Aziz Ki amfanyia surprise Rais wa Yanga, Hersi Said

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • “Surprise” ya Stephane Aziz Ki kwa Rais wa Yanga, Hersi Said ambaye jana alikuwa anasherehekea kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa.
    Wananchi leo wapo katika dimba la Toyota kumenyana na Kaizer Chiefs kwenye mchezo wa Toyota Cup.
    #YangaSC #KaizerChiefsVsYangaSC #KaizerChiefs #YangaSC

ความคิดเห็น • 39