1

      Proud Kenyan. Proud Luhya!!! Sauti Soul👊👊👊

  • @adamsiraaj
    @adamsiraaj 4 ปีที่แล้ว +4

    I’m happy to see everyone enjoying themself... Wish I was there.. much love & blessings.. from New York, Puerto Rican Love

  • @sakinasofiya4999
    @sakinasofiya4999 4 ปีที่แล้ว +4

    Mimi mû Congo nimefurai kuona munacheza nyimbo zetu,na sisi huku tunacheza nyimbo zenu,hongera mondi papa mobimba oyee

  • @joanondeng8818
    @joanondeng8818 4 ปีที่แล้ว +8

    Wow.. Sauti sol all the way frm 254 rocking

  • @morrisleba1986
    @morrisleba1986 4 ปีที่แล้ว +14

    Big up to big boys in town(Kenya) Sautisol......

  • @francesinganga1038
    @francesinganga1038 4 ปีที่แล้ว +19

    Mkenya niko apa ju ya suzanaa by sauti soul fireee,,,, senjeeeeee

    • @janetkemush3784
      @janetkemush3784 4 ปีที่แล้ว

      Wanaipenda sana pia saba saba nliskia suzana..

    • @esthermutali2563
      @esthermutali2563 4 ปีที่แล้ว +1

      Mimi nanuna tu juu other people are enjoying our songs na sisi harufu ni ya mask tu.. Nkt rona aah! Wakenya let's meet here

  • @chriskingnampoto3214
    @chriskingnampoto3214 4 ปีที่แล้ว +21

    Zuchu na mondi hawa watu washagusanisha

  • @ligitfrankie2144
    @ligitfrankie2144 4 ปีที่แล้ว +30

    Diamond now is a grown ass man 😂😂😂minding his own business..

    • @khadijangwele6205
      @khadijangwele6205 4 ปีที่แล้ว +2

      Mzee yusufu

    • @romyjohns5187
      @romyjohns5187 4 ปีที่แล้ว

      You don't know that is skipping cameras but I already see who's too withdraw pants 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @nassorsada213
    @nassorsada213 4 ปีที่แล้ว +6

    MashaAllah kapendez
    Tusiw wanafk
    Ila kwa mond hajaow sasaiv

  • @Katangalidia8
    @Katangalidia8 4 ปีที่แล้ว +2

    I was just waiting to see zuzu dance with diamond my people fear God ooh 😅😂

  • @emmanuelbonifase1114
    @emmanuelbonifase1114 4 ปีที่แล้ว +18

    Zuchu kama anamlinda mond ama vip

  • @bertywiththepeach3782
    @bertywiththepeach3782 4 ปีที่แล้ว +4

    Enjoyed every minute of it...❤️❤️❤️💋💋💋💋💯💯

  • @Ms.Mulambe
    @Ms.Mulambe 4 ปีที่แล้ว +10

    Suzanna by sauti sol 😩😉😘🤸

  • @fogomedia867
    @fogomedia867 4 ปีที่แล้ว +10

    Toka mda zuchu nilimuona anamendea kicheza na mond😂😁😁😁😂

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 3 ปีที่แล้ว

    Unalidhalilisha vazi la heshima la kiislamu wewe mwehu Diamond..Mungu akudhalilishe hp hp duniani na kesho akungoja kwa adhabu ama utubie

  • @makulaikuku6909
    @makulaikuku6909 4 ปีที่แล้ว +17

    Naona rusha roho mnaita maulid loooo ndio uislaam siku hizi tunauendesha kisanii naona.
    Astaghafrullah

    • @fatumajuma8448
      @fatumajuma8448 4 ปีที่แล้ว +1

      Astaghfirullah.... Mwenyezi awaongoze

    • @zafnatyally1440
      @zafnatyally1440 4 ปีที่แล้ว +1

      Hawajielewi

    • @shemsaissa38
      @shemsaissa38 4 ปีที่แล้ว +2

      Mmmmmh 🙄 eti maulid hivi mnaijua maulid?? Allah awaongoze 😢

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      Mtihani mkubwa!!!!

