Not a bad deal, but most zinakaa ni ex something zikapewa newer plates, kama hiyo V8. The good deals kama 110 nayo bei iko njuu, 450. Nazo zingine like Tiida na Familia ziko outrightly overpriced. Zingine ni fairly priced. Hapo ni chaguo la mtu
Hizi magari ni mikebe...yaani unatoa that kind of money alafu unaenda tena kuspend pesa ingine kufix...ata headlamps kwa zingine zinaitaji new ones...no one but a mad man atanunua one of the cars na hizi bei tumepewa...hii ni rip off.
I think this alions and premios are too overrated gari kcc na kcn mita? Less than kcx ata hazifai kufika mita😄we unaangalia tu model ya gari uoni mileage imechapishwa
Kuna time nilipata emergency nkauza fielder 800k by time zilikua zinaenda 1.4 watu wakasema ni scam mwenye niliuzia hakuamini ju after a week aliuza 1.2
@@billypepsmotors do exactly what you are doing one person is not two persons whoever ako na Shaka ni kawaida ya mwanadamu ni mwingi WA kujadili Kila Hali...so do what you got to do.
All these cars should be below 1M except the V8.
Let me always watch your content jackpot ikiivana nitakuwa niko na choice ❤❤of my dream car
Great
😂😂😂😂😂😂
Not a bad deal, but most zinakaa ni ex something zikapewa newer plates, kama hiyo V8. The good deals kama 110 nayo bei iko njuu, 450. Nazo zingine like Tiida na Familia ziko outrightly overpriced. Zingine ni fairly priced. Hapo ni chaguo la mtu
Billy I cant stop watching these videos😂hata kama zinanipea stress ya kuwa na gari😂as a student
nikiskia ..Offer.!! Offer.!!
Ipo siku bro
Dreams comes true
2:58 mlango Shida. Ime haribika, ati utafunga badae😂
Ok
The cameraman is in green t-shirt😂
Ukitaka stress nunua hizo gari mzee and you’ll spend most of your time kwa mechanic 😂 cheap is expensive
Acha mauchungu bro...,as a car buyer u know what to do b4 buying...kwani unanunua ngua mitumba???
One day I'll own cars I'm manifesting ntakua customer soon 😊
Karibu
One day i will drive my own car
Lipa kidogokidogo inakubarika?
Naeza pata Toyota nz ile bado iko condition mzuri
❤ You just got a New subscriber Billy. 😂😂 Mwabie Peter sihami uku sasa..... ❤❤❤ I just got the Channel i wanted.
I am looking for a pickup. Double cabin. Any offers?
Wewe being like juu
Hello . Where is this place ??
Good job. Hiyo V8 mazee! 😮
Deal is mouth watering
Haya magari imedungwa sindano ya Bill Gates. Hainyambi ngo,,
Hizi magari ni mikebe...yaani unatoa that kind of money alafu unaenda tena kuspend pesa ingine kufix...ata headlamps kwa zingine zinaitaji new ones...no one but a mad man atanunua one of the cars na hizi bei tumepewa...hii ni rip off.
Some are good
Kby hizi enzi hapana jaribu
Prices?
Billy vipi bana waeza kutafuta prado tz.g white colour
I have it …I recently did a video on it
Where is this auction.
Kuna gari ya 50k?
Enda ununue tissu
@MohamedAmin-zz8wo 😂😂😂😂😂
Billy hapo kwa suzuki escudo ya 1.2M na 800k ya Nissan sylphy nime kubali ..good work bro
Asanta
Escudo inakuanga very thirsty 3500 cc
Zii 2000 @@Andykibe254
Billy vipi bro hiyo matatu ishaa enda ama bado iko
The only deal naona ni hiyo Nissan Tiida
Hiyo sylphy bado iko?
Sold
Can one buy with installment?
Gari ndogo ya kunusa tu mafuta. Ya kutembeza bibi kule mashambani.
Those panel gaps in the v8 are betraying u😢
Nyumba za offer je??
