#EXCLUSIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • #EXCLUSIVE: WASTARA AMWAGA MACHOZI - AFICHUA KUZUSHIWA KIFO - ''MIEZI 5 SIJALALA -NIKITOKWA MAPOVU''
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 163

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  3 หลายเดือนก่อน +2

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @benedictinelusambo069
    @benedictinelusambo069 3 หลายเดือนก่อน +12

    Tuzidi kumuombea dada yetu mungu azidi kumtia nguvu,, faraja tuu kwake inatosha ❤❤

  • @UwinezaLydie
    @UwinezaLydie 3 หลายเดือนก่อน +3

    Pole dada Allah akupe shifaa akuondoleye maumivu uwe sawa myegemeye Allah kunasiku atakuondoleya mtihani

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 3 หลายเดือนก่อน +11

    Pole sana Mungu anakupigania. Futa machozi

    • @DativaMbowe
      @DativaMbowe 3 หลายเดือนก่อน

      😭😭😭😭

  • @SheikhMadua
    @SheikhMadua 3 หลายเดือนก่อน +7

    Pole sana ety Allah akufanyie wepes inshallah hila karibu Sana mwanza nitakupa faraja ya dua inshallah Allah ndiye mjuzii zaid

  • @ayubumwakalelesya52
    @ayubumwakalelesya52 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu mwema utakuwa sawa pia utalud kwenye kazi ila nashangaaa Sanaa wasaniii wana fanya stalehe kubwa at kukumbuka mchango wako toka upo na sajuki mpka now upo mwenyewe unaangaika wanashindwa kuchanga daaaa Pole sanaaa dada angu mungu mwema ila wasaniii naomba tuangalie Hili jamni😢

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 3 หลายเดือนก่อน +7

    Pole dada mwenyezi mungu yupo pamoja na ww ni mitihani tu ya dunia

  • @OLDSCHOOL-if7mi
    @OLDSCHOOL-if7mi 3 หลายเดือนก่อน +10

    Dada yangu usipende kulia sana Allah anamakusudio yake mshukulu kwa kila jambo

    • @SekelaJakson-ls7dd
      @SekelaJakson-ls7dd 3 หลายเดือนก่อน

      Yan uyu😢analia kiukwel😢 had anatufanya tusiamin kama anapitia hayo magumu angekuwa kama hawa sijui ingekuaje

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 3 หลายเดือนก่อน +6

    Daah pole sana,Kwa mitihani unapitia😢

  • @barakavalencendola1117
    @barakavalencendola1117 3 หลายเดือนก่อน +4

    Pole sana,Mungu akuponye dada

  • @KinanaZagar-pv6qc
    @KinanaZagar-pv6qc 3 หลายเดือนก่อน

    Pole pacha wangu Allah atakupa shufaa

  • @emmanuelsunday8325
    @emmanuelsunday8325 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo anaroho ya mateso ampokee bwana yesu Kila kitu kinaisha

  • @YacintaJames
    @YacintaJames 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana Wastara. Msaada unahitajika

  • @esthermwikali5403
    @esthermwikali5403 3 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana mungu akutie nguvu na akupanyie wepesi

  • @scollantandu2350
    @scollantandu2350 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dah pole sana kipenzi MUNGU yunawe my dear 😘

  • @preciouspeter6126
    @preciouspeter6126 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hugs to you dear❤❤❤❤❤❤. Huyu dada asaidiwe kisaikolojia pia, akiachwa anaweza kuja kujidhuru au watu wakamkuta tu amefikwa na jambo baya.

  • @TheopistaTarimo
    @TheopistaTarimo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana kipenz, ila kwa kua upo dar uponyaji wako upo huko kwa mwamposa! Usipuuze!!! Wengi wamepona!!! Utakuja kushukuru hakika!!

  • @ayshazambia6509
    @ayshazambia6509 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana kipenz allah atakuponya inshaallah

  • @magallahramadhani8762
    @magallahramadhani8762 3 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu dada sijui alikoseaga wapi maana kila mara yeye ni mtu wa kulia kila kukicha. Majanga hayamchezei mbali. Daah huruma sana

    • @marydimoso6303
      @marydimoso6303 3 หลายเดือนก่อน +1

      Depression na anxiety vinamsumbua huyu ,anatakiwa maombi sàna ña upendo mwingii

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu amsaidie kwakweli

    • @ReginaKaizirege-sd3hn
      @ReginaKaizirege-sd3hn 3 หลายเดือนก่อน +3

      Mitihani sio kukosa ni jambo la Muda

  • @marystellakisanga7341
    @marystellakisanga7341 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuponye kwa jina la Yesu Kristo..muombe Mungu anaweza yote

