KIJANA TAJIRI 💞 ALIJIFANYA MASIKINI ILI APATE MKE BORA |DESTINY TO LOVE YOU | PART 10 | Love Story

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 231

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 2 หลายเดือนก่อน +21

    Wa kwanza team strong team donta family Genz mko wapi. Jmn umejifunza nn kupita Tina jmn😂😢😢😢😢nawapenda nyote🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦♥️♥️♥️♥️

  • @Jajakanjaniri
    @Jajakanjaniri 2 หลายเดือนก่อน +11

    From Burund 🇧🇮🇧🇮 Team Kelvin One Love ❤️❤️❤️❤️

  • @mohdmassoud3052
    @mohdmassoud3052 2 หลายเดือนก่อน +76

    Leo hamuna lakuniambia kama mm sio wa kwanza wa kwanza nani basi nipeni like zangu hata 10000 zinatoshaaa😂😂😂

    • @Fred-ud6xg
      @Fred-ud6xg 2 หลายเดือนก่อน +2

      Like zote hizo we huogopi? 😄😄

    • @animtres
      @animtres 2 หลายเดือนก่อน

      Like zinawasaidia na nini?

    • @GraceBriton
      @GraceBriton 2 หลายเดือนก่อน

      Zinakusaidia nini

  • @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص
    @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص 2 หลายเดือนก่อน +18

    Brown usikubali kumrudia Tina alafu na wewe Tina kubali matokeo kuwa Brown sio wako tena Allah 😂😂😂

  • @MasukeMgema
    @MasukeMgema 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kunambi KaZi POA kaka tunakuobea kwa mungu akuogezeee juhudi za kazi❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AliDemashk-g2c
    @AliDemashk-g2c 2 หลายเดือนก่อน +8

    Kazi ya kupendeza big up

  • @WilliamJoel-kz2jv
    @WilliamJoel-kz2jv 2 หลายเดือนก่อน +10

    Donta family nò one

  • @YohanaKibwana
    @YohanaKibwana 2 หลายเดือนก่อน +20

    Wakwazaaaa leooo like zenu apaaaaa

  • @MwaliSuleih
    @MwaliSuleih 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jaman Vick umependezaaa❤❤❤❤❤❤ Masha'Allah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @BhutemiMapalala
    @BhutemiMapalala 2 หลายเดือนก่อน +3

    Konambi umepunguza nywere Kaka a❤❤ngu

  • @EriyaRichard
    @EriyaRichard 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nice kipande hiki mme kicheza vzr sanaaaaa ❤❤❤ hongereni jitahidini story isiwe ndefu sanaa

  • @matihassanmwachigutu-hq7ei
    @matihassanmwachigutu-hq7ei 2 หลายเดือนก่อน +7

    Niwape mauwa kwanza na donta tv ndio niendelee 🎉🎉🎉

  • @MargretSanat
    @MargretSanat 2 หลายเดือนก่อน +1

    Good job 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @alimahatungimana
    @alimahatungimana 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mim Leo wa1❤ like zenu wapendw

  • @MahangoCelestin-t4d
    @MahangoCelestin-t4d 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kwenye movie kwaki farasa tunasema muko muna poutres san🙏

  • @DidiFizzo
    @DidiFizzo 2 หลายเดือนก่อน +13

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮👍👍

  • @SwiftMichaelz
    @SwiftMichaelz 2 หลายเดือนก่อน +10

    KUNAMBI unajua Sana Kuigiza kwanza Wewe unakipaji ila uyo Vicky hajui anazidi ukali sana alafu iyo ilikuwa nafasi ya Loveness uyo Vicky amekuaribia movie kwanza hayupo romantic kwakuigiza Fasihi yake Muda Mwingi ni ya ukali ukali na ukatili Mwingi Tofauti na Tina na Loveness awo ni wapole wanaigiza vizuri wanakoleza utamu wa movie ila uyo Vicky sikushauli anakuwa mukali sana alafu anakaza fuvu hataki kuelewa mda Mwingi yeye anakuwa kwenye sehemu za kuumia na kuumizwa na kuchukia chukia

    • @bwenda47
      @bwenda47 2 หลายเดือนก่อน

      Ndy script inamtaka hvyo muache bna apate ridhki acpoigza atakula wapi.

