Huyu mke wa Matei mbna ana gubu sana halafu anataka amani while yeye ndo hana afabu 😏 wanawake wasojielewa bna kamkuta mwanaume mwenyewe mpole anamuonea tuu, 😢RIP Fred 💔🕊️
Baba Matei anasema ndoa itavunjika vipande vipande n hakuna w kuiunganisha😂😂😂😂ila Matei unakosea kwa kweli AKA Fredy mashabiki zako tutaendelea kuku miss daima 😭
Lokoma Series hongereni sana kwa kuitekeleza ahadi yenu kwetu Thamthilia ingine hii nzuri sana natumia haitafukatisha tamaa kuendelea kuifuatilia "maji ya shingo" 😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾💔
Acha uongo ww kaka Mwanamme hawi muongo una mchongeq Mwnzio hata hajasema Hivo
Huyu mke wa Matei mbna ana gubu sana halafu anataka amani while yeye ndo hana afabu 😏 wanawake wasojielewa bna kamkuta mwanaume mwenyewe mpole anamuonea tuu, 😢RIP Fred 💔🕊️
Johar punguza gubuu
Huyu mwanamke hajitambui wala hajielewi
Baba Matei anasema ndoa itavunjika vipande vipande n hakuna w kuiunganisha😂😂😂😂ila Matei unakosea kwa kweli AKA Fredy mashabiki zako tutaendelea kuku miss daima 😭
Blandina acha roho mbaya hayo ni mateso utamwaambiaje mumeo amuoe mamake 😏😏shame on you
Hii nimaajabu jamani Yani ushajijuwa huna uwezo wa kuzaa baada uwe mpole kwa mumeo na kupetipeti ndokwaza unakuwa jeuri
huyu matei bwana hata sijuwi ana nini kweli
Lokoma Series hongereni sana kwa kuitekeleza ahadi yenu kwetu Thamthilia ingine hii nzuri sana natumia haitafukatisha tamaa kuendelea kuifuatilia "maji ya shingo"
😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾💔
Asant san
félicitations 🎉
Huyu Matei naye amepumbaaa sna hvi hajui huyu mke anamharibia dah afikia mpka kukata simu y mamake ila yy yuziii,ila thamthilia ipo vizur sna
Acha kumfokea marehem😂
Si ukatafute ww
Wapili Léo likes zang jaman 🙏🙏🙏