Nikweli da gres me ngoz yakichwa inauma na kuwasha Yan hata nikisuka nywele za mkono nakaanazo siku 2 maana sio kwa kujikina huko alafu natokwa na vipele nikijikuna Damu inatoka
Mm nili paka mafuta ya Casto oil mpaka sasa ngoz bado una niuma na kichwa Changu kina madonda maana na jikuna Sana mpaka sitamani Tena nywele zangu mpaka Naya chukia mafuta ya Casto oil sipaki Tena nili nunua chupa mbili najuta
Da Asante Sana mi Ngozi ya kichwa inaniuma hata kijishika siwezi Ndio nikasema emu nisachi inasababishwa Na nn? Asante Sana nimepata jibu mi Nina tatizo la madini chuma Na saivi IPO very bad naisi itakua Ndio sababu...labda nikulize nifanye Nini kutokwa na hili tatizo dear?
My dear usijaribu kupaka castor oil kwenye ngozi ya kichwa. Castor oil ni kwa nywele pekee. Pole sana. Acha kutumia castor kwenye ngozi na pia anza kuweka unyevu na utumie mafuta ya olive au coconut yale pure. Au tumia mafuta yetu ya scalp oils
@@gracebimz7935 kweli kabisa asante Sana ila alie niuzia ndo ali niambia nipake kwenye ngoz ya kichwa na kwenye incha ya nywele ndo namm Nika Fata kama nilivyo elekezwa

Pole sana dear. Anza kuweka unyevu wa kutosha, kisha fanya massage kwenye ngozi ya kichwa
Acha kuchana nywele kabisa
Mm nili paka mafuta ya Casto oil mpaka sasa ngoz bado una niuma na kichwa Changu kina madonda maana na jikuna Sana mpaka sitamani Tena nywele zangu mpaka Naya chukia mafuta ya Casto oil sipaki Tena nili nunua chupa mbili najuta
we kama mm yan nywel za mkon siku 2 zinafumuka
Dada G mi ninanyoa lkn ngozi inaumaa mpk kunyoa natoka machoz
👍🏻
🥰
Da Asante Sana mi Ngozi ya kichwa inaniuma hata kijishika siwezi Ndio nikasema emu nisachi inasababishwa Na nn? Asante Sana nimepata jibu mi Nina tatizo la madini chuma Na saivi IPO very bad naisi itakua Ndio sababu...labda nikulize nifanye Nini kutokwa na hili tatizo dear?
Na mm NAUMIA ngozi inaumaa hata mnyoosho nikisuka
Habri Dada mm natatzo la MBA kichwan nimetumia mafuta mengi lkn bado tatizo je wanishauri nitumie mafuta gani iliniondokane na hilo tatzo.?
Mmba n nini
Hata mm ngozi ya kichwa huwa Ina niuma Sana mpaka vidonda vina nitoka toka nili anza kupka mafuta ya Casto oil
My dear usijaribu kupaka castor oil kwenye ngozi ya kichwa. Castor oil ni kwa nywele pekee. Pole sana. Acha kutumia castor kwenye ngozi na pia anza kuweka unyevu na utumie mafuta ya olive au coconut yale pure. Au tumia mafuta yetu ya scalp oils
@@gracebimz7935 kweli kabisa asante Sana ila alie niuzia ndo ali niambia nipake kwenye ngoz ya kichwa na kwenye incha ya nywele ndo namm Nika Fata kama nilivyo elekezwa
@@zainabufaidhi4799 hapana dear haipakwi kwenye ngozi na watu wengi wakitumia kwa ngozi inaleta shida sana
@@gracebimz7935 shukra Sana kipenz
@@gracebimz7935nimejifunza Asante Sanaa lava😘