My brother kazi zuri ....nakuombea mungu uendelee kupaa juu ....zaidi ..pliz wacheni tuendelee kushikilia our brother .....it's not about us it's about God...
This song will always stay relevant even after 100yrs...Those reading this just know that this minister spoke to our souls during our time 🙏 #Majerofirestarter say so
Yeah that's my prayer each day,that those who wait for our downfall will see us moving from glory to glory. You too may you receive what you always pray for.
2023 kwenda juu hadi next year in Jesus name 2024 no going back going forward .2024 - to forever .God is my protector no one can stop mi.bi blessed guardian.Utazidi kwenda juu
Hereni, kutembea, nywele, mmmh, mapete, kweli kijanabwa Kikristo unaenezaje ushuguda wa Yesu ukiwa smati, acheni kuchafua injili Yesu sio wa hovyo kanyoe nywele na ukae wa kiume na.hizo hereni zitoe. Kwanza hujapendeza.
Nikimuona nitamwambia anipee maisha marefu yenye baraka na fanaka zake mola,anipee kazi nzuri,anipee nguvu na uwezo nilee watoto wangu,niwasomeshe vizuri wawe watu wa kutegemewa later in future.God may you hear my humble prayers.
Have been listening to you in radio milele,that God uses our pastors priests to minister to us where they break down God's word n that's when you use songs to bless other people.God bless you
😢 😢 this is powerful sir,,,,more grace to you,,, it deserves more than 10M views... To everyone reading this,,,I pray that God will take you from glory to glory....wewe hutaanguka mbali utazidi kwenda juu.
For the first time to listen to your song Nimepatana na hii song tiktok Mpaka nimekuja kutafuta But imeniinspire keep going Am your biggest fan from today
Mungu akubariki na azidi kukuinua juu zaidi with ua Gospel songs good song en the combination of words are of high quality u will go far Guardian Angel bblessed
In 2090 if we shall nolonger exist please those who will exist just know this guy was our legend at our time
I will be in Jesus name
Absolutely
Amen 🙏
Ooh yes
Funny😂
Mnaongoja nirudi chinipeweni soda mkunywe...mtangoja sana mchoke bure tafuteni viti mkae
Mungu amekufanya uwe nuru kwa ulimwengu keep on and God bless you forever
"Nzambe apambola yo papa Guardian," Bina na respee
My brother kazi zuri ....nakuombea mungu uendelee kupaa juu ....zaidi ..pliz wacheni tuendelee kushikilia our brother .....it's not about us it's about God...
Sure
Ameen
Amen.
Amen
@@mariaweks8985àq
This song will always stay relevant even after 100yrs...Those reading this just know that this minister spoke to our souls during our time 🙏 #Majerofirestarter say so
It's really a blessing 2024 still here
❤
Wow muziki wenye mawaidha safi bro big up brother inanijenga sana gurdy
Bro kazi safi
Siunipee corabo moja I like your songs Kwanza Hii TUNAZIDI KWENDA JUU
Amen ni kukwea upper levels.
Endelea kupaa kaka , nyimbo zako zanitia nguvu sana kila kujao🙏
Unazidi kwenda juu Mtumishi wa MUNGU Guardian Angel ninazidi kwenda juu❤❤❤
Yeah that's my prayer each day,that those who wait for our downfall will see us moving from glory to glory. You too may you receive what you always pray for.
Hello bro am Chris Praize the upcoming urban gospel artist how can I reach Seben Heaven Music
Good song
Amen 🙏
Amen,,, dunia si mbaya,, watu ndio wabaya, kijana ya kukhu Uko na talent
Ubalikiwe Kwa ujimbe mzuli mung akuzidishie neema
Baba WA mziki ,,,KAZI swafi ,,,,,endelea kupaa juu ,juu sana
2023 kwenda juu hadi next year in Jesus name 2024 no going back going forward .2024 - to forever .God is my protector no one can stop mi.bi blessed guardian.Utazidi kwenda juu
Amen watangoja Mpaka wachoke.
be blessed brother i like this song❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Guardian ako na sauti nzuri.the massage is very clear.i love this
Wivu ni sumu ita kumaliza 🙌🙌🙌
Kweli kabisa mtumishi watagoja sana......tutazidi kwenda juu
nabarikiwa sana huu ujumbe Mungu akuinue kwa kiwakiwango kingine
Tunazidi kupandishwa juu na dad, from glory to glory
Hii imeweza sana mimi misanii ila kwa hii song nime kuwa shabiki wako uko na sauti nzuri na kipaji kipo vizuri I wish tufanye kazi pamoja
The only gospel artist we have in Kenya May God bless you brother
YOU ALWAYS BLESS ME GUDDY....WATAFUTE KAZI WAFANYE ..
AMEN
Nipitie kwangu
Asante sana my favorite artist.asante kuwakilisha watu wa butere shiatsala.. more love from home..
Tunazidi kwenda juu from Glory to Glory! Be blessed Guardian Angel!
Be blessed Guardian Angel
Hi ngoma ni kali Gadian engal wakati nitakupata nitakua sawa sana kwa collabo
The only and only one, he is a real gospel artist,, keep it up guardian
I love that verse ya wivu...i have been rewinding from Morning.. Wivu itanyonga watu uku nje
Nimechukiwa mpakaa nikakubaliwaa where I worked Sasa ninazidii I bless you my Lord ❤❤❤❤❤
Du courage vraiment ,tunazidi kwenda juu hatudja fika kamwe
Tunazidi kwenda juu in Jesus name
Wow a nice song in deed tunazidi kweda juu from juu from glory to groly I love your songs alot
Tunazidi kwenda juuu ...kupanda juuu saa from glory glory to glory 🎉
Hereni, kutembea, nywele, mmmh, mapete, kweli kijanabwa Kikristo unaenezaje ushuguda wa Yesu ukiwa smati, acheni kuchafua injili Yesu sio wa hovyo kanyoe nywele na ukae wa kiume na.hizo hereni zitoe. Kwanza hujapendeza.