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 3 หลายเดือนก่อน +5

    Tatizo.hapo ni uzitotu my. Kulakutwa malamoja mbogaza majani na palachichi na matango ya kutosha sanasana kulamchana tu. Uwone miujiza ya Allah utapungua na utakuasawakiAfya. Kulanasamaki na kuku usilenyama. Utapona dasayangu piamtangulize Allah kwasana. ,,,,Allah ashifik

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 หลายเดือนก่อน

      umenifundisha. wacha nami nianze hivi2 ulivosema..ntakula hivyo mlo moja tuu kwa siku..maji je?

  • @ايتيتووينويو
    @ايتيتووينويو 3 หลายเดือนก่อน

    Dah pole sana Wastaraa Mungu akutie nguvu Amin

  • @hyy4114
    @hyy4114 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna ck Mume wng aliniambia mke wang tuwe na upendo kama wa Sajuki na wastara kwa maumivu haya Subhanna Allah azid kunipa upendo kwa mume wangu bali maumivu kama haya yasinipate

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kazana saaana kumuomba Mungu nahisi kuna kitu hakipendi maisha yako toka marehemu mmeo afe na ugonjwa wake ulikuwa wa ajabu

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 3 หลายเดือนก่อน

    Pole kipenzi Allah akupe shifaa upone kwa haraka 🎉🎉❤❤

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada yote unamwachia mwenyezi mungu ndie muweza wa yote utapona kwa nguvu zake mola

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 2 หลายเดือนก่อน

    Pole sana wastara ila kwa hilo tatizo la mifupa kutokua na nguvu jmn punguza japo uzito dadayangu una mwil mkubwa jitahid upunguze uzito wako

  • @shamilaalhabsi909
    @shamilaalhabsi909 3 หลายเดือนก่อน +4

    Pole sana Allah atakupa shifaa ajilaa yarabi

  • @JoyceMkini
    @JoyceMkini 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu hapo anahitajika zaidi aingilie kati pole

  • @isaacjosephjoseph2733
    @isaacjosephjoseph2733 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu dada nampenda mno MUNGU akulinde katika JINA la YESU AMEN

  • @MartinFiita
    @MartinFiita 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada mungu yupo nawe

  • @hawamohammed9740
    @hawamohammed9740 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada anatia Imani sana na kwenye Dua pia aende hasad pia imempitia akafanyiwe Dua pia Allah atamponya kwa nguvu zake

  • @MaryLee-sh4nd
    @MaryLee-sh4nd 3 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu kristo akuponye. Kuna mtu anakutesa katika maisha yako. Uchawi unausika kabisa

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 3 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu toka apate ajali na mpoteze marehemu SAJUKI. Amepata sonona( Deepresion) hajapata mtu wa kumtoa hiyo hali kabisaa! Mungu amsaidie. Hana furaha kabisa ktk moyo wake.

  • @JoyceMkini
    @JoyceMkini 3 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu aunyoshe mkono wake akuguse upone akufanyie upate uzima

  • @jacklineally9627
    @jacklineally9627 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana kweli inapitia wakati mgumu sana jua Mungu anakipenda atakushindia amini ti

  • @UpendoNdosi
    @UpendoNdosi 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuponye dada

  • @omanmct135
    @omanmct135 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana dada

  • @fatumamasudi4963
    @fatumamasudi4963 3 หลายเดือนก่อน +1

    Allah a mfanyie wepesi

  • @fathimadaid3429
    @fathimadaid3429 3 หลายเดือนก่อน

    Wastara pole sana kweli yanauma sana ukizingatia hawana bb pole sana

  • @AbdirahmanIgge
    @AbdirahmanIgge 3 หลายเดือนก่อน

    Wastara kuwa nasubira Allah anakupa mtihani inshallah yataisha

  • @SubiraMwajombe
    @SubiraMwajombe 3 หลายเดือนก่อน

    Pole mwenyezi mungu anakuona atakusaidia

  • @MohamediHamisi-oq2kv
    @MohamediHamisi-oq2kv 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pole mrjee mola wako yeye ndo muweza wa kila kitu

  • @EmmanuelMwakalasya
    @EmmanuelMwakalasya 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mungu atakuponya

  • @alisuleiman303
    @alisuleiman303 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mshukuru mungu kwa yote

