MTANGA NA KUDEVELA ,UTACHEKA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025
  • ตลก

ความคิดเห็น • 78

  • @remmymusamia
    @remmymusamia 2 ปีที่แล้ว +6

    Kazi nzuri Mtanga. Tunakupenda sana kutokea Kenya. Usimweke Bambo mbali sana. Tunamtaka pia kazini.

  • @rizzonemohamed6401
    @rizzonemohamed6401 ปีที่แล้ว

    Nakubar kude brother piga kazi kuxini moja❤

  • @mcmsakub4869
    @mcmsakub4869 2 ปีที่แล้ว +3

    Kudevela nakubali sana kaz zako

  • @omaraboud2115
    @omaraboud2115 2 ปีที่แล้ว +3

    Mtanga kazi swafi kabisa hakika tinafurahia Mungu awabariki kazi za mikono yenu

  • @nyamkungada8282
    @nyamkungada8282 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice umetishaaaaaaaaaa na mmakondeeeee

  • @faithmakena9988
    @faithmakena9988 2 ปีที่แล้ว +4

    Very nice comedy.Keep it up.From Kenya

  • @anner8120
    @anner8120 ปีที่แล้ว +1

    Mwape maliiigaoooo 😆😆😆😆😆

  • @zkbeto2486
    @zkbeto2486 2 ปีที่แล้ว +2

    Mmakonde nipo apa...kudevela...konk sana kwa kutuwakilisha

  • @allylada2306
    @allylada2306 2 ปีที่แล้ว +1

    Kudevela izoooo🙌🙋👍👍👍

  • @kikumbivunge7976
    @kikumbivunge7976 2 ปีที่แล้ว +2

    Kudevella 😃😃😃😃😃

  • @jumaruwa4717
    @jumaruwa4717 2 ปีที่แล้ว +2

    Good work, Mtanga... Jus from Kenya. Mombasa.

  • @jidahayamasanja6354
    @jidahayamasanja6354 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi mtanga kazi nzuri🙏🙏

  • @mawazohassani8631
    @mawazohassani8631 ปีที่แล้ว

    Kudevela your are so talented boy

  • @noelkipera6581
    @noelkipera6581 2 ปีที่แล้ว +2

    Hahahaaaaa mtanga Fara kweli weeka kabahariaaaaaaa

  • @alverztv6272
    @alverztv6272 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi kabichwaaaa bana akaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @manp.....7694
    @manp.....7694 2 ปีที่แล้ว +1

    I really appreciate yr good job Mtanga, you're so talented. From Russia.😂

  • @mikumbalulu1657
    @mikumbalulu1657 2 ปีที่แล้ว

    Aiseee kudevela kusin moja

  • @safarisafari7388
    @safarisafari7388 2 ปีที่แล้ว

    Mtanga mikono umeeka kama ya cobra🤣🤣🤣🤣🤣👍

  • @ManagerSally
    @ManagerSally 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kali sana 🔥🔥🔥🔥🔥💯

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 2 ปีที่แล้ว +2

    Haa mtanga hiyo sauti ulivyoivuta kama honi ya treni, 🤣🤣👍01.04.22.

  • @allykhalfan9513
    @allykhalfan9513 2 ปีที่แล้ว

    Asante mtanga lile

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 2 ปีที่แล้ว

    😀😀😀 kude kede kudevelaa we mtanga ni noma

  • @mammam4701
    @mammam4701 2 ปีที่แล้ว

    🤣 🤣 🤣 🤣 Dah noma

  • @polytarimo324
    @polytarimo324 2 ปีที่แล้ว

    Mtanga kwa kushekshek uko vizuri

  • @fadybeatz
    @fadybeatz ปีที่แล้ว +1

    KUDEVERA SOUTHEN BOY🤣😂😅

  • @danifodtossy6308
    @danifodtossy6308 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂🤣 hahahahaha hahahahaha asee Kari ya mwezi

  • @binzid9046
    @binzid9046 2 ปีที่แล้ว

    Cijakuelew leo from Zanzibar

  • @ndorondoro9019
    @ndorondoro9019 2 ปีที่แล้ว

    Mganga msanii ama msanii mganga yake kali karekodi na wangwana wimbo studio

  • @jacobkiserem6262
    @jacobkiserem6262 2 ปีที่แล้ว +1

    Swafi mabraza men🇰🇪🎉

  • @hassansawasawa6753
    @hassansawasawa6753 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwamganga kumeingia wazungu🤣🤣🤣🤣🤣

  • @binzid9046
    @binzid9046 2 ปีที่แล้ว

    Yaleo ni kali mtanga umeua kuimba bila ya beat

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtangalile ww😂😂😂😂

  • @mjungatv8172
    @mjungatv8172 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂wakusin katisha sanaaa😂😂😂

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 2 ปีที่แล้ว +2

    WA Kwanza Leo 🤣

  • @mchizipetro
    @mchizipetro 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaha 🤣🤣🤣

