Nawapenda sana the Bull's family mimi uwatch nikiwa nimechelewa but I'm your big fun nihuku aki but very soon nitakua na premier geng inshallah nikirudi home nawapenda sana rozzy never disappoint
Nawapenda Sanaa ,,my favourite couple together with that family of urs much love to u Leo nmesema nicomment Coz nmesikia wenye they don't comment are silent followers😢😅❤❤❤
I love dorea very much from uriru wa wendo she's my mentor for real I love her when am down I just watch their vedios ,,,I really love you like for now am very down for real 😢😢😢😢
Game imeweza my people, I've really enjoyed it.Najua I'm the last one to comment nivenye kazi ni mob but you've gah my support since day one.I love you all and be Blessed 💕🙏
Hello my beautiful pipo nawapenda sana kwanza nyinyi hukua mentors mbayaaa saizi DOREA NA DIBUL mtufanyie tujue how to stay in a qualitied relationship ndio ziwork atleast please.
Team dibul ❣️❣️ you guys are amazing.. imagine msee huwa haboeki... I can't manage being on the premier lakini vile nakuwanga nimewangoja asubuhi wacha tu💥💥
You always come up with banger games I enjoy your content each and every day nlikua nangoja nipate simu nianze comment nlikua naonea kwa tv love you all team rose mato
Thankyou sana martoh for the big up ❤❤❤❤we will keep supporting the bulls family to the world
Makofi Kwa team rose 👏👏
Today I as to comment coz Dj amekumbuka sisi team silent followers,,I truly appreciate you guys and keep up the good job
Asanti Bull kwa kukumbuka back benchers 😃😃 #SilentFollowers 💥💥💥
Aawww thanks Rose 🌹....for the big up.. always team Rozie my namesake...nawapenda the bulls family
I comment alot hamnitaji😞bt nawapenda bure tu na rose anakuanga na vibe ingine Kali😂😂
Team Rose banger after banger 😅nko kwa floor nkikumbuka Ile ya coast this channel is always ni my heart
Nawapenda sana the Bull's family mimi uwatch nikiwa nimechelewa but I'm your big fun nihuku aki but very soon nitakua na premier geng inshallah nikirudi home nawapenda sana rozzy never disappoint
Nawapenda Sanaa ,,my favourite couple together with that family of urs much love to u
Leo nmesema nicomment
Coz nmesikia wenye they don't comment are silent followers😢😅❤❤❤
Love u guys ❤ team rose apa love u mama ....ndo huyu apa secret follower nimeamua kuongea 😅
Wenye tunawapenda wote aki tutasema aje❤❤❤❤team all boom
I love dorea very much from uriru wa wendo she's my mentor for real I love her when am down I just watch their vedios ,,,I really love you like for now am very down for real 😢😢😢😢
Leo nimeogea nawapenda sana ❤
Dorea si utuletee Ann aky huyo Dem aky😂😂😂,,,Kanakuwanga comedian sana
Game imeweza my people, I've really enjoyed it.Najua I'm the last one to comment nivenye kazi ni mob but you've gah my support since day one.I love you all and be Blessed 💕🙏
Thank you dibul for appreciate us silent followers nawapenda sana guys 🥰🥰🥰♥️♥️ your doing good job
Oooh to bad nilichelewa...hi Dee am happy you are back gall
Kama me ni silent follower. I love u guys ❤❤❤
Team Bulls..🥰🥰Rozzie penda ww sana
I missed you guys aahhh am back😅❤❤❤❤🎉🎉aaahhh rose si nimekuona leo😅
Leo nichojo ,mwaki mwaki Wa blue much love B family
Team Mikeee tumeland vibaya sana🎉
Akh si mnitaje kwa next video...nawapenda sana wadau❤❤
Team Mike Kama kawa Kama dawa,,,, we are back like we never left❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Aki mm naitwa liloh bt nakuanga silent follower huwa nawafuata kla time I always love you guys
Wooow this is amazing hii ndo inabamba sana ,,,bigup bulls family ,,,,my teacher hapo dibul big up😊
Siku moja pia nitatajwa😊🤎
Aky nawapenda sana qwanza Dorea waaa n Dibul eyyy nawapenda and continue and we will show u our love n Aggie
Aki nime chekelea dibul then mike aki kuonea rose mbaka anasema ya rose irudiwe😂😂😂
Banger after banger... Team shiro all the way.....nawapenda♥️
🥳🥳🥳🥳Dee is back anyway game ya leo imeweza
Hello my beautiful pipo nawapenda sana kwanza nyinyi hukua mentors mbayaaa saizi DOREA NA DIBUL mtufanyie tujue how to stay in a qualitied relationship ndio ziwork atleast please.
Aki mato😢next video unibig up aki❤❤team mato forever 🎉🎉
Huku ni banger after banger yaani mtu hawezi lala kama ameboeka
Team mikey kama kawaida♥️♥️
Leo nikama niko kila mahali aky😂😂😂😂nawapenda buree but Mostly team Mikee😂😂
Another hot banger is here.....am just laughing nikikumbuka Ile ingine ya coast..anyway guys always in ma heart..