  • @FardousFarouz
    @FardousFarouz 2 หลายเดือนก่อน

    Ila huyu dada analialia sana kwakweli khaa

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pole mpendwa

  • @omanmct135
    @omanmct135 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu ampeshifa

  • @bahatijsaha7298
    @bahatijsaha7298 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dda,Allah yupamoja nawe

  • @maryamsylivester8662
    @maryamsylivester8662 3 หลายเดือนก่อน

    Najaribu nikuelewe vile unaumia Dada lkn nashindwa kabisa kutokana na ukweli kwamba kiatu chako mguu wangu hauwez hata kuenea ila nikupe pole Mungu Akutetee na kukupigania ni vigumu sana kuyaelewa mschungu yaliyo kwenye Moyo wa mtu Kwasababu wewe ndo Baba na ni Mama kwahiyo Mungu anayo namna ya kukupigania 😢😢

  • @veronicajohn7645
    @veronicajohn7645 3 หลายเดือนก่อน

    Pole Wastara.

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada anahitaji maombi nenda kwa Kuhani Musa kanisa Kimara Temboni
    Haijalishi uko dini gani utapata uponyaji amini tu please nakuomba na Mungu atatenda mpendwa wa Mungu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @barikiwa22
    @barikiwa22 3 หลายเดือนก่อน

    Why analia kila wakati??! Hii dunia ina mitihani kede, Mungu yupo si kiziwi, atakuinua usikate tamaa.

  • @TamashaKokusiima-re7is
    @TamashaKokusiima-re7is 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pole dada

  • @shanibaniyas6308
    @shanibaniyas6308 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana❤

  • @omanmct135
    @omanmct135 3 หลายเดือนก่อน

    Binadamu wabaya sana dada pole sana ukonamungu pekeyako

  • @vincentjameskinogo3405
    @vincentjameskinogo3405 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana

  • @rehemashikeli961
    @rehemashikeli961 3 หลายเดือนก่อน

    Kilichonikuta na huruma zangu palipo baki namuachia Mungu🙏

  • @QUEENBEEOG
    @QUEENBEEOG 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ukiwa Star unatakiwa ukubali na wanadamu wanadamu wana midomo michafu sana aiseee 😢😢😢😢 ila ujafa ujaumbika aiseee

  • @shanibaniyas6308
    @shanibaniyas6308 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana😢

  • @maguybisafu1727
    @maguybisafu1727 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada😢

  • @AngelChino-v8f
    @AngelChino-v8f 3 หลายเดือนก่อน

    Pole

  • @MaryLee-sh4nd
    @MaryLee-sh4nd 3 หลายเดือนก่อน

    Wastara nakushauri usiangalie dini amini Mungu ni mmoja . Nenda kwa mtumishi wa Mungu kuhani Musa. Kimara temboni nakwambia utapona kabisa.

    • @HanenMgeni
      @HanenMgeni 3 หลายเดือนก่อน

      We naeee😅

  • @ukhtyrayyan7884
    @ukhtyrayyan7884 3 หลายเดือนก่อน

    Allah a anakupenda ndo.mana anakupa mitihaniunafutiwa dhambinzako ili urudi kwake umeshafutiwa dhambi

  • @fay9687
    @fay9687 3 หลายเดือนก่อน +1

    Usilie kifo kipo tu kila mtu atakufa muhimu ni kujiandaa tutaenda kujibu nini kwa mungu hapo ulipo kichwa wazi jisitiri fanya ibada jitayarishe tu

  • @AminaShabani-uq9ok
    @AminaShabani-uq9ok 3 หลายเดือนก่อน

    Acha kulia dada yangu kikubwa Sali mungu atakusaidia tu Wala usiwaze

  • @NajatMajid-m7m
    @NajatMajid-m7m 3 หลายเดือนก่อน

    Kua stong wastara tunafungua you tube tunawaona walemavu zaidi yako lkn nakuomba usali sana umshukuru Allah

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 3 หลายเดือนก่อน

      Sadkata yy akitaka kumshukuru mungu nakujiona yy haumwi amtazame wa nyuma yake yule Carina hawa anaumwa jamani

  • @Ummumanal2024
    @Ummumanal2024 3 หลายเดือนก่อน

    Mkiona analia mujue anatatizo

  • @hawa6052
    @hawa6052 3 หลายเดือนก่อน

    Pole dada wastara jamani watoto wasione ukiwa na huzuni watakuwa wanyonge utapona usihofu kuwa na subira soma qurani moyo ni ponyo