    • @DinahNish-bm9sr
      @DinahNish-bm9sr 2 หลายเดือนก่อน

      Vicky amezidi roho ngumu JMM haaaah 😢

    • @HappyGeorge-kn9sz
      @HappyGeorge-kn9sz 2 หลายเดือนก่อน

      anakuoa hivyo kulingana na uhusika alopewa unahitaji aw hivyo me nafikir ni hivyo tuu

    • @VasticOrubia-hu2se
      @VasticOrubia-hu2se 2 หลายเดือนก่อน

      Viky ni mojawapo ya waigizaji bora katika campany ya donta,,anajua sana kuigiza

    • @OneniMahenge-wm8ji
      @OneniMahenge-wm8ji 2 หลายเดือนก่อน

      Vikitolia uko vizur wanao kuchukua washindwe au waigize wao

  • @اللهاكبر-س4ي
    @اللهاكبر-س4ي 2 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤james n Kelvin mko poa

  • @BhutemiMapalala
    @BhutemiMapalala 2 หลายเดือนก่อน +2

    Vick,Kev,love, na broo konambi nawapenda kinoumaa saana tu

  • @IrambonaErick-m1g
    @IrambonaErick-m1g 2 หลายเดือนก่อน +8

    Wakwanza

  • @JessicaBilango
    @JessicaBilango 2 หลายเดือนก่อน +5

    Naomben likes uiiii

  • @reinakamgisha2558
    @reinakamgisha2558 2 หลายเดือนก่อน +5

    Watu mpo online na hatushtuanii 😎😎,, thijapendaaa 😅

  • @FatmaAlly-d5v
    @FatmaAlly-d5v 2 หลายเดือนก่อน +7

    Nimekuwa wa3 jmn naomba like🎉🎉🎉🎉

  • @methodnkundumukiza6367
    @methodnkundumukiza6367 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hivi kwile brown itatokea hata siku moja apate mzigo🤣🤣🤣mbona kama vile safari ngumu sana🙆🙆🙆

    • @DinahNish-bm9sr
      @DinahNish-bm9sr 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂mbona mbali hukoo

  • @GloryLembris.Saningo
    @GloryLembris.Saningo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri sana Donta tv❤

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 2 หลายเดือนก่อน +5

    Wamwisho leo jaman naomba like zenu ❤❤❤❤

  • @NDUWARUGIRAEdyssa
    @NDUWARUGIRAEdyssa 2 หลายเดือนก่อน +7

    Number Moja ,nipe like zangu

  • @EvalineKadogo-eb5xr
    @EvalineKadogo-eb5xr 2 หลายเดือนก่อน +5

    Katika hii dunia hakuna ambaye amekamilika,sote huwa tunafanya makosa,na tunastahili kusamehe wengine ndio wakati hata wewe utakapofanya makosa utasamehewa na hata MUNGU/Bible inasema tusamehe na kama hautasamehe nawe pia hutasamehewa, so Victoria jifunze kusamehe uwache roho ya shetani na huku unaambia mwingine ako na roho ya shetani kumaanisha wote mko sawa

  • @HudhaimaYussuf
    @HudhaimaYussuf 2 หลายเดือนก่อน +14

    Kila mtu wa kwanza yeye like like mnaboa kweli 😂😂😂😂

  • @rajah9328
    @rajah9328 2 หลายเดือนก่อน +6

    Atakama nimechelewa napiga like nanyi pia mupige like kwangu

  • @japhethmutumwa
    @japhethmutumwa 2 หลายเดือนก่อน +13

    Leo nataka Gen z wanipee like 3k

  • @LéonardHabayimana
    @LéonardHabayimana 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani ndugu zangu wa Tz nimechelewa natoka mbali Burundi 🇧🇮

  • @AishaJafari-sh4pe
    @AishaJafari-sh4pe 2 หลายเดือนก่อน +18

    KAZI NZURI DONTA TV NAWAKUBALI SANA WANAO IKUBALI LIKE APA

  • @PhilimonJoseph-b4h
    @PhilimonJoseph-b4h 2 หลายเดือนก่อน

    Kelvin we niatar pamoja na wenzako mnatengeneza jamiinzuri kupitia fasihi yenu nice god bless you

  • @user-byHappyness20
    @user-byHappyness20 2 หลายเดือนก่อน +4

    Wa kwanza leo❤❤❤wapi like zangu❤❤❤

  • @JoshuaKoneibrahimu
    @JoshuaKoneibrahimu 2 หลายเดือนก่อน

    Good job ❤❤❤

  • @JoanCheptoo-hw8cr
    @JoanCheptoo-hw8cr 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wakenya mupo🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sidebraizoy2070
    @sidebraizoy2070 2 หลายเดือนก่อน +1

    Brown na jemsi nawakubali sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @STANLEYKINYILI
    @STANLEYKINYILI 2 หลายเดือนก่อน

    Kenya Watching

  • @Ezraloyibobo10
    @Ezraloyibobo10 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yani kazi nzuri kabisa 🎉🎉❤❤🇧🇮🇧🇮

