Stewart Mwakasege Ft Christopher Mwahangila - Ni Yuleyule (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 134

  • @elianagamaliel6643
    @elianagamaliel6643 7 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa saana🎉🎉

  • @duncanmulu2450
    @duncanmulu2450 7 หลายเดือนก่อน +1

    Motoooo fireeee🎉🎉
    🔥🔥🔥🔥💯💯🇰🇪

  • @shanicechemariech3774
    @shanicechemariech3774 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli ni makubwa 🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 barikiwa sana ndugu yangu stewart🙏

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  7 หลายเดือนก่อน

      Ameen Sana Sanaa ...Barikiwa mno

  • @AngelErisha-fd9hy
    @AngelErisha-fd9hy 7 หลายเดือนก่อน +1

    umeimba wimbo mzr sana umenigusa mm yale yote niliyopitia mwaka jana hakika yesu anaweza na nakuombea akuinue juu zaid maana nyimbo zako zote huwa zinanibarik sana

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  6 หลายเดือนก่อน

      Mungu Azidi Kukutendea kila iitwapo Leo..

  • @edwardkisusuofficial
    @edwardkisusuofficial 7 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mchungaji kaz nzuri sana

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  7 หลายเดือนก่อน

      Ameeen sana Kaka Angu kisusu
      Barikiwa sana

  • @rahabusanga1559
    @rahabusanga1559 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika huu, wimbo unagusa watu weng ikiwemo mimi nikikumbuka naweza anza kulia ..huyu Mungu mwachen aitwe Mungu

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  7 หลายเดือนก่อน

      Ameen Sana Mungu Azidi Kukubariki..
      Na kukuinua...

  • @thom_sechuma
    @thom_sechuma 7 หลายเดือนก่อน

    Kazi njemaa 🔥 sanaa

  • @Mggiecharleskui
    @Mggiecharleskui 5 หลายเดือนก่อน

    Who else listened this song thousands times piteni na likes na mnipitie❤️

  • @GastoMwalyaje
    @GastoMwalyaje 7 หลายเดือนก่อน

    Amina mbarikiwe sana Watumshi wa MUNGU

  • @jumachango
    @jumachango 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huu wimbo ni mzuri sana wakubariki na kutia moyo Mungu akubariki sana kaka

  • @Helal_gameHlalFimely
    @Helal_gameHlalFimely 3 หลายเดือนก่อน

    Mbn kama nmechelewa kuijua hii nyimbo mzr sana mungu ametenda makubwa sana kwangu

  • @PAULMPINGA-jo5vz
    @PAULMPINGA-jo5vz 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mtumishi, wa Mungu stewart hongera Baba Umecho kiimba(Nimulemule kk) au Ulijuaje? .. ulivo act Ndicho niliwahi tendewa Darasani(ila Mungu atabaki...., hatukati Tama🙏) . by Gosple singer Godbless Fanuely🙏

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  7 หลายเดือนก่อน

      Ameen Mtumishi Mungu Amekukumbuka

  • @kerrykerry1923
    @kerrykerry1923 5 หลายเดือนก่อน

    This song deserves more recognition. It is so inspirational.

  • @WasafiMakwela
    @WasafiMakwela 6 หลายเดือนก่อน

    MUNGU WAMBINGUNI MKUBWA ❤❤❤ THANK YOU SO FOR POWERFUL SONG 🇿🇼🇿🇼🇿🇼💓🙏🙏🙏

  • @zawit6221
    @zawit6221 7 หลายเดือนก่อน +2

    Njoo mie ule saa nilipata magonjwa ya tension mwaka jana barafiki yote balinikimbia nikajikuta mie pekee na mungu wangu nisema akose batu bameona kama mie nakufa njoo maana bamekimbia lakini mungu ametenda kwangu ni makubwa kuona ningali na pumzi mpaka leo iyi ni nyimbo yangu mie mungu ametenda kwangu ni ma kubwa siweze kuieleza ata kiloko iko mingi saaaana aksanti kwa iyi nyimbo mungu aendelee na ba booster energi yenu

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  7 หลายเดือนก่อน

      Sifa na UTUKUFU KWA MUNGU
      MUNGU azidi Kukutendea Mambo Makubwa MAISHANI MWAKO.

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  7 หลายเดือนก่อน

      Sifa na UTUKUFU kwa Mungu aliye Juu..Mungu azidi kukufanyia MAKUBWA MAISHANI MWAKO MWAKA huu

  • @ObediMwakapiki-yv7kf
    @ObediMwakapiki-yv7kf 7 หลายเดือนก่อน

    Hongera ndugu yangu wimbo mkubwa sana

  • @RehemaPaul-vn5tz
    @RehemaPaul-vn5tz 7 หลายเดือนก่อน +1

    Umeimba kitu ambacho kimegusa maisha yangu nyimbo zako huwa zinanibariki saba

  • @issacksheduli
    @issacksheduli 7 หลายเดือนก่อน +1

    You're always awesome brother 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
    MUNGU WA AJABU SANA BROTHER

  • @Babanaifah
    @Babanaifah 7 หลายเดือนก่อน +3

    Nyimbo kali ila kma ningekuwepo kwenye kamati kabla ya kutoa ningesema hii mda WA kuachia ilikuwa bado 🙏🙏

  • @vitusadam9964
    @vitusadam9964 7 หลายเดือนก่อน

    Haujawahi kutuangusha Stewart mwakasege always unatubariki nanyimbo zako mungu akutunze sana🎉

  • @msifuanyingisye1510
    @msifuanyingisye1510 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka angu mwenyewe kabsa nguvu mojaa mungu aendelee kukutumia kwa viwango vya juu kabsa

  • @Angel_tz
    @Angel_tz 7 หลายเดือนก่อน +1

    🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

  • @michaelfanson7
    @michaelfanson7 7 หลายเดือนก่อน +2

    Barikiwa sana kaka Mungu akuinue Zaidi

  • @issacksheduli693
    @issacksheduli693 7 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU AKUBARIKI SANA KAKA ...KAZI NZURI SANA BROTHER.