Nawapenda sana ❤❤
Unafaa shout out sijai kukosa kwa comment section ❤❤😅😅
@@damarlswanjlru6935 walai 😂 I just love this fam...can't sleep without the dose
Team dibul ❣️❣️ you guys are amazing.. imagine msee huwa haboeki... I can't manage being on the premier lakini vile nakuwanga nimewangoja asubuhi wacha tu💥💥
Mato's laughter 😂😂😂 weeuh he makes me laugh 😅...nawapenda sana the bulls
Nawapenda watu wangu wa home...always here to support you..Good job beautiful people. Growing bigger and better
Mike is just funny nkimuoba naanza tu kucheka....team mike forever ❤
Team mato mtoi Wangu ako 3yrs,yeye Ni team Marti damu she is called Taniah kaiya
Silent follower kama mimii leo nimekam through🙌👋. Team Dee hatujai shindwa kwa kujitetea😅😅😅
Karose hunibamba mimi kabisa
My favourite family lazima nwatch team mike hooooyie ❤❤❤❤❤❤❤ banger after banger nawapenda sana❤❤
Mukienda hiyo Mombasa....musinisahau😊😊
Mike, Marto na Dibul leo mmefanyiwa ile kitu🤣🤣🤣Team Mike siku zote❤️😍Much love The Bulls family ❤️
Nawapenda sana the bulls❤❤am team rose nikarembo sana
Silent followers no.1 mimi,leo wacha nawasupoty sana,,,team dorea ,team Dibul (team kubwa),team marto,team mike(winners)team rose,team shiru,team mike
Team dibulll always nawapenda sana
Great content,, family ya kutuliza stress na vicheko🥰
Mko fity kabisa de dibulls
Mm bado hamjanibig up akhi woiyee na vyenye mm ni fan wenu mnomaaa😭😭
Awwwwwwww am soo happy thanks for tagging me mike all the wayyy....
🎉🎉 Team Rose here we are watching from Saufia Arabia much love guys❤
*saudi
Ako kafeeling kakupata notification from the bulls family eeeish nawalombotove ❤
Napenda sana hi show yenu 💟💟💟 na wa love Sana
Manzeee Hadi mm I'm always part of you 😂😂😂😂i love you guys I'm team dorea shout out❤️
Silent Viewer here this is my 1st comment Nawapenda sana the BULLS FAMILY
Niliwajua Na Ile surprise ya gari dibul aligift dorea
Team shiro tuko ndani ndaaani ndaaaaaaani
Silence follower ni mimi apa😂😂😂we love you too
Watu wangu nawapenda ❤❤❤❤
Leo niko na nyinyi hapa kwa hapa
Oooh my rose thanks for the big up I will always be on your back much lv
Lakini as a loyal supporter team dibul😂😂hatuongeangi sana❤
I love 😍 the introduction by Rose. It's awesome👌
Team Rose nakupenda❤🎉
Big up the bull family ,salimia Mike sana
Karibuni msa tunawapenda sana
Mike gauze hiyo kitu you NEVER disappoint 💯💯
Team d bull 💪💪 my dj uko sawa
Team Dorea❤️aty nakutakiaaaa nini😂😂😂🤣🤣
Amazing work dibul l love you 💞💞💞
nawapenda sana❤❤❤❤❤❤
Team marto na uche kutence sana mkianza,,n ww nangalianga ww sana
Team rose😉😉kwan mimi huwa sicomment😂
Team Rose kama kawa
Nawapenda sana ❤️❤️❤️
😂Am a silent viewer ,Leo nmedecide ku comment team dibul always 😂😽
Hiii imeweza khai n mecheka yangu yote😂😂😂😂😂😂😂
Yani dibul hutawai nifikia😢🥺tunawapenda sanaaaaa😍😍😍😘
You are the best
Sijai comment but l always follow u guys dee ni big up nxt time nita feel poah❤😂
Chairlady wa silent followers representing
Next time mnibig up nawalove sana hua spitwi na banger after banger after banger am a silent followers
Ka Rose na Dibul 💪💪💓💓
😂😂😂 ATI mlevi Mike ww😅😅😅
Am really waiting this. Team Rose!!💪💪
You always come up with banger games I enjoy your content each and every day nlikua nangoja nipate simu nianze comment nlikua naonea kwa tv love you all team rose mato
Team rose big up penda ww bure😍😍😚
Nawapenda wote team dibull Kama kawa Kama dawa
napenda hii familia💗💗
Silent viewers mimi ndio admin
Silent follower am here,mni big up on your next video,i love this family❤
Always team rose 🎉🎉🎉🎉
Shiru usikuwe unanyoa,kuwa unashuka u look good
wanjiruu next unitaje
team dorea tuko Ndani ndani
Hamjai ni big up n mm ukua apo time y premium yawa
My favorite team mike always 💙 ❤ napenda hii family bure❤