  • @نيجي-ن1د
    @نيجي-ن1د 2 หลายเดือนก่อน +1

    We Vicky unakera sana we kwani kitu hakiishi ni ukali ukali tu

  • @arikibok4735
    @arikibok4735 2 หลายเดือนก่อน +1

    Courage ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @LithaBrighton
    @LithaBrighton 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nimekuwa wa kwanza 🎉🎉

  • @happinesslema7264
    @happinesslema7264 2 หลายเดือนก่อน

    Kunambi well done ❤

  • @kokenye9003
    @kokenye9003 2 หลายเดือนก่อน +1

    Imeshika kweri nawapa hiii🤜🤛🤜🤛👊

  • @SiddharthSource
    @SiddharthSource 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @JasmineHalid
    @JasmineHalid 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ww Tina acha kujipendekeza uko kisa umemuona brwon ndo boss😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AKUNDAJunior
    @AKUNDAJunior 2 หลายเดือนก่อน

    Next

  • @fredlammar3347
    @fredlammar3347 2 หลายเดือนก่อน +3

    Leo nimekuwa wa 4

  • @WinnieShirma
    @WinnieShirma 2 หลายเดือนก่อน

    Nice Job

  • @ChristopherBonfils-dk1tx
    @ChristopherBonfils-dk1tx 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri

  • @RachelThomas-ox3jr
    @RachelThomas-ox3jr 2 หลายเดือนก่อน

    Kaz nzur sana yaan nawakubali adi nawakubali tenaa 🎉❤

  • @gabrielmpunga6111
    @gabrielmpunga6111 2 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu tina akubali yaishe tu brown sio wako tena

  • @priscahmahenzo642
    @priscahmahenzo642 2 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤❤❤❤❤𝚠𝚘𝚘𝚘𝚘𝚠 𝚗𝚒𝚌𝚎 𝚖𝚘𝚟𝚒𝚎🎉🎉🎉

  • @LoiceKatana-ci1tx
    @LoiceKatana-ci1tx 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri wana donta nawapenda sana watching from kenya 🎉🎉🎉🎉❤

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 2 หลายเดือนก่อน +1

    We braun umekosea kumuajiri uyu shetan 😢

  • @MahangoCelestin-t4d
    @MahangoCelestin-t4d 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mrekebishe kauli munajichanganya sana 🙏🙏🙏

  • @BhutemiMapalala
    @BhutemiMapalala 2 หลายเดือนก่อน +1

    Boss konambi nakupenda saana kaka ❤❤❤❤❤

  • @Munashiyr
    @Munashiyr 2 หลายเดือนก่อน +2

    Si ushaombwa msamaa viki umezidi msameh bwana

  • @roseangels8046
    @roseangels8046 2 หลายเดือนก่อน

    Nice one ❤

  • @josephineuwizeye8250
    @josephineuwizeye8250 2 หลายเดือนก่อน

    Congratulations wana DONTA.Much love from 🇧🇮

  • @magdalenasandetwa
    @magdalenasandetwa 2 หลายเดือนก่อน +1

    waoooo leo nimewai

  • @AlineWadamas
    @AlineWadamas 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nataka Vicki abadilike awe kama wezake

  • @MussaAthumani-nb9pn
    @MussaAthumani-nb9pn 2 หลายเดือนก่อน

    Movies zenu nazipenda xana anaigiza vizuri kweli hadi furaha moyoni
    4:15 4:16 4:17 4:19

  • @Lucy-v3y
    @Lucy-v3y 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @Shinyg3l
    @Shinyg3l 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nahic kabisaa mke anaemtafuta kunambi ni loveness 😅😅anaehic kama mm like plz

  • @ChristineMwende-t4x
    @ChristineMwende-t4x 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi zenu team Kelvin iko sawa...nawafananisha na GenZ wa kenya❤❤

  • @MarthaMkulo
    @MarthaMkulo 2 หลายเดือนก่อน

    Good job

  • @MwanakomboAliKhamis
    @MwanakomboAliKhamis 2 หลายเดือนก่อน

    Muko vizuri pongezi kwenu

  • @Ysga-s5b
    @Ysga-s5b 2 หลายเดือนก่อน

    COngratulations 🎉🎉🎉Donta

  • @JeanmarieNiyogusenga
    @JeanmarieNiyogusenga 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sana ❤❤❤😮😮