Are the prices true?
This guy's are not scammers sure deals
Best prices in town
I'm coming for the V8
Kwani hujui billy peps?!
Ukweli mnasema na kama ni ukweli mko wapi
New subscriber I am here
Were ar u Nairobi au mombasa
Hizo box ni xpee sana
Mmechota magari za watu ndio mnauza
Yako ilipotea? We hate ppl like u.....c uende Kwa polisi??!!? We hate u, na I dnt know even that car bazaar bt the way ur talking..., ur jst a shit
Kila mara tu ni "peter njoo"😅
🤷♀️🤷♀️🤷♀️
Location
Good work bro....am visiting you very soon
Most welcomed sir
Do you have motorcycles 🏍️ especially Yamaha xt600,750 or tenere 700?
Nop
110 for 450 is overrated.
interested in a probox
Nataka vitz ni how much
Matatu kd private used ?
None
Hizo toyota hiace muna uza pesa mingi
5l diesel kc mko nayo
Boss na pikipiki uko nazo
I think this alions and premios are too overrated gari kcc na kcn mita? Less than kcx ata hazifai kufika mita😄we unaangalia tu model ya gari uoni mileage imechapishwa
Where are you located
Mombasa cbd
Cash ama???
Caravan??
Matatu?
manual diesel 14seater ineed it
Hiyo caravan nipe na 400000
Very expensive
I need a pickup single cab
Available
Am selling my Mitsubishi galant in Nairobi a very clean unit KCT
Am in mombasa
How much broo
Tufanyie reviews ya tududus pekee
Noted👍
V8 here i come
Welcome
For now sisemi kitu nitakukujia very soon
Hiyo j95 best price
What cheapest car do you have
390k
@@billypepsmotorsni gani hii?
Yangu Toyota wish nitachukua kwa Billy God willing
Sawa bro
Mikebe those car should be scrapped.
Do u have even one
Nilikukal nikitaka probox ukaignore
Next time, sema milage na age.
Hizo huwa za uongo juu huwa wenye kuuza wana tamper nazo you will not get the correct number
Nataka pickup single cab
😂😂😂
Good Job Bill. How can i get that V8.....
Visit our yard in Mombasa
Great @@billypepsmotors
Nauliza passo toyota
Tida 400k apana kb
Aty 2.8m v8😂😂😂 deal sounds too good to be true
If I put the price high..u guys will still complain..if I give out offers..u start doubting..so wat do I do?
Its 1st Gen LC 200 facelifted, price iko fair
Kuna time nilipata emergency nkauza fielder 800k by time zilikua zinaenda 1.4 watu wakasema ni scam mwenye niliuzia hakuamini ju after a week aliuza 1.2
@@billypepsmotors do exactly what you are doing one person is not two persons whoever ako na Shaka ni kawaida ya mwanadamu ni mwingi WA kujadili Kila Hali...so do what you got to do.
It’s like your old body, with new clothes …., in the car world it’s called face lift
Weka nr yako
WAPI Isuzu 4.3
Tida msumbufu
🙆🙆😋😋 hizo offer acha tu, najua siku Moja nitafika hapo
Karibu
V8 here I am 🖐️
Iyo 110 nmeikubali
Iko 🔥🔥🔥
Nataka pick up
Well,hapo hakuna vehicle worth over 300k.
Kwani hio ndio price yake
6th viewer 🎉🎉🎉🎉🎉
Thanks
hiyo 2.8 ningekuwa nayo ningekujia hiyo V8
Nice one
Bt u smtmes luk expensive
Agree
If it’s expensive…jst leave them bro..we have serious buyers
These are prices for people who write properly.
I think if they expensive you cannot go buy where is cheap.
I just subscribed now from gulf i must drive my own car from your company i need for UBER
❤❤ Billy Kindly share with me your Email. ❤❤ How can i reach you?
Leo maoffer nzuri. Naja in 2 weeks
Most welcomed
where are you located
Mombasa cbd