  • @mshambawayesu
    @mshambawayesu 7 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa Sanaaaa Mtu Wa Mungu ❤

  • @felistermwaketi8604
    @felistermwaketi8604 7 หลายเดือนก่อน

    Kaz nzur sana ubarikiwe sana Mungu azid kukutumia kwa viwango vya juu

  • @pauldaniel6227
    @pauldaniel6227 7 หลายเดือนก่อน +1

    Oya mtoto wa mwakasege nn mwalim wangu

  • @dkdinno
    @dkdinno 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu anazidi kuku inua katika viwangu vingine

  • @abelmapunda1326
    @abelmapunda1326 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali brother najifunza kupitia ww nakufwatilia sana mm ni mwimbaji niko mbeya nimekufwatilia saaana Barikiwa saana na mm kazi zangu ziko TH-cam

  • @emanuelhancy619
    @emanuelhancy619 7 หลายเดือนก่อน +2

    Oooooo hallelujah ubarikiwe mnoo

  • @Officialyoungboy2
    @Officialyoungboy2 2 หลายเดือนก่อน

    Nabii mkuu nakubalii sanaa

  • @TonysBoy01
    @TonysBoy01 7 หลายเดือนก่อน +1

    Stew nibong 🙏🙏were makidea 👏👏

  • @bahatisimwiche
    @bahatisimwiche 7 หลายเดือนก่อน

    Ngoma Kali Sanaa Ubarikiwe Mtumishi

  • @CharlesBen-z3u
    @CharlesBen-z3u 7 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa zaidii mtumishi Stewart mwakasege na imani unaitendea vizuri kazii ya mungu wetuu

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  7 หลายเดือนก่อน

      Ameen Mtumishi wa Mungu Barikiwa sana sana

  • @mrbwafumba226
    @mrbwafumba226 7 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kaka yangu

  • @salomefred4161
    @salomefred4161 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe Sana Mungu azidi kuinua zaidi

  • @mrnickmusician7139
    @mrnickmusician7139 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mtumishi keep it up 🇰🇪

  • @MELALYLUVANDA-ir8dm
    @MELALYLUVANDA-ir8dm 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi n Yule Yule 🔥🔥🙇🙇🙇

  • @GloryMarialle
    @GloryMarialle 7 หลายเดือนก่อน

    hakika mimi ni yule yule

  • @Lexerjoh
    @Lexerjoh 7 หลายเดือนก่อน

    Nmeona mje na nyingne 🔥🔥🔥🔥

  • @FloridahAkeyo
    @FloridahAkeyo 7 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri,endelea kutubariki na Mungu akuinue

  • @nyanjilaneke4931
    @nyanjilaneke4931 7 หลายเดือนก่อน

    Blessed blessed ❤

  • @rehemamatembo
    @rehemamatembo 7 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana kaka angu. Endelea kutubariki Kwa nyimbo nzuri

  • @mwakapetafrank
    @mwakapetafrank 7 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana atukuzwe kwa ajili yako

  • @kreymbalawe4488
    @kreymbalawe4488 7 หลายเดือนก่อน +1

    Keep it l ❤

  • @dicksonstephen8229
    @dicksonstephen8229 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen kaka tumeipokea....

  • @gidionmibaluro7085
    @gidionmibaluro7085 7 หลายเดือนก่อน

    PICHA YAKO NINAYO MKUU.........GOOD SONG KAKA.............TKO PAMOJA SANA

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  7 หลายเดือนก่อน

      😂😂Mtumishi Barikiwa sana

  • @annamulungu2876
    @annamulungu2876 7 หลายเดือนก่อน

    Great!

  • @Junioreliasi.
    @Junioreliasi. 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mbalikiwe Sana watumishi

  • @veronicathomas9422
    @veronicathomas9422 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mbarikiwe sana

  • @Amulinybz
    @Amulinybz 7 หลายเดือนก่อน +1

    God bless you more

  • @wilhardjohn8287
    @wilhardjohn8287 7 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥

  • @douglasmugondi
    @douglasmugondi 7 หลายเดือนก่อน

    Waiting here

  • @Suraiyanurdin
    @Suraiyanurdin 7 หลายเดือนก่อน +1

    Fire

  • @okitalanta5665
    @okitalanta5665 7 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥man of God big up your self 🙌🙌

  • @catherinekyalo5474
    @catherinekyalo5474 7 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🙏🙏

  • @jonathanmwakai2821
    @jonathanmwakai2821 7 หลายเดือนก่อน

    Waiting

  • @JosephkNtiga-ww8uz
    @JosephkNtiga-ww8uz 3 หลายเดือนก่อน

    Suluwali ya mwahangila😅

  • @RehemaPaul-vn5tz
    @RehemaPaul-vn5tz 6 หลายเดือนก่อน +1

    kaka Mungu azid kukutumia tunabarikiwa sana

  • @betinaraphael1836
    @betinaraphael1836 7 หลายเดือนก่อน

    Kazı nzuri

  • @JeniphaJeniphadida
    @JeniphaJeniphadida 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤

  • @Zuripha
    @Zuripha 7 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉

  • @asifiwe-wj9qv
    @asifiwe-wj9qv 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