Kwanza Nikushukuru lakini kitu ambocho mungetufanyizia nikuweka numbari zenu kwasababu sisi wanafunzi wa lugha ya kiswahili kutoka sehemu Kama Uganda Bado tunashida nyingi kuhusu lugha ya kiswahili hasa hasa karitasi Kama hiyo sarufi na leksikologia .
Hongera mwlimu, na je mziz katika neno' wajao ' utakuwa ni gani
Thanks for explaining in a slow way and understanding 🙂 😊 dope🥰
Shukrani mwali Kwa msaada wako wakutufundisha vizuri sana, Mimi ninakupenda sana jinsi unalotufundisha
Masomo mazuri sana! Asanteni!
Taibu 👍👍👍 kazi murua endelea kufunza jinsi unavyofunza Mterehemezi atakujalia mbawazi zake tele tele.
Asante sana
I just loved your class! Salute from Brazil!
Wonderful!
Wow 👏👏
Funzo zuri. Hongera
Ninataka utueleze jinsi tunaweza kutumia kanushi wakati uliopo Kwa vitenzi vina kama mfano: kulia, kutembea, kusali, n.k