mapenzi ya kweli ayajifichi amakweli odama na Stewart ❤❤ mungu ni mwema mtunze sana mume wako 🤩 huyo ndy mume kutoka kwa mungu kwenye maisha kuna ya kupanda na kushuka pongezi sana kwa odama kuwa mvumilivu kwenye mausiano yenu mapenzi ya dhati odama una upendo na huna tamaa ndoa siyo jambo la mchezo ❤❤
Kwani kucomment izi ni aramu,my sweet person congratulations 👏👏👏 my sweet person wetu Lucas Lumbasi kwa kazi nzuri unatupatia mungu azidi kukubariki sana kaka yetu ❤❤🎉🎉🎉
Simulizi Zuri YanKufurahisha Pongezi Kwa Steward Na ODAMA Tuwe Waaminifu Na uwazi Katika Mapenzi Kuaminiana Na Sisi Wasichana Tusipende Mali Tupende Kwa Upendo Tuinge ODAMA Kupenda Sio Kupenda Mali
Asante sana Lucas Lumbas Kwa simulizi tamu yenye mafunzo kama nawe ndiyo Kwanza unaangalia huku ukisoma comment tujuane Kwa like ili tuende sawa ✅ love you All 😊
Kupendana c haeamuuuuu,,,,dini inaruhusu Lucas Lumbas nawapa ongera yao kwa kupambania ndoa yao Mungu awabariki na voic speker wetu,,,kuaga c haeamuuun
ODAmA Mtunze vizuri huyó ni mumeo wa kipekee sana
Mapenzi ni matamu unapo patana na mtu sahihi katika maisha yako zaidi alie na hofu ya MUNGU
Kaka lucas nakupenda sana kwa simulisi nzur kwani kukupenda ni haram kaka lucas nivokupenda serekali iingilie kati mauwa yako🎉🎉❤❤❤❤
Tim odama nione like zenu 🎉🎉🎉
Wao
kupendana alamu dini inaruhusu ❤❤❤
Mmh mm nimewahi leo❤❤❤❤ nipen maua yangu
mapenzi ya kweli ayajifichi amakweli odama na Stewart ❤❤ mungu ni mwema mtunze sana mume wako 🤩 huyo ndy mume kutoka kwa mungu kwenye maisha kuna ya kupanda na kushuka pongezi sana kwa odama kuwa mvumilivu kwenye mausiano yenu mapenzi ya dhati odama una upendo na huna tamaa ndoa siyo jambo la mchezo ❤❤
Asate.mungu.kwaku.nifiki.chasikujema..nimejifuzamengi
Kupendana siharamu dini inaruhusu nikupe mauwa yako🌹🌹🌹
Duuuh!! Nimefurah sana kama me ndo odama hatimae boss karudi jaman nina furaha sanaaaa❤❤❤😂😂😂
Niko na raha sana listen from Uganda
Nyie mmnao valishwa pete chumbn amna kitu 😂 just imagine on the ceremony aiiii🥰🥰
Nawapenda kaka na dd❤️❤️❤️❤️
Lucas lumbasi nice job pamoja sana broo ❤❤❤🎉
🎉🎉🎉
Wow,kazi nzuri kaka,From 🇰🇪,much ❤.
Shukrani sana Mungu awatanguriye kwasimurinzi tam
Nimefurah mno, wapo wanaume wa kweli na wametulia kabsaaa
Nlisema jana mm aya nipeni maua yangu namakiss kiss,,iyo ni km best wife zama izo tukiwatch banaaa😂😂😂
Ubarikie kaka na kazi zako
Wa kwanza jaman like zangu
Napenda sana simulizi zako Lucas lete nyingine
Asante kwa kutuletea itamu wetu bro lucas maua yako haya🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Alhamdhullilah kwa kuiona hii siku na masaa hadi kupatana ndani ya hii familia kubwa ya lls.
