How can I get the original version of this song?? Where did this Xatherine Kyambiki go? If anybody sees her should tell her I need to purchase this music
Dada huyu sijui wapi aisee..nilitembea nae kwa gari yangu karibu mwezi mzima akifanya matamasha.mawasiliano yalipotea na sijui yupo wapi.ulipatwa na nini na ulikua muimbaji mzuri sana lakini imekua kimya kabisa
Yesu anaweza yote. Nii moja ya nyimbo zangu bora sana. ubarikiwe mtumishi
Jamani hii nyimbo naitafuta sana mtu aliyo nayo anicheki jamani
Ukipata nishtue
Lovely song Pastor Catherine
Catherine kyambiki ndo wakanza kuimba unastahili kuabudiwa song yupo wapi huyu Dada
Umenibariki Sana Leo mamy!Umetutembelea New vine church mwanza
Dada kathee ukoap sikuhizii napenda nyimbo zako zootee tangu nikiwa mdogo nakumbuka tulikuwa na kanda kaset yako ukoappiiii
How can I get the original version of this song?? Where did this Xatherine Kyambiki go? If anybody sees her should tell her I need to purchase this music
Yesu anaweza yotee Leo nimefrah sana nimekuona safina una sauti nzur nimependa uimbaji wako ubarikiwe.
My song waaah
Huu wimbo hua siuchokagi jamanni nampenda sanaaa dada catherin na sauti yake😘
Uko na original copy ya hii song unisaidie please? Nimetafuta kila mahali sijapata
@@Lucyferandtheson003 Itafute humu nimewahi kuidownload na kuiweka kwa pc yangu
@@davidbwandilo3864
@@davidbwandilo3864
@@davidbwandilo3864kama unayo bado naomba
Yesu anaweza yote bilashaka
God bless us all
Dada huyu sijui wapi aisee..nilitembea nae kwa gari yangu karibu mwezi mzima akifanya matamasha.mawasiliano yalipotea na sijui yupo wapi.ulipatwa na nini na ulikua muimbaji mzuri sana lakini imekua kimya kabisa
Aisee Leo tulikuwa nae mwanza na ameimba!new vine church mwanza!
@@fridamadenda6065 serious?nipee namba yake asee kama upo nayo
how do I find the copy of this song?
Let me find this song after getting I will give you
@@emilyiman3751 thank you so much. Please please if you find kindly share with me
Okay
@@emilyiman3751 Did you get the song? I'll pay
No.Just wait
huyo mwimbaji anaitwa nani
NORASCO MKENG'E Catherine kyambiki
@@gracemwanjabala8073 Yuko wapi kwa sasa, nimemtafuta muda mrefu
Catherine Kyambiki, barikiwa sana dada!