MANGE KIMAMBI BAADA YA KUKUTANA NA RAIS SAMIA,NIMEFURAHI KUKUONA.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
- 📺CELEB AFRICA TV 📺
🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇨🇩🇧🇮🇷🇼🇳🇬🇿🇦🇨🇦🇬🇧🇺🇸
US-based Digital Outlet with Podcast & TH-cam contents to update the Swahili speaking & Diaspora around the World
/ celebafricatv
/ celebafricatv
/ celebafricatv
www.celebafric...
#MANGEKIMAMBI #RAISSAMIA #CELEBAFRICATV
Hongera Dada wa taifa kwa kupata picha ya pamoja na Rais hakika umeipeperusha bendera yetu ya Tz, Mzalendo wa kweli Mama MUNGU akubariki kwa upendo wako kuna kitu cha kujifunza hapa
Ukiwa muongo usiwe msahahulifu etiii mange naweza kuandamana mbele ya uongozi wa Samia? Bora mmetukumbusha na video hii
Hiro wigi jamani Nani alimwambia anapendeza
Unge juwa hutamuona huyo jini ungembeba lukamba ukaenda nae😂😂😂
Saw saw
Masikini weee dah
Aman karume
Kwani sisi tunaoishi huku Tanzania tunautofauti gani ??naona hatujawahi ata kupata mda wa kumsogelea rais wetu wakati sisi ndio tuliemchagua..maajabu kweli utumwa wa fikra hata chizi akiishi ughaibuni hupewa thamani kuliko professor aishie Tanzania.
Alivokua hana aibu uyu mange kweli kauzu
Ungejua ungekutana na mange unge mbeba lukamba mama
Nan kaona 2024 hii
.