FAMILY ZOTE ZINAUFURAHIA NA KUUPENDA UJI HUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2021
  • Happy Birthday Nona!
    As-salamu alaykum everyone,
    Welcome back to another episode of 'In the Kitchen With Nona'. Today's a very special episode! Nona will finally reveal her popular uji recipe that she kept secretive for years! We decided to show this recipe on Nona's birthday a gift from her to you! It is a very quick and easy recipe that everyone will enjoy, and be the talk of any party! Stay tuned for new upcoming videos coming soon! Make sure you turn on your post notifications to be the first one notified when she uploads a new video!
    About Nona : Nona originated from the beautiful Island of Zanzibar, however, in 1999, Nona resided in the country of Canada, where she makes authentic delicious Swahili dishes with a twist in her kitchen!
    Don't forget to Like, Comment, Share, and Subscribe, and turn on your post notifications to be notified whenever Nona uploads another video!
    Thank you for watching hope to see you soon !
    #Uji #Kunde #October #bajia #cassava #muhogo #pilau #nyama #zanzibar #tiktok #2021 #ugali #casava #fresh #eggplant #vinegar #preservations #organic #diy #doityourself #years #climatechange #hot #cold #oneyear #twoyears #threeyears #yummy #onion #tips #easy #cutting #crying #tearingup #fast #water #soft #warm #cozy #chai #milk #sweet #savory #nona #kitchen #canada #usa #tanzania #zanzibar #kenya #delicious #affordable #eid #eidcooking #family #treats #ethnic #zanzibar​​ #cooking​​ #swahili​​ #tanzania​​ #rice​​ #chicken​​ #beef​​ #authentic​​ #dishes​​ #tastyfood​​ #deliciousfood​​ #delicious​​ #easy​​ #youtuber​​ #firstvideo​​ #youtube​​ #youtubechannel​​ #wali​​ #mtamu​​ #subscribe​​ #cooking​​ #cookingathome​​ #cookingchannel​​ #chef​​ #cooking​​ #baking​​ #tasty #music

ความคิดเห็น • 75

  • @zuleikhaomar4657
    @zuleikhaomar4657 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sana mpenzi 🥰🥰💞 winter mbona nitaupika sana. God bless you NONA

  • @jamilahafidh5601
    @jamilahafidh5601 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Mashallah juzi mdogo wangu katowa kunde nimfanyie uji wako, haya leo namfanyia siri kumbe hio cream

  • @auntyiya7026
    @auntyiya7026 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mashallah kitu roho inapenda,thanks Nona

  • @mimaamima4503
    @mimaamima4503 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah...utamu wa uji uzungushe bakuli. Utamuuu

  • @faizamohamed650
    @faizamohamed650 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Mungu akubarik Nona Amiiiin kwa recipe hii. Tulikuwa hatujui

  • @hamidahamad1905
    @hamidahamad1905 2 ปีที่แล้ว +1

    Happy birthday my sister Asante sana Kwa hii recipe nimeisubiri Kwa hami

  • @hamidaalhinai5807
    @hamidaalhinai5807 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah thanks

  • @soffyel-ajmy6867
    @soffyel-ajmy6867 ปีที่แล้ว

    MashaAllah uji huu mtaamu hasaa shukraan habibty

  • @zubeida53
    @zubeida53 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah. I enjoyed it. God bless you and your family. Love Aunty 💖🌹

  • @kadulathumani7517
    @kadulathumani7517 2 ปีที่แล้ว +1

    Assalaam Aleikum. Ah umetukumbusha nyumbani Uji WA kunde. Maelezo mazuri. Mashallah

  • @mamasheri5721
    @mamasheri5721 2 ปีที่แล้ว +1

    Baraka Allahu fiik

  • @mozasalim7954
    @mozasalim7954 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaaAllah nilikuwa nasubiri kwa hamu hii recipe yummy. Thanks sis .

  • @ilhamhaji1125
    @ilhamhaji1125 4 หลายเดือนก่อน

    Naupenda huu uji sana japo.kunde zina balaa zake😅

  • @khadijatajmohd3144
    @khadijatajmohd3144 ปีที่แล้ว

    Watching from Muscat Oman...its cool season now so was looking fr this recipe 😍

  • @suudanurein1121
    @suudanurein1121 ปีที่แล้ว

    Shukran.
    Tungefaidi na vipimo.

  • @khadijatajmohd3144
    @khadijatajmohd3144 ปีที่แล้ว

    Ma shaa Allah
    I make mine without the cream so this time I will certainly add whipping Cream
    Ahsante sana

  • @kikapuchetu3935
    @kikapuchetu3935 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah tabaraka Rahman, no 1 uji, lazima ujirambe. Shukran kwa kushare recipe.
    Jazakillahu kheyr

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah tabarak Rahman shukran sister jazak allahu kher habibty 🥰🥰🥰🇴🇲🌹

  • @fatmamauly651
    @fatmamauly651 2 ปีที่แล้ว +1

    Maa Shaa Allah tabaraka Allah..Allah Akubarik mkono yako ya rabb

  • @ummohammed2752
    @ummohammed2752 2 ปีที่แล้ว +2

    Thanks for sharing
    Allah bless you and your family

  • @mariamhilali9963
    @mariamhilali9963 2 ปีที่แล้ว

    Maashaallah Maashaallah hongera sana dada kwa mapishi yako yote Mazuri 😋😋 natoa denda hapa