  • @hamiskais2406
    @hamiskais2406 3 หลายเดือนก่อน

    Rudi kwa Allah dadaangu hii Dunia mapito tu kwa Allah Kuna aman na Subira inahitajika pia pole sn

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 3 หลายเดือนก่อน

    Okoka sasa kuna roho zinazo kufatilia maisha yako wame yacholea ramani wewe upite umo uombewe wakufarakanishe na hizo roho ,watumishi wakubwa wenye injiri isiyo goshiwa wapo kina Mwakasege watafute

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 3 หลายเดือนก่อน

    Dada wa watu amepitia sana huyu. Mungu amtie nguvu na kumfanyia wepesi. Mifupa na misuli inaumaga sana. Dawa nyingi nazo zinaharibu tumbo jamani. So sad

  • @FatmaOmar-r1t
    @FatmaOmar-r1t 3 หลายเดือนก่อน

    Imelda huyo haraka mtafutieni psychologist atamsaudia Sanaa

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 3 หลายเดือนก่อน

    😢ila kwakweli misuli inauma

  • @hawamohammed9740
    @hawamohammed9740 3 หลายเดือนก่อน

    Usilie nyamaza na sisi tunalia unapolia😢😢usilie jipe moyo utashinda

  • @OmanOman-hx8yv
    @OmanOman-hx8yv 3 หลายเดือนก่อน +1

    Shetani anajua utakuwa nani kesho ndiyo maana ya vita yako

  • @FatmaOmar-r1t
    @FatmaOmar-r1t 3 หลายเดือนก่อน

    Hizo nyingi anazozitaja ni aina ya disorders za saikolojia mkipata mtaalam wa saikologia atamsaidia

  • @MaulidAbdullah-nw9wu
    @MaulidAbdullah-nw9wu 3 หลายเดือนก่อน

    Dada umeshatupiwa zongo jitahidi utibiwe umesha rogwa tayari huna uzima umeshaumizwa na walimwengu

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 3 หลายเดือนก่อน

    Nen

  • @tomatonyanya6731
    @tomatonyanya6731 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba ni mshauri dada maombi yanahusika pia hiyo kuanguka nakutoa povu

  • @ukhtyrayyan7884
    @ukhtyrayyan7884 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nahuyu nae wakulia mitandaaoni utafikiri hiyo mitihan kaumbiwa pekee nasiku anapopata uzima tu basi nikumkufuru mungu kukaa kichwa wazi hebu tubia urudi kwa Allah

    • @Ana-di6qg
      @Ana-di6qg 3 หลายเดือนก่อน

      unaona uko sahihi kabisa kucoment hivyo???

    • @esterMahenge
      @esterMahenge 3 หลายเดือนก่อน

      Kua uyaone 😢

    • @preciouspeter6126
      @preciouspeter6126 3 หลายเดือนก่อน

      Kwa hiyo wewe hupitii mitihani kwa kuwa unafunika kichwa?😂😂😂 watu mna viburi vya uzima. Wewe hapo ndio Mtakatifu mkuu sio?😂😂

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 3 หลายเดือนก่อน

      Nawe siupo Duniani heli yeye haya pa kusema papo wewe lilikikukuta

    • @ZUWENADELLOW
      @ZUWENADELLOW 3 หลายเดือนก่อน

      ​@preciouspethajui mtu hujafa hujaumbika? 😢😢😢er6126

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 3 หลายเดือนก่อน

    Wastara unasumbuliwa na sonono msongo wa mawazo harafu wakati unavaa mguu wa bandia uzito ulionao ni mkubwa fanya upungue ndugu

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 3 หลายเดือนก่อน

    Pia upunguze mawazo kila mtu ana mawazo dada

  • @KhadijaNgozi-ln4ww
    @KhadijaNgozi-ln4ww 3 หลายเดือนก่อน

    Wastara..hiyo..ni.mtihani..rudi..omba.dua

  • @anathaliamwangamila3296
    @anathaliamwangamila3296 3 หลายเดือนก่อน

    Aache kulia afanye kazi, kwanza sikuizi hata movie haigizi, pia akipata hela anaolewa yaani vituko tu . Hana ushirikiano na wasanii wenzake pia aliwahi kuchangiwa pesa nyingi alifanyia nn ? Asukufuru MUNGU awe na moyo wa shukurani anapenda kulalamika sana. Wanaume pia anabadilisha sana

  • @severinakigura5828
    @severinakigura5828 3 หลายเดือนก่อน

    Dada wastara nenda kwa kiboko wa wachawi utasahsu kila kitu.