  • @azzehassan2432
    @azzehassan2432 4 ปีที่แล้ว +11

    Ayo nimaulidi jamani mh Mungu

  • @bxxjdhokjff6171
    @bxxjdhokjff6171 4 ปีที่แล้ว +1

    Habari ujitaidi

  • @mohamedjuma1878
    @mohamedjuma1878 4 ปีที่แล้ว +3

    Jamani huo umaarufu wenu na usanii wenu mnatupotoshea dini yetu ebu tafadhalini jamani muogopeni Mungu kwani asiye fahamu nini maulid ataona hayo ndio maulud yanavyo fanywa ilhali sivyo kabisa mnafanyaga uhuni tu.

  • @hussenhajj5966
    @hussenhajj5966 4 ปีที่แล้ว

    Munch awasamehe apo walipo mpk siku ya kufa Kwao ila uzungu unafanya tusahau mwisho wet wap au mipaka yet wap pesa na umarufu sio kitu maan mungu hajuwie usuperstar wak tunaofatiliya maisha ya wasanii tufanya ndipo wao dini na kuwamini kwa jambo tunapotey tubadilikeni mungu ibariki Tanzania mungu awabarikie vijana wa kitanzania

  • @chunaamina8719
    @chunaamina8719 4 ปีที่แล้ว +7

    Doooh, hichi kiama Allah tusamehe waja wako, mmh yaan wanaume kwa wanawake wa katika ety mauludi, hakuna stara wala dini hapo, laana tupu zimejaa Allah amechukia. Ndoa n baraka ila sio kwa ushetwan huu, Ya Rabby Tujaalie mwisho mwema😢🙏🙏

    • @beatussimon4873
      @beatussimon4873 4 ปีที่แล้ว

      Uelewa wako mdogo na kukalilishwa na warabu .na unajifanya mwelewa kumbe amna lokote

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว

      Amin 🤲. Maulidi ni bidaa tangiahapo no ni haram

  • @sudysiddsudysidd615
    @sudysiddsudysidd615 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awasameh na awaongoze katika njia ilionyooka amin

  • @husnamahadhi7437
    @husnamahadhi7437 4 ปีที่แล้ว

    Zuchu kumfata bwana kaka hehee mwenzie anazuga kama hamuon

  • @mosesmoshpax1566
    @mosesmoshpax1566 3 ปีที่แล้ว

    Sauti sol👍👍❤️❤️

  • @nourambarak6297
    @nourambarak6297 3 ปีที่แล้ว

    nice nimependa

  • @agnespaul9403
    @agnespaul9403 4 ปีที่แล้ว +13

    Kweli mi ni mkristo lkn maulidi haiwi ivo haina magoma kama ayo

  • @khashindisheillah5849
    @khashindisheillah5849 4 ปีที่แล้ว +6

    Hio nduru ya senje nmeiskia nikiwa 254,

  • @alhumohamed5618
    @alhumohamed5618 4 ปีที่แล้ว +7

    Subhana Allah hiyo ndiyo maulid jaman kanzu kubwa na mavilemba mna shusha hadhi ya vazi upuzi mtupu mfyuuuu

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

    Mzee Yusuf, Nasib Abdul, Ally kiba, muumin mwinjuma, ally choki, Juma nature,,,,, wote ni waislam!!!

  • @nassirmasoud6097
    @nassirmasoud6097 4 ปีที่แล้ว +14

    Shane on u Diamond:unatutolea thamani vazi la Taq'wa na la heshima.fanya uwasharati wako kwa mavazi mengine hta km utacheza uchi lkn hishimu Dini yetu.Dini sio ya bbko wala mmko shenzi wee!

