TAALIQI MARIDHAWA JUU YA MASALAFI WA SASA NA MAJIBU KWAO BY SHEKH YUSUFU DIWANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @saidishalako
    @saidishalako ปีที่แล้ว

    Ungeacha Uganga huenda ALLAH angekufunulia Ilmu kubwa tu.

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว

    Inalillahi wainailahi rajuun utalipwa Kadri ya upotovu wako a kuwspotosha bahaziya watu lnshallah Allah a kusamee ubadilike

  • @abuuaminah
    @abuuaminah 3 ปีที่แล้ว +1

    Ma Sha Allah.
    Allah akujaje kheri

  • @twahamuhoro1656
    @twahamuhoro1656 ปีที่แล้ว

    Hehehe safisana, kila upande ujenge hoja ndio dini bwana, sisi tunasikiliza huku na huku tunapata Elimu... hatutaki matusi wala lughachafu... naswarfu balaqha zitembee kamakazi, bila ujuzi mzuri kwenyelugha mmmmh.. tutakufurishana kilasiku

  • @ibtisamabdulrahman4246
    @ibtisamabdulrahman4246 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akulipe kheri

  • @abuurauzwat1006
    @abuurauzwat1006 2 ปีที่แล้ว

    Hahahahah ujinga kazi kweli kweli.

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 3 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana shekhe

  • @sultankitamo3878
    @sultankitamo3878 3 ปีที่แล้ว

    Usiseme humtaji jina utampaisha mpaishe sheikh abuu fauzan fadhil abdi allah amuifadhi chukuen faida youtube na ktk chanel nyngi nying inshaAllah

    • @Kzm-c9u
      @Kzm-c9u 10 หลายเดือนก่อน

      Eti abu fauzan naye shekh😂

    • @Kzm-c9u
      @Kzm-c9u 2 หลายเดือนก่อน

      Fadhil abdi kawa shekh😂😂😂

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن 4 ปีที่แล้ว

    MAA SHAA AL-LAAH BAARAKAL-LAAHU FIYKA

  • @zaincocargo75
    @zaincocargo75 3 ปีที่แล้ว +1

    MASHALAH SHEKH YUSSUF UMEWAJIBU KI ILMU KABISA

    • @hassan4k7
      @hassan4k7 3 ปีที่แล้ว

      أعمى يقود بصيرا لا أبا لكم**قد ضل من كانت العميان تهديه
      AMEPOTEA YULE AMBAE KIPOFU NDIO ANAEMUONGOZA,
      huyu jamaa ukimskilza pumba tu, wasiokuwa na elimu wanamuona kama jamaa hawezekani kwa elimu,
      kumbe ni bonge la JAAHIL,
      mtu kujirikidi na kueka TH-cam Sio kipimo cha mtu kuwa na elimu,
      hizi zama za fitna kama mtume alivosema, itafika wakat jins ujinga utavyoenea mpka yule anaeongea mambo ya Batwil|Uongo ataonekana anaongea haqq , na yule anaongea haqq ataonekana anazungumza batwil,
      ndio zama tulizokuwa nazo hizi

  • @khamissalum9285
    @khamissalum9285 3 ปีที่แล้ว +2

    Masalafi nifrimason

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 3 ปีที่แล้ว

    Ni uchache wako wa elimu tu sheikh yusuf

  • @zaincocargo75
    @zaincocargo75 3 ปีที่แล้ว +2

    LKN NATAKA KUKUMBUSHA KIDOGO KWA HAWA JAMAA USIWAPE NGUVU KWA KUWAITA MASALAFI WANAJINA LAO WANAJULIKANA KWALO NALO [ MADAAKHILAH ]

  • @khatibujuma4933
    @khatibujuma4933 2 ปีที่แล้ว

    mimi sinawasiwasi salaf mawahabi mayahudi itikadi moya

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 3 ปีที่แล้ว

    Unge soma AQIDA ya ahlusunnah, ungejua maana ya salafi.
    Fuatilia fatawa za wachuoni wa zama zetu utajua maana ya salafi.
    Kama sheikh fawzan
    Sheikh ibn baaz.
    Sheikh Al Baani
    N. K

    • @yamdinhopapaa4144
      @yamdinhopapaa4144 3 ปีที่แล้ว

      Kwakua wao ndo wameteremshiwa wahai wapili au acha upuuuzi we

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 ปีที่แล้ว +1

    Asalaf wanapendwa saaana na FBI, CIA, na wapelelezi wa nchi zote Duniani, ukisema wewe Asalaf huwezi shikwa na hutumika kuwachoma waislam wenzao

  • @ramadhanibrahim1543
    @ramadhanibrahim1543 3 ปีที่แล้ว

    atakae wafuata masalafi amepotea duniani na akhera, wanaojinasibisha na maswahaba ni matablighi na ahlu sunna waljamaa

  • @abuuabuu4831
    @abuuabuu4831 2 ปีที่แล้ว

    Salafi ni fitna kutoka najd