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 3 หลายเดือนก่อน +1

      Yule naye Yuko chini ya umiliki wa Giza nguo tu zinaonyesha

  • @AshaMwamba
    @AshaMwamba 3 หลายเดือนก่อน

    Shanga hawapo na kwao hawap

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 3 หลายเดือนก่อน

    Nenda kwenye maombi

    • @NageMsuya
      @NageMsuya 3 หลายเดือนก่อน

      Kbsaaaaa kbsaaa atarud kushuhudia tafta watu walocmama Cc utakua sawa

  • @Ummumanal2024
    @Ummumanal2024 3 หลายเดือนก่อน

    Mnamtukana kwa sababu muarabu

  • @maspro6294
    @maspro6294 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pumguza uzito umekua kama Tembo ndio maana mguu unaleta tabu mwili ukiwa mkubwa miguu yako haiwezi kuhimili uzito wako na acha kulalamika kwenye mitandao usitafute huruma za watu na kutafuta Kiki za kipumbavu fanya mazoezi ya kupunguza mwili

  • @AbdirahmanIgge
    @AbdirahmanIgge 3 หลายเดือนก่อน

    Kuwa na subra heri itafuata

  • @azizaali687
    @azizaali687 3 หลายเดือนก่อน

    Anna Musa hajakukuta ndomana unaongea hivyo maumivu unayapa ugonjwa

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 3 หลายเดือนก่อน

    HIV ili apone inatakiwa sh ngapi

  • @Yness-vh4yy
    @Yness-vh4yy 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu naye? Zilipendwa!

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kwako ww ndio zilipendwa sio kwa wote punguza hasadi uishi kwa aman dunia 😮

    • @ZUWENADELLOW
      @ZUWENADELLOW 3 หลายเดือนก่อน

      Dah hajajua maana ya neno hujafa hujaumbika😢😢😢
      ​@@ruqaiamohammed345

  • @annamussa185
    @annamussa185 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu Dada naye kujiliza puuuuh

    • @happynesbaemuhappynes8813
      @happynesbaemuhappynes8813 3 หลายเดือนก่อน +2

      Usiombe yakukute ndugu yangu

    • @queenlinda255
      @queenlinda255 3 หลายเดือนก่อน

      Anashida

    • @QUEENBEEOG
      @QUEENBEEOG 3 หลายเดือนก่อน +3

      Hayajakukuta ww tulia TU ujafa ujaumbika

    • @veronicajohn7645
      @veronicajohn7645 3 หลายเดือนก่อน +4

      Dada Stara ukiweza kupunguza uzito itakusaidia

    • @rosemerymwalongo5858
      @rosemerymwalongo5858 3 หลายเดือนก่อน +2

      Mhuu cjui ata izo nguvu za ku comment huu ujinga umetoa wap kuna cku yatakufika ndo utajua kuwa hajapenda kujilizaaa

  • @catherinenenula7450
    @catherinenenula7450 3 หลายเดือนก่อน

    Wastara nampenda lkn nae kha ova ye ndo mwenye matatizo pekee dunia nzima hajamuona hawa kha nae tushamchoka

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 3 หลายเดือนก่อน +2

      Usiombe ya kukute ndugu

    • @ZUWENADELLOW
      @ZUWENADELLOW 3 หลายเดือนก่อน

      Anasemaje huyu??ah wacha kabisa mpaka mpaka nimelia mpaka nimelia tena walosema hujafa hujaumbika hili neno lina maana kubwa sana​@@janethmwihumbo1289

    • @ZUWENADELLOW
      @ZUWENADELLOW 3 หลายเดือนก่อน

      😢😢😢.

  • @barakavalencendola1117
    @barakavalencendola1117 3 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana,Mungu akuponye dada

    • @hildagabriel1003
      @hildagabriel1003 3 หลายเดือนก่อน

      Usiseme yote ndugu kipindi Cha kufrahi kwenye haya ni kichache kuliko kipindi Cha matatizo na mapito

  • @sahimtv4742
    @sahimtv4742 3 หลายเดือนก่อน +2

    Matibabu ya kiroho pekee ndio msaada kwa sasa, tatizo lake lipo kwenye Ulimwengu wa roho

  • @ShortyShorty-mr3jb
    @ShortyShorty-mr3jb 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada

  • @aishajeanine3552
    @aishajeanine3552 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana ❤