    • @chunaamina8719
      @chunaamina8719 4 ปีที่แล้ว +3

      Subhanah Allah yaaan huyu shetwan kila siku a nazidi upuuzi wake, yaan kwavaa kanzu alafu a katika lingala, mmh huu mtiani ety maulid kukosa Adabu Allah amechukia wenye kufuja Mali kwa mambo yasokuwa ya msingi Na n laana

    • @wazirikhamisi4828
      @wazirikhamisi4828 4 ปีที่แล้ว +1

      HUU MTIHANI NDIO VIZAZI VYAKIISLAM VILIVYO BAKI

    • @brightonoficial4368
      @brightonoficial4368 4 ปีที่แล้ว

      We kuma kila kitu diamond

    • @nakish254
      @nakish254 4 ปีที่แล้ว +1

      @@brightonoficial4368 ungemtusi na sehemu ya wanaume aisee

    • @swaumumhando6064
      @swaumumhando6064 4 ปีที่แล้ว +1

      Nyie ya kwenu mnayatendea sawa acheni kujifanya wajuaji sana

  • @Kindnessallaround
    @Kindnessallaround 4 ปีที่แล้ว +7

    Sauti sol 100% kenyan♡

  • @carolinemwamba8710
    @carolinemwamba8710 4 ปีที่แล้ว +2

    Madogo haya, makubwa hatujayaona 😅😂

  • @adusamuel9033
    @adusamuel9033 3 ปีที่แล้ว

    Suzanna let's go 🥰🥰

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว

    Ayo maulidi inalillah wainailahi rajuun. Allah tusamee wajawako. Maana tulipofikia kwwri tunahishi kwaajili ya wanyama ilakwass

  • @liberatamhagama5986
    @liberatamhagama5986 4 ปีที่แล้ว +2

    Amemkatikia dakika ya ngapii Hawa wapuuz wanatulia bando tuu

  • @chichimpole8462
    @chichimpole8462 4 ปีที่แล้ว +17

    Suzanaaaaaaaaaa woooow

  • @floramdamimdamimgaya9235
    @floramdamimdamimgaya9235 4 ปีที่แล้ว +3

    Uyu n hawara yake chek anavyomchek mond akienda sehem nyngne kucheza mahaba ayajifich

    • @anethkavenuke6610
      @anethkavenuke6610 4 ปีที่แล้ว

      Flora Mdami Mdamimgaya yaaan bora hata wew umeliona hilo huyu dada anamchokoza tu yey hana time nae ila yeye anamfuatamfuat

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 4 ปีที่แล้ว +13

    Inna Lillahi Wainna Ilayhi Raji'uun.

  • @lolalola255
    @lolalola255 4 ปีที่แล้ว +7

    Kanzu hazieshimiwi tena, vazi lakiislamu lachezewa mziki very sad😢

    • @shamsisaady4029
      @shamsisaady4029 4 ปีที่แล้ว +2

      Nani kakwambia hilo ni vazi la kiislamu? hilo ni vazi la waarabu ambalo kwao wanachezea disco, ngoma zao za asili na hata kwenda nazo club au kwenda kuzifanyia zinaa..kanzu inakuwa sunna endapo unapoivaa kama sunna yaani kwa kuwa na nia hiyo. Hilo ni vazi la kitamaduni kama unavoona Rubega kwa wamasai au Kaniki kwa wamakonde au Msuli/Kikoi kwa watu wa Pwani.

    • @davidchishenga7771
      @davidchishenga7771 4 ปีที่แล้ว

      Kanzu ni vazi la kiarabu wala si la kiisilamu...

    • @davidchishenga7771
      @davidchishenga7771 4 ปีที่แล้ว

      @@shamsisaady4029 yaani shukran kumbe ulikua ushamjibu.

    • @ayaanmohamud5853
      @ayaanmohamud5853 4 ปีที่แล้ว +1

      @@shamsisaady4029 kama kanzu ni vazi la waarabu itakuaje tena mtu anaeza Fanya iwe Sunna tena.? Usiseme kitu ambacho huna elimu naye. Masomo muhimu

    • @shamsisaady4029
      @shamsisaady4029 4 ปีที่แล้ว

      @@ayaanmohamud5853 Sasa unabisha kitu gani? Kanzu kiasili ni vazi la waarabu na ndo maana ukienda Oman na nchi nyengine za kiarabu hata wasiokuwa waislamu wanavaa kanzu...ni sunna tu kwa kutia nia na si vyenginevo

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 ปีที่แล้ว +4

    Mmmh😲 hl nalo tatzo 🤔 cjawah kuona Mauld Kama haya wacha tuish tuone mbele itakuwaje

  • @chayogasperi9783
    @chayogasperi9783 4 ปีที่แล้ว +2

    Live Band sisi bado sanaaaa , kelele tupu .

  • @arafataliomar7432
    @arafataliomar7432 4 ปีที่แล้ว

    Hawa watu kila siku wao ni shereheee tuuuu hamjui kuna watu wanaishi maisha ya shida

  • @reginaregina3455
    @reginaregina3455 4 ปีที่แล้ว

    😏😏😏😏😂😂😂😂😂😂😂😂😂hata panya anaweza

  • @almujibually7580
    @almujibually7580 4 ปีที่แล้ว +5

    Innalilah wainna ilaih raajjiun maulid tamasha la music

  • @masatuhb2123
    @masatuhb2123 4 ปีที่แล้ว

    Geha habibu

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 3 ปีที่แล้ว

    Mnakosea mkisema maulidi.
    Mungu anawaona tu

  • @esromkanubho4738
    @esromkanubho4738 4 ปีที่แล้ว +2

    Haaaa hicho kitoto kinamtaka mond sana

  • @biharucussi8130
    @biharucussi8130 4 ปีที่แล้ว +10

    Hivi nyie mnajuwa maana ya maulid kweli?

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 4 ปีที่แล้ว +1

      Haa haaa hawajuwi.... ni mambo ya siku hizi watu wamebadilisha mambo... Mungu atustiri.. Tuuuu

    • @mariamsaidaboud4959
      @mariamsaidaboud4959 4 ปีที่แล้ว +2

      Hattta k i d o g o. Hawajui maana ya Maulid.... Mungu wangu!!!Haya ni yepi???completely opposite of what Maulid should be. Nyimbo, mavazi, mchanganyiko wanawake na Wanaume.... Completely un-Islamic... DUNIA YA MWISHO

    • @biharucussi8130
      @biharucussi8130 4 ปีที่แล้ว +1

      @@mariamsaidaboud4959 unajua watu wakitaka haramu kuifanya iwe halali ndo wanaipa majina kama hayo.

    • @ndegefatma5494
      @ndegefatma5494 4 ปีที่แล้ว +3

      Wataijulia wap

    • @biharucussi8130
      @biharucussi8130 4 ปีที่แล้ว +1

      @@ndegefatma5494 mtihani

  • @rehemakassim9342
    @rehemakassim9342 4 ปีที่แล้ว +3

    Kusema ukwwli diamond anamizuka mnoooo ukiachna na usaniii ila mizuka ipo damuni kabisa

    • @geofreylucas9469
      @geofreylucas9469 4 ปีที่แล้ว +1

      Rehema kassimu Yap ni kweli kabisa na ndo kitu kinachomtofautisha na wasanii wengine coz anajua namna ya kuwashika mashabiki wake

  • @titnamlapakolo3238
    @titnamlapakolo3238 4 ปีที่แล้ว

    Hatareee

  • @mariejules1130
    @mariejules1130 3 ปีที่แล้ว

    Hello everyone amazing cultural fashion ✨ 💖

  • @janeyrichard8694
    @janeyrichard8694 4 ปีที่แล้ว

    Nzur san hyo

  • @najmamwenkalley2387
    @najmamwenkalley2387 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera esma

