MWIJAKU MBOSSO KUONDKA WASAFI AMECHOKA KUNYONYWA/DIAMOND AMEZUIA AKAUNTI ZAKE ZOTE/BABALEVO MUONGO.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025
- Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare ili kuweza kupata update mbali mbali ndani na nje Ya Tanzania
Tufollow katika ukurasa wetu wa instagram @BONGO TRENDY TV
Na kulike facebook page Bongo trendy online
True mwijaku
Mnafki kesha anza😮😮😮😮😮
Sisi piano apa Kong tumependezwa sana na kuondoka kwa mbosso, ila kusema wamemuachia bure ilo 😂😂😂 alipo yani Mwijaku umeongea ukweli
ilaww baba kwakuwachana wenzako dudu chid😂😂😂😂
Na uliza tena h baba iko wp
Mwijako wambia ukweli awooo
Analipwa na mondi.Jamaa yuko kazini😂
Mwijaku nimekulewa
ALMASI DANGOTE PELEKA HUU MAHAKAMANI ANAKUZOEEA SANA
ni lifespan
Kumaanisha KASONGO pia ni mwambino
Hivi nyi mnamuamini nyimbo kutoka mondi anakua hakuekeza huyu anaongeyaa tu
Mwijaku ww ni munaviki
Afunguliwe kesi, katamka kuwa ni mwambino....😮
Mwambie ukwel mwijaku mondi ni munyonyaji
Deni tulilo baki tunamdai rais. Bei ya kuunganishiwa umeme mjini ni kubwa. . Sasa ninakuagiza nenda ukamwambie mama samia mjini aturudishie 27000
Kunasa unaongeaga ponti kumbe
life sperm ndo nini sasa, Mwijaku 😄🤣😂Ni lifespan 🤣😂
Yani ukisema ndo umekula mbwa wewe
Mwijako wewe ungeweza?umtengeneze mwanamuziki awe mkubwa kiasi hicho kama mboso na hamonaiz halafu waondoke na kila kitu wewe ungeweza?sasa faida gani daimond atapata?hizo anazo lipwa ndio mavuno ya mapesa aliyo wekeza kwao.mziki ni biashara msaada nenda kwa moo au baharesa.minadhani ni chuki tu daimond kupata hizo faida za alizo wekeza.hembu mwijako jarobu mwanamziki mmoja tu uwekeze kama huja uza ghorofa lako la dhahabu
Ww ni mwehu yaani apewe kila kitu kwani kunqakichokuna nacho hapa kenge ww
Waelewa kinachoongelewa ama ni mihemko Tu?
@@criminalminds7723
Afu sijui kaandika nini
jitu lenyewe baba yako anaitwa eti ndagile sasa unaanzaje kuwa na akili
Kwanini chid benz au Dudu baya
Inaeleweka kinachongelewa ama ni mihemko?
Yan watu wajinga sana yan mnadhani mboso atakuj kupiga ela kama alivyokue wcb rich mavok si alikiw wasaf ravyan mwenyew saiv kafifia