  • @aishalovesesibe
    @aishalovesesibe 2 หลายเดือนก่อน

    Jemsi nimushauri muzuri sana namukubari❤❤🥰🥰🥰

  • @OLAGWANANILEMBUSEL
    @OLAGWANANILEMBUSEL 2 หลายเดือนก่อน

    kazi zuri Sana James ako siriasi 😂😂😂braoni💓💔

  • @NahimanaEstella
    @NahimanaEstella 2 หลายเดือนก่อน +2

    Vicky apunguze ukali wake bhana amsamehe brown kwasababu kila binaadamu hukosea nayeye ana mapungufu yake asee

    • @DinahNish-bm9sr
      @DinahNish-bm9sr 2 หลายเดือนก่อน +1

      Yani mtoto mwenyewe hakuumia Ila kukaza kwake kuna haribu bwana movie binadamu gani hana msamaha

  • @dearchotay5569
    @dearchotay5569 2 หลายเดือนก่อน

    Mambo ni 🔥🔥🎉❤️❤️

  • @MwalimuJafar-i8x
    @MwalimuJafar-i8x 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kaz nzuri familia

  • @mwanamisimwangaro8001
    @mwanamisimwangaro8001 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kunambi huyu vick pia hakufai kama ni mtu wakuendekeza chuki c kila siku itakua ukifanya kosa ugomvi hauishi kwake mi hata amenicnya na roho yake mbaya isiyojua kusamehe

  • @SheckinahAmisi
    @SheckinahAmisi 2 หลายเดือนก่อน

    Na wa sapoti sana ♥️

  • @ayshahamisi
    @ayshahamisi 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sana

  • @scolas3134
    @scolas3134 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera Wana Donta nawapenda sana❤

  • @brianonyangi2004
    @brianonyangi2004 2 หลายเดือนก่อน

    Happ sawa,,,,changanya ukweli na uwongo bibi akuje nyumbani😅😅😅😅

  • @metrinemanyonge6055
    @metrinemanyonge6055 2 หลายเดือนก่อน

    Mumefanya kazi nzuri sana ❤❤

  • @NasraIbrahim-dw1hr
    @NasraIbrahim-dw1hr 2 หลายเดือนก่อน

    Braun ilo shat ama kwel ❤❤❤

  • @nobertricardo8594
    @nobertricardo8594 2 หลายเดือนก่อน

    Vicki msamehe kunambi mengine yaendelee hakuna aliyekamilika chini ya jua

  • @Alhasibu05
    @Alhasibu05 2 หลายเดือนก่อน

    Kubababababababake bonge moja la kazi nzuri

  • @rahmasuleiman9334
    @rahmasuleiman9334 2 หลายเดือนก่อน

    Mzigo motoooo 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @sergenshimirimana-wf2uk
    @sergenshimirimana-wf2uk 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuli Sana tupo na nyinyi Burundi

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 2 หลายเดือนก่อน

    Wanasema Ogopa sana kumrudisha adui yako kwenye himaya yako Yani Tina kurudiana na brown ni kitu hatari sana ,let's go and see what will happen at the end

  • @NizigamaaliceHabonimanaezekiye
    @NizigamaaliceHabonimanaezekiye 2 หลายเดือนก่อน

    Naomb lik 🇧🇮 zenu apaaaa❤😅😅😊

  • @NzembiNyamai-u6l
    @NzembiNyamai-u6l 2 หลายเดือนก่อน +1

    😅😅😅😅Tinaaaa ubeya tu kufanya kaz aah😅😅😅❤❤🎉🎉

  • @clovisnininahazwe2478
    @clovisnininahazwe2478 2 หลายเดือนก่อน

    kazi nzuli kupata muke bola inakua ningumu

  • @appsplay4324
    @appsplay4324 2 หลายเดือนก่อน

    Ndio kufik ❤❤❤❤❤

  • @MwalimuJafar-i8x
    @MwalimuJafar-i8x 2 หลายเดือนก่อน +4

    0:37

  • @SilviaDirecto.
    @SilviaDirecto. 2 หลายเดือนก่อน +1

    tina oyeée😮😮

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493 2 หลายเดือนก่อน

    victoria acha kupenda kumuhukm mtu kias hicho bwuana daaaah hilo linasamaheka mana halijatokea

  • @jacksonmutalii226
    @jacksonmutalii226 2 หลายเดือนก่อน

    Keep it up munaelimisha sana,,love from 254

  • @aishalovesesibe
    @aishalovesesibe 2 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda sana donta tv❤❤from Saudia

  • @OmanMuscut-ju3xp
    @OmanMuscut-ju3xp 2 หลายเดือนก่อน

    Umbeatu kuoga aaaaaah

  • @TambweBinfataki
    @TambweBinfataki 2 หลายเดือนก่อน

    Nawakubali mno

  • @Johar903
    @Johar903 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤ yaani mmh