Mdogo wa Dkt. Mwele Malecela afunguka A-Z alivyomuuguza dada yake nchini Uswisi hadi kifo
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 20 ก.พ. 2022
- #LIVE Mazishi ya Dkt Mwele Jijini Dodoma muda huu
Video kwa hisani ya Rajabu Mchata
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
Instagram: slidedigitaltz
Channel Administered by Slide Digital.
yaani ukiishi ulaya unakua mkweli mama katoa sifa kwa anayestahili lakini sisi wabuza kumpa sifa mtu inakua shida sana .pole sana mama 👊👊👊
Huyu dada ni jasiri jmn nimempenda sana🥰🙏🙏
I listen to this mama every moment hakika una kitu Cha ziada mungu amekiweka kwako.... Mimi na familia yangu tunakuombea
Umeongea vyema sis nimeupenda moyo wa shukrani ulionao
Poleni sana jamani, Rest in peace Dr Mwele, dada umeongea kwa hisia san nimependa jinsi ulivyotoa shukrani kwa wote waliokuwa karibu nanyi na marehemu
Kuna watu wana moyo wa shukurani jaman 🙏🙏
Thank you brother arkie and Angelina for your good gesture
Poleni sana wafiwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu yatimizwe
Poleni wafiwa na Mungu amlipe marehemu kutokana na alivyofanya maishani mwake. Kuna kitu cha kujifunza hapa, Tanzania watoto wa kubwa wana maisha mazuri sana kwa expenses za watoto wa makabwela, watoto wote wa vigogo wengi wao wako Ulaya na ndugu zao , wengine watoto wote na wanakwenda kusoma na scholarships wanazogawana wenyewe huko serikalini , scholarships za ovyo ovyo kama za India ndio wanazitangaza. Ndio maana nchi zingine wana civil war kwa huu upuuzi!
Dada umenigusa sana kwa speech uliyaeleza bila kusoma popote tena kwamoyo wa shukrani nyingi. Umenikumbusha enzi zile za mhimbili mkiwa intern drs pamoja na mtoto wa prof shaba(dr Shaba rip) poleni sana na msiba huu mzito Mungu awe mfariji wenu.
Innalilah wainailah rajiun, Poleni sana wafiwa wote.
Mwenyezi Mungu alimfanyia kila kitu kwa kupitia watu wake. Pumzika kwa amani.
Hongera mzee Malechela kwa malezi mazuri,
Good speech dada wa marekani..
Ona watoto wengi wa vigogo wako Ulaya wana maisha mazuri , Ila Julius Nyerere watoto wake ni wa kawaida tu . Nina heshima kubwa sana kwa mwanamapinduzi Julius Nyerere hakuwa selfish na alifanya alichosema ndio maana ukoo wake hauko Ulaya na hakujilimbikizia mali. Hawa wote wengine ni wabinafsi na wamejaa nepotism
Appreciation.
Nadhani mama naye amechangia, watoto wamelelewa vizuri
Poleni sana familia ya Samwel Malecela na familia ya Mwaipopo kwa kumpoteza mpendwa wetu Dr. Mwelle Malecela. Mungu ailaze roho yake pema peponi, Amin.
Poleni sana sana. Mungu pekee aweza kutoa faraja tulivu.
Poleni sana Familia ya Malechela na familia ya Mwaipopo.Mungu awatie nguvu na kuwafariji.