Alhamdhulilah
Hongera lucas lumbasi
God bless 🙏🙏 you Odama and your couple I love you 🙏 all ❤ from Kenya 🤝👍🤙 thanks kwa msimulizi brother Lucas lumbasi I love your simulizi sana ❤❤🎉
Nimejifunza mengikwaodama
When Jesus says YES no one can say no….. Funzo Kubwa
Nimefurahia simurizihiitamusana nainamafunzo
Umeuwa my broo❤❤❤❤❤❤❤ nimependa nimejikuta nashirikiana na washangiliaji
😊😊😊
Pole
😅😅😅🙈
😂😂😂
ODAMA Alifanikiwa Kwa Mtihini Wake Steward Alimujaribu Alijua Yeye Ni Mwanamuke Wa Ndoto Zake
Haya ndio mapenzi sasa s akina yakhe wakudanywa ❤❤❤
Nzuri mno na inafundisha na kuburudisha
Lucas wajuwa kuimba kweli simulizi nzuri sana nimependa upendo wao sana mungu awalinde wazidi kupendana sana❤❤❤❤
Nyie yatima wa mapenz tuna teseka tukiwa wap jaman awa wanaume wa sayar hii ni wap nitafute wangu mm 😂😂😂😂😂
Vumilia ndani ya Lukas lumbasi simulizi hautajutia❤
Na kweli atuta teseka ila wanatunyooshaa awa ma kaka ma hand some
Nainjoy san kuskiliza simulizi za uyu mkaka😊🎉
N'a mm nimependa odama ni shuja kwa kwel
Sio alamu dini inaruusu❤
I love the song 😂😂 lucas unajuwa kucheza na sauti za watu . Big up broo❤
Kwani kucomment izi ni aramu,my sweet person congratulations 👏👏👏 my sweet person wetu Lucas Lumbasi kwa kazi nzuri unatupatia mungu azidi kukubariki sana kaka yetu ❤❤🎉🎉🎉
Waaaah mko rada❤
Jamani odama nitakumis sana kupendasiyo halam dini inaluhusu
Kupendana si haramu dini inaruhusu mach love ❤️ 🇰🇪🇰🇪
Simulizi yakwanza aikuwa na usaliti naipenda
Simulizi Zuri YanKufurahisha Pongezi Kwa Steward Na ODAMA Tuwe Waaminifu Na uwazi Katika Mapenzi Kuaminiana Na Sisi Wasichana Tusipende Mali Tupende Kwa Upendo Tuinge ODAMA Kupenda Sio Kupenda Mali
Waooo Odama nzuri sana ni wanawake wachache sana Mungu awabariki❤
Uwiiiii bonge la suprise
Mungu akikupa ananakupa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Lucas sssssss kumbe unajua kuimba😅❤❤❤❤❤
Rwanda tunakufuatilia
Jamani nzuri sana ❤
Jamani nimechelewa lakini nimefika like zangu 5🎉🎉🎉🎉
Asante sana Lucas Lumbas Kwa simulizi tamu yenye mafunzo kama nawe ndiyo Kwanza unaangalia huku ukisoma comment tujuane Kwa like ili tuende sawa ✅ love you All 😊
Nakupendakwasababuunamtangulizamngukakalucas
Hongera kwako mwayaaa Odama maana sio kwa mapenzi hayo unayopewa na huyo bwanako❤❤❤❤
Uwi jamani nimecheleweshwa na mboga Asante Sana kaka lukas Kwa simulizi tamu Sana mashalah❤❤❤❤
Wa kwanza leo😂😂😂❤
Asante sana kaka Lucas simulizi nzuri na sauti nzuri kama ya ANKO WETU❤❤❤❤
Woow asante lucas nimeinjoy na nimejifuza kitu kwani kupenda ni haram 😂😂😂one ❤❤❤❤ bro 💋💋💋💋💋💋🥰🥰🥰
Sisi Mayatima Wa Mapenzi Sasa Maskini Ya Mungu Tunaishia Kustaajabu Ya Odama & Stewart Na Kuyaona Ya Matha 😊
Kwakweli😂😂😂😂
Waooh MashaAllah simulizi nzuri tu sana yenye mafundzo mengi. Shukran sana Mr. Lucas.kupena si haamu dini inaruhusu. From+264
Nice simuliz Kaka lukas
🎉🎉🎉🎉🎉jamani wa Kwanza mnipe like zangu Kama zote
ODAMa mwanamke hondari aliye vipiga vita vilivyo vizuri kushinda najaribu na mtihani yote aliyopewa
Thxxxxxxx Mr Lucas ❤❤❤❤ Nice job
Dah.😢nimependa sn hii simulizi .. kwakweli imenifunza..Ila mm Sina Imani na mapenzi..mungu akubariki sn odama..