  • @aishaabdillahi1744
    @aishaabdillahi1744 2 ปีที่แล้ว +1

    Jazaka llahu kheir, Nitaupika soon In Shaa Allah

  • @hunayzasaid7035
    @hunayzasaid7035 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah thank you for sharing your recipe😍 And Happy birthday Nona🤍

  • @nahdasaid5694
    @nahdasaid5694 2 ปีที่แล้ว +1

    Wow i have been waiting for this famous recipe!!! I cant wait to make it. Happu Birthday Nona❤

  • @sandraalbert392
    @sandraalbert392 2 ปีที่แล้ว +1

    Waooo Thank you Sister ❤️

  • @farhatseif3048
    @farhatseif3048 2 ปีที่แล้ว

    ❤️❤️❤️

  • @sheikhawashoto6122
    @sheikhawashoto6122 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah. Shukran for sharing. I will try your recipes 😋 😉 😀. I'm waiting for mine 😋

  • @maryamzaki4801
    @maryamzaki4801 2 ปีที่แล้ว

    Bbg's favorite uji every mon and Thursday lazma apike na Kuna watu lazma awapelekee 💕

  • @w4058
    @w4058 2 ปีที่แล้ว +1

    Na ladha pia

  • @umabeer9432
    @umabeer9432 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha allah, many thanks for sharing your special recipe, this uji used to be my mom's favourite greatly to know the recipe love you Nona and have a great birthday day❤️❤️

  • @johasaeed391
    @johasaeed391 ปีที่แล้ว

    Mimi nataka unifundishe uji wa aina zote unazojuwa aunt

  • @sabahsharaff5477
    @sabahsharaff5477 2 ปีที่แล้ว +3

    السلام عليكم ورحمة الله وبركاته.
    Kunde inapatikana wapi Toronto?, inajina la kizungu?

    • @sahidahamad39
      @sahidahamad39 2 ปีที่แล้ว

      Kunde ziko freshco,nofrills,basic food,jaribu na small grocery stores

    • @sabahsharaff5477
      @sabahsharaff5477 2 ปีที่แล้ว

      Jazaki Allahu khaira.
      Zinaitwaje kizungu?

    • @inthekitchenwithnona4427
      @inthekitchenwithnona4427  2 ปีที่แล้ว

      Zinapatikana grocery stores

    • @sahidahamad39
      @sahidahamad39 2 ปีที่แล้ว

      @@sabahsharaff5477
      Zinaitwa beans.. ila ziko nyengine ni nyeupe na macho meusi zinaitwa black eyes, nyengine ni nyekundu ndogo ndogo, chukua hizo nyenkundu, ila angalia maharage nayo pia yanaitwa beans,na pia yako maharage mengine ni madogo madogo lakini sio kunde,kunde ni ndogo kuliko maharage

    • @shahidahamad2470
      @shahidahamad2470 ปีที่แล้ว

      Jaribu kwenda Freshco, No Frills, au mchina anao Rose Jasmine scene unafanana na Rooster, walioko nyumbani ni mchele wa Mbeya

  • @ilhamhaji1125
    @ilhamhaji1125 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba kuuliza apart from using coconut.if nikiwa sina nazi naweza kutumia maziwa!?

  • @ahlambadru4726
    @ahlambadru4726 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah

  • @hafsamhamed9227
    @hafsamhamed9227 ปีที่แล้ว

    Mam nataman kuna huko nifanyeje

  • @aishasalim5643
    @aishasalim5643 6 หลายเดือนก่อน

    Hizo cream ya mwisho ulotia yenye ladha inauzwa wapi

  • @jeffkamal533
    @jeffkamal533 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo cream gani tupe jina

    • @ilhamhaji1125
      @ilhamhaji1125 4 หลายเดือนก่อน

      "Whiping cream " inaitwa

  • @sekundaasenga2102
    @sekundaasenga2102 5 หลายเดือนก่อน

    Nimependa sana mapishi ya uji wa kunde lakini sijaelewa ile krimu ya mwisho inaitwaje lwa sababu mimi sioni naomba uitaje jina asante.

    • @ramearfe9509
      @ramearfe9509 5 หลายเดือนก่อน

      Cooking cream

  • @susanswai8929
    @susanswai8929 2 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sn umenipa mapishi mapya. Naomba nikuulize mchele umesaga na nini kwenye blender?

  • @latifaaqudaidy9397
    @latifaaqudaidy9397 ปีที่แล้ว

    cream yoyot unatumia

  • @abeidaabdallah2450
    @abeidaabdallah2450 2 ปีที่แล้ว +1

    hello Aunty Shahida hongera sana naku follow sana mashallah.Abeida hapa

  • @faridamaamary9857
    @faridamaamary9857 2 ปีที่แล้ว +1

    Can I add hot water when I find it thick?

  • @sabahsharaff5477
    @sabahsharaff5477 2 ปีที่แล้ว +1

    السلام عليكم ورحمة الله وبركاته.
    Naomba utupatie measurements za ingredients tafadhali

    • @sahidahamad39
      @sahidahamad39 2 ปีที่แล้ว

      Mie siku zote hua nakisia tu

    • @inthekitchenwithnona4427
      @inthekitchenwithnona4427  2 ปีที่แล้ว

      Mara nyingi hua nakisia tu,ila waweza kujaribu kikombe kimoja cha kunde kwa mchele kikombe kimoja na nusu,sukari to taste