  • @kapanyatv4186
    @kapanyatv4186 4 ปีที่แล้ว

    Iko vzr

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 4 ปีที่แล้ว

    Tuliipendaga nyimbo ya nzera

  • @ochumshenga9517
    @ochumshenga9517 4 ปีที่แล้ว

    Mzee yussuf

  • @MrSABYY
    @MrSABYY 4 ปีที่แล้ว

    Je umeagiza GARI nje ya nchi na unahitaji huduma ya clearance ya gari lako( Clearing & Forwarding ) kwa uharaka na BEI NAFUU ila unawaza Clearing Agent gani atalitimiza Hilo? Basi ondoa shaka na karibu nikuhudumie. Tazama baadhi ya bei zangu za kutoa magari bandarini Dar Es Salaam (Local) aina ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. Kama aina ya gari uliyoagiza haipo kwenye orodha usisite kuniuliza, Pia wateja wa mizigo ya AIRPORT / CONTAINER & MAGARI yanayokwenda nje ya nchi ( TRANST ) mnakaribishwa.....Kwa wateja waishio Dar Es Salaam utafikishiwa gari lako mpaka ulipo BURE na kwa wateja wa mkoani utalipia gharama ya Dereva kutokana na umbali uliopo kutokea Dar Es Salaam kama ukihitaji kusafirishiwa, Asante
    1: IST old - 850,000/=
    2: HARRIER New-1,000,000/=
    3: HARRIER Old-950,000/=
    4: RAV 4 - 950,000/=
    5: RAUM - 850,000/=
    6: SPACIO - 850,000/=
    7: PASSO - 800,000/=
    8: VITZ - 800,000/=
    9: PREMIO - 850,000/=
    10: ALTEZA - 850,000/=
    11: SUBARU - 850,000/=
    12: CARINA - 850,000/=
    ----------------------------------------
    Gharama hizi zinahusisha malipo ya
    1: Port Charges
    2: Shipping Line
    3: Walfage
    4: Agent Fee
    5: Plate no
    ----------------------------------------
    DM/Piga/Text 0653953900 / 0742996876
    Whatsap +255 653953900
    Company: Mofaz movers
    Location: PSSSF Tower, Samora Avenue
    Dar es salaam, Tanzania
    *NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE
    *NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏
    *NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA NI BURE🙏

  • @tawhidamohd8297
    @tawhidamohd8297 4 ปีที่แล้ว +5

    Kama nimemuona dulvany

  • @Kimbururu
    @Kimbururu 4 ปีที่แล้ว +3

    Kamkatikia wapi?

  • @yusuphiddy2429
    @yusuphiddy2429 4 ปีที่แล้ว +24

    Nyie mnaesema ujinga mbon mnatazama ujinga jiulizen mjinga ninani

    • @latiffertiffer8551
      @latiffertiffer8551 4 ปีที่แล้ว +4

      Mahashuo tu kujifanya watakatifu kumbe minyoo tu mtu anaangalia mpaka video inamaliza alafu anajifanya astaqafiru siangeeka mawaidha huku kafata nn

    • @buguzazuberi3996
      @buguzazuberi3996 4 ปีที่แล้ว

      tunafurahisha macho bwana

    • @aishamuhammad7785
      @aishamuhammad7785 4 ปีที่แล้ว

      Latiffer Tiffer tunafata vichwa vya habari

    • @mtanzaniahalisimungunimwem673
      @mtanzaniahalisimungunimwem673 4 ปีที่แล้ว

      @@aishamuhammad7785 tunafata tunakuta kumbe uongo

    • @albertkadyanji9722
      @albertkadyanji9722 4 ปีที่แล้ว

      @@latiffertiffer8551 hahahahahah lataffer nimekupenda bure Kuna mijitu inakera ni roho za kimaskini tu hawana lolote

