MR.RIGHT ATAMBA KUMFURAHISHA MREMBO HUYU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
- Kwa story zaidi za maisha, burudani, vipindi na za kila siku tufuatilie kupitia Mitandao ya kijamii hii :
►JOIN OUR WhatsApp Group chat.whatsapp....
►SUBSCRIBE / @stbongotv
►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder
RATIBA ZA VIPINDI VYETU
THE BANTU JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 10 JIONI
SPOTLIGHT JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 12 JIONI
TWENDE JIKONI KILA IJUMAA KUANZIA SAA 1:30 JIONI
FASHIONISTA KILA JUMAPILI SAA 1 USIKU
MR RIGHT SHOW KILA JUMAMOSI SAA 4 USIKU
KIU SERIES JUMATATU HADI IJUMAA SAA2:30 USIKU
THE SPIRIT NA IBADA LIVE KILA JUMAPILI KUANZIA SAA 4 ASUBUHI
MOVIE NIGHT NI KUANZIA JUMATANO MPAKA IJUMAA KUANZIA SAA NNE USIKU NA MARUDIO MCHANA KILA SIKU
Nimekua nikiwafuatilia sana hellow mr right niwaulize tuu lini mtaanza kuifanya hii show nje ya dar
Kwel ifanyike ata nje ya dar
Shdbsfrfd🎉🎉🎉dbdbfnkr😂😂😂dndnftfnc y😂😂😂😂fnx xtntk😂😂xnnxntngn😂😂😂😂dndmftmtnk😂😂😂😂ndndnfntgnyg🏘️😆💪💪💪 1:45 💪💪💪
Mi nachoka na hizi video zenu fupi zinaboa ata😢😢
Kwel baba
Ahsanteeeee 🎉🎉🎉 baba
❤❤ jaman inapendeza sana
Ongezen Mr Right wawe hata wa 5 itapendeza sana
Huyu mwijaku mtoen anamaneno mengi yanatuchosha
Natamani kupata mwana dada toka tanzania ...mie mkenya
Mwijaku ana kiherehere Jmn kha😢😢😢😢😢why mwanaume anaongea hivo?
Mwijaku wa nn humoo
Lulu diva ananifurahisha saan anavyo igiza kisauti🤣🤣🤣
Mwijaku unaongeaaa😂😂😂
Mnatuwekea vipis vya video mbona
Kwan pia humu DC ako huku pia...😅
sema kujichocha
Lulu Diva Kavaa nini😂😂😂
Mwijaku anzingua
Kivip
Wanatangaza uzinifu tyu hamna cha ndoa wala nn ni shah'awat zao tu pumbav kwel kila siku watu wanaibuka na ushaitwan
Ka Lulu Ako Tupu Tupu... Hata Kitu Yake Haifuri
Mwijaku mdomo huo😅
kiboko yake ni Ney huyoo
Umefanyeje
@@Iasah shidah anaongea sn asikikeyy2 inaboa sn
Kuweni makini ipo siku mtawaona wake zenu humu na wame zenu😂😂😂😂 anyway kwani humu nilazima uvae nguo fupi na kama ndefu iwe ya kuonesha maumbile
Inakuwa lini
Juma mosi inaaza saaa nne usku kweny sitatime chane401
Hivi kweli wanaoanaga maana sijawahi kuona
Hata mimi najiuliza maana wangekuwa nanaonyesha wenye wameowana
Mtoeni mwijako anabowa
Mwijaku unann ww mbona km unakawivu furan
Kama wew siy
Mu2onyeshe na ndoa zao
Yes mamaa mawazo yangu ni hayo pia
@@nanaritho6850 Yeah Co kukuwadia znaa 2 wafatlie na maisha Yao Maana unaweza mkabdh m2 kwa mjambaz.
Hamna ndoa ☺️ ni zinaa tyu
@@khadidjasuleiman8006 Yeah Maana cjawah kuona muendelezo wa haya 🤔
@@fatumajumanne5961 so Dhani hatta kama Wana mafamily Kwa sababu unaanza je kuja hapo?wakisha chaguwana wanaondoka kukaa wakiachana kimya 🤣 kimya 🤣 hawato tijuza
hilo nalo linaongeaongea ujinga sijui la wapi hilo
Njia ya kushiriki mm pia nataka Mr right nimechoka upweke😂
Nitafute mie mkenya
Acha kujisifu ngoja usifiwe😅
Mwijako akeraaaaaaaaaaaa u wiiiiiiii
Kwer nifupi san
Hakuna muoaj
Video fupi fupi sana
❤❤ jaman inapendeza sana
Mtoeni mwijako anabowa
Sw mlete baba yak bs a cave Nafas yeke