TUNAUZA MASHINE YA KUKATIA NYASI NA MASHINE YA KUPALILIA MASHAMBA, NK

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024
  • TUNAUZA MASHINE YA KUKATIA NYASI NA MASHINE YA KUPALILIA MASHAMBA, NK
    WE ARE SELLING POTABLE GRASS CUTTING MACHINE AND WEEDING MACHINE
    Bei ya mashine ya kukatia nyasi ni:.
    Kubwa: 550,000Tsh
    Ndogo: 450,000Tsh
    Bei ya mashine ya kupalilia ni:
    Kubwa: 700,000Tsh
    Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02
    Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
    Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
    Mashine hizi ni za kuvaa begani (sio nzito) kipindi unaitumia kukata nyasi.
    Mashine hizi ni za kutumia petrol na two stroke oil, unachanganya zote kwa pamoja.
    Mashine zinatumia mafuta kidogo sana kwa saa, hivyo lita 1 ya mafuta unaweza kutumia kukata nyasi katika eneo kubwa.
    Faida ya hizi mashine ni kwamba inaokoa muda wa kufanya kazi, lakini pia inapunguza gharama za uendeshaji badala ya kulipa watu wengi kusafisha eneo hii mashine moja na mtu mmoja inatosha.
    Maeneo mengi ya jeshini na makampuni yaliochukua tenda ya kufyeka nyasi za barabarani hutumia aina hii ya mashine, wengi wamenunua hizi mashine hapa kwetu JOACK Company LTD.
    #mashine #mashineyakukatianyasi #grasscutter #kukatanyasi #mashinezakupalilia #maguu #mashineyakutoamagugu #mashineyakukatanyasi #grasscuttingmachine #kukatanyasi #mashineyakufyekeanyasi #mashineyakukatamajani #kufyekamajani #mashineyakufyekea #weedingmachine #weedremover #Portableweedremover
    Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
    Simu:
    +255 712 25 31 02 (WhatsApp)
    +255 692 43 02 63
    Email:
    mifugotz@gmail.com
    TH-cam: • Tunauza Vifaranga wa b...
    Website link: joackcompany.b...
    Google location: maps.app.goo.g...
    #joackcompany #joackagrovet #mifugo #mifugotz #furmigation #bedbug #tanzania #daressalaam #tanzania #arusha #waduduwaharibifu #dodoma #tanzania🇹🇿
    JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO

ความคิดเห็น •