  • @adelekabamba3408
    @adelekabamba3408 4 ปีที่แล้ว

    FÉLICITATIONS MUSIQUE CONGOLAISE IYO NI MUSIQUE YA KOFFI PAPA MOBIPA FÉLICITATIONS AFRIQUE YOTE TU KO WA NDUGU NJAMANI VIVA

  • @margarethalyimo5475
    @margarethalyimo5475 4 ปีที่แล้ว +1

    Maneno ya wana muziki hayasikiki😌

  • @RahzyQueenter
    @RahzyQueenter 4 ปีที่แล้ว +1

    Wale mnaosema amefanya makosa kuchezesha music zingine acheni ushamba we are in a modern world pelekeni ushamba kule!hakuna mtu ameangusha udini hapo!ni harusi si mtembee uchi mvue nguo basi muache kucopy wazungu mkiona ni makosa kuishi kama wao na nyinyi mrudi kama kitambo baasi!

  • @bradoxphilemon
    @bradoxphilemon 4 ปีที่แล้ว

    Senje 😅😅254 ndani

  • @mussataliye7815
    @mussataliye7815 4 ปีที่แล้ว +1

    Maulid gan hiyo wanalakujibu mbele ya mungu

  • @suleimanngare6707
    @suleimanngare6707 4 ปีที่แล้ว

    Noma sana big up sana

  • @bienvenuluhebwe
    @bienvenuluhebwe 4 ปีที่แล้ว +1

    Courageux Daimond

  • @shannyrebby8105
    @shannyrebby8105 4 ปีที่แล้ว +3

    Shemeji karibu kwenye familia ya marahaha

  • @johngodwin8281
    @johngodwin8281 4 ปีที่แล้ว +7

    😂😂😂et ujinga ko umepoteza mb zako kuangalia ujinga!!?😙

  • @zainabumkanitenda5666
    @zainabumkanitenda5666 4 ปีที่แล้ว +2

    Acheni Zenu pesa ndokira kitu At a mm nikioata dili lakuingiza pesa nitakuwa zaidi yao

    • @rehemaahmed4804
      @rehemaahmed4804 4 ปีที่แล้ว

      sawa mama pesa ndio kila kitu mbona hazikumzuia mkapa kufa unafaa kukumbuka Arafa ni siku gani

    • @zainabumkanitenda5666
      @zainabumkanitenda5666 4 ปีที่แล้ว

      @@rehemaahmed4804 tatizo duniani umepata shida kwa m ungu ujui unakuta nn

  • @bertywiththepeach3782
    @bertywiththepeach3782 4 ปีที่แล้ว

    Am observing 👀👀👀👀👀hehe Lewo tu 💋💯

  • @nassirmasoud6097
    @nassirmasoud6097 4 ปีที่แล้ว +3

    Tena musiite kua hyo ni maulidi hali ya kua ni Domboloo.Allah atawalaani in sha Allah kwa muyafanyao.kwa cju tukufu hi ya Arafaa.hta hamuoni haya.

    • @angelbwija9547
      @angelbwija9547 4 ปีที่แล้ว

      Usiukumu usijee ukaukumiwa jamani 🤔🤔🤔🤔🤔🤔

    • @asmahoney2771
      @asmahoney2771 4 ปีที่แล้ว

      Yaani

  • @monicaedward1654
    @monicaedward1654 4 ปีที่แล้ว

    Vizuri

  • @dairahally5471
    @dairahally5471 3 ปีที่แล้ว +1

    Hi mauld au maulid n singel

  • @Gtwice
    @Gtwice 4 ปีที่แล้ว

    Simba linachangamkaga sana kwen sherehe libarikiwe

  • @njuka3515
    @njuka3515 4 ปีที่แล้ว +1

    Ninacho mpendeaga Diamond kimoja tu kwenye muziki haijawahi kuharibu hata siku moja

  • @mikailomar
    @mikailomar 4 ปีที่แล้ว +15

    Ukafiri na ulanisi kwa pamoja..