  • @annerdograsipetro4941
    @annerdograsipetro4941 2 ปีที่แล้ว

    Jamanii mbavu zanguuuuuu

  • @sablamilandu1001
    @sablamilandu1001 2 ปีที่แล้ว +1

    nimecheka paka machozi yamenitoka 🤣🤣🤣😂😂 mganga sio poa nyimbo ya mizimu inakorasi

  • @naseershiner6738
    @naseershiner6738 2 ปีที่แล้ว

    Huyo mganga wa mchongo nimecheka,,🤣🤣🤣🤣

  • @rabbiaally3542
    @rabbiaally3542 2 ปีที่แล้ว

    Duuu

  • @khadijasaleh898
    @khadijasaleh898 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtanga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @RithaDionismkapa
    @RithaDionismkapa ปีที่แล้ว

    Ongera

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 2 ปีที่แล้ว

    Bambo yupo wapiiiii🗣🗣🗣🗣

  • @nemesapollo4846
    @nemesapollo4846 2 ปีที่แล้ว

    Aaah hodi mganga

  • @nemesapollo4846
    @nemesapollo4846 2 ปีที่แล้ว

    Aaauu tumekuja na mizuka

  • @nyokaatzmatatila8861
    @nyokaatzmatatila8861 2 ปีที่แล้ว

    Og xanaaa mtanga

  • @hatibumwakisale400
    @hatibumwakisale400 2 ปีที่แล้ว

    Saf Sana mtanga kimbiza kamtanga

  • @khasimabdu6401
    @khasimabdu6401 2 ปีที่แล้ว

    Ila mtanga noma, ye apaki gari mganga anunuliwe mkeka wa 5000

  • @anatolimayot8409
    @anatolimayot8409 2 ปีที่แล้ว

    Mtanga nimecheka sana

  • @blessingpriri6876
    @blessingpriri6876 2 ปีที่แล้ว

    Hatariii

  • @zenasalum699
    @zenasalum699 ปีที่แล้ว

    😂😂😂mtanga

  • @Oscarmarwa-fitnesstrainer
    @Oscarmarwa-fitnesstrainer 2 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @mwalamichobala727
    @mwalamichobala727 2 ปีที่แล้ว

    Kudevela konk

  • @omarbosiomar8608
    @omarbosiomar8608 2 ปีที่แล้ว

    Duuu jamani

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 ปีที่แล้ว

    Hiki kichwa ndiyo
    Tulicho kawa tunakitaka
    Mtanga umefanya vzl kwenda
    Kumchukua kudevela

  • @bonifacetsofa8802
    @bonifacetsofa8802 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 ปีที่แล้ว

    Sio mmakonde kudevera ni Myao wa Tunduru Mjini.

  • @mosesmbungu4087
    @mosesmbungu4087 2 ปีที่แล้ว

    Kudevela safari

  • @kennywilliam2466
    @kennywilliam2466 2 ปีที่แล้ว

    Tabia ya kujiita wanyamwezi harafu hamtokei Tabora Aah sio poa

  • @simionkilenga492
    @simionkilenga492 2 ปีที่แล้ว

    Wachawi mwanza

  • @Dogokanumba
    @Dogokanumba 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂💗💗💗

  • @soccertv293
    @soccertv293 2 ปีที่แล้ว

    Kasikitu where

  • @divaimiguelnakeut6686
    @divaimiguelnakeut6686 2 ปีที่แล้ว +1

    Kkkkkkkkkkk ntanga

  • @asmarajabu5786
    @asmarajabu5786 2 ปีที่แล้ว

    😄😄

  • @kennywilliam2466
    @kennywilliam2466 2 ปีที่แล้ว

    Mmekuja na mizuka mbona hapo tuna waona wenyewe

  • @athumanimtajih
    @athumanimtajih 2 ปีที่แล้ว

    Mizimu Wana beat zao

  • @celinabujiku5449
    @celinabujiku5449 2 ปีที่แล้ว

    Tunamtaka sikitu na masai

  • @Dogokanumba
    @Dogokanumba 2 ปีที่แล้ว

    #dogokanumba

  • @bekaali8930
    @bekaali8930 2 ปีที่แล้ว

    Nilikuwa nasikilza kwa headfone huyu mtanga kasabisha mpaka nimeitoa kwa kelele alizopiga mjinga mkubwa huyu fala kabisa nimecheka kinyama yaani.

  • @samiyafredy7409
    @samiyafredy7409 2 ปีที่แล้ว

    Mtanga umecheza sana kumuweka huyo mmakonde wa Tunduru

  • @soccertv293
    @soccertv293 2 ปีที่แล้ว

    potiiii utaniua

  • @richardngojwike3179
    @richardngojwike3179 2 ปีที่แล้ว +2

    alafu kuzaa kwa wende mbn kama akiimba nyimbo za kwenye unyago🤣

  • @omaraboud2115
    @omaraboud2115 2 ปีที่แล้ว

    Kamganga katapeli hako hakana dawa Mtanga mfanyie tiba wewe

  • @binzid9046
    @binzid9046 2 ปีที่แล้ว

    Yaleo ni kali mtanga umeua kuimba bila ya beat