@@KhamisAli-ud4pu kwa wazanzibar walio wengi kujamba mbele ya watu ni matusi na hata kutaja tu ilo neno pia ni matusi,na clip hii kwa watu wenye adabu zao hawawez kuiangalia akiw amekaa na wazaz wake ai wanawe.
mau unajitahid kutoa clips ila zina umaliziaji usio ridhisha... tunatak tucheke ila tunaban kicheko chetu...hebu weka boosta hko mwisho (saut ya kicheko)
😁😁😁😁mpemba wachokochooo
😂😂😂😂 Hata lile gari kubwa linaitwa Fuso Ahsante mzungu kwakutuchekesha mpemba fyoko 👍
Mau hayo si maadili yetu unakosea sanaa unawafunza nini watoto wetu
tuleteen move
😂😂😂mau na edi na mzungu wenu
mau jitahid kazi zako ziwe na maadili mazuri,
kazi kama hii kwa sisi wazanzibar imevuka maadili na mtu kama yupo na mzazi wake hawezi kuiangalia.
Wap pamekosekana maadili nasiye tujuwe
@@KhamisAli-ud4pu kwa wazanzibar walio wengi kujamba mbele ya watu ni matusi na hata kutaja tu ilo neno pia ni matusi,na clip hii kwa watu wenye adabu zao hawawez kuiangalia akiw amekaa na wazaz wake ai wanawe.
Ni kweli mimi kuanzia leo sitoangalia tena channel yake kwasababu nilikuwa na watu nimeona haya mimi.@@Allybinamour
Good job
Mpemba chokocho kma ww by mzungu😂😂😂
Hahaha naomba mkorofi 😅
Mpemba mchokocho kma weye😂😂😂
much love
Karibu kuangalia kazi nzuri ya mzungu mswahili namba 4
Mswahili namba 1,2,3 ndiye yupi?
Mpemba utofyoro ndio ujinga gn unaofundisha😪🤤😔
❤😂
Me nimchokocho km ww😅😅😅
kudaadeki zako mau unajamba utafkiri kobe 😂😂😂
Mmmh😂😂😂😂
Duh mchokocho 😂😂
Nakupenden naombeni nijiung na nyie kuigiza😢
Karibu sana
@@Asili namba nitumie
Ipo mwisho wa video@@zidaboy_tzcomedy6759
Wanataka namba gan ten wakat mwisho wa igizo namba zimewekwa hpo chukua
Hhhhh😂😂😂
Nalitamani ilo sheli
Upuuzi😂😂😂
Mau huachi tuuu🤪🤪
Dah mau hana tena marinda
Mpemba gani ww
❤❤❤❤❤
Mohammed Saleh,vp kaka, nimekukabidhi Bopwe usiiache lkn naona visafari vimekuwa vingi,umemkabidhi nani ailinde?
hhhh Mchokochoo kama ww
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Jmn nimechek hata
Tatzo haimalzi
😂😂😂
mau unajitahid kutoa clips ila zina umaliziaji usio ridhisha...
tunatak tucheke ila tunaban kicheko chetu...hebu weka boosta hko mwisho (saut ya kicheko)
😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