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว +1

      Mungu awaswamehe

    • @chunaamina8719
      @chunaamina8719 4 ปีที่แล้ว +1

      Shetwan amewajaa vichwan, upuuzi tuu waache wasmkumbuke Mola wao ety mauludi😏😏

    • @aminahamis9343
      @aminahamis9343 4 ปีที่แล้ว

      @@chunaamina8719 hii sini kufru jaman tangu limi maulidi ikasomwa hivi Allah atunusuru na hili balaa la usani

    • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
      @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 4 ปีที่แล้ว

      KWANI NYINYI NIKINA NANI MWAEZA HUKUMU MTY?? MUMELAZIMISHWA MUANGALIE??? ACHIENI MUNGU KAZI YAKE YAKU HUKUMU NAMJUE HAKUNA BINADAMU YEYOTE DUNIANI ASIYE KOSEA NYINYI PIA MNAZO THAMBI NAMJUE KILAMTU ATAUBEBA MZIGOWAKE MWENYEWE

    • @Awatee
      @Awatee 4 ปีที่แล้ว

      @@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 Kukumbushana tuu my dear allah ndie hakimu wakila kit ila mambo mengine tumuachie iblis kusikilizana hakuko

  • @halimadaslo7418
    @halimadaslo7418 4 ปีที่แล้ว +1

    Mambo

  • @shaloboy3861
    @shaloboy3861 4 ปีที่แล้ว +5

    Munajisau sana arafa inawapita hivyo

    • @mwanamisikibumi42
      @mwanamisikibumi42 4 ปีที่แล้ว +1

      Hivi ndivyo walivyo fanya arafa ya kiana yao Mungu tusamehe waja wako

    • @buguzazuberi3996
      @buguzazuberi3996 4 ปีที่แล้ว +1

      wanaendekeza dunia hawa ni al,humhum

    • @shaloboy3861
      @shaloboy3861 4 ปีที่แล้ว +3

      @@buguzazuberi3996 al humum watashanga data ikikatika

  • @immaculateaketch9457
    @immaculateaketch9457 4 ปีที่แล้ว

    Yaani hivi ndio watu wetu wa Tanzania wanaponda Raha na sisi huku Kenya tuko kwa nyumba.. lakini yote kheri

  • @shafiimpilika41
    @shafiimpilika41 4 ปีที่แล้ว +4

    Hakika raan imetawala dunia Allah wasamehe waja wako

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 4 ปีที่แล้ว +12

    NIMEPENDA HIYO NGUO YA ESMA

  • @abdibakari641
    @abdibakari641 4 ปีที่แล้ว

    Sijaona

  • @mnebeibrahim8667
    @mnebeibrahim8667 4 ปีที่แล้ว

    Mmenimalizia MB na sijaona akimkatikia

  • @rehemakyungu9434
    @rehemakyungu9434 4 ปีที่แล้ว

    Mambo mambo

  • @NancyMwaibula7634
    @NancyMwaibula7634 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimemuona simba anaonyesha ishara futa jasho usoni kazuchu kakafuta duuh nani ameona kama mimi hahahaha

    • @nasrihamad1849
      @nasrihamad1849 4 ปีที่แล้ว +1

      Mm pia nimemuona

    • @RahzyQueenter
      @RahzyQueenter 4 ปีที่แล้ว +1

      Anamchanua 😂😂 yaani chibu ndo mwalimu wake elewa bado mgeni Kwa haya mambo

  • @faudhiakambona9170
    @faudhiakambona9170 4 ปีที่แล้ว +1

    Sio kwa mauno ayo

  • @mussakiula7481
    @mussakiula7481 4 ปีที่แล้ว

    Na makanzu hayo jamani daah

  • @mustaphahassan589
    @mustaphahassan589 4 ปีที่แล้ว +4

    انا لله و انا اليه راجعون

  • @sahimtourstravel2156
    @sahimtourstravel2156 4 ปีที่แล้ว

    Ni aibu kias gani DIAMOND kuliabisha vaz la kiislam kwenye mizik namno hii. Hii ni laana vazi la bw mtume analifanya hiv

