Katika zile huduma 5 yesu aliziacha moja wapo ulionayo ni uwalim nami nimefanyika kuwa mwanafunzi na nina hakika kuna vitu vichafu vinahama automatic kutoka kwenye moyo wangu na kubaki moyo saf yesu akutumie na kwa wengine ambao hawaerewi maandiko na mungu akubariki
Amen mungu wambinguni atushindaniye
Ubarikiwee saaaana papa.tunajengwa kweliiiii. Tuna recevoir kwa jina la Yesu Christu.
Mafundisho ma nzuri sana,mungu akuzidishie mengine zaidi
Mungu apewe sifa kwa mahubiri nzuri
Merci sana mutumishi wa mungu maneno yako inatuvitiyaka sana
Bwana asifiwe 🙏🙏
Na Shukuru. Sana kwa kupata hii MAFUDISHO
Mungu wangu KATIKA JINA LA YESUS NI MEMU BARIKI SAANA
PASTEUR MUNGU MWEMA HAZIDI KUKU TUMIKISHA DAIMA
Amen Amen mungu akubariki
Asante ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Amen saana mtumishi wa Mungu
Amen and thank you so much my Pastor kwa iyi mahubiri kuhusu Ndoto. Tumeelewa mambo mingi kabisa
Amen 🙏 pastor God bless you
Amen na tena Amen ubarikiwe saana mchungaji.
mungu akubariki kwakazi
I appreciate your teaching apostle Tikiko
Amen Amen MUNGU akubariki sana baba umeni fundisha megi sana kabisa
Keep going on that way Pastor.
AKSANTI SANA MUNGU BABA KATIKA JINA LA YESUS NA SHUKURU SAANA KWANKU PATAHII MAFUDISHO
Que Dieu vous bénoisse Homme de Dieu
Ooooh Daddy, ubarikiwe sana kwa sababu mafundisho hii inanisaidiya sana.
MUNGU akutumikishe tena ki zaidi.
Asante baba mtumishi
This man of God is very smart
Mungu aku bariki sana Pasteur Gabriel
Amen
Past. Ingalao mafundisho ni mazito, namchukuru Mungu ambaye amekufunilia haya. Ni ufungulivu kamilifu. Bwana akuzidishiye mchungaji.
Yes Man of God! Najifunza mengi juu ya masomo yako. Ile clip kwanba wakikusema ya nini kuwauluza imenifunza kwa sana! Be blessing Man of God!
Amen paster mungu akubariki maranyingi nikikusikia najiisi nikuone siku moja ndani ya maisha yangu
Am blessed and understand dreams and how to pray upon them
Mutumishi ubarikiwe
glory to God...watching fron nairobi kenya
Ooooh shetan kaharb sana roho ya kufikir na kujifikir sana ,, MUNGU Atutie nguvu sana sana
God give me victory always in my dreams 🙏🙏🙏🙏
Pole sana
Apôtre Gabriel baba unapataka wapi mahubiri ya namna iyi, ubarikiwe.
Katika zile huduma 5 yesu aliziacha moja wapo ulionayo ni uwalim nami nimefanyika kuwa mwanafunzi na nina hakika kuna vitu vichafu vinahama automatic kutoka kwenye moyo wangu na kubaki moyo saf yesu akutumie na kwa wengine ambao hawaerewi maandiko na mungu akubariki
Asant Mungu kwa kumleta mtumishi wako
Papa Gabby,mungu akubariki kwa mafundisho yako....ina ni jenga saaaana,ina nipa tena nguvu na tumaini ya kumutafuta mungu kwa kweli na haki.
Amen Daddy Apotre Gabriel Tikiko
Amen papa
Amen
vraiment des prédications édifiantes Papa Gabriel
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU.
Amen amen amen papa.
God gives me victory upon my dreams. And I refused all dead visitation upon my life in Jesus Christ name.
Iyi mafundisho ni ya muzuri sana juu inanisadia
Mungu aku ongezeye baba. Ninge penda sana ku pata suite ya iyi thème.
Lord help me to remember all my dreams in the name of Jesus.
Amen 🙏🏾
Merci beaucoup mon pasteur
Mon pasteur que le seigneur te fasse du bien
Ameeeeen ameeeeen
God bless you a lot apostle
Amena
Ubarikiwe sana pastor.
Amen dady somo iyi ni ya maana kwangu mimi
Lord protect me and my family against the dream of the dead people
Microphone mtumishi, kuna sauti inatoka vinzuri tena inaenda kwa mbali,uwe na tia Microphone vinzuri mtumishi
Lord have mercy on us and protect us from bad dreams 🙏🙏🙏🙏
God bless you man of God.
Mutumishi asante sana kwa mafundisho iyi nasikiya nimefunguliwa
Amen.
Nikweli
Glory to Jesus
Bonjour! Tuna weza pata suite ya iyi mafundisho?
haukoneshe ndoto ya kinabi donc haukuyi fafanua
Amen
Amen
Amen
Amen
Amn amn