The best gospel artist in kenya
❤❤
Nikimuona nitamwambia anipee maisha marefu yenye baraka na fanaka zake mola,anipee kazi nzuri,anipee nguvu na uwezo nilee watoto wangu,niwasomeshe vizuri wawe watu wa kutegemewa later in future.God may you hear my humble prayers.
Booom Shaka
Oohh yes tunazidi kwenda juu,,amazing
True kweli kabisa wivu itamuaa Jamaa mmoja wetu anajijua na kitambaa yake 😅
This is powerful
And it's my season to level up, wataongea Na watachoka, tunazidi kuenda juuuuuu❤️💚💙
Niukweli bro watafute kazi waavhe wevu
Inagusa moyo kabisaa, Mungu bariki
Have been listening to you in radio milele,that God uses our pastors priests to minister to us where they break down God's word n that's when you use songs to bless other people.God bless you
Be blessed🙏dunia sio mbaya binadamu ndio wabaya😢
This song has turned out to be my addiction ❤
Amen Amen keep going
Wanao nigojea chini jua kuna mungu ambaye ananiinua juuuuuu sana
Tunazidi kushonga glory to glory,Ameeeen be blessed 🙌
Lovely work....mtangojea nirudi chini...tunazidi kuenda juu sana
I like the way you people are Godly...Vita lazima now that you are of God...
Wow tunazidi kwenda juu from glory to glory so encouraging
The only remaining gospel artist in Kenya. Thank you for using your voice to glorify God. Tunazidi ❤❤❤.
Guardian Angel my favourite gospel artist. God bless you more n more
Peweni Fanta kubwa mkunywe. Wueeh. Nice.
If there is a gospel artist who has encouraged me, it is Guardian Angel. Nazidi kuenda juu. Be blessed, Guardian❤
Am a Muslim bt am addicted to these song naeza shinda nikisikiliza kwa cku nzima ❤
Huu Wimbo utasalia katika kumbukumbu la Historia. Sababu inaelimisha na kukashifu
Mtangoja Sana mchoke tafuteni viti mkae powerful message indeed inspirational kazi Safi bro
Great job my brother ......may Jehovah uplift thee..
Amen
Very amazing song❤❤wanangoja turudi chini wapewe soda wakunywe❤❤
Good job gurdian much love God bless you
Wow! What a unique composition! It's peweni soda mkunywe for me wololo....
Bulaza hakika unaweza kila mtu anakubali
Wow,Tafuta Kazi uache wivu...
😢 😢 this is powerful sir,,,,more grace to you,,, it deserves more than 10M views...
To everyone reading this,,,I pray that God will take you from glory to glory....wewe hutaanguka mbali utazidi kwenda juu.
Good song indeed
Tuta zidi tena sana wa wivu wata malizwa na wivu yao, gharama song ikuje hivo tuna itegea mbaya
Hey guardian you are a true blessing, keep preaching the gospel. May God bless you big time with this talent.
Kwenda juu
For the first time to listen to your song
Nimepatana na hii song tiktok
Mpaka nimekuja kutafuta
But imeniinspire keep going
Am your biggest fan from today
Wow,I love your songs guardian,may God bless you,will one day invite you to a prayer day function in my school
Tunazidi kwenda juu nice song
Mungu akubariki na azidi kukuinua juu zaidi with ua Gospel songs good song en the combination of words are of high quality u will go far Guardian Angel bblessed
This songs slaps diff with great message😍😍😘!! Doctori wa muziki mwenyewe
Nice song bro iko dope ubarikiwe
In love with the song,,nimeiskiza since juzi but ama sure have watched it more than 50 times so far,, congratulations bro
God is good move glory to glory
May this be my testimony in Jesus name 🙏
Finally the video is here...❤❤❤ guardian will 2024 nakualika na musila harusi yangu 🥰💃💃
WOW wow thanks ❤❤❤❤
Always there bro. Kudoz na tuzidi 🙏🙏🙏🙏
Mnaningoja nirudi peweni soda mnywee mungu akujalie Kazi ya mkono wako
I like the spirit man of God
Live long Gurdian n Esther.....wanaongoja mrudi chini,watangoja sana
Napenda sana hii album yote
I just love the part dunia siyo mbaya binadamu ndyo wabaya,, it pure truth❤❤❤
Dunia sio mbaya! Ujumbe unaonijenga siku baada ya nyingine
Tunazidi kwenda juu
kupanda juu sana
from glory to glory
This part of chorus imenibariki sana sana,not giving hope in life at all
Hello Guardian ile nyimbo... Yesu nipende leo kuliko jana... si tuirudie pamoja? keep the fire blowing
Whenever am listening to your songs i feel like you not just talented but called and annointed by God,, Thanks bro🙏
Mungu akubariki San na akupe maisha marefu kwako love best
Nataka kuimba na wewe naomba mungu one day tu 🙏🙏
AMEN watu wawache wivu mtu akifanikiwa wananza kuongea vibaya big up Guardian be blessed 🙏🙏🙏
amen mtumishi wezangu tunazidi kupanda juu juu juu sana watu wa wache wivu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤣🤣🤣👉👉🙏🙏🙏
Wonderful song my big brother...❤
Wimbo safi kakangu 🙏🙏🙏🙌
Another one sent from heaven
Thanks for this remind...Dunia sio mbaya binadamu ndio wabaya..