  • @salimbadanga1613
    @salimbadanga1613 4 ปีที่แล้ว

    Diamond nakushauri. Achana na madem wote. Amua. Toa mahari kwa hadija kopq umchukue huyo dogo zuchu. Atakufaa sana. Huyu ni mvumilivu na she is not after money. Tofauti na hao wengine.

  • @haronbasweti4380
    @haronbasweti4380 4 ปีที่แล้ว

    Hiyo

  • @faulatafahmi7733
    @faulatafahmi7733 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kiuono gani alichokua nacho

  • @sharifuhakim1582
    @sharifuhakim1582 4 ปีที่แล้ว +4

    Maulid gn hayo kazi kudhalilisha ilo vazi tu alaf semeni tunatumia vibaya mitandao kwa matusi mi nawambia wallah mungu anawaona mbwa nyie

    • @bennylove6021
      @bennylove6021 4 ปีที่แล้ว

      Ilo vaz la waarabu au waislam?

  • @shanyabuzefa5855
    @shanyabuzefa5855 ปีที่แล้ว

    Kawada dai hapangwingwi

  • @mauadumba1633
    @mauadumba1633 4 ปีที่แล้ว

    😀😀nimecheka kiboya,ametoka jukwaani kakutana na kiuno!!

  • @vumawimbibeachtv4712
    @vumawimbibeachtv4712 4 ปีที่แล้ว +10

    Maulidi sio ayo izo kwaya maulidi hayana ngoma wla vinanda

    • @minnahjay7676
      @minnahjay7676 4 ปีที่แล้ว +3

      Wala apo usikashifu dini ya wengine kwa ujinga wa watu wengine we uliona wap siku ya mkesha wa wakrito wakapiga nyimbo za kidunia ao wameamua kufanya ujinga wao kwa awajui shelia ya dini na wameishika dini vizur ila ujinga unatutawala wanadam

    • @paschalmichael3340
      @paschalmichael3340 4 ปีที่แล้ว

      Kwaya ndo wanafanya ivyo sio

    • @esterlolive6622
      @esterlolive6622 4 ปีที่แล้ว

      We nae umekosa cha kuongea kwaya nd inakua hivy hiy nd maulid yenu

    • @jenipherdamian8784
      @jenipherdamian8784 4 ปีที่แล้ว +2

      Ochu K wewe mjinga nini kunakwaya yahivyo!acheni kukashifu dini zawatu.shida mnajiona mko na utandawazi,sema wanadamu tunapotea

    • @jenipherdamian8784
      @jenipherdamian8784 4 ปีที่แล้ว +2

      Ester Lolive hapo hakuna uisilamu wala ukristo,malaya tu.hawana adabu.nambingu mtaisikilizika.

  • @asmahoney2771
    @asmahoney2771 4 ปีที่แล้ว +2

    Kunakitu diamond na zuchu c kwaishara Izo zakumwambia afute jasho uson

    • @judithmapunda5577
      @judithmapunda5577 4 ปีที่แล้ว

      Kwakweli

    • @bxxjdhokjff6171
      @bxxjdhokjff6171 4 ปีที่แล้ว

      👌zuchu mama ako alisemaje kuwa diamondi akikujaza namm namjaza inamaana jaza uja zwe

  • @newforcejv9721
    @newforcejv9721 4 ปีที่แล้ว +5

    We Queen Da Unamsikilzsha mtoto mikelele yote hyo??

  • @dorismbise2927
    @dorismbise2927 4 ปีที่แล้ว +1

    WAP kin wema kina zar ,hamisa ,mkenya yuko wap nae ,mbona namuona zuchu tu