Kupendana sio haramu na dini inaruhusu.ongera sana brother lumbasi🎉🎉
Nzr sana ina mafunzo sana hii simulizi ina mingi yakujifunza❤❤❤❤🎉🎉🎉
Hii inatufunza sisi wanawake tusiwe na tamaa na mapenzi sio pesa mapenzi hutoka moyoni
Thanks iyi ndio story ya maisha nashukuru sana kwa inteligente yako ya ufafanunzi Mungu akubariki Sana ODAMA
asante kwa elimu nzuri ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
😂😂😂Astaghfirollh mapenz ni haram... Anyway nimeipenda San simulizi hii ❤🎉
Nzuri Dana
Funzooo kubwaaa mnooo
Kama huu upendo wa odama na stywat upo kweli, mungu Anipe na mm
Kupendana c haeamuuuuu,,,,dini inaruhusu Lucas Lumbas nawapa ongera yao kwa kupambania ndoa yao Mungu awabariki na voic speker wetu,,,kuaga c haeamuuun
Nashkuru Mungu nimzima wa afya kabisaaaaaaaaaa nanimependa apo kwa makofiiii😂😂😂😂
Sio Haram dini unaruhusu 😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
Asante sana lucas lumbasi kwa story nzuri sana na yenye mafunzo mazuri
Wow🎉 Kwanza nashukuru mungu nimepata bahati ya kuiskiza hadi mwisho..pili kupendana sio haramu , dini inaruhusu😂😂
Hiii nmeipenda Sana nashukuru mungu nlianza 1😂😂
my the lord protects you always and your family
Simuliz za Lucas sio halamu vitabu vya dini vinaruhusu😂😂
Asante kaka lucus na ubarikiwe mungu akujalie kila hitaji lako uzidi kutuburudisha
jaman jaman Leo nimewahi wa kwanza kabisaa ndani ya odama 🔥🔥
Hongera dear🎉
Ntjitahd Kua dada mwema kama dada ake odama such kind sister❤
Kwa hakika nimefurahishwa na hii simulizi hii ya odama na sitewas tamu sana jamanii!❤❤
Asante kwa simulizi Yako tamuIlove you Mr,Lucus mazuri yote sio haramu😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
Asent mungu kwa siku ya leo 🤲🤲nawapenda jamani team storage ❤❤🎉🎉😊😅😅
Mungu baba yuko na watu wake na shatani yuko kazini mchana na usiku kuharimbu watu kuhuwa asente Sana Lucas lumbasi
Jmn nafurah kwa ajli yko odama story yko n tamu xaaaaana
kuishia 5 ni haramu babaa
asante sana mungu kwa neema zako kwa kutupa uzima hadi mda huu Amina 🙏🙏🙏
Wow Odama anaupendo sanaa🎉🎉🎉🎉❤❤
😂😂😂😂😂sasa kwann stewat alimwambia Odama hana pesa ya ku la muda si mrefu lakin daah ❤❤
Asante kwa kutueka bz kwa mafuzo yamaisha
Lucas. Umtushinda. Tabia. Mpaka. Namakofi. Kasikika. Ww. Nimtuwaviwango. Vyaju❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mashallah kaka rukasi tabarak Allah
My personal sweet Lucas nikikupenda ni haramu??
Dini hairuhusu,😂😂😂😂duuh😊
🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao Lucas
Mungu atubariki amin ❤❤❤❤